Kuna day nimeitwa date mimi nikabebana na my friends kumbe budget ya kfc ilikuwa ya watu wawili. The guy ordered food ya watu wanne alafu after amekula akajitoa akasema anarudi kumbe alikuwa anajitoa ivo. Manze Safaricom came through niliomba tu loan nikalipia io food tukaenda.