THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile Banner
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@thinkbig2025

7,018
Followers
5,011
Following
19,540
Media
31,248
Statuses

Blogger

Czech Republic
Joined March 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Tweet media one
4
5
18
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
UTEUZI SABAYA ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Tweet media one
168
60
2K
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
UTEUZI Eng. Hersi ateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko PDF kwenye comments
Tweet media one
96
42
2K
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Roma kakosa kitu kimoja muhimu kwenye sanaa yake; UBUNIFU! Miaka nenda rudi habadiliki, uimbaji uleule wa mipasho anachofanya kuunganisha story kwa vina tu hamna kingine, bila matukio ya kisiasa ataandika nini sasa?
Tweet media one
670
61
1K
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Huku Makonda, kule Gambo. Lema ataweza kweli kurudi mjengoni 2025?
Tweet media one
Tweet media two
72
19
1K
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
MWENEZI LENGAI OLE SABAYA Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa
Tweet media one
49
27
1K
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
ZITTO: NITAGOMBEA URAIS 2030 "Nitagombea uRais 2030, kwa heshima aliyotupa Rais Samia,ACT tumeamua kumlipa heshima hiyohiyo kwa kutosimamisha Mgombea Urais 2025. shabaha yetu ni kuongoza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kupata Wabunge wengi ambao hawatasusia Bunge la Katiba"
Tweet media one
144
37
858
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
ZITTO: LEMA ALIKUBALI OFA YA BALOZI "Baada ya Uchaguzi 2020, Wanasiasa kadhaa tulifuatwa na ofisi kama 3 za Balozi kutushawishi tukubali kuwa Wakimbizi wa kisiasa katika mataifa yao, watatugharamia kila kitu, Mimi nilikataa, Lema alikubali ofa, akalipwa, akaenda Canada" - Zitto
Tweet media one
Tweet media two
132
34
829
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Hivi Lissu na huu Mkitambi wake anaweza kupiga show kweli? Mwanaume unanenepaje kama gunia?
Tweet media one
464
19
794
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
HUYU NDIO BASHE NINAYEMJUA Waziri Bashe ameelekeza wamarekani waambiwe badala ya kutupa msaada wa mchele, watupe hizo hela, tununue mchele wenyewe na virutubisho tuweke wenyewe. Bashe ni miongoni mwa mawaziri bora kabisa kuwahi kutokea. Amenyooka na hajawahi kuyumbishwa.
Tweet media one
137
46
776
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
LISSU: BELGIUM IS MY SECOND HOME "Nimerudi tena Tanzania, lakini Kuniuliza suala la kurudi Ubelgiji au kubaki Tanzania ni kupoteza muda, Belgium is my second home, I have been there for years siwezi kuacha kwenda kukiwa na sababu ya kwenda. Niisiingiliwe kwenye mambo binafsi"
Tweet media one
45
40
739
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
MAYAI HAYAJAWAHI KUJENGA GHOROFA POPOTE DUNIANI Boniface Jackob kaamua kupita njia ileile ya Mbowe, Like father like soon. Lakini hajatuambia hela katoa wapi? Ni michango ya Join the Chain kama Mbowe au ni MAYAI au madawa ya kulevya? Mayai hayawezi kujenga ghorofa kama hili.
