Magogoni Daily Profile Banner
Magogoni Daily Profile
Magogoni Daily

@magogonidaily

4,247
Followers
3
Following
155
Media
196
Statuses

Habari, Uchambuzi, Sera, Siasa na Historia kwa namna tofauti | Bilingual

Dar es Salaam & Dodoma
Joined May 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@magogonidaily
Magogoni Daily
15 hours
Sauti ya Watanzania. ๐Ÿ—ณ๏ธ75%+ 2025.
30
42
580
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Tweet media one
54
141
4K
@magogonidaily
Magogoni Daily
14 days
Tweet media one
38
111
3K
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Tweet media one
22
95
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
16 days
Maombi yetu kwa Mwenyezi Mungu ni Tanzania na watu wake kuendelea kubaki salama ๐Ÿคฒ๐Ÿพ Mwenyezi Mungu aisimamie dhidi ya wote mwenye nia ya kuigawa kwa namna yoyote ile. Endelea kupumzika pema Mwalimu. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœŠ๐Ÿพ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
81
169
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
12 days
Muumini, Mwalimu na Mtekelezaji wa Mabadiliko, Ustahilimivu, Maridhiano na Kujenga Upya.
Tweet media one
90
100
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
๐Ÿ“Ifakara, Morogoro Dakika chache kabla ya kupandisha bei ya mpunga toka shilingi 570 kwa kilo hadi shilingi 900. Kazi Kazi Asubuhi. Mchana. Jioni.
Tweet media one
37
79
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
19 days
#TanzaniaKwanza Kwa miaka mingi ukubwa wa maeneo yetu ya hifadhi na amani ya nchi yetu umevutia wageni wengi kutoka nje ya nchi majirani kuingia na kufanya shughuli zao za ufugaji wakishirikiana na wenyeji. Wageni hawa wamekuwa sehemu za vijiji vyetu katika hifadhi na wengine
Tweet media one
147
112
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
9 days
TUKIO LA KUPOTEA KWA WATOTO WAWILI LAMADI Huu ndio ukweli kuhusu yaliyotokea Lamadi, Simiyu kama unavyoelezwa na wahusika wa tukio lenyewe.
62
125
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
๐Ÿ“ Muda wa Kazi @ Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) na Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC). Mama na Kanuni iliyonyooka Mazingira Bora ya Biashara na Uwezaji = Viwanda Zaidi = Ajira Mpya = Uhakika wa Maisha kwa Wananchi
Tweet media one
22
65
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
9 days
Tweet media one
24
62
2K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Neatly done @MikaChavala #SwahiliNation ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
32
88
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Dumila, Morogoro #TuongozeMama
Tweet media one
19
48
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
20 days
31
72
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Morogoro sasa ni Mpya | Karibu sana Morogoro Mama
24
59
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Mama na wananchi wake ndani ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
42
59
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
16 days
๐Ÿ“Amiri Jeshi Mkuu katika kazi Kusini Unguja. Kinara wa Haki, Amani, Utulivu na Muumini wa Utaratibu katika kuiishi leo njema na kuifikia kesho bora ya nchi yetu. Nchi moja. Imara. Yetu sote.
Tweet media one
68
67
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Upendo kwa Mama ndani ya Morogoro. Upendo toka kwa kila rika.
Tweet media one
14
40
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
28 days
Sauti ya Wengi Uwanja wa Lake Tanganyika.
Tweet media one
16
31
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
27 days
Sauti za Wengi. Sauti za Watanzania. Ahsante Sana Mama.
24
64
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Tweet media one
13
32
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
24 days
Tweet media one
28
43
1K
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Amiri Jeshi Mkuu na wananchi wake pori kwa pori. Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mtibwa Sugar wakifurahi kutembelewa na anayeimarisha mazingira ya uwekezaji na kuwahakikishia ajira zao.
