Jack upepo Profile Banner
Jack upepo Profile
Jack upepo

@kikomasta

9,306
Followers
2,460
Following
3,156
Media
9,334
Statuses

Mcheshi + Story teller + Peer adviser// C.E.O wa #ChafuZamoto , #PasswordZamtaa na #BilaGanzi

Tanzania
Joined April 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@kikomasta
Jack upepo
2 years
CHAZO CHA VITA VINAVYO ENDELEA UKRAINE.(Somewhere in Eastern Europe) Wengi wanajiuliza why Urusi avamie Ukraine,bila kujiuliza,kuogopa matokeo ya uvamizi kiuchumi.why NATO anajishauri kuingia Ukraine km wanavyo fanya kwny mizozo mingine ya Ulaya.Picha inaanza kaa kwa kutulia =>
Tweet media one
109
555
2K
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Kukua kwa china kulisababisha vipi Kiburi cha Russia kwa NATO na USA.Kwanni kinapelekea ugumu wa NATO na USA kuingilia mzozo wa Ukraine kijeshi muvi itaendelea.Weka like zako na Retweet za kutosha.kwa leo tuishie hapa. #ChafuZamoto #BilaGanzi
30
150
1K
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Baada ya US kusema itasitisha misaada yake Niger endapo utawala wa kijeshi ulioipindua serikali utaendelea.Jeshi la Niger limeiambia US misaada inaanzia nyumbani ni bora waanze kuwasaidia raia wa US wanaolala barabarani ndo wafikilie kuisaidia Niger #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
35
62
1K
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Ukitangaza vita na Niger umetangaza vita na Burkina faso na Mali. Anti western allience wamenza kutengeneza muungano Afrika.kazi ipo.Hayo ni maneno ya Kiongozi wa mali na Burkina faso.Kume kucha tayari #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
47
57
963
@kikomasta
Jack upepo
1 year
KWANINI NIGER,KWANINI IWE SASA? (Weekend na Chafu Za Moto)🔥 Kama tunavyo fahamu mapinduzi sio kitu kigeni kwa nchi za west Afrika,Kwa miaka ya karibuni yametokea Guinea,Burkina faso,Mali na sasa Niger, haya ya Niger yamechukua sura ya tofauti ukilinganisha na mengine,kwanini?👇
Tweet media one
Tweet media two
34
96
797
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Kijana ataifikisha mbali sana Burkina Faso kama watampa nafasi apige kazi,yupo siriaz sana na wananchi wake. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
18
31
661
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Baada ya balozi wa Ufaransa Niger kugoma kuondoka Serikali mpya ya Niger wamekata umeme na maji na hawaruhusu food delivery kuelekea ndani ya Ubalozi huo.Ikumbuke walishasema kama ataendelea kugoma watatumia nguvu. Eeh inyeshe tu #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
37
29
638
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Kama kuna mtu anamshukuru Putin basi Bashar Al Assad mana baada ya Gadafi alikuwa anafata yeye.Mawaziri wake walipokea bahasha za kaki,wakakimbilia US,alipoona ngoma ngumu akaomba msaada,Putin hana kazi mhovu kama unavyojua Nchi imenusulika. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
44
59
614
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Kundi kubwa la wa Niger limefanya maandamano makubwa nchini humo likionesha sapoti kwa kiongozi wao aliyepindua serikali.sasa ECOWAS kinawauma nin na raia wenyew wanasapoti #Behindthescene #BilaGanzj
Tweet media one
22
28
563
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Duh Patamu sana Algeria nao wanasema Niger ikivamiwa watachukulia kama imevamiwa Algeria #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
13
20
568
@kikomasta
Jack upepo
1 year
ECOWAS wamempa mwamba aliyepindua serikali Niger wiki 1 awe amerudisha madaraka kwa Rais aliyepinduliwa asipofanya hivyo wanaweza kuingiza jeshi kumtoa,Mchezo umefika patamu kama unamjua Sponsor mkubwa wa ECOWAS ushaelewa mchezo hapo. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