Tweet media one
Tweet media two
291
25
700
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
ZITTO: TUNASHANGAZWA NA KASI YA WENZETU KWENYE MARIDHIANO "Juzi nimeona kuna Chama kimemualika Mhe. Rais kwenye shughuli yao, tungefanya sisi wangesema ACT ni CCM B, Lakini sisi tumewapuuza, hatutawaita CCM B wala CCM C, lakini tunashangazwa na kasi yao kwenye maridhiano"
Tweet media one
Tweet media two
114
20
681
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
"Ni kweli wanangu ni waMarekani but that has nothing to do with me kuwa na nia ya kugombea urais 2025, atakayegombea ni mimi, sio wao, unanielewa vizuri? Ni kwasababu nchi yetu bado ina wajinga wengi, watoto kuwa Raia wa Marekani na mimi kugombea vinahusianaje?" - Tundu Lissu
Tweet media one
84
38
569
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Mnaotaka kupiga picha za ukumbusho na Neymar Kesho yupo Gran Melia - Arusha kwanzia saa 4 asubuhi
Tweet media one
7
11
561
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
UWANJA WA MKAPA UITWE SAMIA STADIUM Kuita Uwanja wa Arusha ambao utaingiza watu 30 elfu uwanja wa Samia ni kumkosea Heshima Rais Samia kwa mapinduzi anayofanya kwenye michezo. Simba na Yanga kwenye robo fainali CAF, Kuhost AFCON 2027 sio mambo madogo Tuubatize Uwanja wa Lupaso
Tweet media one
337
21
547
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
KWANINI UWANJA WA MKAPA UITWE SAMIA STADIUM? Mama ameukarabati kwa zaidi ya bilioni 30 uwe kama Wembley Mama kaleta AFCON 2027 (Pamoja Bid) Hamasa ya goli la Mama kuzikifisha Simba na Yanga robo fainali CAFCL Anatajwa kuwa Rais Mpenda michezo kuliko wote Afrika kwa sasa
Tweet media one
Tweet media two
325
23
528
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
LET'S BE HONEST Kama kweli MAYAI yanaweza kujenga ghorofa, kitunda (Dar es Salaam) na Singida kungekuwa na maghorofa mangapi hadi sasa?
Tweet media one
Tweet media two
152
25
530
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Una lipi la kumwambia Comrade Paul Kagame kuelekea 2024?
Tweet media one
54
11
525
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mbowe aache kutumia Ruzuku vibaya, sio jambo baya lakini Ruzuku wanazopewa ni Kodi zetu, tuna haki ya kujua malengo ya kila matumizi
Tweet media one
97
19
496
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
SERIKALI ISIINGILIE MAMBO YA FARAGHA (USHOGA) "Naiomba Serikali isiingilie mambo ya mapenzi ya jinsia moja na wale wenye utamaduni huo (ushoga) waachwe waendelee na utamaduni wao. Kwanini umfunge mtu kwa kufanya starehe yake ambayo wewe ndio unahisi ni dhambi?" - Tundu Lissu
Tweet media one
243
29
434
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Huyu Sheikh ndio kiongozi wangu bora wa dini 2023 ๐Ÿ™Œ
40
156
401
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mnakubali ushoga mnakataa uwekezaji wa bandari? Lusekelo anaendelea kuuliza maswali magumu ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
152
47
398
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ“Œ KUHUSU LGBT, BAWACHA NI WAZAZI "Mhe Rais BAWACHA ni wazazi, tunaumia kuona watu wanajihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja (LGBT) wanavyokosa haki zao za msingi hapa nchini, ni watoto wetu, sisi sote ni binadamu, Haya mambo yanahitaji jicho lako.. Wasibughuziwe" - Catherine Ruge
Tweet media one
145
26
396
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
TUSIWAKOSEE HESHIMA WABUNGE, MILIONI 13 NI NDOGO Walimu wengi (99%) ni wanafunzi waliofeli kidato cha 4 kwa kupata Div four au Zero Wabunge ni watu waliojitafuta kwa mbinu nyingi na gharama kubwa ili kuwa Wabunge Kuwafananisha wabunge na Walimu ni kulikosea heshima Bunge.
