Charles John Profile Banner
Charles John Profile
Charles John

@Gibu_Jr

4,513
Followers
1,379
Following
1,825
Media
9,497
Statuses

PMU by professional, CO Nyumba Bora. Business Expert🚐🚘 's Magari,kuuza,kuagiza,used. &Simba sport club fan #heartGold , #humblepersonality

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Uzii 👇👇👇👇✍️🚘 vitu vya kuangalia ununuapo Gari mkononi Unaponunua gari lililotumika bongo unatakiwa uangalie mambo mengi sana kwa sababu hapa ni sawa na kubet.. mpira wa man u na Everton Kwanza usipende kununua gari lililooshwa injini mchana na wewe ulinunue jioni
Tweet media one
86
457
922
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
UNAJUA MAGARI YANA MFAAA MTU WA HALI YA CHINI?? Unajua Gari gani ambayo haina mechanical problems? Unajua Gari yenye Cc ndogo sana yanagharimu zaidi pesa kuliko ya yenye cc kubwa Watu wengi wamekuwa vipofu kujiuliza gari ipi ni sahihi kununua kwa gari yake ya kwanza ,
123
110
726
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Je umeshawahi kujua aina ya mafuta unayotakiwa kuweka kwenye gari lako au we we kila sheli fresh tuu. Ukikuta super poa ukikuta unleaded sawa basi nakujuza kuwa 👇 Mara nyingi huwa imeandikwa kwenye mfuniko wa tank la mafuta. Mafuta gani yanafaaa kuwekwa sio, ilimradi mafuta.
Tweet media one
42
93
382
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Tupate Madini ✍✍👇 Tambua Namna ya kujua kama mileage ya Gari unayotaka kununua Yard au kwa mtu ni sahihi au imechezewa..kurudishwa nyuma👇👇
Tweet media one
26
174
369
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Alooo bito inatembea hatariii Cc @SingiziJr @Garishop_Tz
53
54
254
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
service za uhakika au laa Mwisho kabisa peleka gari CAR WASH likaogeshwe kuondolewa gundu....pengine gari hilo lilikuwa linatumika .yaani ni guest house... Au litakase kwa imani yako coz wengine wanazindika magari yao kwa waganga 🙏🙏🙏🙏
14
43
214
@Gibu_Jr
Charles John
5 years
Kilo ya mbaazi ni tsh 300/= na kilo ya makopo tsh 450/= utachagua mwenyew kulima au kuokota makopo Chaguo ni lako! 😂😂😂😂😂😂😂😂
17
17
184
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Happy birthday to me Nashukuru mungu kwa afya njema ,
Tweet media one
12
3
148
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Man Down @SingiziJr nimetangulia senior Bachelor.haya junior bachelor karibu
Tweet media one
19
4
135
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
kuna sehemu nyingi zinavuja oil hivyo wameosha ili kumhadaa mteja.Washa injini, itapendeza zaidi kama injini itakuwa imepoa yaani gari halijaendeshwa kwa muda wa masaa sita na kuendelea....hii itasaidia kuona uwakaji wa injini ni wa kulazimisha au inawaka kawaida,
3
22
125
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Kama ni mweupe kama mvuke basi gari linaunguza coolant kwenye combustion chamber, kama ni wa blue basi linaunguza oil. Je injini inatetemeka?Hapa yaweza kuwa misfiring au Mounts zimechoka Injini inapokuwa ON, je bado kuna taa za tahadhari zinaendelea kuwaka kwenye dashboard..?
1
23
125
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
7.matumizi,vijijini 8.gharama ya vipuri 7.Mengineyo Unapo nunua gari jaribu kurejea hayo, usiangalie kigezo kimoja kutoa maamuzi, kwa mfano matumizi ya mafuta unanunua gari mbovu ,kisa gari haili mafuta yaani cc chini, sasa jamani gari unataka ile kashata au bagia?
