Joseph L. Haule Profile Banner
Joseph L. Haule Profile
Joseph L. Haule

@ProfessorJayTz

837,997
Followers
1,607
Following
1,389
Media
32,114
Statuses

Hip Hop Artist

HANDS UP ft Gnako Video Link๐Ÿ‘‡
Joined December 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Am back againโœ๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
1K
2K
14K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Leo Nimeanza rasmi Oparation Rudisha Shavu , nikiwa na mdogo wangu wa damu @blackchatta hapa kwa @kazimotopork TABATA SEGEREA , Karibuni sana๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
557
556
8K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 month
Asante sana Mungu kwa Zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za Maisha yangu, Nipo kamiligado tayari kwa MapambanoโœŒ๐ŸพโœŒ๐ŸพโœŒ๐ŸพโœŒ๐Ÿพ #KataaUtekaji #maskanikimara
Tweet media one
463
1K
8K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Ni Dada mkuu na Kaka mkuu tena๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช Dada mkuu @jidejaydee amefunga safari straight from USA kuja kunijulia Hali na pia kuniletea Salaam nyingi sana kutoka kwa mwanangu @roma_zimbabwe Am Humbled๐Ÿ™ Ulikuwa wakati mzuri sana kukuona tena my lovely Sister, Bless Upโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Tweet media one
270
484
8K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Leo nimefurahi sana kutembelewa na ndugu zangu wa ukweli @therealfidq @aytanzania @ngomanagwa na @tharealsimplex Asanteni sana kwa kuja, Mungu awabariki sana๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
267
395
6K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Asante MUNGU kwa ulinzi na Afya njema, Asanteni sana WanaMIKUMI wote kwa kuniamini kuiwakilisha MIKUMI yetu, Nakishukuru sana chama changu cha CDM kwa kuniamini, Nimetia NIA tena ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kupitia Chama changu cha CHADEMA, Eeh Mwenyezi Mungu NISAIDIE๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
369
263
6K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
10 months
Nakushukuru sana Mungu Baba Mwenyezi , Muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote vilivyomo kwa zawadi hii ya Uhai kwa mara nyingine tena, HAPPY BIRTHDAY TO ME, Sina Cha kukulipa baba zaidi ya kutangaza Sifa zako na Utukufu wako siku zote za maisha yangu๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
433
571
6K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
ASANTE sana Mwenyezi MUNGU mwingi wa REHEMA, Wewe pekee ndie unaijua vizuri KESHO ya kila mmoja wetu๐Ÿ™๐Ÿป Nawatakia wote JUMAPILI NJEMAโค๏ธโค๏ธ
Tweet media one
287
218
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
NIMEJIFUNZA kwamba sisi Wanadamu inatupasa kuchunga sana NDIMI ZETU, Kutafakari kwa kina KAULI ZETU na inapobidi ni Kufunga kabisa MABAKULI yetu kwani Malipo yapo Hapa hapa DUNIANI na Mwisho wa UBAYA ni AIBU๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
320
308
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kutupa zawadi hii ya Uhai na kuwa pamoja mpaka Leo, Asante sana Mke wangu kipenzi @mke_wa_profjize kwa kuvumilia mapito yote tuliyotupitia pamoja sina la kusema zaidi ya NAKUPENDA SANAโค๏ธโค๏ธ Happy anniversary to us my beautiful wifeโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
144
328
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Toka juzi nilipotangaza #OparationRudishaShavu nikiwa pale @kazimotopork TABATA SEGEREA Nimepokea mialiko mingi sana kutoka sehemu mbalimbali, Nawashukuru sana wote kwa Upendo wenu na kunitakia Mema katika maisha yangu, Tumuombe Mungu atupe uzima tu, AMEN๐Ÿ™
Tweet media one
155
224
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Tarehe 29 December ndio siku niliyobarikiwa Kuzaliwa ,Na kwa BAHATI kubwa na ya kipekee sana nilibahatika kuSHARE Tarehe moja na Mwezi mmoja Wa kuzaliwa na MAMA yetu Mzazi Mama ROSEMARY MAJANJARA, HAPPY BIRTHDAY MAMA, Mourn Till i join Youโค๏ธโค๏ธโค๏ธ Happy BIRTHDAY TO ME๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
493
156
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Jina langu linaongeza idadi ya MAADUI, Wengine nawajua wengine SIWATAMBUI, ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅJINA LANGU.....
