Asante sana my brother kwa kunipa nafasi ya kipekee kwenye album yako hii kwenye kilele cha mafanikio ya miaka 18 ya mziki wako umekuwa inspiration kwa vijana kubwa zaidi kwenye ubora wako wa uandishi wa mashairi, lakini pia moyo wako wa upendo.
#LSD
iko kwenye all platform enjoy