Moyo mzito sana leo, natamani nipate kazi niliyosomea hata kwa kipindi changu kifupi kilicho baki. Ni karibu miaka 20 darasan nimemsliza bado kazi sipati. Nahisi naweza kufa bila kupata kazi๐ญ๐ญ๐ญ maisha ni fumbo kesho yangu siijui
Asante Mungu, sasa nimetimiza miaka 30 nasema asante kwa safar hii umenirinda na kuntunza mengi nimeomba umejbu asante na naomba uendelee kua na mm siku zote na nnapokosea nisamehe ila staomba mume kwako tena ukmleta ntampokea aspokuja jna lako ltukuzwe. Happy birthday to me
Mwaka haukuisha vizuri kwangu na madeni ya Tin no ya biashara, lessen na Kodi ya pango la biashara na nyumba ya kuishi. Vimefanya niishie hivi Sina tumain la kuendelea nawaza kufunga ila nikipata hiyo 500000 ntaendeleza biashara yangu maana sjavuka na deni nililipa yote๐๐๐๐
Sijui umeanza vipi mwaka ila natamani nikusaidie kuuboresha zaidi. Naomba nikupe 500,000/=, nioneshe biashara yako ilipofikia na ungependa kufanya nini zaidi. Mwenye comment yenye most retweets (nahesabu kama ndo kura za wananchi) kabla ya 07:00am Ijumaa, atapata haki yake.
Nimepokea michango inayoingia kwenye AC yangu nashindwa kuposti kwaajili ya heshima za watu ila atakaye niruhisu mi ntapost Asanten sana ๐๐๐๐ Asante sana
Hata sasa bado wewe ni MUNGU wangu. Nashukuru kwakua unaendelea kua na mimi, pamoja na yote uko na mimi siku zote. Asante kwa mwaka mwingine kwangu. Happy birthday to me๐๐๐๐ฝ๐ฝ๐ท๐ท๐น๐น
Sema kuna vingi sana tunaforce, just imagine uko kwenye mahusiano na mtu. Unamwambia naumwa,
hata haulizi unaumwa nini anasema pole. Anakuja kukutafuta baada ya wiki๐๐. Unataka kujua kama nimekufa๐ค๐ค๐ค
Nta retweet na kucoment biashara za humu ila kununua no no nasema no๐ซ๐ซ nimepigwa 55000 na mtu msimu huu, najua unaona hiyo hela inaniuma nikiikumbuka mpaka mwili unauma bas. Hujui tu napata pesa kwa tabu kiasi gani na kwa maumivu yap ila sawa najua ipo sku utalipwa sawa sawa ๐
Tumebaki tusiku sjui tuwili sjui tutatu ifike birthday yangu๐๐ na kitakachopunguzwa kitapunguzwa tu sababu bado hikijapata suruhu. Hatuta kata ๐ naisubili kwa hamu sana๐๐
Habari ya jioni na wengine habari ya ibada kwangu ni nzur, natoa shukrani zangu za dhati Kwa michango yenu Ile hela nimeitoa na na nimenunua vitu. Huu ndio muonekano mpya wa duka langu. Asanten sana ๐๐๐๐
@nyuki_malkia
Shukrani zangu kutoka moyoni kwa watu wangu wa nguvu. Nimepata wateja kutoka humu, wengine wa mchele, wengine mafuta na wengine vyote Mungu awabariki mpate zaidi ili mje tena๐๐๐๐
Najiuliza kwanini watu wengi wakikutana na mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 hajaolewa swali la kwanza hua, Au una wakataaa๐ค๐ค๐ค ivi hua hakuna sababu nyingine ni hii tu
Nikiwa chuo rafiki yangu aliniambia. Usikate tamaa hakuna mtu amewai kusoma akamaliza akazeeka na kufa bila kupata kazi ila sasa, najiona mimi๐คฅ๐คฅ๐คฅ
Ukweli ni kwamba nimechoka hii kazi, 24/7 working mshahara nashindwa hata ku save๐ญ๐ญ๐ญ Mungu lini, nilijua laki ni hela na naweza kutunza ila do hata giza silioni tena kiufupi nataman kuacha kazi ila sjui pa kuanzia
Niko tayari kujitolea sasa. Mkiskia sehem wanahitaji mhasibu niambien ila iwe ndani ya hii mikoa. Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma Rukwa na Katavi๐๐๐
Asante sana Kwa maono Yako. wapo pia walionishika mkono kupita wewe na Kiasi kilichopatikana ni 482,183 kwenye hii pesa nilikua na Senti tu. Waliochangia ni wengi mno naomba unisaidie kushukuru pia kama utaweza.
