POT Profile Banner
POT Profile
POT

@zizujo01

3,281
Followers
1,965
Following
371
Media
32,980
Statuses

social! Liverpool fan/ /Simba fan #YNWA Musoma Hood mitumba OG//Electrical and Electronics Engineer//Baba Nigga naeamini katika malengo. #skyFamdrive

Joined December 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@zizujo01
POT
4 months
Wapwa drop handle tuwafollow chapu
Tweet media one
91
32
225
@zizujo01
POT
3 years
Ni neno gani la kumotivate huwa linakupa moyo sanah.? Me Yatapita
29
52
139
@zizujo01
POT
4 months
Wapwa wekeni handle niwafollow chapu
Tweet media one
51
27
147
@zizujo01
POT
15 days
@Ms_Vibee Demu ni msenge Sana. Af jamaa ni msenge square
11
2
136
@zizujo01
POT
3 years
Hivi kibongo bongo ni msanii gani wa trap ni bora mda wote na unamkubali??
15
16
95
@zizujo01
POT
3 years
Hivi huu utaratibu wa kuamka tunasalimiana uliletwa na nan?? Anyway GM mabrooo.
14
20
96
@zizujo01
POT
8 months
Ivi kikawaida kwa siku mwanaume unatakiwa utongoze mademu wangapi? Nisije kuwa navuka limit
22
37
90
@zizujo01
POT
7 months
Kinachotufanya vijana tusiweke akiba Ni 1.Wanawake 2.Hali ya maisha 3. Kubeti 4. Starehe Ongeza zako👇👇
16
36
83
@zizujo01
POT
2 months
Unahitaji mtu mmoja tu ,atakayekuamini kwenye kila kitu unachokifanya✍️
16
46
84
@zizujo01
POT
7 months
Oya wanangu , nyie ikiwezekana Kama bado mnajitafuta pigeni tuu Malaya💔 Ety huyu kashapiga simu asubuhi et Hana hela ya kula🚮🚮
13
29
71
@zizujo01
POT
3 years
Fanya kwa ajili ya familia yakoh. Maana upendo ni kwa familia kwanza GM FAM.🙏
12
18
64
@zizujo01
POT
8 months
Follow for immediately follow back🔥🔥🔥🔥
33
28
63
@zizujo01
POT
3 years
Naishi kwenye kanuni zangu. Usidharau. Ishi kwenye kanuni zako. GM FAM.
7
15
59
@zizujo01
POT
2 months
Mnapotwambia tutafute hela Sana ,msisasahau kutupa na namba za waganga zenu✌️
16
39
68
@zizujo01
POT
8 months
Tunamakovu ambayo hata kupona ni ngumu . Mkituongezeaa mengine mnatukomaza tuu✍️✍️
10
35
65
@zizujo01
POT
8 months
Ivi Kati ya wanawake weusi na weupe wapi ni watamu Sana? Mimi:wanawake weusi Ni watamu Sana Wewe je:
12
34
69
@zizujo01
POT
7 months
Ivi wanawake ni nguo gani ya kiume wanashindwa kuvaaa?? Yani nikiwa nayo hiyo nguo demu wangu hawez kuitamani
17
24
66
@zizujo01
POT
8 months
Mkinifollow tena mimi Sina hiyana ntawafollow back tena wanangu ✊. Mnifikishe 1k nipo active nafb
21
32
63
@zizujo01
POT
8 months
Night gain 🔥🔥🔥iam active ifb in a second💥💥💥
37
27
54
@zizujo01
POT
8 months
Haijalishi Ni mateso mangapi unapitiaa ila amka na Umushukuru Mungu. Maana Kuna wengine wanapitia magumu zaidi yako. Gm fam
25
45
62
@zizujo01
POT
4 months
Hao hao wanaokupa moyo ndio wanataka ufeli. Good morning family
23
26
63
@zizujo01
POT
13 days
Wakuu amkeni tukafanye kazi ambazo hatujazisomea.
12
38
65
@zizujo01
POT
15 days
Wakuu tuamke tukafanye kazi ambazo hatukuzisomea.
