:-)™ Profile Banner
:-)™ Profile
:-)™

@m4lecha

3,085
Followers
2,948
Following
40
Media
9,535
Statuses

Gamer🎮 #YNWA ❤️❤️ @redbullF1 Subaru fanatic

Mombasa, Kenya
Joined June 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@m4lecha
:-)™
1 month
Mimi nae mkiniongleesha vizuri naeza wafanyia 'sasa kamummy'😂😂
8
76
164
@m4lecha
:-)™
3 months
Depression is real ,no one should convince you otherwise 🤐
Tweet media one
13
25
64
@m4lecha
:-)™
2 months
Leo nimekuwa busy kama your unloving partner 😂
3
23
61
@m4lecha
:-)™
2 months
Kama Kuna kitu make up haiwezi ficha ni accent 😂😂🥶
8
26
49
@m4lecha
:-)™
1 month
The fact that you live alone but still go to the shower with your towel on scares me😂👊
6
21
47
@m4lecha
:-)™
17 days
Natoka kwa nyumba alafu kitu ya Kwanza naambiwa ni 'nimekumark' ...nikama Leo nitaiona hizo vitu za chusdei
1
18
42
@m4lecha
:-)™
1 month
Campus unapata mtu ako na vitabu za kila unit na hiyo time yako ni toka first year bana😂😂
2
22
39
@m4lecha
:-)™
22 days
Story ya kuwasha nots ni michezo ya taoni pande hii😂😂
3
21
37
@m4lecha
:-)™
2 months
Hawa watu husema kichapo Cha mbwa nikama hwajawai ona panya imepatwa kwa bedsitter 😂💔
4
23
37
@m4lecha
:-)™
2 months
Kuambiwa hukai after umesema huna pesa feels like a compliment but it's not😂😂
3
19
36
@m4lecha
:-)™
29 days
Mimi nayo miwani na sauti nzuri hunimaliza bana😂
4
20
34
@m4lecha
:-)™
1 month
Pesa tumetumia bibi yako ju wewe utakunywa nayo pombe<<<<
1
22
33
@m4lecha
:-)™
1 month
Unanilipa 50bob na unataka nikunyoe kama Sancho💔😂😂😡
3
17
32
@m4lecha
:-)™
1 month
Habari zenyu 😁,habari zenyu tena😂
2
14
32
@m4lecha
:-)™
28 days
"You attract what you are" uongo bana sasa how am I 30yrs ???
0
7
32
@m4lecha
:-)™
1 month
Team kubwa zinacheza UCL leo alafu Kuna Man U na Carabao😂
1
11
32
@m4lecha
:-)™
2 months
Amenipeleka kwao nikapata mamamke ndio the woman of my dreams 😂
0
10
32
@m4lecha
:-)™
27 days
Armband iende kwa Salah ama Haaland pale FPL??
4
14
31
@m4lecha
:-)™
1 month
Kama unakunywa Keg lazima ujue kucheza pool 😂💀
4
16
30
@m4lecha
:-)™
18 days
Monday corporate baddies humaliza maji kwa dispenser ya ofisi before saa nane 😂💀
4
16
30
@m4lecha
:-)™
2 months
Mlisema kufake life mtu anafaa kuwa na pesa ngapi hivi, asking for a friend 😂
2
13
29
@m4lecha
:-)™
2 months
Nilijoin Tinder na vpn location ikiwa huko Mumbai India sai tumematch lakini anataka tuongee kuhusu java , python ,php na swift on our first date😂😭😭😅💀
3
14
27
@m4lecha
:-)™
2 months
I hope manjesta wanapiga zoezi ju ya Liverpool wikendi😂
3
14
29
@m4lecha
:-)™
1 month
Pesa ulikuwa unaokota huko Primary CRE alafu unapeleka kwa chief😭😭💔
1
17
29
@m4lecha
:-)™
1 month
Nataka niongeze "kwani hujui jokes" kwa risky text nimetuma 10 minutes ago 😂💔
5
12
28
@m4lecha
:-)™
18 days
Nimeambiwa nichoose between kubaki na tattoo ama kubaki job💀😂😂
2
15
28
@m4lecha
:-)™
1 month
Uko na Glovo lakini unashindaga kwa mama mboga<<<
4
20
28
@m4lecha
:-)™
22 days
Firirinda nayo hukuwa goated bana 😂
2
10
27
@m4lecha
:-)™
29 days