10
8
121
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Rav 4 kill time Full ac Full document Engine D4 1990 cc Bei 9.5M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
19
117
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Land Cruiser 2 Upgraded Price 25.5M Full bima✅ Engine 1kz 110,000km Gear box iko freshi Auto transmission New tyres x 4 New Battery 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
27
117
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
je ikishawaka RPM ipo ngapi, na RPM inashuka kwa wakati na kufikia kiwango kinachohitajika..?Je sailensa yake ikoje, ipo rafu au imetulia?Je unapowasha hakuna pipe yoyote inayovuya aidha hewa, maji au oil..?Je unapowasha moshi wake ukoje, mweupe au wa blue kwa gari za petrol...k
3
23
111
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Uzi wa ununuzi wa Magari yaliyotumika 👇👇👇👇 Hatua za kufanya wakati wa utafutaji wa ndinga 👇 1- bajeti yako kiasi Gani?,baada ya kununua gari Kuna gharama ambazo lazima ujue A,Bima,spea,service,Mafuta ,utengenezaji wa hapa na pale .
Tweet media one
5
46
109
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Kama zipo je ni zipi?Kagua sehemu za chini zenye maungo yanayozunguka kuona kama kunavuja grease au oil kwa mfano Boots za CV joints Na ukiridhika kununua gari kwa mbongo, liendeshe kwa umakini kwenye barabara mbovu ambayo si lami...hii itakusaidia kusikia kama kuna sehemu
1
21
109
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Kutaka ku verified hatua hizi 1- Tafuta chases number ya gari unayotaka kununua 2-ingiza kwenye website EAA(E-certificate 3-mara nyingi zinakuwa kwenye mfumo wa xxxx-xxx 4-kisha check details utaona taarifa za gari ikiwepo inspected mileage Tuishi humo.
9
42
110
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
VOLKSWAGEN POLO *DZC* TSI NEW MODEL 2010 CC 1200 KM 94K LEATHER SEATS ANDROID RADIO EIGHT GEARS NEW TYRES PRICE : 14.5M 0654290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
20
111
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
gari husika, peleka garage....Mwaga injini oil weka unayoiamini, badili Spark plugs, badili air filter kama imechoka, badili fuel filter, badili transmission fluid na uweke uliyopendekezwa.....Kwa nini ufanye yote haya..? Ni kwa sababu hujui mtumiaji wa awali alikuwa anafanya
4
23
104
@Gibu_Jr
Charles John
5 years
@mkandamizaji Siku Mzee alipokuwa anaumwa anarudi Mwanza ,nipo Darasa LA 7 ananiambia nakuachia wadogo zako,mama yako uwalinde na kuangalia kila kitu nyumbani ,
5
3
102
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
zinagonga gonga na kama una utundu wa magari utagundua kuwa milio inayotoka ni major issues au minor issues..Washa gari sehemu ambayo ni tambarare, kama ni auto weka D kisha achia brake usikanyage mafuta...Gari likiondoka taratibu ni ishara kuwa gear box bado nzima...
Tweet media one
3
19
99
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Kagua ubora wa body, je imerudiwa rangi au haijarudiwa., kama imerudiwa rangi penda kujua ni kwa nini, huenda gari lilipata ajali Kagua mambo mengine madogo madogo mfano AC, Wiper, Power Windows,Power mirror na kadhalika Endapo umekagua mambo hayo na ukaridhika na ukaamua kununua
1
18
98
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Wikiendi offer Land Rover Good condition Full Documents Ask for 9.5M Location Arusha 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
18
95
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
(hii si guarantee) likikataa kuondoka mpaka ulazimishe kwa kukanyaga mafuta, basi gear box imeanza kuchoka Endesha gari hilo kwenye high way ili uone uchanganyaji wake, kwenye miinuko ya kawaida jaribu kuona kama lina pooling ya kufikia angalau speed 100.