Tweet media one
276
139
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Leo nimepata Neema ya kutembelewa na NABII @godblessjlema1 Hakika Mungu ni mwema sana siku zote asante sana ujio wako umenipa nguvu sana Leo๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
86
205
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 month
Ilikuwa Furaha kubwa sana leo kuonana tena ,Shukrani sana @exmayor_bonifacejacob na @martinmaranjamasese na makamanda wengine kwa kunitembelea Leo na kunijulia hali Mungu ni Mwema sana naendelea vizuri mpaka nataman kujiteka mwenyewe #TunakataaUtekaji โœŒ๐ŸพโœŒ๐Ÿพ
Tweet media one
80
456
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MIKUMI. MGOMBEA : Joseph Leonard Haule Kura zilozopigwa 138 Kura za NDIO - 137 Kura za HAPANA - 0 Kura zilizoharibika 1.
214
161
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
11 months
EP yangu mpya Ya โ€˜_NUSU PEPONI NUSU KUZIMU โ€˜ imetoka tayari kwenye All Digital platforms Worldwide pia unaweza kupitia LINK ipo kwenye BIO yangu๐ŸคŸ๐Ÿผ
Tweet media one
Tweet media two
103
601
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
18 days
Baba na mwana Leo โค๏ธโค๏ธโค๏ธ @lisa .profjize Photo credits @mke_wa_profjize
Tweet media one
82
181
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
No RETREAT No SURRENDER๐Ÿ•ถ๐Ÿคบ๐Ÿ’ฃ๐ŸฅŠUkianguka, Unainuka, Unajikung'uta na KUSONGA MBELE๐Ÿ‘ฃ NEVER BACK DOWN๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป
Tweet media one
145
184
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Happy Birthday RAIS wa MBEYA @IamJongwe__ @IamJongwe__ Pambania KOMBE mwanangu Mwanzo mwisho mpaka KIELEWEKE โœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
123
110
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
LEO amezaliwa mwanangu kipenzi LISA JOSEPH HAULE, Nakuombea kila lililo jema katika kumbukizi ya siku yako hii muhimu, Mwenyezi Mungu akulinde na akufungulie kila mlango wa Heri, Kikubwa zaidi Nasubiria DIVISION ONE yako uliyoniahidi kwenye matokeo ya mtihani wako wa FORM FOURโค๏ธ
Tweet media one
229
123
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
10 months
Nimeamua kuileta kwenu video hii ya SIKU 462 rasmi kwa mashabiki wangu kokote mliko duniani, leo kwenye siku yangu yakuzaliwa, ni dakika kadhaa zinazo onyesha na kuelezea mapito niliyoyapitia, link ipo kwenye bio๐Ÿคž๐Ÿผ๐Ÿคž๐Ÿผ
162
548
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Mbona WAMENUNA? Maana Nilitegemea LEO wale waliokuwa wanashangilia wagombea wao kupita bila kupingwa ndio wangegalagala chini kabisa kwa FURAHA, kwani tumewaachia Mitaa,Vijiji na Vitongoji vyote, Haya Sasa WATENDAJI tokeni uko MAFICHONI mkaendelee na KAZI na Muwashe SIMU zenu๐Ÿคช
Tweet media one
161
189
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
KING anapokutana na KING๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ”ฅ Studio Session ๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป Yajayo yanafurahisha sanaโœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธ @kingsmusicrecords @binladen_255
Tweet media one
54
185
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Tweet media one
37
417
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Happy birthday Mfanyabiashara Maarufu wa Afrika Mashariki na Kati na kusini mwa Jangwa la SAHARA Pamoja na GHUBA ya UAJEMI, ISHI zaidi my Brother and NEVER BACK DOWN๐Ÿ™๐Ÿ™ @jongwe__ #UTANIAMBIANINI is OUT NOW
Tweet media one
80
139
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
20 days
Shukrani sana MR. THOMAS @mcmadevujuakali kwa kunitembelea Leo, Tumeyajenga Mengi sana ya muhimu kuhusu tasnia zetu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
17
116
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
LALA SALAMA ndugu yangu @masoudtheking Leo ndio unapumzishwa kwenye nyumba yako ya MILELE๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Tangulia kamanda Nasi Tunafuatia๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
146
75
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Wewe sio Gaidi... wewe ni kiongozi bora Tanzania, Afrika na Duniani. Tuliopita mikononi mwako tunajua. Busara zako, bidiii na kujituma katika kazi, mapenzi yako kwa nchi yetu, utu na upendo wako havipimiki...Tutakupigania, tutakutetea na Utarudi imara na utawashangazaโœŒโœŒ
Tweet media one
62
399
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
ISHI Ulaumiwe KUFA Usifiwe... Hiyo ndio HULKA ya Binadamu.