The two love is wicked ladies were really trying to tell us something 😂
0
9
26
@m4lecha
:-)™
2 months
Niko hapa na manzi yako anaitisha Guinness na Tusker Lager🚩🚩😂😂
4
9
27
@m4lecha
:-)™
2 months
Leo nimeona hoodie niliwachia manzi yangu tao😭😭😂
0
16
27
@m4lecha
:-)™
27 days
Unakunywa pombe mingi na unajua Siri zetu<<<
1
15
26
@m4lecha
:-)™
2 months
Nimepanga squad huko FPL lakini siwezi post ju ya plagiarism 😂😂💀
5
9
25
@m4lecha
:-)™
1 month
Yule uncle alisema umtumie CV ndio mmepatana na yeye mjengo akajifunika na simiti😂
0
18
27
@m4lecha
:-)™
1 month
Second year medicine nilikuwa nishaanza kutibu watu home bana uko class mamako anakutext aty "mama Kim anaumwa na kiuno, anunue dawa gani"😂😂💔
3
17
26
@m4lecha
:-)™
28 days
Unashangaa watu wanafurahia Telegram on 26th na wewe umekuwa ukishinda huko na hujui nini inaendelea 😂😂💔
2
13
26
@m4lecha
:-)™
1 month
Mmetulia hivi na Sandy anaandikiwa nyimbo kijana wa vijana barobaro😂😂
1
17
25
@m4lecha
:-)™
21 days
Mnaonaje niongeze 'MD' hapo kwa Avi ama ni show off??😂😂
2
12
24
@m4lecha
:-)™
2 months
Ulisema mwaka huu tutakuita bosi what happened bana??!!!😂😂
3
10
25
@m4lecha
:-)™
2 months
Watu wa special diet highschool walikuwa wanatuona kama tunakula kiapo bana
0
10
24
@m4lecha
:-)™
1 month
Hii mwaka nimeskia "tell us more about yourself"mingi kuliko miaka yangu na bado sijijui😂
1
13
24
@m4lecha
:-)™
2 months
I know it was toxic but atleast we had fun. Tell your mum I said hi😂😂
3
7
24
@m4lecha
:-)™
2 months
When butterflies are in love,do they get humans in the stomachs??!!!😂😂
1
11
24
@m4lecha
:-)™
2 months
F1 is on a break and the EPL is back Kuna haja ya msichana kweli???!!😂😂
0
10
23
@m4lecha
:-)™
1 month
Watu wa SDA wanaanza kuskia ngoma za Bahati Bukuku sai ndio atleast kesho wakue wamefikia 'waraka wa Amani'😂
1
8
24
@m4lecha
:-)™
1 month
Hakuna kitu hubamba watu wako na partners job kama Monday 😂
1
14
23
@m4lecha
:-)™
1 month
Mnifikishe 3k walaiii 😂
3
12
23
@m4lecha
:-)™
24 days
Uncle yako analewa family gathering alafu anakuja kushout vile babako hudhani we si wake😂😂😂
0
7
23
@m4lecha
:-)™
1 month
Dinner date ikipita thao mbili Mimi siwezi lipia pre wedding bana
2
8
23
@m4lecha
:-)™
21 days
Ushago ata ukuwe introvert ya ukweli wanasemaga uko na maringo😂
0
9
23
@m4lecha
:-)™
8 days
Huko football Twitter naona mambo inachemka 😂😂
0
13
27
@m4lecha
:-)™
2 months
Nimepatana na Instagram baddie kwa ground ikabidii nimuulize pesa Iko wapi😂
3
12
21
@m4lecha
:-)™
30 days
Mnunue masimu sasa si mmeona vile watu wamekuwa circumcised huko Palestine
2
13
22
@m4lecha
:-)™
2 months
Ni wewe unaniona daily alafu unaambia watu narudia nguo😂
1
13
23
@m4lecha
:-)™
19 days
Fan wa man U wanasema heri wagongewe dem Leo lakini si team
1
13
23
@m4lecha
:-)™
28 days
Nakughost for 3 months then hit you with 'wya'💀😂
1
16
23
@m4lecha
:-)™
1 month
Freshers pia washaanza kuomba Soo jameni😂
4
12
21
@m4lecha
:-)™
1 month
If she listens to Frank Ocean>>>>
1
15
22
@m4lecha
:-)™
3 months
