Koku Shekya🇹🇿 Profile Banner
Koku Shekya🇹🇿 Profile
Koku Shekya🇹🇿

@koku_shekya

2,114
Followers
859
Following
216
Media
7,807
Statuses

♊️GEMINI || INTROVERT 🤗||Liverpool ||YoungAfrican ❤️💚| stubborn ,tenacious, playful and loyal

Kemondo Rwagati
Joined October 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Nimemvalisha huyu kijana 🤗! Wababa njoeni mpendeze jameni sina kazi ingine mjini ….🔥🔥
Tweet media one
Tweet media two
27
51
295
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
18 days
Kuna hii famili nimetembelea, mkimaliza kula kila mtu anaosha sahani yake hadi baba mwenye nyumba na mgeni pia unaosha sahani yako 🤭😅
61
36
747
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
6 months
🥂
Tweet media one
27
48
694
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
“Nizalie Nikuoe “ “Nioe Nikuzalie “
Tweet media one
36
69
649
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Kila nikimuangalia Mke wa P funky , na Kajala Mke wa sugu na Faiza !😅 Najifunza vitu vingi .
45
38
561
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
🤗 daima mbele nyuma mwiko 🔥💛💚
Tweet media one
63
31
553
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Wanandoa watarajiwa wako hapa dukani , harusi jumamosi lakini 🤣 washatoleana maneno ya karaha hapa yoo🤣🤣 dada anataka gauni 2 in 1 ni 1.8M ,kaka anataka gauni ya laki 8 na nusu💔
68
28
544
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Mwanamke anaweza akaolewa, akazaa na bado akawa haja move on kutoka kwa Ex wake 🤣🤣
37
33
517
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
7 days
Karatasi ya mwaka jana ya kulipia Bango la biashara walipima wakanambia ni laki 2 na 35, mwaka huu wamepima nimeambiwa nilipe laki 335,400🤦🏾‍♀️ bango lile lile , mwakani nahisi ntaambiwa laki 5 Mama samia tuue wafanya biashara.
50
52
479
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Yaani wanaume nowdays wanajua kupika hadi wananiogopesha jamani 🤣🤣 sijui nita bring nini to the table muhaya 😫
51
16
386
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
8 days
Humu twitter mtu anaweza kukuchafua na kitu ambacho unashindwa hata kujitetea mtu anasema “ Ana kibamia “ Ananuka kisamaki “ Anashiriki” mapenzi ya jinsia moja” unawezaje kuaminisha mamilioni ya watu kuwa hauko hivyo 🤦🏾‍♀️
43
18
348
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
27 days
Kuna mtu kanambia mwanaume hadi akuoe ni lazima utoke nae mbali 🥹 yaani uanze nae chini … amenipa hofu sana na wasiwasi yani sina nilie anza nae chini wala kati 😅🥹 Kasheshe😂😂
58
13
333
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
11 days
Nimeona picha ya mke wa yalevis tiktok nikalinganisha na wale wadada wa Uganda 😂🤭, kama kweli huyo ndo wife , itoshe kusema “ Wanaume wanajua wanachotaka 😄yoo
20
12
321
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
🍫 ☺️
Tweet media one
@Njoki_Njanja
Kiki
2 months
There's something about mirror selfies. Let me see your favourite one
148
128
605
27
32
271
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
27 🤗
Tweet media one
@Iameniolamyde
DemiLade
2 months
20yrs - 45yrs old , bless us with your picture/video. Let’s see you and appreciate God’s creatures.
444
128
848
25
23
260
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
The bigger the forehead, the more kisses she can get ,🤗😅
Tweet media one
Tweet media two
@Lush_Beauty1
D I M A
3 months
Your pic holding an iPhone by the mirror
419
285
813
32
26
257
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Bio inasoma Taken 💍 Lakini picha zote mtu anapiga amegeuka kwa nyuma , au amekaa hivi kinamna 😅… Uyo alie mtake haoni izo picha au ? Me ndo sielewi hapa
32
20
256
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
“ Mwanaume anatoa Taarifa” “Mwanamke anaomba Ruhusa “ Mdau kutoka Mpumalanga 😅
15
19
224
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Ningepata mkaka avae suti zangu tupige picha angenisaidia sana jamani 😒nipate kuzipost
48
23
218
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
2 hours in Relationship !! Me : saidia maskini babe 😂
Tweet media one
43
45
215
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
27 days
Kutongoza ni kazi sana binafsi nisingeweza 😂’ Kuanzisha usihano jipya ndio kibarua zaidi hadi mzoeane mmh🤭 it’s not easy Bado ujaombwa nunu mmh 😩
22
13
214
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Mtu alienizidi miaka kuanzia 8 kuendelea akishindwa ku Reason…ananipa wakati mgumu sana asee🤣😅 mtu anaamua tu kuwa bumunda bila kujali umri wake oke …oke
24
22
209
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
19 days
“Mwanaume akikuzidi akili anakuwa na mvuto wa kipekee sana “ Mdau kutoka kinyanambo A.