40
28
526
@kikomasta
Jack upepo
7 months
Toa neno moja la kuwapa faraja taifa teule baada ya kukutana na wasicho kitarajia ndani ya Gaza. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
69
19
521
@kikomasta
Jack upepo
1 year
ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE Za chiini ya kapeti,Nuland katua Niger na kuzungumza na uongozi wa mapinduzi kawapa ahadi serikali yake ipo tayari kuutambua na kushirikiana na uongozi wake endapo hawato wakaribisha Wagner ndani ya Niger. 😂😂 #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
31
23
506
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Kiongozi wa Niger amefunga anga la Niger(No fly zone) mpaka itakapotangazwa.Enzi hizo uwezi kujiamulia mambo hayo mpaka uombe ruhusa Paris. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
9
24
490
@kikomasta
Jack upepo
1 year
PRIGOZHIN VS SHOIGU Ugomvi wa marafiki wa Putin unao muweka njia panda.Nilisha waikusema hapa kwa katiba ya Urusi hairuhusu kikundi cha mamruki ila kama kimeundwa basi kuna mkono wa Putin.Hao wanaogombana kila mmoja anaona anamiliki jeshi na anaripoti kwa Putin
Tweet media one
14
16
467
@kikomasta
Jack upepo
6 months
Washajitoa ECOWAS na wanataka kuachana na matumizi ya franc aisee kweli hata Roma jaikujengwa kwa siku moja. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
8
14
467
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Kipindi hich chote Urusi ilichukuliwa kama Mzee mwenye misimamo ya kikoloni iliyopitwa na wakati Mpaka pale Urusi ilipopata huyu mwama Vladmir Putin.Aliye kuwa na dhamila kuleta mabadiliko ya kitechnolojia ya jeshi zima la Urusi kuwa la kisasa na kujikita mahusiano yake na China
Tweet media one
Tweet media two
1
42
451
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Kama unaijua Cold war utakuwa umepata kitu flani.Russia ilibaki kuwa Russia na nchi nyingine zikabaki zenyewe bila kuwa na umoja wowote.Ingawa umoja ulivunjika lakini % kubwa ya hizi nchi zilikuwa na marais vibaraka wa Russia ama raia bado walikuwa na misimamo ya kirusi.
Tweet media one
Tweet media two
2
38
444
@kikomasta
Jack upepo
9 months
Urusi sio mtu mzuri,Bi mkubwa wakati anaenda kwenye uwanja wa mapambano alikuwa na mbwembwe zote. Video ipo chini hapo kilicho mkuta
Tweet media one
31
24
448
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Ikiwa Niger itaguswa ni kama imeguswa Guinea,tutaingilia kati na kutuma wanajeshi wakasaidie.Jamaa wananunua nao ugomvi.Maneno kutoka kwa Rais wa Guinea Mamady Doumbouya.Wacha tuendelee kunywa mchuzi nyama hazipo mbali sana. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
22
31
440
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Uliozorota kwa muda na kubadili picha nzima ya Urusi kwenye uso wa kimataifa.Kipindi hiki chote Marekani na NATO wanatoa macho kwa Urusi,Wakamsahau China aliyekuwa anakuwa kwa kasi ya ajabu kiuchumi na Kijeshi,mpaka wanastuka China amekuwa hatar zaidi ya Urusi waliyoitolea macho.
Tweet media one
Tweet media two
4
41
433
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Baadhi ya maafisa ambao ni Pro western walijaribu kufanya mapinduzi siku ya jumanne huko Burkina faso.Mwamba akawatuliza fasta.Raia wakaingia mtaani kumsapoti Kiongozi wao.Shukrani ziende kwa Urusi walimtonya mshkaji mapemaa kunakitu kina endelea. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
9
21
435
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Nchi zilozoshirikiana Jana ku intercept makombora na Drone za Iran. US air force US air dedence US Navy UK air force Jordan air Force Jordan air force Israel air force Israel air defence Tunawekana sawa kidogo historia isije kudanganya watoto wetu kama ilivyo tudanganywa sisi.