1
17
95
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Wakulungwa Embe Hilo mtini bado bichi kabisaaa🚘🚘👇👇👇🔥🔥 Volkswagen kombi mwaka 1975 cc 1600 full document Good condition bei Mil 11.5
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
24
98
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
lakini kabla huja anza kujikuna kichwa hemu tuweke dondoo za vigezo husika vya kujiuliza. 1.ubora wa injini 2.uimara wa body ikiwa mpya na baada kupata misukosuko 3.matumizi ya mafuta , yaani usalama wa gari 5.historia la gari husika. 6.Rangi
2
8
96
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Je ni sahihi kununua gari Kwa kuangalia plate Number? Wadau wengi wanunua Gari Kwa registration hasa za mkononi kuliko kujua ubora wa gari ,,gari sio Registration Twende na maoni 👇👇
Tweet media one
Tweet media two
9
25
91
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
0
1
85
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Tupate somo LA Gia za L,2,3 Na O/D👇👇👇 Katika gari za AUTOMATIC kuna gia za *L, 2, 3 na O/D Kwanza ujue kabisa katika hali ya kawaida gari yako inapaswa kuwa katika ‘’D’’ kwa maana ya ‘’DRIVE’’ na hii inategemeana na mazingira ya barabara na hali yali ya hewa kama ni nzuri ila
Tweet media one
8
42
86
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Toyota vits New Model Full document Full Ac Cc 1000 Wel maintened Bei 6M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
18
82
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Njooo chukua Subaru mtii🔥🔥🎯 2005 Cc 1990 Full AC No kipengele *Bei 7.8m
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
20
79
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Umofia kwenu .hatimae senior Bachelor anasepa nadhani soon bwana @SingiziJr atafuata Cc @JohnieZeBest @McinikaWaLamar
Tweet media one
5
5
76
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
Peugeot 504 saloon Manual gears Full Documents Fully muzic DVD Bei 3.5M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
16
77
@Gibu_Jr
Charles John
5 years
Social media influencer are people who have built a reputation for their knowledge and expertise on a specific regular posts about that topic on their preferred,generate large followings of enthusiastic, engaged people who pay close attention to their views. #Funguka
1
9
71
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Subaru Forester SG9 on sale year:2007 Engine:EJ25 Sunroof☑️ Cruise control☑️ leather upholstery☑️ packing sensors☑️ price:13M🔥 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
5
71
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Subaru Forester (DZL) Year 2005 Cc 1990 Mileage 48493 Haina shida yyte Bei 16.5m neg Call 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
14
75
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
SUZUKI ESCUDO Bei...2.6M Full Documents Good condition 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
10
73
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
*Ford Everest(CHF)* Model 2012 Cc 3000 Engene WEAT Fuel Disel Automatic gear Air condition Colour silver From Japan Location DSM *Price 7.9 mln* 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
14
71
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Toyota Mark x Cc 2490 Full document Well maintained bei 4m 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
12
68
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Usipitwe na hii Siku ya Nyerere day Corolla E100 Cc 1490 Full AC 2.8M 0777293300 Nunua hii uipige tax kimara bonyokwa nk ikuletee 15 per day
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
20
70
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
Cha upepo Toyota vits New Model Cc 990 Full Ac Full Documents Bei 6M Contact 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
14
68
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Landrover Discovery Cc 2490 Year 2003 Fuel-Diesel Inataka 19.8M
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
21
66
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
RAV 4 KILL TIME GARI NAMBA A KAMA NAMBA D kaliii Full ac Engine 1AZ Cc.....1990 Millage.....98,000 hatari Engine mpyaaaa No ajali BEI.........7.5 milion 0653290966 Location DSM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
8
66
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