Tweet media one
113
134
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Happy birthday mwanamke wa maisha yangu @mke_wa_profjize Wewe ni mwamamke wa shoka, Shujaa wangu Jasiri, mvumilivu na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwangu, Umenivumilia kipindi chote kibaya kabisa cha mapito ya maisha yangu ukapambana pamoja na mimi,I LOVE YOU soo Muchโค๏ธโค๏ธ
Tweet media one
73
167
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Wanageuza Ukweli KINYESI kuwa MKATE.. Wanailea mimba ili wazae MAJUNGU, Yaani ni kichekesho kuona mnambeep MUNGU, Huwezi kupinga Jema na Kweli yenye Utakaso, Watalia machozi ya Damu na Meno kutoa JASHO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ - J.O.S.E.P.H (2005)
Tweet media one
93
165
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Me,myself and Iโค๏ธโค๏ธ #withmyprincess ๐Ÿ‘‘๐Ÿ’• @l .i.s.a.h_profjize
Tweet media one
Tweet media two
119
64
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Binadamu wako Hivi, Akiwa anakufahamu hataki Ufanikiwe, Anaona Bora afanikiwe mtu asiyemjua, Cha ajabu UKIFANIKIWA anataka umsaidie akiamini Asiyemjua hawezi kumsaidia, UBINADAMU kazi sana๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค
Tweet media one
165
236
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Happy birthday Tajiri @fred_vunjabei Ishi sana ndugu yangu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
23
53
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
GWIJI๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wanatamani wapangue kile MOLA alichopanga, Wanatangaza AMANI huku wameficha MAPANGA๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ #Mikumi all Day Everyday๐Ÿฆพ
Tweet media one
71
105
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
NIMETEULIWA kuwa Mgombea wa Jimbo la MIKUMI, Tukutane tar 28 OCTOBERโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
42
81
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Kipindi hiki mtasikia Sana Matusi, kejeli na Propaganda kibao kutoka kwa wazee wa kujipendekeza, kuweni nao makini na WAPUUZENI kwani tupo IMARA sana kuliko Jana na MAPAMBANO bado YANAENDELEA Mwanzo mwisho, Never BACK DOWNโœŠ MIKUMI kwenye RamaniโœŒ - Mwenyekiti wa CDM (W)- KILOSA
Tweet media one
79
138
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
11 days
Oyaa Wanangu nawashukuru sana kwa Support mnayoendelea kunionyesha๐Ÿ™ GOMA letu Pendwa la CALLING Featuring @officialalikiba lipo number 3 Pale mjini YOUTUBE Twendeni kusubscribe, kuComment, Like na Kushare ili tulipeleke number Moja, LETS GO Link hii hapa
Tweet media one
48
315
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Kila ninapokuja jijini MBEYA lazima nifikie kwenye Hotel ya Kimataifa HOTEL DESDERIA @hotel_desderia 'HOME OF HOSPITALITYโค๏ธโค๏ธโค๏ธ 'KODAK MOMENT' kidogo na Mkurugenzi waHotel hii @jongwe__ na Mama la Mama @mke_wa_profjize LEVEL ni zile zile za SAYARI YA MARS, NUFF RESPCT๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
Tweet media one
72
130
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
2 months
Wanawake wangu wa Nguvu @mke_wa_profjize @jidejaydee โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Tweet media one
33
85
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Happy birthday JEMBE langu @halimamdee Mwenyezi Mungu akuponye Mapema na akujaalie Maisha marefu zaidi๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