Vile najua kupika nikama house help atakuwa anasaidia bibi yangu kuosha vyombo pekee😂
2
7
21
@m4lecha
:-)™
1 month
Best date I've ever had was my date of birth,what was yours?😂
1
12
22
@m4lecha
:-)™
1 month
Receiving 'the pics' and letting go of the ego to act like that's the most beautiful thing you've ever seen>>>
1
12
21
@m4lecha
:-)™
16 days
Waah...ata sijui nitakusaidiaje, lakini...utalewa???!!!😂💀
0
9
22
@m4lecha
:-)™
16 days
Natumia mzungu pesa alete container imekwama hapo Mombasa alafu jina inakuja Kamau Njoroge💀😂
0
13
22
@m4lecha
:-)™
2 months
Kuenda Naivas na bags za Carrefour feels illegal but it's not😂
2
16
22
@m4lecha
:-)™
2 months
Adding "si Mimi ndio nakushow" to sound trustworthy knowing very well that your lying 😂
1
10
20
@m4lecha
:-)™
1 month
Kusota inafanya niamke mbele ya jogoo😅
1
12
19
@m4lecha
:-)™
2 months
Unarepost ukidhani itanasa na bado hainasi💀😂😂😂
3
10
20
@m4lecha
:-)™
2 months
Adui ni msoto na Manchester united 😂😂
0
14
21
@m4lecha
:-)™
2 months
Ni birthday yake nimemnunulia Ringoz na nikatupa line moja romantic apo wozzap sai sioni dp kwani mnatakaga nini😂
1
9
21
@m4lecha
:-)™
2 months
Anasema alienda group of schools kumbe anamaanisha alitransfer kwa shule tatu😂😂💔
2
13
19
@m4lecha
:-)™
2 months
"Tuma code tuguse" hii imenipea mabeshte sana walaiii 😂
0
13
20
@m4lecha
:-)™
18 days
Director ameona tattoo akasema nimwone badaee wakuu💔😂💀
0
10
20
@m4lecha
:-)™
1 month
Unajiita Gen Z na unaumwa na kichwa kama hujakunywa chai😂😂💀
1
10
20
@m4lecha
:-)™
2 months
Campus unaingiaga mwili ikiwa a holy temple na ukitoka ata mapepo haziwezi taka kukaa kwa hiyo mwili
1
9
19
@m4lecha
:-)™
1 month
Ukikutana na crush ndio unsakiaga mapua inawasha bana😂💀💀
1
10
20
@m4lecha
:-)™
23 days
The worm is a pretty small prize for waking up early, don't you think??😂
1
11
20
@m4lecha
:-)™
2 months
Naona nitanunulia sneaky link jersey ya Onana ndo asishike ball😂
1
10
18
@m4lecha
:-)™
2 months
What song reminds you of him or her😂😅😭
1
10
19
@m4lecha
:-)™
11 days
Deadbeats instead of funeral songs>>>
1
11
20
@m4lecha
:-)™
1 month
Flight, fight or scream, which one's yours?
2
9
19
@m4lecha
:-)™
2 months
Kuishi kwa wenyewe ni stress.. after kuoga huwa unashindwa utaanika ngotha wapi bana💔😂💀
2
12
18
@m4lecha
:-)™
2 months
Habari zenu, habari zenu tena???!!!?
2
10
19
@m4lecha
:-)™
1 month
Manzi yako huku job anaambiwa "don't call me sir ,call me Sam" na anacheka😂😂💔
1
10
19
@m4lecha
:-)™
22 days
Ukitoka kwenu ndio unajua grass ain't greener on the other side
1
12
19
@m4lecha
:-)™
2 months
Bado tuko talking stage na tumeenda dates tano Njeri💀😂😂
0
8
19
@m4lecha
:-)™
1 month
Watu wa Man u wanafurahia kidogo tu hivi game week ndio hiyo ishafika😂😂
2
11
19
@m4lecha
:-)™
1 month
Kuna wa kababaa na wewe wa we mzee😂😂
1
9
19
@m4lecha
:-)™
2 months
Mateso inaanzaga ukishasema the three word sentence 😂😂😂💀
2
9
17
@m4lecha
:-)™
2 months
Wacha nilale kabla niambiwe "we need to talk "
1
11
18
@m4lecha
:-)™
1 month
Mama mboga ameniona na nyama akajam, enemy of progress this one😂
0
10
16