12
37
60
@zizujo01
POT
7 months
Kesho yetu ni Bora kuliko Jana Good morning champ
23
39
57
@zizujo01
POT
24 days
Eee mwenyewe Mungu ,tusaidie na Sisi tukipiga simu isiwe kwa ajili ya kuomba msaada bali Salamu tu🙏
10
35
63
@zizujo01
POT
8 months
Wanangu , nimechukuaa namba ya mteja Ni Demu mkali mnipe tactics basi. Nimtongoze ama niache naye
15
13
63
@zizujo01
POT
2 months
Matarajio ya kupata kikubwa,yasikufanye ushindwe kufurahia kidogo ulichokipata Good morning
24
41
59
@zizujo01
POT
7 months
Nataka kuanzisha biashara ya genge embu mnishauri wanangu inalipa?
14
32
57
@zizujo01
POT
7 months
Kumbuka kujinenea Maneno mazuri ,kwasababu ndio baraka zako pia. Mungu uwabariki wenye Maneno mema vinywani mwao🙏
9
41
58
@zizujo01
POT
8 months
I follow back immediately. Massive morning gain let us connect 🔥🔥🔥🔥
19
16
48
@zizujo01
POT
8 months
Tunajitahidi Sana kila wakati japo vitu tuu huwa haviko upande wetu. Ni asubuhi nyingine ya mapambano 💪 Gm fam
11
38
54
@zizujo01
POT
8 months
Massive Gain 🔥🔥🔥 , I follow back immediately
37
18
53
@zizujo01
POT
1 month
Pesa bila furaha ,sio kitu sahihi kabisa katika maisha. Good morning X family
24
37
59
@zizujo01
POT
17 days
Kama hauna hela, jitahidi Sana uwe na furaha ya kutosha ✍️ Good morning X family
29
36
57
@zizujo01
POT
3 years
Nimemiss kuwa mtoto. Yani hizi stress nilikuwa sinah kabisa💔😓 Nyie utoto raha sanah.
2
9
52
@zizujo01
POT
7 months
Valentine ndio hiyo inakuja , vip umeshampata wa kuvaa nae sare sare ? Au ndio tukuache na maisha yako😂😂
13
22
54
@zizujo01
POT
13 days
Glory to God Good morning X family
28
45
54
@zizujo01
POT
7 months
Kwenye mapambano na kujitafuta ,Kuna kufaulu au kufeli. Tukifeli msituone hatufanyi kazi kwa bidii.
14
32
52
@zizujo01
POT
12 days
Wakuu amkeni tukafanye kazi ambazo hatuzisomea.
10
39
54
@zizujo01
POT
3 years
Hivi huyu aliepoteza hela ni nani?? Ndioo anafanya kila siku tutafute 🤔💔💔
2
12
44
@zizujo01
POT
16 days
Bro Future wife wako ,kamuahidi boyfriend wake akitoka church atapita kupigwa miti😁😁💔 Sema wadada wanaosali Sana nao huwa ni 🚮🚮
15
34
52
@zizujo01
POT
8 months
Kuna mstari mdogo Sana unaotenganisha Kati ya ujanja na ulimbukeni. Sema wengi wetu Sisi ni limbukeni sio wajanja
11
26
51
@zizujo01
POT
8 months
Ifb immediately .let us be mutuals 🔥🔥🔥
19
15
45
@zizujo01
POT
8 months
Try me iam here I follow back🔥🔥🔥🔥
11
19
42
@zizujo01
POT
17 days
Post of the day Ukijifunza kuridhika Kuna stress nyingi utaziondoa katika maisha yako.
14
41
52
@zizujo01
POT
8 months
Small account , let us grow together @zizujo01 ifb immediately🔥🔥🔥
26
22
43
@zizujo01
POT
8 months
Uchovu wa siku nzima Nafsi inataka jipongeza. vipi wanangu nyie huwa mnajipongeza na nin Baada ya uchovu wa siku nzima
5
20
49
@zizujo01
POT
8 months
Unayetaka afeli katika mitikasi yake. Akatoboaa utakuja kwake kuomba msaada?