Tweet media one
Tweet media two
72
36
437
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Pamoja na kuvunjika kwa USSR bado Urusi ilikuwa ni nchi pekee inayomiliki mabomu mengi ya nyuklia na masafa marefu zaidi ya USA,Na ya pili kwa uwezo wa Kijeshi baada ya US,Isipokuwa kiuchumi ilikuwa imedondoka vibaya,kuna kipindi ilibidi Marekani aisaidie Urusi kiuchumi.
Tweet media one
Tweet media two
3
44
429
@kikomasta
Jack upepo
2 years
kitu ambacho kilikuwa ni kutu kwenye chuma cha demokrasia anayosambaza US.Toka hapo pakawa na hofu inawezekana siku moja zile nchi zikajiunga tena na Russia akazichukua kinguvu kurudisha umoja wake ulio vunjika hapo mwanzo.
Tweet media one
1
41
429
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Hapo likaja wazo la kuzishawishi nchi zilizokuwepo umoja wa USSR wajiunge na umoja wa kujiami wa nchi za ulaya(NATO).Kama utajiunga na NATO jeshi lako litakuwa kubwa na Russia hatoweza kukuchukua kimabavu sababu kuna nchi zitakuwa tayari kuingia vitani kwa ajili yako ukivamiwa.
Tweet media one
Tweet media two
1
43
422
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Russia ilikuwa ndani ya umoja wa nchi za kisovieti (USSR).Uliokuwa ukijumuisha nchi kama Azebaijan, Armenia, Estonia, Beralus,Ukraine,Latvia,Kazakstan,Tajikistan,Lithuania,Georgia,Moldova,Uzberkistan,sijui kama kuna niliosahau kamaipo ni 1 au 2. ==>
Tweet media one
11
54
421
@kikomasta
Jack upepo
1 year
SUBMARINE (NYAMBIZI) Uwezi kuzungumzia nyuklia retaliation attack bila kutaja Nyambizi.Nadhani ushawai kusikia kitu Pre emptive attack.Wapo watu walioshauri US na NATO wafanye Pre emptive attack kwa Urusi alafu waingize majeshi yao. Niwaambie tu hicho hakiwezekani.👇
Tweet media one
Tweet media two
48
95
418
@kikomasta
Jack upepo
2 years
MAKUBWA YALIYOTIKISA UKRAINE WIKI HII #Behindthescene siku ya J3 14/3/ Urusi ilipiga cruise missile katika kambi ya mafunzo ya wanajeshi iliyopo 10 mile kutoka poland.Kambi hii ilitumika kufundishia Wanajeshi wa kujitolea kutoka mataifa mbalimbali walio taka kuisaidia Ukraine
Tweet media one
Tweet media two
38
102
408
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Kwa kuhofia hali ya Uchumi isije kupelekea Urusi akaanza kuuza Mabomu au teknolojia ya Nyuklia nje ya mipaka.Maisha yaliendelea ingawa mbinu zote za NATO zilijikita zaidi kujikinga na mashambulizi ya Urusi.Kipindi chote hiki Russia ilitazamwa kama Adui anayejipanga taratibu.