Tweet media one
Tweet media two
264
15
361
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
MBOWE: TUNAJIPANGA KUWASAMEHE COVID 19 "Tumekubaliana na Mhe. Rais Dkt @SuluhuSamia tuendeleze maridhiano yetu, wakati na sisi tukijipanga kuwasemehe wabunge wetu 19 kama sehemu ya maridhiano ndani ya chama ili tupate mabadiliko stahiki na tusonge mbele pamoja" @freemanmbowetz
Tweet media one
Tweet media two
80
40
350
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mhe. Rais wa @Tanfootball ikikupendeza msimu ujao kanuni zibadilike wachezaji wa kigeni kwenye vilabu vyetu wasizidi watatu, hii mechi ya Yanga na Mazembe ni kama tunaangalia Ligi Kuu ya Congo. Wamejazana wakongo tu mechi imekosa ladha
Tweet media one
74
21
351
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
WHAT GOES AROUND COMES AROUND Mnaonaje Makala akianzia Arusha? Akasikilize kero za Wananchi then amuite RC Makonda kutoa majibu? Mwendo ni uleule Chama kutoa maagizo kwa Serikali kupitia Mwenezi Binafsi natamani sana kumsikia Makonda akiwa upande wa kutoa majibu ๐Ÿ˜„
Tweet media one
Tweet media two
48
22
344
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ“Œ BILA ZITTO KABWE, HAKUNA KATIBA MPYA "Huyu Zitto wanayemtukana leo, ndio shujaa wao kuelekea 2025, Mbowe kutoka jela alihusika, Maridhiano yaliyowapa Ruzuku CHADEMA amehusika, Hata hii Katiba Mpya bila busara za Zitto hawataipata, wataikwamisha wenyewe tena" - Baba Levo
Tweet media one
83
25
336
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
TANESCO YAPOTEZA JEMBE Maharage ni smart kuliko robo tatu ya Watanzania wote, ni jembe haswa na amefanya makubwa sana pale TANESCO, Tatizo lake kubwa ni moja tu, aliamini sana facts kwenye Taifa ambalo propaganda zina nguvu kuliko neno la Mungu Kila la Kheri TTCL. Mmepata mtu.
Tweet media one
132
19
328
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Waliotajwa na CAG matumbo joto sasa hivi, wabunge wa CCM wamechachamaa sana leo Bungeni. Hadi Spika amelazimika kuwaomba wawe watulivu, Ripoti ikiwasilishwa Bungeni hakuna kufunika kombe mwaka huu.. Ahsante Mama Samia
Tweet media one
38
11
313
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Ni sahihi kwa wanaume kupiga picha za mapozi haya?
Tweet media one
88
9
304
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ“Œ CHADEMA NI CHAMA RAFIKI "Kama unaweza kualika mgeni rasmi ambae ni Mwnykt wa Chama unachoshindana nacho kwenye shughuli ya chama chako, Chama chako sio chama cha upinzani ni chama rafiki. Hili la Kambaya kukimbilia huko, tulilitegemea, wenzetu wana hela" - Prof Lipumba
Tweet media one
56
19
311
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Wanaomshambulia Waziri Ummy hawana AKILI. I'm sorry to say this. UMMY na NHIF wamesimama upande wa wananchi, Wanaharakati na Wajinga wa X wamesimama upande wa Wafanyabiashara? Uliwahi kuona wapi? Sijawahi kuona popote duniani wananchi wakitetea Interests za wafanyabiashara.
Tweet media one
184
39
299
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Asingesitisha maandamano kesho angelala Lock up huyu Babu, amecheza karata zake vizuri
Tweet media one
57
10
286
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
MWENEZI MPYA WA CCM Kaeni kitaalam, anzeni kujiweka karibu na hawa wawili, lolote linaweza kutokea 1. Humprey Polepole 2. Lengai Ole Sabaya Viatu vya Makonda vitamtosha nani hapa?
Tweet media one
Tweet media two
59
8
269
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ“Œ BILA UKAWA MPYA 2025 WATAPATA MBUNGE MMOJA TENA "Bila kuwa na UKAWA mpya kuelekea 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM hawana utani kwenye Uchaguzi" - Profesa Ibrahim Lipumba, Machi 09, 2023
Tweet media one
65
22
253
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Pope Kapiga Msalaba wa Upinde hapa. Bado mnaamini Dini hazitatumika kuhalalisha Ushoga?
