Zile enzi za maandamano nilikua naingia Twitter na furaha yangu napitia post zenu kidogo kidogo hasira zinapanda inashinda ya mkizi ama ni mkisii,, nashindwa nimekosea nani ,,,fuck ruto mehn
Leo nimejaribu ile kitu mlikua mnasema ati ukiwa hoteli na uvurute chai kwa nguvu watu watakuachia chakula Yao na hapa sijaona mtu akiachilia sahani yake 😂😂 frauds nyinyi