Ironlady❤️🥰🌹 Profile Banner
Ironlady❤️🥰🌹 Profile
Ironlady❤️🥰🌹

@uniquepie2212

48,831
Followers
10,074
Following
816
Media
106,405
Statuses

#Proudlydaughter ,sister&aunt💃. #Rich aunt will come out of me💪 Womanofpriciple&diginity! #proudlyTanzanian ...🇹🇿. “SIMBA ❤️ & CHELSEA 💙 fan”

Arusha, Tanzania
Joined March 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
4 months
Be a woman of value, gusa maisha ya watu. Ili ukiondoka maishani mwao wawe wamepoteza wao na sio wewe umepoteza. Know your value beautiful😊💃
7
13
45
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wakati wa kufanya tendo la ndoa nani huwaga ana-enjoy sana kati ya mwanamke au mwanaume?😳🤔
452
72
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Dalili za mtu mwenye nyege ni zipi wadau?😉
582
96
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hivi wanaume huwaga vidudu vyenu haviumiagi au kuchoka?😳😳
254
43
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kitenge kwa kiingereza kinaitwaje wadau??😳😳
354
40
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Utajuaje kama mwanaume ni bikra??😂😂😎
248
37
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Hawa viumbe wanaoitwa wanaume acha tu tuwaheshimu, imagine anakutunza na kukupa mahitaji yote kama mtoto wake, muda mwingine wanashindwa kula bata ili tu watupe mahitaji yetu. This is what we call “LOVE”. Wanaofanya hivyo Mungu azidi kuwabariki🙏🙏
171
159
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwenzenu nimeachwa😒😒😒 nifanyeje??😳😳😳
601
43
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Tunaganda huku, Niolewe tu kwa kweli😂😂
Tweet media one
181
38
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanaume wote wanaoshabikia Chelsea ni ma-handsome! 😀😎
317
79
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Helloo mume wangu mtarajiwa popote ulipo napenda kukujulisha kuwa mimi ni wife material.... najua kupika, kufua, kuosha vyombo, kufanya usafi na kukuogesha pia. Naomba kuwasilisha 😂🙏🏿🙏🏿
228
30
1K
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kuna mtu nampenda sana ila naogopa kumwambia🙇‍♀️💃nifanye nn ili atambue???❤️❤️❤️
275
32
987
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hivi zile pubic hair zinazoota sehemu za siri zina kazi gani?🤔
143
31
958
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
1 year
Kuna watu walitaka Ally agande kama pazia.. sasa mmajitetea kwasababu ya ubovu wenu😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
119
123
920
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kuna mwanaume humu nampenda sana yani shida ni kwamba naogopa kumwambia❤️😍
176
25
792
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
1 year
Am inlove with Tanzania.. the weather, kind people, peace and beautiful environment.
Tweet media one
71
32
817
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kwanini wanaume mnapenda sana wanawake wenye makalio?? 😀😀 Sisi vimbaombao twende wapi sasa😳
287
35
761
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanaume muache kula chipsi😏
220
17
738
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wadada wa kichaga ni warembo kuliko wadada wa makabila yote hapa Tanzania 😃😃😃! Ukibisha ubishe kwa mifano hai 🤣
195
46
745
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nipeni mbinu ya kumfanya asiniache🤔😀
223
24
714
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwanaume ni kama mtoto kwa mwanamke..🤪😁
158
24
643
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Niliona kama style zote za mapenzi nazijua kumbe bado sana nashangaa kuambiwa lala kama kuku anayetaga😂😂
125
23
640
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Andazi kwa kiingereza linaitwaje wadau!😳😳
178
18
582
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wadau ni biashara gan naweza kufanya itakayoanza na mtaji mdogo jamani??😳😳
138
24
588
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
1 year
Goodmorning..😂😂.
Tweet media one
51
45
617
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kati ya usiku, mchana na asubuhi ni muda gani huwa una-enjoy zaidi ukifanya mapenzi?😎
140
27
568
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nimpate wapi mwanaume wa kunilea😀😀
157
26
519
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mapenzi ya kweli yako wapi??📢📢
182
16
528
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Wanaume wote ni ma-handsome na wamebeba dhamana ya dunia nzima. Tuwaheshimu sana🥰.
65
59
531
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hivi mwanaume anabakwa vipi wadau?😂
91
13
519
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nimechoka leo hata babe wangu akiniomba sitaweza kumpa 😂😂
81
23
513
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanaume mna nini lakini? Tumeshaachana halafu unaniambia tukakumbushiane! Tukakumbushiane nini labda😂😂🚮
89
17
498
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
1 year
Huyu nae, wala sikutegemea😂😂
Tweet media one
@officielsalome
Sally Brown🌷
1 year
So nina challenge kwenu wadada wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo… mtumie msg your best friend muambie “Kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa kwenye mahusiano” halafu tupe mrejesho wa screenshot.
