My guy pale highschool alichapwa suspension juu ya makosa aliwekelewa so jamaa kurudi ananiambia "Chota maji 5 litre uweke kwa box nataka kuweka viagra kwa main tank"
😂In my whole life highschool I used to have a jerrican, nilikuwa naijaza kwa tank ya staffroom
Kuna dem nilikuwa nataka, nikachapa moves kadhaa na nikatulia huyo gaidi akanitumia beste yake mwenye sijui anikatie nikaingia box day one sasa wote wawili wameniblock kumamaye, fear women