Tweet media one
58
14
246
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Tuiombee Afrika Mashariki isije kupata Mwanasiasa wa Upinzani wa hovyo kama huyu babu
Tweet media one
92
10
238
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Wimbo wa Roma ukiusikiliza kwa mbali unaweza kuhisi ni zile nyimbo zake za zamani, Jamaa sio mbunifu, ndo maana anajificha kwenye kichaka cha siasa, anajua akiimba mambo ya kina Ben Saa nane atasepa na kijiji, kwanza anarap kama anaongea haraka haraka juu ya beat; Mediocre..
Tweet media one
139
10
223
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Hapa vipi wazee? Anatosha? Au tuendelee kusubiri?
Tweet media one
21
14
226
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Orodha ya awali ya wanaotuhumiwa kumzushia Kifo Mhe. Mpango 1. Boniface Jackob 2. Martin Maranja Masese 3. Godbless Lema (Tanzania Abroad 4. Kumbusho Dawson 5. Tundu Antipass Lissu Repost imfike Waziri Nape, hawa jamaa waswekwe Rumande iwe mfano kwa wengine
Tweet media one
Tweet media two
113
32
220
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
UTEUZI Balozi Humphrey Polepole ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Taarifa zaidi kwenye comments
Tweet media one
22
6
198
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Kwa nilichokiona Arusha leo, Gambo aanze kutafuta fundi mzuri wa kumshonea shuti ya uapisho Dodoma 2025, njia yake ya kurudi Dodoma ni nyeupe sana Lema hakubaliki Arusha hata kidogo. Leo ndio tumejua ukweli.
Tweet media one
70
16
196
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Simba inalaumiwa kwa kuingia Kinyonge hatua ya Makundi kwasababu imezoeleka tunaingiaga kibabe sana na hilo hata wao wanakiri Tungekuwa hatujawahi kuingia kama watani sasa hivi tungekuwa tunapongezwa,suala la tumeingiaje lisingekuwa mjadala Hizo ndio gharama za kuwa TIMU KUBWA!
Tweet media one
25
28
200
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
CCM imepoteza karata ya ushindi kirahisi sana, UFIPA njia nyeupe 2025 ๐Ÿซฃ
Tweet media one
25
9
193
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
TUNATAKA HATI YA INAYOTAJWA KUWA OFISI MPYA ZA CHADEMA Hii sio OFISI ni nyumba ya Mwenyekiti wa Maokoto iliyokosa mpangaji, wameibadilishia matumizi Kama wanabisha, watuonyeshe Hati...
Tweet media one
76
13
189
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
"Adhabu ya kunyongwa bado ni ndogo sana kwa mashoga" - Museven
Tweet media one
23
14
182
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Wataalam wa ITIFAKI hii imekaaje? Aliyestahili kusimama pembeni ya JPM enzi hizo ni Mama (Makamu wa Rais) au Gambo? Tuelimishane kidogo
Tweet media one
19
5
185
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Lissu afungwa kamba Ubelgiji kutokana na tatizo la Afya ya akili
Tweet media one
82
18
187
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Supreme leader amekula nchi sana
Tweet media one
55
11
184
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
LISSU HAKUPASWA KUMCHANGIA PROFESA JAY MIL 2 Tumbotumbo alipopata majanga alichangiwa kuliko binadamu yoyote hapa Tanzania, Juzi tu katoka Ubelgiji kuwekwa sawa kichwa karudi na Dollar za kutosha Hivi ni sawa yeye kuchangia Mil 2 kwa Profesa Jay? Mbona sisi tulimchangia sana?
