Manyasi Richard🐼 Profile Banner
Manyasi Richard🐼 Profile
Manyasi Richard🐼

@rymojveyron

2,624
Followers
1,816
Following
883
Media
13,553
Statuses

Accountant/Financial Analyst/Follow me for vital scholarship information, internship insights, and admissions assistance.

Joined January 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
8 days
Usimjudge anaye kupa ushauri yuko vipi, cha msingi sikiliza ushauri Ukiona una manufaa kwako fanyia kazi. Hata Madaktari ushauri watu wasinywe pombe ikiwa wao wanakunywa.
4
12
29
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
6 months
@IAMartin_ Unampiga spana marehemu afu watu mtaani wanamkubali na kumbukumba, utatumia nguvu sna. Hata russia wana mkubali stalin itakua magu mshua
4
2
86
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
29 days
Sema hizi prank nyingine mtu anaweza kufa bure😂
10
25
72
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 months
Drop handles tukulambe follow back🔥
39
43
65
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 years
0
0
58
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
@AbroadTanzania Huyu mzee namkubaliii sanaa, ndio watu wachache wasitufanye waislamu tuonekane hatuja somaaa bnaa. Issue so kupinga, kama unatetea mkataba njoo na fact
5
1
58
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 years
Natafuta Dawa kuacha nyeto jmn ipo?🙌
7
2
42
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
Mwanaume unalala kifala hivi hadi mpuja unapigwa picha kmk. Mtag mwenye huu mpuja hapa
Tweet media one
23
4
32
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
19 days
Imagine hii: Kwenu Hakuna pesa Wewe ni mtoto wa Kwanza Jobless Mu Afghanistan Una support Chelsea na simba Huna demu
5
7
30
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
16 days
Hali ngumu mpaka nakosa muda wa kubweka vip nyie uko?
Tweet media one
7
9
27
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Vitenzi na vishazi vitakupa hii sema tawile
Tweet media one
7
5
27
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
5 months
Kachumbari kwa kingereza ni nini?
3
5
24
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
@mkandamizaji @master_plan88 For scholarship and job updates kindly pass through my page . I’m posting scholarship and job opportunities daily
1
3
26
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
9 days
Mbinu ya kujua demu ni wife material, akija geto mpe jiko la mkaa, mkaa mwagia maji kimtindo ili uwe mbichi flani. Mwambie apike ugali na dagaa mle na mda wa kuondoka mpe nauli kamili ya daladala. Kesho yake muite tena, akirudi tena uyo mke mzee.
6
6
25
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
18 days
huyu sister anatakiwa atrend ili mabinti wengi wajifunze kitu hapa.
Tweet media one
7
7
25
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Tanzania lini tutafikia kurusha rocket kwenda mwezini???
Tweet media one
13
3
24
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Tina nimekusomesha chuo sahivi umemalizaa unasema hutaki mwanaume mfupi!! Halllo hallo weee tinaaa
Tweet media one
4
8
25
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 years
0
0
23
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
27 days
Everybody wants good life don't point fingers na kusema Wale ni wavivu ndio maana ni maskini na kila mtu anapata kwa kiasi chake na kwa wakati ambao Mungu amepanga.
3
6
24
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
Wapwa hivi ni bora ushikwe na gwanda za jeshi au mke wa mtu??
9
8
22
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
22 days
Hivi faida ya kujaladia madaftari ilikua nini? Maana so kile kichapo kisa kujaladia
Tweet media one
2
12
23
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
22 days
Ma slay Queen na urohoo
Tweet media one
5
7
23
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 months
Shusha handle tukufollow chap
15
18
22
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
JOB OPPORTUNITY Applications are invited to apply for the Construction Jobs in Australia 2023. All International Applicants from all over the world can apply for Work Visa Jobs in Australia. You can get this opportunity by applying for the job without a job offer.
5
12
22
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
Fungu buku jero hutaki sepa
Tweet media one
4
4
23
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
18 days
Naombeni hii location nifungue ki pub
Tweet media one
5
5
22
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 years
0
0
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Nakuchoma kisu, afu wewe unatoa bastola unataka kuniua au?
Tweet media one
5
8
21
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 months
I don't care what y'all be saying but kwangu huyu mshua ndo alikua thee best president.
Tweet media one
4
10
22
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
Universitas Sebelas Maret Scholarships 2024 In Indonesia | Fully Funded One of the Famous Indonesian Universitas Sebelas Maret, or UNS, is located in Surakarta, Indonesia. It was founded in 1976 and offers a wide range of academic programs
6
12
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Hivi naweza kufungua bank account BOT?