251
173
2K
58
25
505
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Wachaga ni waaminifu sana kwenye mahusiano😳🤔
121
51
487
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hivi wale wanaume wakutuambia baby pole ngoja nifanye taratibu wameishiaga wapi??😁
94
16
473
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Mbona hatuambiani kuna connection ya lecturer huko jamani 😃😃! Sijapenda
40
14
479
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwanaume anayeweza kulala na mwanamke usiku wote bila kufanya chochote huyo ndio ana mapenzi ya kweli…🤔😳! Respect to those kind of men🙋😎
83
25
454
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mapenzi matamu jaman ukimpata wa size yako😍!
76
20
459
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Njia nzuri ya kuondoa stress😣😣ni ipi wadau??
145
15
455
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Usimwonyeshe mwanaume/mwanamke unampenda sana😳😳! Utapata tabu sana yan😂
54
23
450
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nimemwandikia “mambo babe, nimekumic sana sweetheart💞” kanijibu “P”. Mnanishauri nn wadau?😒
152
21
435
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nimeshakomaa hata nikiachwa siumii tena😳😳
77
16
457
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Mwanaume unamdanganya kila mwanamke utamuoa, utaoa wangapi?.🥺🥺
94
21
441
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Uki-sex na mtu usiyempenda unapata raha kama utakayopata kwa mtu unayempenda??🤔🤔.
92
17
439
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Wanaume mjifunze kumwandaa mwanamke kabla ya kuingiza! Kuna miamba inadandia tu utadhani wanadandia daladala 🚮🚮
92
26
432
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Helloo mupenzi, laaziz, bae, boo, honey, sugar, sweet, soulmate, sweetlove! Nakuuliza unakuja kunichukua lini😳😂😂
84
22
411
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Ukitumia mwiko kusongea ugali jifunze kuusafisha, ni marufuku kuulaza na uchafu😎! Code rahisi sana
71
19
416
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanawake tumetoka ubavu wa kushoto wa mwanaume ila tu wakorofi, hivi tungeumbwa ingekuwaje?😳😳
56
12
420
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Naomba jina la kike au la kiume linaloanza na herufi "F".
182
33
423
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nakumbuka day 1 nilivyotolewa bikra nilisema sitataka tena! Leo siamini kama ni mimi nalilia pale tu ninapoachwa😂😂
69
14
407
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Hivi mwanaume unaamka asubuhi huogi kwanini? unakuja kazini unanuka nguvu 😳aisee muwe mnaoga jamaniii😒😂🚮
99
29
406
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwanaume mwenye ana mistari mizuri na anitongoze, mwenye atashinda leo nampatia time. Week end iko na moto sana.
74
11
408
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Daladala zimegoma zote leo sijui kunafikika vipi😳😳
32
17
408
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Kuna nguvu ya ajabu sana kwenye Maombi! Tusiache kuomba.🙏🏿
29
39
400
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kuna mwanaume nam-feel humu yani hadi nahisi kuchanganyikiwa… yupo very humble, gentle, handsome,smart🥰
99
9
397
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nikamnunulia hadi boxer lakini wapi 🚮🚮
65
15
394
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kipi kinajenga mahusiano kati ya uongo na ukweli??🤔🤔
119
16
383
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Angalia sana mambo unayoyavumilia, uvumilivu wako ndio unawafundisha watu namna ya kuku-treat. Uvumilivu uwe wa kiasi na upole kiasi✍️✍️✍️
55
97
388
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
1 year
Nijitoe tu out maana hakuna mwaliko wa Eid😂😂.
Tweet media one
66
28
387
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Nimeota nimenunuliwa iPhone 13 pro.. kwani huko inasoma Twitter for what jamanii?😃😃
64
19
375
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Kwanini wazungu hawavutii? Hata watembee na boxer hawavutii yan😎
44
13
365
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.... yan hakuna mwanaume anayemwona mwanamke ni mbaya akiwa amevua nguo😂😂
62
14
367
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Mida ya kuzurura sasa baada ya church hours🥰🥰. Umevaa nini leo miguuni😳
Tweet media one
73
22
358
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Lazima tuwaombe wanaume hela ili wazitafute kwa bidii 😀😀
55
25
361
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwendo nimeumaliza kwa kweli💔💔toka jana hata msg hakuna😏😏
53
15
352
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
1 year
Sasa Bandari inahusikaje hapa?😂😂😂
Tweet media one
47
26
390
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Wanaume, Wanaume, Wanaume. Nimewaita mara tatu😳🥺😎
90
20
358
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
My future super handsome man, my darling, lovie dovie❤️❤️! Sweetlove, honey. Uko wapi? Am just waiting for you babaa😍😍. Nakupenda 😂😂😂
56
24
350
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Penzi jipya raha sana jamani , yaani mimi ni wa kuulizwa kama nikitembea naumia nyayo kweli??😀😀😂😂🙌
39
11
345
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Handsome boy halafu ni shabiki wa Yanga🚮🚮
63
20
312
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Natafuta kazi za ndani😂😂.