Tweet media one
12
35
977
@magogonidaily
Magogoni Daily
24 days
Mtu wa wote kwa vitendo. Wote ni wake. Katika hali zote. Ametuleta na kutuweka pamoja.
Tweet media one
66
47
953
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ: ๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—œ ๐—ก๐—” ๐——๐—ž. ๐—ฆ๐—ฆ๐—› ๐—จ๐—ž๐—œ๐—ช๐—” ๐— ๐—ง๐—˜๐—จ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜ ๐—ฃ๐—ข๐—ฃ๐—ข๐—ง๐—˜ ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ 1. Ukifanya madudu kwenye kutumikia wananchi usidhani hakuoni, hasha. Ana tochi kila kona ya nchi hii isipokuwa yeye pia ni Mama. Ukiendelea kwa
Tweet media one
45
72
854
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Mama na Wananchi wake. Mama ndani ya Morogoro.
14
37
863
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
๐ŸŽถ Kazi ya Jeshi kweli moralii ๐ŸŽถ ๐ŸŽถ Inahitaji uvumilivu ๐ŸŽถ Vijana wa Amiri Jeshi Mkuu Dkt. SSH katika chenja za amsha amsha ya Mazoezi ya Medani, CTC Mapinga, Bagamoyo.
38
100
861
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Katavi wanasema AHSANTE Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia #magogonidaily
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
19
819
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Busara za Mama | ๐Ÿ“น #MagogoniDaily โœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธ
19
63
782
@magogonidaily
Magogoni Daily
26 days
Amiri Jeshi Mkuu. Kinara wa Mabadiliko. Muumini wa Maridhiano. Nahodha Mahiri. Mlinzi Namba Moja wa Amani na Utulivu wa Nchi yetu.
Tweet media one
82
48
769
@magogonidaily
Magogoni Daily
24 days
Mtu wa wote kwa vitendo. Amiri Jeshi Mkuu anayejali wote katika hali zote. Wote ni wake. Furaha ya kupokea mchango wa kanisa toka kwa Mama.
29
48
754
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Karibu Katavi Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia .
11
32
722
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Kazi za Mama. Kituo cha Afya Buza, Temeke. Kazi Inafanyika. Matokeo yanaonekana.
Tweet media one
43
42
715
@magogonidaily
Magogoni Daily
25 days
๐Ÿ“Chuo cha Ualimu Korogwe, Tanga
13
34
624
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Kazi nzuri ya Mama Mabadiliko na uwekezaji Bandari ya Dar es Salaam yapunguza wastani wa meli kwenye foleni kusubiri kupakua mzigo kutoka meli 34 hadi 7 kwa mwezi. Kasi ya kushusha mzigo, kukusanya mapato na biashara yaongezeka zaidi ya mara 4.
Tweet media one
29
32
531
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
6
23
489
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Upendo kwa Amiri Jeshi Mkuu Gairo. Upendo kwa Mama ndani ya Gairo.
15
30
466
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Katavi kwa ufupi Idadi ya watu: 1,152,958 (Sensa ya Mwaka 2022) Baadhi ya miradi mikubwa toka kwa Rais @SuluhuSamia kwenda kwa Wanakatavi 1. Bandari ya Karema 2. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi Julai 12-15 Mheshimiwa Rais atakuwa Katavi kuwajulia hali wananchi wake na
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
24
424
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Amiri Jeshi Mkuu na Wananchi wake Morogoro โค๏ธ
14
28
388
@magogonidaily
Magogoni Daily
21 days
Mwanadiplomasia Namba Moja. Muhtasari wa kazi toka Harare, Zimbabwe.
11
26
379
@magogonidaily
Magogoni Daily
23 days
Bila amani hakuna maendeleo. Tanzania itabaki salama tukiendelea kuwakataa wanaotaka kutugawa kidini, kikabila, kikanda, kibara & kivisiwani au kijinsia kuleta mifarakano. Tuliwakataa 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na tutaendelea kusema HAPANA kwa kila mbaguzi na kibaraka.