81
89
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Yaliyopita si Ndwele tumeamua kuganga yajayo, Tumerudi kufanya KAZI pamoja tukiwa IMARA zaidi, Yajayo YANAFURAHISHA, Eeeh Mwenyezi Mungu TUSAIDIE๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป @majani187 ndani ya MWANALIZOMBE STUDIOS - Mikumi. PIGA: 0713 272900
Tweet media one
83
126
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI Stand UPโœŠ Nasikia hapa MIKUMI wapo 50 namsubiri sana huyo KINARA waoโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ Huko kwenu kuna HABARI gani๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ
Tweet media one
96
79
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Nakushukuru sana Kiongozi wa Upinzani BUNGENI @freemanmbowetz kwa kuniamini na kuniteua kuwa Naibu waziri wa MADINI kwenye BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI KIVULI, Hii ni Heshima kubwa sana kwangu na kwa wana MIKUMI, Naipokea kwa unyeyekevu KAZI uliyonituma na Ninakuahidi SITAKUANGUSHA๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
98
75
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI STAND UPโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ Asanteni sana wale wote mnaoendelea kuniunga mkono, Kwa PAMOJA tunakwenda kushinda kwa kishindo kikuu, Naombeni sana SUPPORT yenu na MAOMBI yenu๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
68
142
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Kitendo cha KUENGULIWA wagombea wetu wa Upinzani karibu maeneo yote Nchini bila Sababu za msingi, sio tu kinachochea uvunjifu mkubwa wa AMANI bali pia kinaua kabisa Misingi ya Demokrasia, HAKI na UHURU kwenye TAIFA LETU๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญMkicheza NGOMA angalieni na JUA, Msije sema Hatukusema๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
120
152
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Muda unaodhani upo SALAMA ndio wa HATARI zaidi๐Ÿ™๐Ÿป AKILI Za Kuambiwa Changanya na Zako, Tujilinde na tuwalinde wengine, CORONA IPO na INAUA sana๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
66
87
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
SHULE YA BURE. Sio lazima kila siku uimbe MATUSI na Mambo ya kitandani ili Wimbo wako uwe mkubwa na upendwe, Bali unaweza kuimba wimbo wenye mafunzo mema kwa jamii na Wadau wakakushika mkono kwa kiwango cha juu kabisa, Kwa Pamoja tunaweza tukakiokoa KIZAZI hiki๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป #BABA
Tweet media one
113
208
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI STAND UPโœŠ Nyumba kwa Nyumba, Mtaa kwa MTAAโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ #Nitumenitena
Tweet media one
77
98
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
9 days
Mambo vipi watu wangu wa ukweli! GOMA letu Pendwa la CALLING Featuring @officialalikiba bado lipo number 2 Pale mjini YOUTUBE Twendeni tukashambulie kwa kusubscribe, kuComment, Like na Kushare ili tulipeleke number Moja, LETS GOO Link in my BIO hii hapa
Tweet media one
26
218
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Mpaka kufika kesho saa mbili asubuhi tunatakiwa kuwa tumechanga milioni 350. Anza kutoa chochote ulicho nacho.. tuma kwa namba hizo hapo chini. Bank Crdb : Chadema M4C account namba 01J1080100600 Simu: Rodrick Lutembeka 0754 275 531 / 0655 275 531
143
276