Mbali na hayo haimaanishi biashara nyingine hazina uhitaji ila hatuwezi kuwawezesha wote kwa wakati mmoja. Nashawishi wengi wenye uwezo hata kidogo tu, wafuate na kuendelea tulipoanza. Tunapowasema sana vijana tuwape na uwezo wa kujirekebisha sasa. Huu ni mwanzo ๐๐๐ฝ
Toka 2008 mpaka Leo hata nikiamshwa saa nane usiku nataja namba yake mwanzo mpaka mwisho bila kukosea๐๐๐ najaribu kufuta imegoma, miaka kumi na kidogo ๐ naifutaje๐๐๐ญ
Mi nilijua hiki kidogo changu mi naye ila kumbe ya starehe mbele, akaenda zake na mpenzi wake dar. Sema ninacho shukuru mpaka hapa hamna hata mia yake. Ntafika tu usjali๐๐๐๐
Maisha, unawai ofisin unaambiwa mhusika hayupo subili, unasubiri toka saa moja masaa matatu mtu haji. Sema nina karoho kadogo sana huyo mtu nikimuona naweza anza kutoa machozi bila kupigwa๐ฎ๐ฎ๐ซ๐ซ๐คฆ
Kuna wakati tujue kuna kutegemeana upo hapo sio kwaajili yako peke yako kuna watu nyuma na mbele yako. Jua kushukuru, kusamehe na kusahau. Nawatakia asubuhi njema๐๐๐
Mi tukiachana nasahau kabisa hata sura yako ila sio kumsahau saul huyu mtt wa mtu huyu mganga aliyemtumia ๐๐๐๐ sjui karibu miaka 10 ila nashindwa๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
@IdrisSultan
Asante sana kupitia hili Kuna watu wamenichangia Toka Jana Kiasi hicho, Ubarikiwe sana ๐๐๐๐๐. Nitapambana kukuza biashara yangu Asante sana
Mwaka haukuisha vizuri kwangu na madeni ya Tin no ya biashara, lessen na Kodi ya pango la biashara na nyumba ya kuishi. Vimefanya niishie hivi Sina tumain la kuendelea nawaza kufunga ila nikipata hiyo 500000 ntaendeleza biashara yangu maana sjavuka na deni nililipa yote๐๐๐๐
Hakuna haja ya kua kwenye mapenzi na mtu ikiwa unapohitaji uwepo wake ye yuko busy, kua single sio raha ila kuna wakati ni bora ili kujipunguzia stress. Asubuhi njema
So sad, ๐ฅ๐ฅ watoto mtaani wanenda kupotea Mungu ingilia kati watoto darasa la tatu hadi sita wako saba wakike 3 wakiume 4 wanaingiriana kibaya zaidi hadi kinyume cha maumbile tunaenda wap jaman jaman na yanafanyika nyumban wazaz wakiwa kutafuta wamejiachia wakijua niko kazin๐ญ๐ญ
Tl madaktari maskio yangu yanauma usiku umekua mgumu sana kwangu, nisaidieni dawa๐ญ๐ญ๐ญ yanakua kama yanaziba naskia kwa mbali arafu ngoma ya sikio inauma๐๐๐๐