17
26
204
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Lakini kupiga picha kwenye mahotel makubwa haimaanishi ww ni Tajiri ! Tusijisahau jamani
27
29
195
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
🤗
Tweet media one
Tweet media two
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Denim skirt 🔥🔥🔥
1
0
6
37
22
195
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Kyakulya 😋
Tweet media one
28
9
190
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
20 days
Kuna watu ukiwapa zawadi ata kama ndogo tu wanashukuru hadi unasikia raha moyoni 🥰 wanatia moyo sana hawa .
15
24
187
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
26 days
Kulea ni kazi sana 😂 My Nephew kachukua veet( hair removal cream) kapaka kichwani adi usoni 😂nywele zimetoka zote hadi nyusi 🤭😂😩
24
7
186
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Siku za weekend 🍻 ntakuwa nazima cm naiacha home 🤭kuna mahali nilituma voice note jana uwiii 💔🤣 Shame 😭
20
7
179
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
26 days
Mtu akikutoa dinner date make sure anacho agiza yeye ndio unacho agiza 🤭 mambo ya niagize juice ya 10k afu yako 25k utanikwaza 😂🤭
31
17
178
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
I was once a loyal side chick 😭.. the faithful side chick ..mnisaidie kusikitika kwanza 🤣🤣
22
6
164
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Bwana yesu Asante kwa maisha ☺️!.
Tweet media one
17
12
159
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
10 days
September 1 🤗 Dhow Palace Hotel
Tweet media one
Tweet media two
12
14
158
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Tl madaktari: Mimi mtu akisugua sufuria au chuma chochote meno yanauma sana shida nini ?
12
5
156
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Huyu dada yuko Dubai , nikamwambia na mimi nataka kwenda 😕, kanijibu .. Hela aitaki waoga je ntaweza ? ?
18
9
145
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
10 days
Bukoba Tanzania 🇹🇿 🤗
Tweet media one
@BesteNicolas
kijana mpole
11 days
Wazululaji wenzangu hiki kisiwa kipo mkoa gani apa TZ?? 🤨
Tweet media one
26
10
68
19
14
146
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Mtu ana mahusiano saba na yote yeye ndio Main chick 😫.. 🤣 huwa wanafanyaje fanyaje jameni
19
5
143
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Kuuza nguo za wababa kazi sana 🤭🤣 “ koku unaweza kuja kunivalisha .“ “ koku niletee suti saba ila ulete wewe sio boda niko bagamoyo “. “ koku zipu ya suruali aifungi njoo unisaidie “
17
7
142
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Nafikiri ni bora kumwambia mtu asie kufahamu kabisa Siri zako na matatizo yako kuliko ndugu zako au Rafiki zako 🤣🙌🏾….. mimi nikitaka ku vent huwa nachagua mtu asie nijua kabisaa …
13
22
140
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Wababa ili mtu ahongwe 5M vigezo ni vipi ??🤣🤭
34
8
139
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
So dukani kwangu leo kulitokea vita😂 amekuja mbaba na mwanamke wake ku shop suti na gauni , sasa wakati wanajaribisha akaingia mteja mwingine mwanamke wa makamo 😩😆 kumbe ni mke wa huyu baba , ndio natoka polisi kutoa ushaidi 😂
15
10
138
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Rafiki angu kafanya tounge piercing 🥺 kazimia …?? Wamempeleka marie stopes… yoo 😟
16
8
137
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Meseji ya I miss you uko wapi njoo 🤣 huwa wanataka ijibiwe kwa haraka .. Ila ya …. Baby sorry nashida na hela huwa inachelewa sana kuwafikia 😅??!!