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Ni YEYE 2020 ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ @tunduantiphaslissu
Tweet media one
32
76
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Congratulations to my beautiful Daughter Lisa for Graduating kumaliza KIDATO CHA NNE Leo, Mwenyezi Mungu akubariki ลบaidi na zaidi, - PAPA LOVES YOUโคโคโค #fezaschools
Tweet media one
91
71
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Nawashukuru sana wana CHADEMA wote wa wilaya ya KILOSA kwa kuniamini na kunichagua kwa kura zote kuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya KILOSA, Natambua sana kuwa haya ni mapambano makali na Hatugawani VYEO Bali Tunagawana MAJUKUMU, Hivyo nawaahidi Sitawaangusha, ALUTA CONTINUAโœŒ๐Ÿป
Tweet media one
89
95
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
ASANTENI SANA wana wa MIKUMI, Tumezindua kampeni zetu rasmi sasa kazi IENDELEEโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ @mke_wa_profjize @dennis_mosha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
78
97
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MAGWIJI Wawili๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Tulishafanya JUKUMU LETU, Naona Nazeeka Sasa na Hapo Sawa REMIX Nadhani huu ni Muda Muafaka wa Kufanya Jambo lingine kwa ajili yenu, Au mnasemaje? Binamu @mwanafa
Tweet media one
85
76
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Mguu kwa mguu, Nyumba kwa NyumbaโœŒ๏ธโœŒ๏ธ #nitumenitena @mke_wa_profjize
Tweet media one
39
79
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Weka UGOKO Niweke CHUMAโœŒ๏ธโœŒ๏ธ MIKUMI STAND UP๐Ÿฆพ
Tweet media one
54
68
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Mwanalizombe STUDIOS - MIKUMI Kama una KIPAJI iweje ufe na Njaa?? PIGA Namba: 0713 272 900 KARIBUNI SANA๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
54
88
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nadhani sasa umewadia muda Muafaka wa kuachia MANGOMA mapya, Tuachie NGOMA baada ya NGOMA au mnasemaje wadau?? - Mbunge nje ya BUNGE.
Tweet media one
138
84
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Tunajivunia NGUVU ya UMMAโœŒ๏ธโœŒ๏ธ NIPO, NILIKUWEPO na NITAKUWEPOโœŠโœŠ (Mkiti- CDM Wilaya ya KILOSA)
Tweet media one
66
65
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MWANZA hii sasa ni KUBWA KULIKO๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
58
124
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
18 days
Leo nimeletewa Maparachichi na classmate wangu na Mkurugenzi Mtendaji wa @kibondogreenfarm ndugu @amon .ntimba, Kusema ukweli ni Matamu sana ukitaka huduma hii bora nawe wakuletee popote ulipo wapigie kwa number 0765628429 @kibondogreenfarm website:
Tweet media one
18
138
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
WACHINA hiki mnachowafanyia WAAFRIKA wenzetu huko ni cha KINYAMA, UDHALILISHAJI na HAKIKUBALIKI kabisa, mnafanya Biashara kubwa na WaAfrica na Mmejaa tele Africa Mamilioni kwa Malaki na wengine Mmeoa na Kuolewa AFRICA huku mkiishi kwa FURAHA na AMANI kabisa, ENOUGH IS ENOUGHโœŠโœŠ
134
111
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Nashauri haya magari ya WASHAWASHA yatumike kwenye zoezi zima la kupiga dawa katika miji yetu kupunguza uwezekano wa kusambaa kwa virusi vya CORONA ambavyo vimekuwa tishio kubwa kwa Watanzania,badala ya kuyatumia kwa kazi moja tu ya kupamana na WAPINZANI..Vipi SAUTI inatosha.?