Tweet media one
134
10
184
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
LISSU KUKAA JELA HADI 2026 Wataalam wanasema makosa aliyofanya jana na juzi huko Ngorongoro yanaweza kumuweka jela hadi 2026 baada ya Uchaguzi Mkuu
Tweet media one
100
16
185
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ“Œ TUKIINGIA IKULU 2025 TUTAPIGA MARUFUKU VIKOBA NA BODABODA "Hili lieleweke vizuri, huu sio msimamo wa Lema ni msimamo wa CHADEMA, tutakapoingia Ikulu 2025 jambo la kwanza tutapiga marufuku Bodaboda, VICOBA na hii michezo ya kubahatisha, wanaita Beting" - MBOWE #CHADEMAPress
Tweet media one
69
13
177
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Yatasemwa mengi lakini Makonda ni giant kabisa kwenye siasa za bongo ๐Ÿ™Œ
Tweet media one
35
12
176
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Tutarajie Mkeka wa Mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri wiki ijayo Makonda sio kichaa wa kutoa tuhuma nzito vile hadharani bila ushahidi Ameshatangaza rasmi kwamba atakuwa na Press J3, hopefully itakuwa ya moto sana.
Tweet media one
7
13
175
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Wadudu wa Arusha wampa Makonda jina la ajabu Hawajui alishataja list ya wauza unga hadharani? Hizi bangi wanazovuta hadharani wataziacha tu Video kwenye comment
Tweet media one
31
8
168
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Mbowe kakuta maisha kwenye FRIJI lakini kashindwa kuendelea biashara za Mzee Aikaeli kaishia kuwa mtoto wa mjini, inahuzunisha sana kila siku tunasikia malalamiko ya watu waliopigwa na Mwamba. Too Bad ๐Ÿ˜ข
Tweet media one
81
9
168
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
1. Mufti alitoka Public kueleza Msimamo wa waislamu Tz dhidi ya Ushoga 2. Sheikh Rusaganya (Papai, Nyie Machoko) daily anakemea 3. Mwanza na Arusha waislamu waliandamana kupinga 4. Aliyekuwa Sheikh Mkuu DSM amesema tuanze kuwasakama Mabasha WAKRISTO MKO WAPI? MSIMAMO WENU NI NN?
74
45
162
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Lema atapita wapi 2025 pale Arusha mjini? Nadhani ni busara akaanza kutafuta kibarua cha kufanya au arudi kwake Canada lakini suala la kuwa mbunge Arusha asahau, labda akawe Mbunge wa malaika Mbinguni lakini hapa Duniani hana chake tena. Siasa ni Sayansi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
89
8
156
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mzee wa Upako kawaita Maaskofu wenu "wale Jamaa 32" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Maaskofu walijisahau kidogo wakajua ni Untouchable, sasa watu wanapita nao jumla jumla Kila mtu anajipigia anapoweza.. IWE FUNDISHO kwamba watanzania utawachezea kwenye kila kitu lakini USIWAGAWE kidini, watakumaliza
151
40
157
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
HUYU NDIO MLITAKA AWE RAIS? Mtu muongo, mzushi, mjinga na mgonjwa wa akili kama Lissu ni wa kupuuzwa tu Mnaomuamini huyu mtu mnastahili kupimwa mkojo, kuna kitu hakiko sawa kwenu
Tweet media one
151
15
147
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
ORODHA INATOKA KESHO Statement ya Makonda bila kuangalia kama aliitoa kimakosa au alikuwa sahihi imeasaidia sana kuchemsha nchi na kesho j3 anakuja na orodha ya wahuni
Tweet media one
25
13
147
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Tuna wachambuzi wa ajabu sana
Tweet media one
31
6
142
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
๐Ÿ“Œ COVID - 19 KUSAMEHEWA Lema na kina Halima Mdee hawajakutana bahati mbaya huko moshi, ni sehemu ya mpango wa kuwasamehe COVID 19. Wanatengeneza mazingira ya kutumia viongozi wa Dini, ili baadae ionekane viongozi wa Dini ndio wameomba wasamehewe. Tunawajua CDM kama Tumewazaa ๐Ÿคฃ
Tweet media one
57
10
139
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
NEYMAR YUPO KWENYE ARDHI YA PROFESA SSH Hizi ndio sababu za kuona PhD ya Heshima haitoshi, Mama apewe uProf Amesimamia na kutangaza utalii kwa nguvu zote na haya ndio matunda Star mkubwa wa mpira Dunia ameweka post location inasoma Chuga Tanzania Tuliwahi hata kuota atakuja?
