Salim Abdallah Profile Banner
Salim Abdallah Profile
Salim Abdallah

@salim_tryagain

143,989
Followers
7
Following
367
Media
383
Statuses

▪️Board Chairman - @simbasctanzania

Tanzania
Joined December 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kweli kweli.
Tweet media one
385
262
7K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mwanasimba mpya, Ntibazonkiza.
Tweet media one
208
229
6K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tunashusha mmoja baada ya mwingine.
Tweet media one
177
147
6K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Kazi imekamilika!
Tweet media one
70
129
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Usajili wenye lengo la kuongeza nguvu kwenye eneo letu la kiungo.
Tweet media one
242
165
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mlete Mzungu, haya amekuja.
Tweet media one
75
136
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Poleni Wanasimba wote. Tuna kazi ya kufanya mbele yetu.
Tweet media one
498
115
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Timu kubwa inacheza mechi na wakubwa wenzake.
Tweet media one
163
198
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Wote tumefurahia ushindi @simbasctanzania
Tweet media one
160
96
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Matokeo mazuri.
Tweet media one
78
90
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumekamilisha usajili na Mohammed Mussa.
Tweet media one
82
100
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumewapa dozi sahihi.
Tweet media one
91
143
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Hongera sana Sakho. Historia ya soka duniani itakukumbuka kwa tuzo hii kubwa.
Tweet media one
59
169
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Wakati mzuri huleta matokeo mazuri. Msimu wetu huu.
Tweet media one
75
86
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumefurahi kwa ushindi mzuri.
Tweet media one
62
113
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Tuzo hii ni kwa kila shabiki wa Simba. Kuja kwenu uwanjani kushangilia timu yenu kumeiwezesha timu yetu kushinda Tuzo ya Mashabiki Bora wa AFL. Pongezi nyingi kwenu.
Tweet media one
304
179
4K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Wachezaji wamepambana na tumeshinda. Hongereni wote.
Tweet media one
Tweet media two
71
80
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mambo mazuri yanakuja.
Tweet media one
65
84
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Safiiii
Tweet media one
42
81
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Ari ni kubwa kwa wachezaji wetu. Tunategemea makubwa.
Tweet media one
Tweet media two
53
121
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tuna kazi kubwa mbele yetu lakini tunajiandaa kuvuka kwenda mbele.
Tweet media one
141
144
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Mambo mazuri yanakuja mashabiki wetu.
Tweet media one
42
107
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Nawakaribisha wote kwenye ukurasa wangu huu wa Twitter.
Tweet media one
127
106
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumewapa dozi waliyostahili.
Tweet media one
53
96
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumeanza vizuri. Hongera kwa wachezaji, benchi la ufundi na kila Mwanasimba.
Tweet media one
Tweet media two
61
84
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Matokeo mazuri kwetu.
Tweet media one
41
86
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Tumewaletea mchezaji mwingine mwenye uzoefu mkubwa kwenye michuano ya kimataifa. Tunaamini uwepo wake kikosini kwa kushirikiana na wenzake utaleta matokeo chanya.
Tweet media one
104
117
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Makocha wote waliokuwepo wataendelea kuwepo, tumeongeza nguvu.
191
91
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Heri kitu kuliko kukosa kitu. Hongereni vijana wetu @simbasctanzania
Tweet media one
Tweet media two
46
85
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mchezo mgumu lakini wachezaji wamepambana kutupa ushindi.
Tweet media one
288
54
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumemuongeza kocha Robertinho kuboresha benchi letu la ufundi ili tuweze kufanya vizuri zaidi kwenye mashindano ambayo yapo mbele yetu.
Tweet media one
Tweet media two
115
80
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Mtoto amerudi nyumbani. Karibu @LuisMiquissone
Tweet media one
45
144
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Tweet media one
37
94
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mafanikio yanakuja.
178
112
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Hatujasema sisi, wamesema wenyewe Kaizer Chiefs kwamba wanaijua Simba tu, sio timu nyingine. Tunaposema Simba ni maarufu tunaomba mtuelewe.
239
271
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kwa kawaida tukiamua jambo letu huwa hatushindwi. Tuwapigie kura @ClatousCC au Kanoute ili mmoja wao aweze kuwa Mchezaji Bora wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Kura zinapigwa kwenye ukurasa wa @CAFCLCC
Tweet media one
51
149
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Che Malone Fondoh atavaa jezi ya Simba msimu ujao. Tunamkaribisha sana kuja kuchezea timu hii kubwa barani Afrika.