Tweet media one
18
20
316
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Mama Nahodha wa Chombo Maridhiano tulipokoseana. Mabadiliko kuelekea nchi bora zaidi. Ustahimilivu tunapotofautiana. Kujenga Upya. #MagogoniDaily
Tweet media one
5
12
304
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Karibuni Nkondwe Waterfalls kwenye Mto Lugufu. Karibuni Katavi. Kwa namna ya kipekee karibu Katavi Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia . Asante kwa kazi kubwa uliyoifanya ya kuboresha sekta ya utalii. Katavi tunaendelea kufurahia matunda yake.
9
12
295
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Tweet media one
6
21
286
@magogonidaily
Magogoni Daily
29 days
Morogoro inarudi kwenye ramani kama Mkoa wenye idadi kubwa ya viwanda. Asante Mama.
8
22
266
@magogonidaily
Magogoni Daily
29 days
Unaamini kwamba wapo Watanzania wanaoweza kuwa wanafadhiliwa na mataifa au mashirika ya kigeni kuendesha mijadala hasi dhidi ya Tanzania (viongozi wake, maendeleo yake, amani na ustawi wake) ndani na nje ya mitandao ya kijamii?
Yes
510
No
629
23
23
113
@magogonidaily
Magogoni Daily
29 days
UCHUNGUZI WA TUKIO LA BINTI WA YOMBO DOVYA 1. Hadi leo Agosti 9 Jeshi la Polisi limewatia mbaroni watuhumiwa 4 kati ya 6. 2. Binti yuko sehemu salama akipatiwa msaada wa kisaikolojia kutokana na tukio hilo. 3. Majina ya waliokamatwa mpaka sasa ni Clinton Honest Damas
Tweet media one
28
29
86
@magogonidaily
Magogoni Daily
11 days
Maana halisi ya Mtu Kazi ๐Ÿ‘๐Ÿพ ๐Ÿ“Zanzibar ๐Ÿ“Nairobi ๐Ÿ“Arusha Ndani ya saa zisizozidi 12.
Tweet media one
10
17
50
@magogonidaily
Magogoni Daily
25 days
Tweet media one
16
26
46
@magogonidaily
Magogoni Daily
8 days
โœŠ๐Ÿพ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโœŠ๐Ÿพ Mbele kwa mbele daima hadi ushindi, Amiri Jeshi Mkuu. Hasta la victoria siempre, Comandante. Nchi yetu. Amani yetu. Umoja wetu. Maisha yetu. Maendeleo yetu.
Tweet media one
10
23
41
@magogonidaily
Magogoni Daily
14 days
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโค๏ธโœŠ๐Ÿพ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
12
16
40
@magogonidaily
Magogoni Daily
28 days
Tweet media one
11
18
38
@magogonidaily
Magogoni Daily
27 days
๐Ÿ“Kigali, Rwanda
Tweet media one
Tweet media two
9
16
34
@magogonidaily
Magogoni Daily
7 days
#Miaka60yaJWTZ #Miaka60yaWatanzania #Umoja Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. Samia Suluhu Hassan Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Stargomena Tax (Mbunge) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda
Tweet media one
12
20
36
@magogonidaily
Magogoni Daily
15 days
๐Ÿ“Msata Pwani Amiri Jeshi Mkuu | Mazoezi ya Medani Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) #Umoja ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โœŠ๐Ÿฟ
Tweet media one
8
15
33
@magogonidaily
Magogoni Daily
10 days
๐Ÿ“Dar es Salaam Amiri Jeshi Mkuu Imara Nchi Imara Jeshi Imara Amiri Jeshi Mkuu akiwa katika halfla ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
21
30
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Siku ya Kihistoria. Siku kubwa kwa Taifa letu.
Tweet media one
6
12
30
@magogonidaily
Magogoni Daily
10 days
๐Ÿ“Arusha katika Kazi Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma.