Tweet media one
91
16
135
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Lema sahau kurudi Bungeni, tuko na wewe bega kwa bega hadi 2025, matusi yako kwa bodaboda na kina mama wa vicoba, tutayaweka kwenye Flash Arusha nzima wayasikie, yaan itakuwa kama wale wanaotembeza Sumu za Panya, lazima kila mpiga kura ajue ulisema nn, hayataishia mitandaoni haya
Tweet media one
110
7
136
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Mnaonaje Jenerali Sabaya akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam? Kwangu ni BIG YES!
Tweet media one
36
10
129
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
DKT. SLAA: NIMEPOKEA MWALIKO KWA KUCHELEWA "Ni kweli nimepokea mwaliko, japo taarifa imechelewa lakini nitajitahidi kufika, ni jambo zuri kumwalika Mhe. Rais katika tukio la upinzani, kama bado ningekuwa CHADEMA isingewezekana. Kweli zama zimebadilika" - Dkt. Slaa
Tweet media one
11
10
134
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
IAN KAGAME KUWA RAIS WA RWANDA? Rwanda inafanya uchaguzi kila baada ya miaka 7 Baada Kagame kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Julai 2024 amenukuliwa akisema Rais ajae wa Rwanda awe na miaka kwanzia 30 IAN KAGAME mwaka 2031 Rwanda itakapofanya uchaguzi mwingine atakuwa na miaka 37
Tweet media one
7
8
134
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Hili suala la Daraja tumekamilisha tayari kwa 100% na daraja hili ni Bure kabisa, kuna njia za Baiskeli, miguu, Pikipiki na hata magari. Rais asibughudhiwe. Mama anafocus vitu vingine hivi sasa. #Sisitumekubali
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
8
127
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
TUFICHE USHAMBA WETU KWA KUJIELIMISHA KIDOGO JUU YA UTALII WA KUWINDA Nimeona video clip moja ikisambaa mitandaoni ikimuonyesha Raia mmoja wa kizungu akifurahia kuua Mamba Wengi wameitafsiri clip hiyo tofauti na uhalisia wake, kuweka rekodi sawa, katika clip hiyo Mamba yule
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
51
15
131
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Unasimama na nani hapa?
Tweet media one
Tweet media two
15
3
131
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Naskia kijana bado kukabidhiwa kadi tu.. Chezea asali wewe ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tweet media one
18
7
130
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
BALOZI POLEPOLE ANATOSHA? Kwa mfano Balozi Humprey Polepole akateuliwa kuwa Mbunge unadhani atafaa kuwa Waziri wa wizara ipi? #ThinkBig2025 #TuzungumzeViongozi
Tweet media one
53
14
126
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kwanini umaarufu na ushawishi wa Viongozi wa Jumuiya (Mabaraza, Ngome) za vijana za Vyama vya siasa nchini unapungua kila siku? Enzi za kina Heche, Nchimbi haikuwa hivi...