Tweet media one
70
116
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Katika kipindi hiki focus yetu ni; 1. Kuimarisha benchi la ufundi liwe bora zaidi. 2. Kufanya usajili bora na sahihi, na wa nguvu ili kuiboresha timu yetu iweze kuwa tayari kupambana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na pia kuendelea kupambana kwenye ligi kuu ili tuchukue ubigwa.
Tweet media one
199
165
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Safari njema kwa kocha wetu Robertinho ambaye amesafiri kwenda nyumbani kwao Brazil kwa shughuli za kifamilia. Kabla mwezi Januari haujaisha atakuwa amerejea kuendelea na majukumu yale.
Tweet media one
139
63
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Tumejipanga kuleta wachezaji watakaotusaidia kufanya vizuri kwenye mashindano ya ndani na nje ya nchi.
Tweet media one
121
101
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Vijana wameanza tizi wakiwa kwenye jiji lenye kila aina ya sifa nzuri, Dubai. This Is Simba 🦁
Tweet media one
Tweet media two
98
68
3K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Asanteni wachezaji na benchi la ufundi kwa kutupa ushindi.
Tweet media one
34
71
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Malengo yetu ya kushinda ubingwa wa mashindano haya yamekaribia. Hongera kwa benchi la ufundi na wachezaji kwa kazi kubwa ambayo wameifanya hadi sasa. @simbaqueensctz
Tweet media one
30
67
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mchezo mzuri wa kujipima.
Tweet media one
45
80
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Hongera kubwa kwa kila Mwanasimba. Tumeshinda.
Tweet media one
68
97
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kila la kheri kijana wetu Sakho. Mamilioni ya Wanasimba wapo nyuma yako kuelekea kwenye usiku wa Tuzo za CAF 2022.
Tweet media one
42
80
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Kwa nilichokiona hapa Uturuki niwambie Simba Day mjiandae kuja kufurahi.
Tweet media one
38
84
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tunataka mwalimu mpya apate muda na wachezaji katika mazingira mazuri kwa ajili ya kuandaa kikosi na michezo iliyo mbele yetu. Kazi ya kuboresha kikosi bado inaendelea. Shukrani za kipekee kwa Rais wa Heshima, @moodewji kwa kufanikisha hili.
Tweet media one
111
87
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Usajili mwingine huu hapa, mshambuliaji Jean Baleke.
Tweet media one
87
75
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Nampongeza kila Mwanasimba kwa kufuzu hatua hii.
Tweet media one
403
79
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Ukiacha ushindi ambao timu yetu imepata lakini pia tumetoa Mchezaji Bora wa mashindano, Aquino Corazone na Golikipa Bora wa mashindano, Gelwa Yona. Nawapongeza sana kwa kushinda tuzo hizo.
Tweet media one
Tweet media two
30
82
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kazi imeanza.
Tweet media one
102
76
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Huu ni mwanzo tu. Mengi mazuri yanakuja.
Tweet media one
26
60
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Safi sana vijana wetu @SimbaSCTanzania
Tweet media one
Tweet media two
17
60
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Leo tunarudi kwenye michuano kimataifa kwa kucheza mchezo wetu wa kwanza ugenini nchini Malawi. Uongozi tumefanya kila kitu kinachotakiwa kwa wachezaji kuelekea kwenye mchezo, tumeongea nao na wao wana ari kubwa kuelekea kwenye mchezo wa leo. Tuwaombee wafanye vizuri.
Tweet media one
Tweet media two
68
83
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Mwenyezi Mungu atujalie iwe siku ya heri kwetu ya Simba Day.
Tweet media one
58
123
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Timu kubwa inavyoshinda.
Tweet media one
36
69
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Karibu tena nyumbani kijana wetu @ClatousCC
Tweet media one
37
88
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Nimepata nafasi ya kukutana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino alipotutembelea hapa Morocco ambako tunaendelea na kozi ya Diploma katika Uongozi wa Klabu inayotolewa na FIFA (Diploma in Club Management).
Tweet media one
41
72
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Hongereni wote kwa ushindi.
Tweet media one
29
55
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Malengo yetu ni kushinda michezo yote sita.
Tweet media one
116
69
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Hongereni wote kwa ushindi.
Tweet media one
Tweet media two
27
56
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Jezi bora kwa timu bora.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
56
130
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Kila la kheri kwa vijana wetu. Tunawaamini mkiamua hakuna wa kuwazuia.
Tweet media one
79
76
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Wakati wetu kufurahi.
Tweet media one
20
55
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Taifa linawategemea kufanya vizuri mkiwa Angola.
Tweet media one
26
53
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Nimefurahi kukutana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu wa FIFA, Ornella Desirée Bellia kujadili kuhusu Super League hapa Park Hyatt jijini Sydney, Australia.