Tweet media one
Tweet media two
1
42
400
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Hii ilikuwa mbinu ya USA kuhakikisha wanakuwa na ushawishi mkubwa ndani ya Ulaya kumzidi ku hakikisha Russia haitokuwa na nguvu kama zamani za kumpinga Marekani.Kwenye maamuzi ya kiutawala wa Dunia.Kwakuwa USSR ndio pekee ilikuwa na uwezo wa kumbishia USA
Tweet media one
Tweet media two
1
49
400
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Zilizonifikia hivi punde mzigo wa kutosha umeingia Niger na wataalam kutoka kusiko julikana na wale wazee wa kufunika sura wapo njiani kuelekea Niger.Ngoja tuone #Behindtheacene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
33
19
396
@kikomasta
Jack upepo
2 years
USSR ilikuwa na nguvu kubwa sana Duniani na ulioweza kumzuia Adolf Hitler asiichukue Ulaya mana alishatandika karibu ulaya yote.Baada ya kuvunjika umoja wa nchi za kisoviet(USSR).Ambao kwa kiasi kikubwa ulisababishwa na USA kuhofia nguvu iliyokuwepo kwenye umoja huo.==>
Tweet media one
Tweet media two
1
48
390
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Zilizonifikia hivi punde inasemekana kuwa serikali ya Niger ya kiongozi aliyefanya mapinduzi wamefanikiwa kuingia contract na Kundi la Wagner,haijawekwa wazi ni kandalasi ya muda gani lakini inaanza rasmi leo.Wacha mvua iendelee kunyesha #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
6
18
387
@kikomasta
Jack upepo
2 years
Kinacho nishangaza ni nchi za umoja wa NATO zipo zaidi ya 28 zote zinapeleka silaha tofauti kumsaidia Ukraine lakin Urusi kutumia Drone za Irani tu imekuwa shida kwa umoja wa NATO.unadhani nini tatizo hapo? #Behindthescene
Tweet media one
37
25
385
@kikomasta
Jack upepo
2 years
AIR DEFENCE Unazi tuweke pembeni kwa long range interception of missile,mpaka sasa hakuna zaidi ya S-400,sasa hiyo siriz mpya ya S- 500 balaa lake lipoje mana missile zake zina speed zaidi ya march 15,Hii ni speed ya ku intercept hypersonic kabisa ingawa haija jaribiwa
Tweet media one
Tweet media two
39
40
381
@kikomasta
Jack upepo
2 months
Taliban wameanza kuuza tani 11,000 za mafuta ghafi kwa siku, wakipatia Afghanistan dola milioni 6 kwa siku. Hadi wataliban jamn duh Afrika tunakwama wapi? #Behindthescene .
Tweet media one
31
17
386
@kikomasta
Jack upepo
2 months
HABARI ZA HIVI PUNDE: Putin atasafiri kwenda Iran akiwa na hatua kali za usalama na msafara wa ndege 4 za Sukhoi 35. Atashiriki katika mazishi ya rais wa Iran, Raisi. #BilaGanzi
Tweet media one
16
16
374
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Vip wazee leo si ndo deadline mlisema mtaivamia Niger isipomrudisha Rais aliyepinduliwa mbona kimya sasa. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
20
14
370
@kikomasta
Jack upepo
6 months
Jamaa hataki masihara kashaona majaribio ya kumpindua yamekuwa mengi,Vikosi vya kwanza vya Urusi vimewasili Burkina Faso.inategemewa vitapelekwa pia Niger,Libya na Central Afrika na vitakuwa huko rasmi sasa. #Behindthescene #Behindthesce
Tweet media one
Tweet media two
22
24
364
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Wanajeshi wa akiba wa Israel 400,000 toka sehemu mbali mbali duniani wameitwa nyumbani Israel kuongeza nguvu.Hii ishakuwa balaa sasa. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
25
13
351
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Uzuri wa North korea uwezi fanya ziara yako wasikupitishe showroom yao.waziri wa Ulinzi wa Urusi alipofanya ziara dprk akiwa na mwenyeji wake. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
14
14
348
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Baada ya US kuzuia Huawei pamoja na baadhi ya technolojia zake zisitumike kwenye ofisi za serikali ya US,China nao wamezuia Matumizi ya vifaa vya Apple na technolojia yake kutumika ofisi za serikali ya China. Hapo kuna mmoja atatoka damu puani tu. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
25
19
336
@kikomasta
Jack upepo
2 months
HABARI MPYA: 🇷🇺 Urusi inapeleka manowari ya nyuklia ya daraja la Kazan Yasen hadi Cuba karibu na mipaka ya Marekani.Hii imekaa poa nadhani.Eeh huyu jamaa ndo kiboko yao akisema hatishii anafanya vitendo. #BilaGanzi #Behindthescene
Tweet media one
Tweet media two
30
14
338
@kikomasta