3
7
22
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Ile umemfanyia mtoto wako Home work Ila karudi kapata zero😂
Tweet media one
2
5
21
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
10 months
Kumbe Einstein alikua mtu wa totozi
Tweet media one
4
3
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Je wajua unaweza kusoma Ulaya buree kabisaa? Mchongo uko hivi: Iceland kuna vyuo ambavyo unaweza kusoma bure Kabisa bila kulipia Ada. Pia haviitaji uwe umefanya mitihani ya English proficiency ( IELTS na TOEFL) Pia hawaitaji Blocked Account. List ya vyuo hivi hapa👇
2
2
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
Zandaaaaani kabisa jamaaa anatumika kama dildo😂😂😂
Tweet media one
2
3
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Njoo nikuoneshe tovuti yetu ya Mjulu-Beng .co. tz inavopiga kazi.
Tweet media one
5
3
21
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
SCHOLARSHIP IN UNIVERSITY OF MIAMI: Chuo kikuu cha Miami kinatoa offer ya kuwalipia Ada, accommodation fees na chakula kwa international students watako hitaji kusoma katika chuo chao 📌 Hii offer ni kwa wanafunzi wa Bachelor Degree tu. Apply here:
2
6
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
0
0
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Vipi mnakubaliana na hii?
Tweet media one
1
2
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Siku ukijaa kwenye 18 za wahuni
Tweet media one
4
2
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
7 days
Wanangu wa X Jana wengine wamelala london wakaamkia new york bila visa
Tweet media one
6
5
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Nyie mnaogopa kuvaa viatu vya jeshii😂😂 niigeni mimi wazee
Tweet media one
3
2
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
7 days
Blue is the colour
Tweet media one
4
3
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
10 months
Jamaa ana laana uyu
Tweet media one
2
3
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
18 days
Inatakiwa tupate Rais wa hivi yani Hakuna kucheka nao
Tweet media one
6
6
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
5 months
Kama Huna uwezo wa kununua crypto basi jitaidi uwe na iyo app
Tweet media one
1
4
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 years
0
0
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Daah wapwa nimeiwaita kwenye space mmegoma?? Mmeenda kucheza Amapiano! NASEMA HIVI TUKIWA KAMA PIPO TUTAONANA
Tweet media one
0
3
20
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
Mpambano hadi mpuja wote njee kmk
Tweet media one
4
2
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Oya si hamtaki ku engage fresh tu😂😂😂
3
1
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
0
0
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Wapwa Mko salama asee ndo kuamka hapa
3
5
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Kwamba umri wa mtanzania kuishi umeongezeka, watu huwa mna namba ya simu ya Mungu au?
Tweet media one
1
3
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 months
Nataka chumba chenye umeme kwa 10k. Dalali: usiwaze
Tweet media one
6
7
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Kuna scholarship ya Netherland ni full mkoko na chuo kinaweza kukuombea PR✅ soon naipost
4
2
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
26 days
Naona sahizi watu wa dsm wengi wanapata sna safari za morogoro na dodoma Ila SGR
Tweet media one
5
3
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Vipi MPWA unajua tofauti ya hii mitihani na matumizi yake?👇 TOEFL, IELTS, GRE, GMAT,SAT Sasa iko ivi: IELTS (International English Language Testing System) Hii ni mtihani wa uwezo wa kujieleza kwa lugha ya Kiingereza, hutumiwa kwa ajili ya uhamiaji, kazi na masomo.
4
9
19
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
5 months
Niendelee kuwapostia scholarship au mnaogopaa Vita?
2
3
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Demu akikuacha kisa msela ambae hawezi kuingia online mpaka free wi-fi don't stress yourself bro acha aende.
4
3
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Kuna comment niliona Insta unasema " Upo zako kwenye sherehe mara unakanyaga waya bahati mbaya mziki unazima alafu una mskia Ex wako anasema " Huyo kaka hatuliagi akiona chakula"
5
6
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
HOW TO GET CHEAP FLIGHTS/Jinsi ya kupata tiketi ya ndege za bei nafuu. Kata tiketi kupiga Application👇 1: KAYAK 2: SKYSCANNER 3: Goibido 4: Kiwi N.k Ukitaka kupata tiketi za bei nafuu basi book tickets siku za week kama Jumanne, jumatano na Thursday.👇
2
4
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
24 days
Isingekuwa utandawazi na feminizim basi Tanzania yetu bado tungekua na wanawake wengi wenye tabia nzuri, na hizi yowe zisingekuwepo
4
7
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
MEXT Scholarship at Asia Pacific University 2024 Details Scholarship Host Country:Japan University: Ritsumeikan Degree Programs: Undergraduate, Masters & Doctoral (Ph.D.) Scholarship Coverage: Fully Funded Application Deadline: Nov 15, 2023 Apply here:
0
5
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
9 days
Kuna faida kubwa sana ya kuishi maisha yako low key
5
5
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Hivi Air Tanzania wana route ya new york??
5
1
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Unaweza jiona your smart until you meet smart people, don't flex kwamba you know everything
2
12
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 years
0
0
15
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Stay Tuned naleta scholarship ya Marekani mzee full Funded. Utoi hata buku
5
1
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
6 months
@JeffFisch What about what is happening in palestine?
