Methali za watu wa wivu...! 😂😂😂
1. Mimi siwezi buy gari na loan,
2. Huyo bwana yake ni mkubwa sana kumliko, ni pesa aliona,
3. Gari ni mabati tu!
4. iPhones are overrated, simu ni simu tu bora inapiga,
5. Siwezi kula food ya fridge,
6. Wako na pesa na hawana amani kwa nyumba.