7
23
51
@zizujo01
POT
5 months
Sema mademu weupe jau Sana , Yani wako Kama freezer .
10
21
52
@zizujo01
POT
11 days
Glory to God Good morning X family
22
33
50
@zizujo01
POT
2 months
Kila aliyefanikiwa Kuna mahala aliunguka ,Ila akachagua kusimama tena. Unaweza isiwe Leo,Ila amini kesho ni Bora. Good morning X family
25
28
48
@zizujo01
POT
6 months
Ivi ukikataliwa Mara Ngapi,ndio huwa unaachana na huyo Demu...?
10
29
51
@zizujo01
POT
8 months
Turn on ur notification🔥🔥🔥,ifb in minute
13
23
46
@zizujo01
POT
19 days
Ivi wakuu mna uhakika ni Sahihi kwa mwanaume kunukia?
Tweet media one
19
26
50
@zizujo01
POT
8 months
Yani humu watu mnajimaliza waziwazi😂😂😂. Ivi Ni kweli mnapata wachumba humu🙄🙄.
9
19
46
@zizujo01
POT
8 months
Follow for a follow back🔥🔥🔥🔥
14
13
36
@zizujo01
POT
8 months
Follow for follow back🔥🔥💥💥💥
21
24
44
@zizujo01
POT
5 months
Wapwa handle 10 za mwanzo nazifollow chap
Tweet media one
21
10
49
@zizujo01
POT
3 years
Anyway ngoja nianze kwa salamu Ni kwa uwezo wa bwana 🙏 GM fam.
7
13
44
@zizujo01
POT
8 months
Active now let us connect be mutuals I follow back immeditialy
22
25
41
@zizujo01
POT
5 months
Ivi Kuna ulazima kwa mwanaume kunukia.??
9
26
48
@zizujo01
POT
8 months
Unavoamka asubuhi unakutana na Maneno mazuri ya Heshima, busara na ustaarabu. Unaweza fikiri watu humu hawaongei matusi kabisa😂🙌
10
24
45
@zizujo01
POT
11 days
Wakuu amkeni tukafanye kazi ambazo hatukuzisomea.
13
31
48
@zizujo01
POT
1 month
Mwenyezi Mungu ana sababu zake. Kukupa nafasi ya kuiona siku ya Leo. Amka mshukuru kwa zawadi hii. Nenda kapambane baraka huja tu,ni jambo la muda tu Amkeni kumekucha wakuu.
15
35
48
@zizujo01
POT
2 months
Mafanikio sio bahati ,ni mchakato wa muda mrefu wenye changamoto nyingi. Na ndio maana sio kila mtu anaweza kufanikiwa Kinachotutesa vijana wengi tunataka mafanikio ya haraka hatuna subira Yani unataka uwekeze Leo kesho uone matokeo ya uwekazaji. Tuweni na subira vijana.
14
35
47
@zizujo01
POT
8 months
Kama Leo sio weekend, ni siku ya kufua kwako. Jua bado unasafari ndefu ya kupambana. Good morning champ💪
13
34
47
@zizujo01
POT
1 month
Mitaa ina tactics zake ,hatutafuti pesa kwa elimu ya degree ✌️
9
37
46
@zizujo01
POT
2 months
Wanatuombea mabaya,lakini Mungu anatuepusha nayo Good morning X family.
14
26
45
@zizujo01
POT
23 days
Juhudi sio Nguvu tu, bali hata maombi yenye Imani kubwa kwa Mwenyezi MUNGU. GOOD MORNING X FAMILY
19
36
45
@zizujo01
POT
12 days
Post of the day Ukipata nafasi sehemu Fulani , hakikisha unafanya kwa juhudi ,maarifa na Nguvu zako zote. Maana watu wengi hawajapata hiyo nafasi uliyoipata ,na wengine wana uwezi zaidi yako.
13
34
45
@zizujo01
POT
11 days
Post of the day Jitahidi shida zako ,zisifanye ukatumika vibaya.