0
0
15
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
19 days
Kwahyo hamtaki kuja dm niwape mapesaa
Tweet media one
8
4
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
10 months
So kwa Ubaya kwahiyo ulitegemea elimu ya kujua kifo cha kinjekitile ngwale na kina tiptip ndo ije ikufanye uweze kununua hii gari sio??
Tweet media one
1
2
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Wapwa iwe jua iwe mvua Ma connection ya kazi na scholarship lazima niwapeee😂😂😂
Tweet media one
1
0
18
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
26 days
Tukubali tukatae ndani ya nchi yetu watu wengi kwa sasa wamesoma lakini bado ni wajinga, mtu una degree lakini unashindwa kureason mambo mbalimbali je yule wa form IV je? Bado tuna Safari ndefu sana kama taifa.
4
5
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Mnakataa ukweli kwa furaha za mda mfupi sawa Ila kaa ujue utapiga yowe kwa mda mrefu
3
5
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
True love is not about perfection; it is hidden in flaws. Mpende mtu na madhaifu yake hata kama ni mwizi mvumilie tu😂
3
6
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
16 days
Her: jamani Manyasi babe wako akijua Me: Wacha siasa atajuaje sasa
Tweet media one
4
3
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
10 months
Kwanini mademu wa X wanapenda kupost picha za watu wa Ig?
Tweet media one
1
2
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 months
Kodi mnakusanya kihuni, mnabambikizia watu madeni, izo pesa mnazokusanya mnajinunulia magari ya bei mbaya, maisha yamepanda sana na tukilalamika mnatuteka. Tuueni basi
1
7
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
2 months
Hivi hao police wakenya hawajaishiwa mabomu tu??
1
4
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Ipo siku uyo baby wako watamloweka na hakuna kitu utafanya sema tawile
2
2
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 days
Unaweza jiona huna pesa kumbe una matumizi mengi bila kujua so fanya hivi try to track matumizi yako kwa mwezi, utakuta wewe ni winga Ila matumizi yako ni 600k per month, so create a budget that allocates funds kwenye vitu muhimu sana, inayobaki save. Utanishukuru baadae
4
6
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
11 months
0
0
15
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Wanawake mnapendwa kudanganywa na hapo ndo shida inapoanzia, Sisi wanaume ni polygamists by nature we kaa hapo na bichwa lako uendelee tafuta mwanaume ambae hato kucheat.
4
2
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Kila siku mnasema tutafute pesa kwani ziko wapi mbona mimi sizipati?
3
5
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Wazazi be like kijana wenu yuko busy sana uko mjini kutafuta pesa Kijana mwenyewe: Drop handle tukunyanyue
6
2
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
8 days
Washa VPN mzee Like na RT zimepungua sana
Tweet media one
2
7
17
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
NAFASI YA KUSOMA NCHINI SWITZERLAND BURE KABISA. Wapwa Serikali ya Switzerland inawalipa wanafunzi kutoka nje wanao hitaji kusoma nchini Switzerland. Aina ya scholarship👇 Fully Funded No ilets No application fee📌 Free flight Stipend Housing Visa. Wapwa hili ni bonge la Dili.
3
3
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
6 months
@goligani Kwamba ni MI6😂😂
1
0
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Mpwa vipi utafanyaje ukikutana na hii issue hotelini na umeshaanza kula??
Tweet media one
4
2
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
19 days
Humu ndani maskini ni kama hatuna haki, kila siku mnatupiga spana
Tweet media one
5
1
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Wapwa ndo hamtaki ku Engage au mpaka nilieeee wapwaa😂😂😂😂
2
2
14
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 month
Hivi wahehe ndo walitoa huu msemo wa mchuzi wa mbwa unaunywa ukiwa wa moto? Anyway hata msipo nijibu najua ni wahehe
2
3
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Kama kijana unae hitaji Kusoma Either Bachelor Degree, Masters Degree au PhD Au unatafuta connection za kazi Ulaya au Maarifa ya namna ya kutengeneza pesa. Basi karibu katika page yangu utakuta nimekupostia vitu unavyohitaji. Please consider following me. Karibuni
0
4
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Kupata kazi ulaya au America inawezekana kabisa. Agencies ziko kibao tu ambazo zinaweza ku connection job seekers na makampuni yanayo hitaji wafanya kazi both skilled na unskilled. Kama una ndoto ya kufanya kazi njee tumia muda wako mwingi kufanya application amini utafanikiwa✅
3
3
15
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
10 months
Maji uhakika😂😂😂😂
Tweet media one
1
1
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
1 year
Oya wapwa nani atashinda ballon d'or 2023??
Tweet media one
2
0
16
@rymojveyron
Manyasi Richard🐼
5 months
Nataka gaming Pc heavy duty ni vitu gani vya kuangalia wapwa?
2
0
14