Tweet media one
10
16
29
@magogonidaily
Magogoni Daily
28 days
Sauti ya Wengi Morogoro.
Tweet media one
7
13
28
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Kiongozi na Mwananchi wake Mwalimu na Mwanafunzi wake Amiri Jeshi Mkuu akiwa na Mwalimu wake wa zamani leo Chuo Kikuu Mzumbe.
Tweet media one
2
9
28
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
#TuongozeSamia Amiri Jeshi Mkuu na Wananchi wake Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
18
27
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Postikadi toka Morogoro โœ‰๏ธโœ‰๏ธโœ‰๏ธโœ‰๏ธโœ‰๏ธ
6
17
27
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Amiri Jeshi Mkuu na wananchi wake Uwanja wa Jamhuri Morogoro ๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ
4
14
27
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Morogoro โค๏ธ Mama Mji wa viwanda na utalii umeamka tena ๐Ÿ‘๐Ÿฝ Ahsante Mama.
6
15
27
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด UTEUZI ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด
Tweet media one
Tweet media two
6
14
26
@magogonidaily
Magogoni Daily
23 days
Maneno mazito kuhusu kazi, nchi, kiapo na utumishi toka kwa Amiri Jeshi Mkuu.
7
14
27
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Her Excellency President @SuluhuSamia at work. Postcards from Mandela Stadium, Rukwa Region.
6
18
26
@magogonidaily
Magogoni Daily
19 days
๐ŸšจTaarifa ya Jeshi la Polisi Tanzania ๐Ÿš”
Tweet media one
6
17
26
@magogonidaily
Magogoni Daily
10 days
๐Ÿ“Arusha Maagizo ya Amiri Jeshi Mkuu Mashirika ya umma yawekeze baada ya kufanya utafiti wa kina kwamba fedha za umma zitakuwa salama.
9
16
27
@magogonidaily
Magogoni Daily
6 days
Jeshi Imara la watu huru katika nchi huru chini ya Amiri Jeshi Mkuu makini. Heri ya Miaka 60 Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
15
28
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Kinara wa Mapinduzi ya Kilimo Bajeti kubwa zaidi ya Wizara toka nchi ipate uhuru. Sekta inayoajiri asilimia kubwa zaidi ya Watanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
11
25
@magogonidaily
Magogoni Daily
7 days
๐Ÿ“Dar es Salaam "Mtoto wa kike aliyelelewa vizuri kwenye misingi ya maadili na imani ni msingi wa familia na taifa." - Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tweet media one
7
15
25
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Siku ya Kihistoria. Mama anasema sasa anajenga maeneo zaidi, SGR ifike hadi mipaka ya DRC na Burundi. Nchi ifunguke, fursa zisambae kila kona.
6
14
24
@magogonidaily
Magogoni Daily
12 days
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿค๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Mwanadiplomasia Namba Moja wa Nchi Yetu.
Tweet media one
12
15
24
@magogonidaily
Magogoni Daily
28 days
Sauti ya Wengi Namanyere Rukwa.
Tweet media one
6
14
22
@magogonidaily
Magogoni Daily
16 days
Mali ya Tanzania. Faida ya Tanzania. Ahsante sana Mama.
10
15
24
@magogonidaily
Magogoni Daily
28 days
Sauti ya Wengi Kigoma.
Tweet media one
5
15
23
@magogonidaily
Magogoni Daily
14 days
Usiku wa Kazi, Utamaduni, Utalii na Uchumi kutoka Kizimkazi hadi kila kona ya nchi yetu. #NchiYetu #FahariYetu #UmojaWetu
Tweet media one
6
14
23
@magogonidaily
Magogoni Daily
20 days
Tafakari ya leo Je, kauli hizi ni sawa kwa amani, utulivu na ustawi wa taifa letu?
12
14
23
@magogonidaily
Magogoni Daily
29 days
Nasaha za Mama. Maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu.