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
40
5
124
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
๐Ÿ“Œ VIONGOZI WA KISASA TANZANIA WENYE WATOTO WENYE URAIA WA NCHI NYINGINE 1. MBOWE - Watoto Raia wa MAREKANI 2. LEMA - Watoto Raia wa CANADA 3. LISSU - Watoto Raia wa MAREKANI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
57
17
124
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
NCHI INAENDESHWA NA AKILI KUBWA ALLY MAYAI kasema Kwa Tz AFCON 2027 itachezwa mikoa mitatu, Dar, Arusha na Zanzibar Mnajua kwann? Zanzibar na Arusha ni vitovu vya Utalii, Dar ni uso wa Tz Maana yake ni kwamba tutaitumia AFCON Kutangaza uzuri wa nchi yetu bila gharama kubwa
Tweet media one
29
19
123
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
MZUNGU WA KUTENGENEZA MIGOGORO ATUA CHADEMA Huyu mzungu anaitwa Amelia, ni bingwa wa kutetengeneza migogoro kwenye nchi mbalimbali za afrika Huyu aliwahi kushawishi mtu kujichoma moto na Petroli ili wananchi wapate hasira ya kutoa uongozi madarakani. Huyu Mzungu ni tatizo sana
Tweet media one
99
19
122
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
BRAIN ya kweli ya upinzani wa Tanzania ni huyu Mwamba hapa, wengine ni wanaharakati sio viongozi
Tweet media one
71
21
119
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kuna jamaa anasema hapa 2030 Polepole anaweza kuchukua fomu ya kugombea Urais. Nimeshtuka sana kwa kweli, hadi muda huu bado siko sawa
Tweet media one
31
5
118
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Lema hizi msg za vitisho unazonitumia haziondoi ukweli kwamba ulitukana bodaboda na kina mama wa VICOBA, unapoteza muda wako tu, mapema sana 2024 tutaweka kambi Arusha mjini kuhakikisha huendi Dodoma 2025, jipange. Nakuhakikishia Moto utakuwa mkali sana
Tweet media one
88
7
122
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Baada Mbowe kukosa Ubunge 2020 alitoa maelekezo maalumu kwa vijana wake kumchafua sabaya kwa tuhuma za uongo, Mungu si athumani, Mahakama zimetenda haki, leo hii Sabaya yuko uraiani anaendelea kushona mashati ya kijani na njano kama yote ๐Ÿ˜„
Tweet media one
39
8
117
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mkimaliza hili la Ofisi, Anzeni mchakato wa kumstaafisha Mbowe kwa lazima..
Tweet media one
50
11
116
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Asilimia 90 ya vijana wanaofanya siasa Tanzania iwe Chama Tawala au Upinzani waliingia kwenye siasa kwa kuvutiwa na @zittokabwe Kimsingi huyu ndio mastermind wa Siasa za Upinzani nchini, wenzake wa UFIPA wanachoweza ni vurugu tu, bila vurugu wanakosa Agenda
Tweet media one
82
24
121
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
PAULINE GEKUL ni product ya Mbowe, hata angeua hakuna cha kushangaza. Mwanafunzi wa mtu katili na mwizi kama Mbowe hawezi kuwa na tabia za kiungwana kama za wanaCCM. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, Mbowe amemlea hivyo.
Tweet media one
66
14
111
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
BARAZA LA MAWAZIRI Kama kukitokea Mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kwa sasa, unatamani Waziri yupi atoke na yupi aingie? Eleza kwanini
Tweet media one
51
7
115
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
UCHAMBUZI WA KINA KUHUSU SARAFU YA AFRIKA MASHARIKI 1. Kwanini imeitwa SHEAFRA? 2. Itaanza kutumika lini? 3. Binadamu wa kwanza kulipwa sarafu hiyo atakuwa nani? 4. Itapatikanaje kwenye nchi wanachama? Mnakumbuka Sh 5, 10, 20, 50, 100 na 200 za miaka ya 1990? [Uzi โฌ‡๏ธ ]
Tweet media one
25
22
113
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
AWAMU HII MANGE KIMAMBI HATOKI, WAZEE WAMEINGIA KAZINI Chifu hatari zaidi Duniani kutoka Tanzania aanza dua maalumu ya kumlaani Mange Kimambi kwa kukosa heshima na utu kwa watu mbalimbali nchini Parapanda italia very soon. Mange na matiti yake kama malapa ameyatimba.