Tweet media one
212
134
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MZEE BABA๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
90
74
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
TBT ya Kikubwa. 10 Dec 2011 Tulikwenda kwenye SHOW ya pamoja UINGEREZA kabla ya kutokea yaliyotokea๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ @officialalikiba @diamondplatnumz
Tweet media one
103
90
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Kama PAULO na SILA waliomba na milango ya Gereza ikafunguka, Nasi tunakuombea kwa Mungu Baba Mwenyezi, Muumba wa vitu vyote ambaye ndie HAKIMU Mkuu mwenye KWELI na HAKI siku zote๐Ÿ™๐Ÿ™ DON'T GIVE UP MR. CHAIRMANโœŒโœŒ @freemanmbowetz
Tweet media one
57
200
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Thank you very Much CHAMP , Sasa ni wakati wa kuachia mashine yetu nyingine baada ya โ€˜YATAPITA๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ”ฅ @harmonize_tz @sammisago
Tweet media one
24
85
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Hongera sana CAPTAIN DIEGO @samagoal77 Sasa na sisi tunapata Heshima ya kuwa na Mwakilishi wa Nchi kwenye Moja kati ya Ligi Bora kabisa Duniani EPL, TANZANIA iko Pamoja na wewe, HAINA KUFELI๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป We Are PROUD of you ANKO @samagoal77
Tweet media one
71
68
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
KILOSA STAND UPโœŒ๏ธ
Tweet media one
20
68
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nusu PEPONI Nusu KUZIMU๐Ÿ‘‘
Tweet media one
53
43
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI kwenye RAMANIโœŒ๏ธโœŒ๏ธ Naamini ASKARI Shupavu ni Lazima apitie DEPO, Vinginevyo ndugu yangu utakuwa unapaka Rangi UPEPO๐ŸŽค๐ŸŽค #MTAZAMO ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
62
77
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Nasikia imetangazwa kuwa CORONA imeingia rasmi TANZANIA, Napata hofu zaidi na Msongamano wetu wa kwenye madaladala, Mahospitali, Magereza, Mwendokasi, Masokoni, Vituo vya polisi, viwanja vya mpira ETC Hakika tuna KAZI Kubwa sana ya kufanya kama Taifa MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
103
75
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI Stand UP. So FRESH So CLEANโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
50
45
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI Kwenye RamaniโœŠ The HEAVY WEIGHT MC๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽค
Tweet media one
60
32
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
KARIBU SANA nyumbani Shujaa TUNDU LISSU, Tupo tayari kukupokea kesho pale Airport , Binafsi nitakuwepo mapema sana kabla ya saa 7: 20 Mchana utakapotua AIRPORT. Kesho Tukutane AIRPORT๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
28
73
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Mungu ni Mwema sana Leo Mkiti wa @profesajayfoundation nimekutana na Rais mstaafu na Mkiti wa @kikwete_foundation na kumpa shukrani zangu za kipekee kwani alikuja zaidi ya mara TATU pale @muhimbili_taifa na pia tumejadili mambo mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Taasisi zetu๐Ÿค๐Ÿ™
Tweet media one
42
90
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Rafiki wa kweli ni MAMA na BABA, Hawa wengine wala usiwaamini Maana BINADAMU wa sasa wana ROHO SABA ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽค๐ŸŽง๐ŸŽน๐Ÿช•๐ŸŽผ
Tweet media one
92
65
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Daaah hili ni pigo lingine tena kwetu, Pumzika kwa Amani mzee MATATA tutamiss Sana upendo na ucheshi wako, Pole sana kwa familia na WASANII wenzetu wote wa Sanaa ya Maigizo, Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake LIHIMIDIWE๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tweet media one
62
76
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Ukweli utatuweka HURU kweli kweli๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป MIKUMI STAND UPโœŠ #Nitumenitena
Tweet media one
31
98
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MSINIFOKEEEโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
57
34
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
LEO ilikuwa Ni Bandika Bandua, Funika FUNUAโœŠ Asanteni sana Wananchi wa kijiji cha ILAKALA na kijiji cha Mhenda kwenye Kata ya MHENDA Mmefunika sana, Kesho tukutane kata ya KISANGA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ #Nitumenitena
Tweet media one
20
94
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Mkononi sina Tatoo bali nina Alama ya Ndui, Mtanzania namba moja Majungu hayanisumbuiโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ MIKUMI kwenye Ramani๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