Tweet media one
135
26
343
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Kabila gani lina wanaume wenye hofu ya Mungu na waaminifu?😳😳
137
27
335
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Naomba niwafahamishe kwamba mimi ni mchaga halisi😂😂.
78
12
329
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Wanaume wafupi wauwawe😅😅
92
27
344
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hivi wanaume mnavyosemaga mnatumiliki!! Are we property??😳😳
71
8
314
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Men are difficult creatures to understand😏
43
16
298
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Usipende kumsaidia mtu kila siku kwa kumpa fedha tu, tujifunze kutoa msaada wa mawazo na kazi pia😎🤔
32
22
309
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Nani alikufundisha mapenzi??👇👇
76
16
311
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwanaume handsome, akili huna wa nini sasa?🚮
79
22
308
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Huyu jamaa tumjengee sanamu wapi? Katuheshimisha sana😂😂
39
36
329
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Long distance relationships ni ngumu sana lakini Mungu akiingilia kati ni rahisi mnooo. Matumaini yanakuwepo kila iitwapo leo😍
34
39
318
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hata kama mna ugwadu jamani ndio mmalizane kwenye vyoo vya bar c msubiri tu mtoke mkamalizane🚮🚮..
55
10
299
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Wewe paka wa madoadoa unayejifanya mrembo sana na kunifuata DM eti am dating your man. Who do you think you are? am not dating anyone in here and if i am its none of your fuck*n business. Soon nitakuumbua wewe mrembo kikojozi🚮🚮. Engaging to someone tweets sio kudate nae jifunze
83
23
303
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanaume warefu🥰😘❤️
70
11
299
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Ukishajitambua WEWE ni nani, Kazi za Mikono yako Zitafanikiwa. Good morning fam…🌹
44
37
310
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Maombi ni silaha. Omba sana hiyo ndio silaha yako ya kumshinda adui💪
30
49
308
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
UTII wako, KUJITOA Kwako, UAMINIFU wako utakufanya uwe wa Thamani na kukupelekea kuwa MTU WA THAMANI Good morning fam..🌹
57
50
303
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Upo tayari kumsamehe mpenzi wako unapomfumania?🤔
78
11
297
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanaume mna roho za kipekee sana! Mtu humjui ndio umekutana nae ukubwani but uko willing kumsaidia na kumuhudumia hata kama hana kipato chochote unamtimizia mahitaji yake yote!❤️😍
40
23
294
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Amkeni! Amkeni! Amkeni tukapambane.... Good morning fam..💪😌
50
17
286
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mwanamke wa shoka! Una maono mama🙌🙌
Tweet media one
25
17
294
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Nataka ni-date na mwanaume ambaye yupo so romantic kama Rotimi 😍❤️😄
77
15
284
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Mfanye mpenzi wako awe rafiki yako! Utanishukuru baadae😀
41
24
289
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Wanaume ma-handsome 🚮🚮! Hamuwezi kutulia yan mnahangaika kama mibata..😏😏
65
17
284
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Nimemiss kukumbatiwa na kuambiwa napendwa😅🙇🙇‍♀️
57
15
282
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Jaman msiogopeshwe na jina mimi ni binti poa sana..😂! Kuna watu wananiambia nina character za kiume! Hell no, am just a woman..! Wanaonifahamu they can prove that😂😂
57
14
270
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Mwanaume anashindwa kukununulia hata sabuni ya kuogea wa nini sasa?🚮😃
79
15
284
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Hello mume wangu! My soulmate! My babe! My honeylove! My sweetheart! My everything that is sweet in this world..! Nakusubiri jamani kwani bado haujazaliwa tu?😂😂
62
7
273
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Sio kwa akili wala nguvu zetu bali ni kwa neema tu🙏. Good morning fam....🌹🥰
69
70
287
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
2 years
Unadate na mwanaume yeye ni kure-tweet tu picha za wanawake wenye makalio makubwa halafu unasema una mpenzi? 😂
60
28
271
@uniquepie2212
Ironlady❤️🥰🌹
3 years
Jasho la mwanaume halinuki huwa linanukia labda awe hana hela😂
46
20
264