*LAND ROVER DEFENDER 110* *engine safi* *gear box safi* *body safiii* *gear manual* *BEI 6.5M Location pwani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
16
63
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
On Sale 🚘 AUDI A4:DW(H) YOM:2004 E.Capacity:1990Cc 3SRS Airbag✅ Odo:55,240KMS Colour:BLUE✅ Imported from:Japan Full Ac New Seats New Tyres Fog Lights✅ RIMS SPORTS✅ No Technical Problem Full Documents ✅ Price:Tzs 7.8Mil-NEG ✅ 📍Dar Es Salaam ✅
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
20
63
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Mwezi Dume umewaadia muda wa kununua Gari mseleleko 👇🚘🚘🚘 Vyuma Kwa hewa chini 👇👇 Brevis 2.7M TERIOS bei 1M Njoo na fundi ujiokotee ndinga 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
17
60
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Pajero Min Cc 650 Full document Well maintained Bei 4M 0653290966 Location Dsm
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
11
61
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Lexus GS Nmaba D Year 2006 Cc 3500 Low mileage Well mantained Bei 12.5m maongezi 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
12
60
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Passo Full document Piston 4 Well maintained Bei 4.8M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
5
58
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Nissan dualis DGW *Bei milion 13.5 Year 2007 Engine cc 1990 Automatic gear Fuel used petrol Full air condition Full options/sun roof Rims sports/new tyree No accident records/unpainted Very good condition
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
18
58
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
@abdulazackabdul @MasanjaMasanj18 Gonga follow then I follow back soon @Gibu_Jr
0
0
54
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Passo Cc 990 Full ac Full document Bei 5.5M Dada amekwama chap Location dar 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
55
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Toyota IST Full document Full baridi la mvua Good condition Fanya kuja chap ujiokotee Embe mtini usingoje liive lianguke litapanda bei Bei 5.7M Njoo na fundi 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
13
58
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Toyota Grande Mark 110 Full document Engine beam Well maintained Ask for 4.5M 0653290966 Unyama wa chini huu njoo na vx mi nikamate ndinga tuonyeshane Road.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
8
56
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Jenga Maisha Yako Kabla Hujaanza Kujenga Maisha Ya Wengine Binadamu Wanaweza Kutumia Jasho Lako Kukidhi Mahitaji Yao. Halafu Kesho Hao Hao Watakuuliza Tangu Umeanza Kufanya Kazi Kipi Umekifanya Cha Maana Katika Maisha Yako? Wanasahau Kua Jasho Lako Liliwanufaisha Wao.
4
15
53
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Twende na chombo ya ukweni usiabike na Passo,vits 👇👇👇🚘🚘🚘 MAZDA VERISA Year 2006 Cc 1490 Full document Good condition MILLION 7.9 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
11
55
@Gibu_Jr
Charles John
5 years
#NipeDili Pata Pizza kwa Radha ya kiutofauti kabisaaa na ulizowahi kula before . Hii ni chicken pizza Tsh 10,000/ Tupo maeneo ya ubungo maziwa Fanya kutupigia agizia ukipendacho Tukuletee 0718643400.
Tweet media one
1
23
51
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
SUBARU LEGACY🔥D.N.Y Year 2007-2008 Rim sports Music system Leather seat Full ac Clean Engine Cc 1990 Haina shida yoyt Bei 7.9M Neg 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
9
56
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Subaru forester Cc: 1990 Low mileage Sport rims Clean condition Bei 18M Contact/ 0653290966 Location DSM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
12
56
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
SUBARU FORESTER Year 2008 Cc 1990 Turbo charger Colour Black New tires Clean condition 👌 Price: 15.5ml 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
15
52
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Wakati unachagua Gari la kununua ,Je unachagua Aina ya body linalobeba Engine au Aina ya Engine ?👇👇👇👇👇 Ni maswali ya kijinga Sana Ila Yana umuhimu Sana,na hapo ndio linapokuja suala la ulewa Magari linapoanziwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
23
53
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Vits New Model Cc 1290 Full AC Million 4.9 Wel maintained Kipengere, Left hand