13
34
45
@zizujo01
POT
1 month
Asante Mungu kwa siku nyingine Tena. Tunakuomba na Sisi utupe kama wao,wale tunaowapenda tuwafanye wapate furaha. Good morning
Tweet media one
20
25
46
@zizujo01
POT
8 months
Ivi Demu mko Kama age sawa Ila kila ukipita anapenda kusalimiaa hii inashilia Nini wakuu?
8
18
42
@zizujo01
POT
7 months
Jitegemee wewe mwenyewe kuliko unavyowategemea wanadamu wenzioo✍️✍️. Hii itakusaidiaa kuishi na amani Sana.
9
30
43
@zizujo01
POT
5 months
Ivi Kuna porn star mwingine zaidi ya Mia khalifa?
10
25
44
@zizujo01
POT
2 months
Jobless tuamke mapema tutweet af baadae turudi kulala wazee😂😂😂
11
25
45
@zizujo01
POT
8 months
Kuna vitu vingi haviko sawa. Hivi ni sahihi kuendelea kuvumilia? Hii Vita Ni yetu vijana tunatakiwa kuipigana
7
28
43
@zizujo01
POT
6 months
Good morning family
25
32
44
@zizujo01
POT
4 months
Bandugu Mimi kama Engineer , nataka niapply nafasi za Polisi zilizotoka niukatae ujobless. Nataka kuuliza ivi kwenye kigezo Cha Elimu hapo unaajiliwa Kama Askari wa kawaida au officer ? Na je mshahara unakuaje,?
5
13
44
@zizujo01
POT
21 days
Post of the day Ukweli ni mchungu ndio Japo ukiusema unaifanya roho yako iwe na amani✍️
12
37
46
@zizujo01
POT
8 months
Night gain follow for follow back🔥🔥🔥
14
13
38
@zizujo01
POT
3 years
Mimi huwa sipo seriously hivyo kuna mda tuuu huwa najaribu kupima mbinu kama badoh zipo🔞 Asa unanikataa unadhani ntapata makasiriko😁😁
3
8
39
@zizujo01
POT
4 months
Ivi kwanini mjini watu wenye biashara Tena kubwa , huwa hawapendi kuwasadia wale watu huwa wanapita na kuomba msaada. Kwamba kwenye mbaga zao wanakosa hata miatano, ya kuwasaidia wenye huitaji. Huwa najiuliza Sana icho kitu kwanini??
7
10
44
@zizujo01
POT
3 years
Ila Hii nchi. Jibu kama mtu uliyepewa lift kwa gari.
1
7
35
@zizujo01
POT
22 days
Post of the day Bora unione bahiri Leo. Kuliko unicheke kesho nikiwa Sina✌️
9
33
42
@zizujo01
POT
8 months
Good morning X family
21
22
42
@zizujo01
POT
5 months
Follow for follow back
20
20
42
@zizujo01
POT
3 years
Hakuna mademu wanaojiona wamemaliza maisha kama hawa wanaomiliki smart phone aisee. Yani unaweza kuta anatembea kwa mguu af anamdharau bodaboda
1
11
33
@zizujo01
POT
1 month
Kwa ambao hatuna weekend,tukapambane kutafuta kitu ambacho matatizo yake hayaishi. Good morning
17
19
42
@zizujo01
POT
10 days
Glory to God Good morning X family
22
32
42
@zizujo01
POT
8 months
Kama huna mtu Mimi nipo kwa ajili yako🙏
Tweet media one
7
6
39
@zizujo01
POT
7 months
Ivi wahuni mnaweza tongoza demu siku ngapi? Ukiona miyeyusho unampotezeaa .. Maana Kuna huyu demu Ni siku ya pili Ila naona ni miyeyusho. Mimi na abort mission au nakoseaa wanangu?
6
25
40
@zizujo01
POT
8 months
Kuna mzee hapa kijiweni Anainiambia kijana "Uaminifu ndioo Mali yakoh" Maneno yake yameniingiaa sanah✊.
2
11
43