74
80
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Watu wengi wananiuliza kama nimeajiliwa kuwa Mtangazaji wa @cloudsfmtz Jibu ni HAPANA, Bali clouds ni Media SPONSOR wetu kwenye Show yetu ya THE ICON, Hivyo wakanipa nafasi ya kuweza kushiriki kwenye kipindi cha POWER BREAKFAST kwa siku chache ili tuweze kuitangaza show yetu๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
63
96
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Ni Kaka mkuu na Dada mkuu @jidejaydee Hii ilikuwa mwaka 2001 tukiimba pamoja wimbo wa BONGO DAR ES SALAAM, Sasa ni mwaka 2021 ni takribani miaka 20 iliyopita, Tutaimba tena pamoja kwenye show yetu ya KIHISTORIA 'THE ICON' Tarehe 27.8 2021 pale GYMKHANA GROUNDS, Karibuni sana๐Ÿ™
Tweet media one
67
106
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
27.08.2021 Dada Mkuu na Kaka mkuuโคโคโค Hii rangi niliivaa tu ili kumpoza dada mkuu @jidejaydee ila KESHO kipigo kipo Pale Pale๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ
Tweet media one
61
35
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅMr. Red BARRET A.k.a Mr. Red CARPET๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป Endeleeni sana Kuniongelea Vibaya na kunipaka MATOPE, Bado Nawahitaji sana MASNITCH maana wana mchango mkubwa sana kwenye MAFANIKIO yanguโœŒ๏ธโœŒ๏ธ #KAZA ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ
Tweet media one
75
55
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Habari za jpili wapendwa, Mungu akubarik Sana ๐Ÿ™๐Ÿฟ Tunaendelea na harambee ya kuchangia wagonjwa wa figo inayoendeshwa na Ndugu zetu zetu PROFESSOR JAY FOUNDATION kwa Jinsi Mungu atakavyokubariki, Tuokoe Maisha ya wenzetu, AMEEN๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
17
260
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Pumzika kwa AMANI Mwanadiplomasia NGULI na Waziri wa KATIBA na SHERIA Dr. Augustine Phillip Mahiga Kweli Nimeamini WEMA HAWADUMU๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Tangulia mzee wetu nasi TUNAFUATIA๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
41
44
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Asante sana Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema, Tunaendelea kuchanja Mbuga Liwake JUA inyeshe MVUA, Naombeni sana Support yenu mpaka KIELEWEKE๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป JAY kama JAY Leo tukutane kata ya MASANZE๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป #Nitumenitena
Tweet media one
27
113
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Salaam kutoka GOMA- CONGO, Nimekuwa sipatikani kwenye simu kwa njia ya Kawaida kwa kuwa nipo nje ya Nchi kwa siku nne sasa, NASIKIA kuna watu bado wanatangaza ujinga WAO, WAPUUZENI๐ŸšฎMpaka huku Still Nawakilisha Chama la Wana CHADEMA to the Fullest, All Day EverydayโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
Tweet media one
57
51
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Jana nilipata Baraka ya kutembelewa na wadogo zangu @mrbluebyser1988 @official_qchief @binladen_255 na godfather_mbezi Cha muhimu tumefanikiwa kurecord Nyimbo mbili kubwa sana๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป Mungu ni mwema sana sik zote kwani Yajayo yanazidi kufurahisha๐Ÿ’ช๐Ÿป๐Ÿ’ช๐Ÿป Asanteni sana na Mbarikiwe sana๐Ÿ™๐Ÿป
Tweet media one
Tweet media two
33
124
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
CHURCH TIME ๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป Harusi ya JONGWE๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ @jongwe__ Mbeya Stand UP๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
Tweet media one
31
61
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
6 years
Chiiiiiiii Everybody Say YEAH๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ JAY na @pierelikwidi TUTAZIDI kuwa Juu Mawinguni, TUTABAKI Kileleni... ATI NINIIII??? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
56
121
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Watu wangu Nimeona SAFARI hii niwashirikishe nyinyi MABOSS Wangu, Niambieni Ni NYIMBO gani mngependa Kuniona NaziPerfom kwenye Tamasha la #wasafifestival2019 Siku hiyo ya Tar 9 NOV Pale VIWANJA VYA KIJITONYAMA?? Nipe PLAYLIST yako๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘Š
Tweet media one
304
47
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Ni kwa NEEMA ya MUNGU tu๐Ÿ™๐Ÿป๐Ÿ™๐Ÿป #MikumikwenyeRAMANI โœŒ๏ธ
Tweet media one
31
69
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Badala ya kuwapa CHAKULA CHA UBONGO kwa Single moja naona kama niwape Chakula cha EP ya nyimbo 5 au mnasemaje MABOSS wangu??? Cc. @directorcobra
Tweet media one
85
69
1K