@Kirikuu20
@sheddy_memes
Kaka shuda apo chuga wanaamn ujanja wait waendelee kuna mda Serikali hata iwe mbovu kiasi gan mambo mengine haihuski wakizuia kidogo tu lawama kibao, mara mnatunyima Ajira na kaz zetu mnazuia kiufupi apo kuna sauti ilskika Si nlkwambia chal angu" hao jamaa wapo addicted sana