16
9
134
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Sitawafundisha kila kitu , Muwekezaji lazima umpige na maombi kidogo 😂😂..🤭 azidi kuwa Rich plenty times
29
16
137
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
“Hio firigisi ni ya Baba “ Mtu asiguse . 🤣🤣 Why ?? Yaani why ni yake?? Si ale kipapatio 🤭
27
4
134
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Nimepigiwa Cm akasema yeye ni mtendaji wa kata yangu kuna Mfuko wa Tasafu natakiwa kuchangia pesa 🤣🤭nikamuuliza kata gani? Akanitukana sana 🥹matusi mengi mno 😫
15
12
133
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Bio : I’m Taken 💍🔐❤️ Whatsup status: Nani ako free tukale piza ?? Nani aninunulie biriyani ? Si mtu anikopeshe 20k ….
22
16
133
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Mimi Binafsi namuomba Mungu anipe mwanaume atakae nihurumia tu, 😂😑 mengine yanavumilika 😑
14
9
133
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Mimi binafsi , mubaba wangu atavaa sana 🤣🤣 ntahakikisha anavaa vizuri ananukia ndo akanisaliti huko na wengine akiwa smart 🤗🤣
21
12
127
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Msaada sio haki yako . Tafuta vya kwako .
@LeyAllyie
Leyla Mohamed🇹🇿
1 month
As you got older what did you realize?
31
7
63
5
46
127
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Ela ni ngumu sana 😫🤣 kama kuna mtu anakuhonga tu Respect that muwekezaji na mpige maombi mazito
10
12
125
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
13 days
“ Kama ana bring everything to the table , na kwa kitanda why usimpe allowence ama ni uchoyo “?? Mdau kutoka Rwamishenye.
16
11
127
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Akianza kukuita tu independent lady, mara boss lady, 🤣 ooh wakishua wewe mmmh 🚩🚩Run ….😅 kuna namna hutakaa upewe ata ya bando
14
14
122
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Numero uno wana sell 🔥🔥Bei kitonga
Tweet media one
Tweet media two
7
3
124
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
🔥🔥💃🏽🥂
Tweet media one
14
9
122
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Kupika chapati ya kusukuma imekuwa bado ni changamoto sana kwangu 😫😅 hii ya leo ni ngumu sana 🤣🤭
22
2
122
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Hapa wana mbuzi kitunguu moja 🔥😋
Tweet media one
Tweet media two
20
13
119
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Na bado mtu anakuacha 🥹😫 haki wababa …
Tweet media one
19
10
119
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Asubuhi nafungua duka , nikakuta mkaka kalala kwenye kibaraza nikajua mlevi nikampita tu , kumbe alikuwa kashakufa wanasema alilewa sana jana akagongwa na boda then boda wakambeba wakamlaza hapa 😭
19
9
116
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Bolt: samahani dada ! Ww ni dada nimekushusha apo samaki samaki ? Mida hii? Me: Ndio , kuna shida? Bolt: Sasa katika izi ela umenipa moja imeandikwa na kalamu ya blue alafu majina ni ya ukoo wangu ! Me: 🤔( confused)????’!!!??
5
11
118
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Huyu Ana miaka 29 amevalishwa leo promise Ring 🤣 ila wanaume …
14
7
118
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Unafatwa na Range …. Unarudi na boda boda 🤣🤣🤣💔
11
16
113
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
After watching hii series ! Nafikiri mwanamke akisha olewa anatakiwa kuacha kabisa urafiki na mashoga zake ambao hawaja olewa 🤭 atengeneze new friends ambao wako kwa ndoa .
9
8
113
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Ukipiga masanga kidogo ndio unajua nani ! unampenda 🤣🤣😅….. wacha nizime cm 🤭🤣🤣
12
6
108
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Na wazungu wakijifungua wanakandwa maji ya moto ?? Or??