Tweet media one
Tweet media two
71
13
116
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Tulia limejua kumyoosha Mbowe na genge lake ๐Ÿ˜„
Tweet media one
Tweet media two
52
12
115
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
TUBADILI DINI? Hapa Tz mambo ya LGBT yanakemewa zaidi na viongozi wa kiislamu, Mufti alitoka public kukemea huku viongozi wengine wakipinga hadi kwa maandamano. Viongozi wa Kikristo wako kimya kwasababu pengine kuna mpango wa dini ya kikristo kutumika kuhalalisha kama hivi ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
71
15
110
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
JAMES MBATIA: MSAMEHENI DKT. SLAA "Dkt Slaa amekiri kukosea nawaomba watanzania mumsamehe, huyu ni mzee wetu, umri nao umesogea sogea kuna kujisahau kidogo, lakini niwashukuru Jeshi la Polisi Dar es Salaam kwa ushirikiano na huko Mbeya pia tuna imani wakina mdude watatoka leo"
Tweet media one
31
12
110
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Mtoto wa Nabii Geor Davie wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Arusha afariki Dunia... Hii imekaaje wataalam, Mtoto wa Nabi kuwa mwongozaji wa Nyimbo za kidunia??
Tweet media one
36
7
109
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Ulikuwa msimamo na mawazo binafsi ya Ndumbaro, Serikali haukuhusika kwa lolote
Tweet media one
55
13
104
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Nimesikitika sana kumuona BOB WANGWE kwenye hili kundi la Mawakili Wasaka tonge, ni kijana aliyetulia sana, niliamini amejiposition CHADEMA ili apate chance ya kum-BUTUA Mbowe vizuri kwa alichomfanyia Baba yake. Kumbe na yeye ni HAMNAZO tu kama Mdude. Amekuwa kijana wa hovyo sana
Tweet media one
70
7
107
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
UCHAGUZI WA RAIS 2030 ๐Ÿ”ฅ Siku 2555 kwanzia leo Februari 25, 2024 mmoja kati ya hawa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kura yako utampa nani 2030? Kama amesahaulika tuwekee jina na picha yake kwenye comment #ThinkBig2015 #TuzungumzeViongozi 1.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
10
106
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
MAPOKEZI YA MAKONDA ARUSHA, HAIJAWAHI KUTOKEA Naona Arusha ikisimama kwa masaa 12 Naona mafuriko ya maelfu ya bodaboda, wajane, walemavu, wazee, yatima yakijitokeza kumpokea Naona msafara wa magari yasiyopungua 200 Naona media zote zikiripoti kutokea Arusha Itakuwa balaa
Tweet media one
Tweet media two
20
12
106
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Kama Mbowe alisaliti kiapo chake cha NDOA akapita na Wema Sepetu, mnaamini ataheshimu makubaliano yake na Lissu kuelekea 2025?
Tweet media one
52
16
102
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
DP World angekua Bongo tayari, saa hizi hii Figure ya TRA ingekuwa inasoma Trilioni 50 plus huko, surplus budget kabisa lakini bado kuna wajinga wachache wanakosoa Mkataba wa Bandari kwa kutumwa na matajiri wa TICTS. DP world ndio watakaotufanya tuwe Donor Country, mark my words!
Tweet media one
85
18
102
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
VITA ALIZOPIGANA MAKONDA KWA WELEDI WA HALI YA JUU 1. Lowassa 2012 2. Warioba (Katiba Mpya) 3. Bashite (Gwajima) 4. Uenezi CCM 5. Na sasa uRC Arusha Zote zilitumika kama sababu za kumuangusha lakini hakuna lililomyumbisha Makonda ni jasiri na ana Mungu wa peke yake. Iga ufe.
Tweet media one
26
14
106
@thinkbig2025
THINK BIG ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
KWA MAKONDA U-RC UNA MAANA KULIKO UENEZI Humu watu mnapenda mtu 'apatwe' sio 'apate' Alipoteuliwa kuwa RC Arusha wengi mlifurahi kwa kuamini kapoteza Msichojua kwa Makonda u-RC ni dili kuliko uenezi. Time will tell. Anaenda kuwa RC wa mfano na tutarajie kumuona Bungeni 2025.
Tweet media one
14
9
102