Tweet media one
17
90
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Kazi kubwa imefanyika kuhakikisha tunawaletea mchezaji mwingine mzuri ambaye atasaidia kuimarisha kikosi chetu.
Tweet media one
61
82
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Kipa tumepata. Tusubiri msimu uanze sasa.
Tweet media one
32
74
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kila la kheri kwa vijana wetu.
Tweet media one
23
50
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Tweet media one
Tweet media two
36
48
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Ushindi muhimu kwetu. Pongezi kwa wachezaji na benchi la ufundi.
Tweet media one
39
39
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumejipanga kutetea ubingwa wa Kombe la Mapinduzi. Kwa Wanasimba mliopo Zanzibar nawasihi mjitokeze kushangilia timu yetu.
Tweet media one
166
36
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Hongereni wote Wanasimba.
Tweet media one
41
45
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Simba ipo kwenye mikono salama ya @moodewji Tuendelee kushirikiana kuijenga @simbasctanzania yetu.
Tweet media one
43
77
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Hongereni wote kwa ushindi.
Tweet media one
45
43
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kwa ambao tunafanya kazi kwa karibu na wewe tunajua uwezo wako, tunajua kwamba unastahili kupata uteuzi kama huu. Hongera sana @bvrbvra
Tweet media one
18
75
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Hakika vijana wetu wanastahili pongezi kwa ushindi huu.
Tweet media one
36
48
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Habari njema mchezaji wetu Aubin Kramo amefika kambini. Wengine watafika muda si mrefu.
Tweet media one
Tweet media two
18
53
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Heshima kubwa kwa timu yetu kutembelewa na Meya wa Kızılcahamam, Süleyman Acar ambaye ndio anasimamia eneo ambalo timu imeweka kambi. Mwanzo wa uhusiano mzuri.
Tweet media one
32
68
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kazi imeanza.
107
63
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
10 months
Ronaldo mwenyewe anajua shughuli yake, muda sasa wa timu za Tanzania na Afrika kukutanana na mchezaji huyu mkubwa. Hapa tumepata mtu kwelikweli.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
205
117
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Huu ni mwanzo tu, mengi yanakuja.
Tweet media one
75
75
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tumekuwa na mchezo mzuri wa kirafiki dhidi ya Al Dhafra FC hapa Abu Dhabi japo hatujapata matokeo ambayo tulistahili kupata kwa namna tulivyocheza. Nje ya mchezo uhusiano mwema umeanza kati ya timu zetu.
Tweet media one
Tweet media two
71
66
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kaeni tayari kufurahi.
Tweet media one
62
38
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Mchezo wa pili mfululizo tunashinda. Pongezi nyingi kwa Wanasimba wote.
Tweet media one
35
61
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Karibu sana Mheshimiwa Rais Dkt. @SuluhuSamia kwenye siku yetu kubwa ya Simba Day. Wanasimba wamefurahishwa na habari hii njema ya kushiriki tamasha letu.
Tweet media one
41
86
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Vijana wetu wamejiandaa kwenda kushinda.
Tweet media one
48
41
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Asanteni sana kwa kutuheshimisha Watanzania.
Tweet media one
13
56
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Asante sana ndugu yangu @moodewji kwa imani yako juu yangu. Nakuahidi utendaji bora kwenye nafasi hii ili kwa pamoja tuweze kuifikisha @simbasctanzania kwenye mafanikio makubwa ambayo inastahili.
Tweet media one
Tweet media two
105
51
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Safi sana vijana wetu @simbasctanzania kwa kutufurahisha.
Tweet media one
Tweet media two
15
52
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Tegemeeni makubwa msimu huu.
Tweet media one
45
59
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Hongereni wote kwa ushindi.
Tweet media one
19
35
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mwaka huu itakuwa ya kipekee. Nawaomba mjitokeze kwa wingi.
Tweet media one
30
68
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Kipimo kizuri kwetu kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Tweet media one
Tweet media two
34
27
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
11 months
NEW CHAPTER.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
333
69
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Mabingwa @simbaqueensctz Asanteni kwa kutupa furaha Wanasimba.
Tweet media one
Tweet media two
7
61
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
1 year
Tumedhamiria kuimarisha na kuwa na kikosi bora zaidi.
Tweet media one
42
59
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
3 years
Mazuri mengi yanakuja. Tunaanza na kesho.
Tweet media one
24
43
2K
@salim_tryagain
Salim Abdallah
2 years
Tunajivunia mafanikio yako Prof. Janabi. Endelea kuchapa kazi.
Tweet media one
14
42
2K