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
12
54
@Gibu_Jr
Charles John
5 years
Vijana tunawajibu wa kustuana si katika fursa tuu Bali hata kwa mustakabali wa taifa letu .chukua hatua sasa kama hujajiandikisha Fanya kujongea. #KijanaJiandikishe #KijanaMakini #JiandikisheNEC
Tweet media one
2
17
49
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Chuma hiyo mpe dada wakazi Aendee sokoni Nissan march Full document Well maintained Njanuary ngumu Bei 1.8M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
7
52
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Mpoli mpoli huo aka Mandolin Land rover 🚘🚘🔥🔥🔥🔥👇👇 Model 110 Cc 2400 Full document All tyre new Well Maintained Ask for 11M 0777293300 Njoo na fundi ukague uchukue chuma . Piga simu ukiwa njiani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
9
52
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
*ESCUDO* bei chaap 3.5 million. Automatic gear. Full documents. Gari ina 4WD. Unawasha na kuingia mkoa 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
6
52
@Gibu_Jr
Charles John
1 year
SUBARU LEGACY G4 YEAR:2013 ENGINE CAPACITY:1990Cc ENGINE CODE:EJ-20 NON TURBO KILOMETER:65,000 AUTOMATIC TRANSMISSION FULL OPTIONS,WIDE SPORTS RIMS,NEW TYRES,ANDROID MUSIC,WINKERS COLOUR:DARK GREY VERY GOOD CONDITION 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
11
53
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
*Volkswagen Toureg* Automatic Petrol Cc 3160 Year 2010 Mileage 77,000 Full option Android Radio. Remote control Leather seats. Electrical seat control. Reverse camera. Sterling options. Touch sensors. Bei 15M Location DSM 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
13
51
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
TOYOTA VITZ FOR SALE (BAL) Cc 990 Year 2000 Automatic Fm radio/cd/Bluetooth Full Ac Clean interior Full document Bei 4.9M
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
14
50
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
Toyota Carina TI Wagosi chombo hiyo ..bado mbichi Bei ya MSImu wa mfungo Full documents Full Ac Good condition Njoo ukague na fundi Bei 6M Contact 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
21
51
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Fungua mwaka na Gari ya ndoto yako🔥🔥🚘🚘🚘👇👇👇 BMW 3 SERIES Engine Cc 1998 Petrol Automatic Year 2010 Full Ac Radio Support AUX, BLUETOO Full Option Sunroof Leather Seat org from Europe Sports Rims Full Document Bei 14.3M 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
15
53
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Nissan March( Borelo) Cc 1290 Full documents Good condition Bei 2.3M Contact 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
17
51
@Gibu_Jr
Charles John
1 year
Msimu wa mvua na hali ya barabarani sio nzuri haya sasa RAV4 KILL TIME ENGINE 3s-FE cc1990 FULL AC Bei 6.8M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
51
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Toyota Rav 4 kipisi kinatupwa Full document Wel maintened Bei 3.5M 0653290966 Njoo chap punguza maswali.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
7
47
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Min Pajero Bei mil 3.8 C C 1100 Full AC Gari ipo Dsm Punguza maswali twende Eneo la Tukio ukague ,tumpange mwenye ndinga ubebe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
11
48
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Chap chap Suzuki Jimmy Full document Full Ac Bei 5.8M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
2
50
@Gibu_Jr
Charles John
1 year
BMW *Haya kigari cha kutengeneza brand Kwa bei rahisi roof yake inafunguka na kufunga vizuri* BMW 330 *Gari nzuri sana* Reg# CP Color *Black* Engine RE05 Cc 2979 Bei 7.8M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
13
50
@Gibu_Jr
Charles John
1 year
INATUPWA..offer ya Eid pili ML 5-8 ..Gari haina kìpengele Diseal unawasha na kuondoka.. .Engin 2kd... 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
7
49
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Porsche Cayenne's | Reg # DKH ° Year Of Manufacture : 2006 ° Engine Capacity : 4500 ° No Any Mechanical faults, CAR still in Super Excellent Condition PRICE : 30 millions 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
12
46
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Kumekucha na KG 15 ..nyuma Watu hata bajaji wamefunga sembuse alphad.