5
13
22
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด UTEUZI ๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด๐Ÿ”ด Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms)
Tweet media one
3
12
22
@magogonidaily
Magogoni Daily
25 days
Unaamini lipi kati ya haya kuhusu Upinzani Tanzania?
Upo wa kweli
103
Upo kama biashara za watu
105
11
16
21
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyambuli Etanga Mashauri, kuwa Brigedia Jenerali. Mbali na kazi ya Uanajeshi, Kitaaluma Brigedia Jenerali Nyambuli ni Mwanasheria.
Tweet media one
2
1
21
@magogonidaily
Magogoni Daily
19 days
8
12
21
@magogonidaily
Magogoni Daily
6 days
The Chief #Unity โœŠ๐Ÿพ #TPDF60 #Tanzania
Tweet media one
9
13
26
@magogonidaily
Magogoni Daily
19 days
Amiri Jeshi Mkuu Rais Mama Kiongozi Mpenda Haki
8
16
19
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Karibu Morogoro Mheshimiwa @SuluhuSamia . Wana CCM Morogoro Mjini wana ujumbe wao kwako kupitia kwa Mwenyekiti Mheshimiwa Fikiri Juma. #ZiaraYaMamaMorogoro
4
11
19
@magogonidaily
Magogoni Daily
17 days
Siku njema toka Kizimkazi #UtamaduniWetu #FahariYetu
8
13
18
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Falsafa ya R Nne za Mama kwa vitendo. Ustahimilivu hutufanya kubaki wamoja.
6
15
19
@magogonidaily
Magogoni Daily
23 days
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe kwa ajilli ya kushiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Harare nchini
Tweet media one
6
15
19
@magogonidaily
Magogoni Daily
2 months
Karibu Rukwa Mama. Karibu Rukwa Mheshimiwa Rais. Karibu nyumbani. Shule na madarasa mapya tumeyaona, tunayatumia. Hospitali, vituo vya afya na zahanati mpya , tumepokea. Kuongezeka kwa barabara za lami Rukwa, tunafurahia. Uimara, utulivu na amani ya nchi yetu tunajivunia.
1
3
19
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Upendo wa wananchi kwa Rais wao Upendo kwa Amiri Jeshi Mkuu Upendo kwa Mama toka Gairo Sehemu ya wananchi wa Gairo wakati Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akianza ziara yake wilayani humo leo.
Tweet media one
5
13
18
@magogonidaily
Magogoni Daily
22 days
Amiri Jeshi Mkuu akiwa kazini Harare Zimbabwe. #SADCSummit #panafricanism
8
16
18
@magogonidaily
Magogoni Daily
18 days
๐Ÿ“Skuli ya Maandalizi Tasani Makunduchi, Kusini Unguja #Zanzibar Elimu | Malezi | Maadili
Tweet media one
11
12
17
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
๐Ÿ“ Dodoma Muda wa Kazi
Tweet media one
8
13
17
@magogonidaily
Magogoni Daily
22 days
๐Ÿ“Harare, Zimbabwe Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
13
16
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Mtu wa Watu. Mtu wa Kazi. Mtu wa Matokeo.
Tweet media one
6
11
15
@magogonidaily
Magogoni Daily
6 days
Tweet media one
9
13
18
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Amiri Jeshi Mkuu na Wananchi Wake Series ๐Ÿ“Njiani Mangโ€™ula, Morogoro
Tweet media one
Tweet media two
3
13
15
@magogonidaily
Magogoni Daily
21 days
Chini ya uongozi wa Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imechukua Uenyekiti wa TROIKA (Sehemu ya SADC inayosimamia mambo yanayohusu Siasa, Ulinzi na Usalama).
8
13
15
@magogonidaily
Magogoni Daily
1 month
Morogoro | Amiri Jeshi Mkuu na Wananchi wake. Kazi Mkoa kwa Mkoa, Wilaya kwa Wilaya, Kata kwa Kata. #SamiaWaWatanzania
2
11
12