16
8
106
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
•Level 27 unlocked 🎮🔓 #Gemini ♊️🥳🥳
Tweet media one
47
13
105
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Achana na bamia 🤣🤭 piga hii kutwa mara 2 😑😅
Tweet media one
17
8
99
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Wa hivi tu God 🤲🏾 saidia mimi 🤣
15
4
100
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
😫😅 mimi nimetulia sana , uwe na Amani 🫠🤣
@SharonMontana20
Mishy🇲🇫
4 months
@koku_shekya njoo hapa wanyumbani 😂
Tweet media one
1
0
3
25
3
101
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Friday 🤗
Tweet media one
5
4
101
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Hawa wachina na waturuki wanauza dawa za kuongeza shape na nono🤣 lakini mbona wao hawazitumii izo dawa jamani 😫😭
16
8
97
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Nitoe hela yangu ninunue Hennessy?? sio mimi 🤣 bora ata flying fish ina sukari 😅🤣
11
7
98
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
What if KATERERO FISH BUTCHERY SHOP mtanunua ?🤣🤣 maana nguo hamtaki 😭
18
2
95
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Him: koku zamu yako kukalia kwa juu Me :
Tweet media one
15
4
96
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
25 days
Man u akifungwa ntalala kwa amani sana 🤭😅
Tweet media one
30
6
95
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Standard inakuwaga Earned sio unadai dai kama mwehu , My ego this my ego that …we ni kajinga tumia akili uishi na watu vizuri 🤣🤣😫
12
13
87
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
“ mwambie ntamblock “ “ Soon nablock watu humu “ “Kuna baadhi ya namba nafuta “. 🤦🏽‍♀️🤣🤣 hivi hawa huwa wako sawa ‘? Kwamba ukiniblock sitaweza kula chipsi mayai au childish 😅 block bila matangazo … who cares 🤷🏾‍♀️
14
12
90
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Psalm 16:11 ☺️
Tweet media one
Tweet media two
5
4
89
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Wanapaki o estrogen supplements vizuri. 😅 vidonge 60 wanauza 350k .. wanasema.. Zinaongeza makalio na kutoa nyama uzembe, na kuweka boobs vizuri, na kutoa chunusi, bla bla bla Wanapiga hela 🤔
8
5
83
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
17 days
Psalm 107 🦦
Tweet media one
Tweet media two
8
8
84
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
So this guy blocked me, and then unblocked me to send the middle finger emoji, then reblocked before I could respond 😭😭 Yoo chest pain 🥹😫😭
20
3
78
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
6 months
@jobles_bukujero Mtu ana duka la soksi sinza ! 🤭 frame milioni moja 😂 hii inabidi nikae chini nielekezwe
11
1
80
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Akuu🤣 mambo ya watu wanao chunguliana sio ya kuingilia kabisa …🤭💔
Tweet media one
14
4
78
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
17 days
🤗🦦
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@LuckyLu____
FUNDI JUMA 🇿🇦
19 days
August photodumps let’s have it.
66
23
198
1
4
79
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Nipate hata ya kupima hii 🤣 asee inanukia vizuri jamani 🔥🔥
Tweet media one
6
8
75
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Mimi siku nikinunua Ndinga sitaeka tinted asee ntafunga sound moja kubwa 🤭 nizurule na chuma yangu mtaa kwa mtaa 😂😅 Uuh muhaya kama najiona asee
4
6
77
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Kuna kumpenda mtu ukiwa na Njaa na kumpenda mtu ukiwa umeshiba 😂 Naomba tusichanganye mambo !
10
10
77
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
“X wa Rafiki yako hawezi kuwa boyfriend/mume wako.” Mdau kutoka kigabiro .
11
7
77
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
1 month
Natamani vitumbua na maharage 🥲
10
8
76
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Manispaa jamani wanadai vibaya duu! Hadi pingu kisa tu 150k ya leseni na imechelewa tu one week, nimelipa io ela lakini bado wakataka faini 100k huna eti wanasema unaenda kulala polisi 🥲 uuh
Tweet media one
11
11
74
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
2 months
Mapenzi vitu vya hovyo sana ani relationship lasted only two months,,but it's gonna take one year to heal🤣😅…uuh
7
5
75
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Mtu akiniandikia meseji ya malalamiko kama gazeti huwa sisomi ! 🤣🤣 nafuta chap …..maana nikisoma tu kwisha i have a sharp tongue ….😕🙁
7
2
70
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Suti za koku 🔥🔥 Details 🫠
Tweet media one
Tweet media two
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Appreciation tweet for @DaveRaphaels Mimi kama muuza suti nimefurahi kufanya kazi na wewe ubarikiwe na Asante kwa muda wako ……wewe ni mtu wa maana sana barikiwa sana 🙏
0
4
36
3
13
68
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
4 months
Wauza chapati na maharage jioni wanatusave sana mabachelor 🤗 au nianze hii biashara 😂
8
4
67
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Mimi ni yupi hapo 😅?? Kuna 10k ya bando
Tweet media one
25
0
63
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
5 months
Kuna namna tu , nikitoka na marafiki zangu ku have fun, ka muda kangu kakifika nasema Embu nakuja naenda toilet mara moja 😅😂 ni bolt shwaa home … siwezi endeshwa na walevi mimi 🤭
7
4
63
@koku_shekya
Koku Shekya🇹🇿
3 months
Sitarudia kukopa Mpawa 🤣😭 simu za kudaiwa kila siku …
14
1
62