Tweet media one
11
4
47
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
@rollymsouth Jambo jema Nadhani hakuna linaloshindikana chini ya jua Kama Bonanza linafanyika why club ishindikane kutujengea afya ya ubongo .bila kusahau darasa la ujasiriamali vijana Tunawaza na kuendelea kusubiri ajira zije serikalini
1
2
45
@Gibu_Jr
Charles John
4 years
Mazda Roadstar. Full documents Good condition Bei 3.7M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
15
47
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
2008 AUDI A4 1.8T S-LINE Engine Capacity Cc: 1790 (Turbo Charged) Mileage: 119,000Km+ Engine Code: BFB Fuel: Petrol Electronic Seat Control 18” Alloy wheels Rear Parking Sensors Transmission: Automatic (Multi Tronic) Asking For: Tsh 15M Call 0653290966 Location: Dar
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
5
48
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Wakulungwa wataielewa hii Ila wazee wa automatic hawatazipenda hivi Land rover Nailengesha Wel maintained Full document Bei 5.5M Njoo na fundi wako ukague ubebe Location Tegeta 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
12
47
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Maswali yasiwe mengi Shida Ada Rav 4 kipisi Bei 2.4M Chap njoo ujiokotee punguza maswali mengi njoo na fundi ucheki ukiweza ondoka na chombo .hakijapaki hicho . 0777293300 piga simu ukiwa na muda wa kuiona sio kuulizia location tuu .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
9
48
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Toyota Rav4 kalii Engine 3s, cc 1990, Full ac Bei: Milioni 8.5 Location: Tabata 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
6
46
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Mazda Demio 1340Cc 2003 Year Low mileages In good Condition Bei 6.8M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
7
47
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
*INALENGESHWA IST/EAB ALMOST GARI MPYA Year 2006-2007 Engine Cc 1290 Full AC Full documents Good Condition *From Japan sio jecha* Location DSM *Price 11.5mil* 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
7
46
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Uzii👇👇🚘 POWER STEERING FLUID Tunaendelea na elimu juu ya gari yako,tunazungumzia kati ya FLUID tano muhimu za kuangalia kabla hujawasha gari yako na kutoka ni Power STEERING FLUID,hiki ni kilainishi cha system nzima ya usukani wako wakati wa uendeshaji wa gari. Cc @SingiziJr
Tweet media one
6
19
43
@Gibu_Jr
Charles John
1 year
Asking For: 17M 2012 SUBARU IMPREZA SPORTS |ECL Engine Capacity 1590cc Engine Code FB16 Mileage 71,000km + Fuel Petrol ⛽️ Standard Features : Airbag Adroid radio Transmission Automatic Dar Es salaam 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
18
43
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
LANDCRUISER VX-R Year : 1993 Engine Capacity : 4168 Engine 1HD .diseal Full AC Screen Radio / Heavy Sound Price : 13.5M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
18
43
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
JEEP CC3000 Petrol Automatic Bei :6.5M 0653290966 Bosi kavurugwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
15
43
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Gari za ukweni 👇🚘🚘🔥 SERIES 3 BMW DVP ✍️Year : 2006 ✍️Capacity : 1990 CC ✍️From Japan Bei 12.8M Njoo na fundi ukague ubebe.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
13
46
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Toyota Ist *Ada January hiii* No......DVB Cc 1290 Mint Condition Low Mileage *Price ml 7,500,000/* *Boss amekwama sana Ada January hiiii* Njoo na mtaalamu wako. 0777293300
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
13
44
@Gibu_Jr
Charles John
2 years
Nissan Patrol Year:-2002 Cc:-2932 Engine:-ZD30 Diesel Well maintained Price:-18M 0653290966
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
4
42
@Gibu_Jr
Charles John
3 years
Uzii, 👇🚘🚘🚘 Overdrive ni nini? Overdrive ni gia katika mfumo wa gari uifanya gari kuwa katika spidi kubwa huku mzunguko wa injini ukiwa mdogo, OD ni gia ya mwisho inayokupa mwendokasi ambayo inakupa mwendo uliotulia, wa kasi lakini kwa mzunguko mdogo wa injini (RPM)
2
11
43