Jack upepo
1 year
UTAKE USITAKE Prigozhin nae yupo St Petersburg kuzungumza na viongozi mbali mbali wa Africa.Aisee Putin kweli anawachanganya mabepari,yani mtu juzi alikuwa na kikosi kuelekea Moscow kukupindua leo upo nae.Zachini ya kapeti ni nyingi sanaaa😂😂😂 #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
13
16
337
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Ufaransa wamekubali yaishe wanataka kuzungumza na kiongozi mpya wa Niger namna ya kuondoa majeshi yake,lakini balozi bado kagoma ubalozini jamaa mbishi sana. #Behindthescene
Tweet media one
18
13
332
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Kwa huu muungano wa Mali,Niger na Burkina faso.Inaonesha wazi Urusi haina nia ya kuitawala wala kuinyonya Afrika ila kuna kila dalili Putin sasa kaamua kutia mchanga vitumbua vyote vya wakoloni. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
6
16
326
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Iran wamesema wanasubili Israel ikinyanyua tu ndege kuitaget Iran,wao wata rusha makombora kama mvua ambayo dunia haijawai kuyashuhudia.Hivi wako siriaz au mikwara tu? #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
47
21
327
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Mali hakuna tena jeshi la France wametimua wote,kifupi Mali haipo tena chini ya Ufaransa #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
7
12
323
@kikomasta
Jack upepo
10 months
UTAKE USITAKE NATO inaonekana haikuwai kupata mechi ngumu kama ya Urusi au hawako vizuri kabisa. Nchi zaidi ya 30 zipo upande wa Ukraine wanashindwa kumtoa Mrusi kwenye Ardhi ya Ukraine kweli sitaki kuamini. #Behindthescene #BilaGanzj
Tweet media one
28
21
318
@kikomasta
Jack upepo
4 months
Rais mpya wa Senagal nae anakiwasha. Anasema Ni muda muafaka kwa sasa France kuondoka nchini Senegal.Ukumbuke alifungwa jera sababu ya kuuliza kwaninu raia wa kifaransa nchini senegal wanakuwa excluded kwenye kodi nyingi. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
6
14
319
@kikomasta
Jack upepo
1 year
UTAKE USITAKE Hili tukio unaweza kuliona ni la kawaida kama Putin ataendelea kuwa na moyo wa kibinadamu lakini akiamua kulifanyia kazi linatosha kabisa kuamlisha wanawake,wazee na watoto waondoke Kiev ndani ya wiki alafu aoteshe Uyoga mkuuubwa Kiev #Bihindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
38
10
313
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Chizi anachekesha akiwa hatoki kwenye familia yako.Jana walikuwa 300km kuelekea Moscow,Ukraine na washirika wake wakawa wanashangilia na kuruka ruka haya wamepelekwa Beralus leo wapo 100km kuelekea Kiev joto limeanza kupanda😂😂😂 #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
21
19
313
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Kwa mara ya kwanza toka China asuluishe Rais wa Iran na Crown Prince wa Saudi bin Salman wamewasiliana namna gani wanaweza kuzuia Mauaji ya yanayoendelea Gaza.Kosa kubwa kwa US baada ya lile la China na Urusi kuwa marafiki ni kuruhusu Iran na Saudia waungane. #Behindthescene
Tweet media one
17
12
316
@kikomasta
Jack upepo
2 months
Rais Putin anasema Urusi ni mahali pekee ulimwenguni ambapo Uislamu na Ukristo vimeishi kwa amani zaidi ya miaka mia. #BilaGanzi
Tweet media one
7
14
310
@kikomasta
Jack upepo
2 months
Jaribio la mapinduzi limefanywa dhidi ya kiongozi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore. Wapanga njama za mapinduzi wamekamatwa na timu za usalama za Traore. Jamaa atafika kachoka sanaa bado ma beberu wanamtafuta kwenye 18 #BilaGanzi
Tweet media one
16
11
313
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Putin kamteuwa Andrei Troshev kuchukua kiti cha Prigozhin sasa ni rasmi Wagner wanarudi Ukraine #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
10
4
311
@kikomasta
Jack upepo
10 months
UTAKE USITAKE Kwa kilichotokea leo jeshi la Israel limedhalilika pakubwa sana aisee.Ebu fikilia hao ni Wanamgambo wa Hamas na mashine gun tu je ingekuwa Wagner mixer vifaru na air defence.Story za Hollywood zimeharibu sana vichwa vya watu. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
44
16
305
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Iran wanasema wanazijua nuclear site zote za Israel,kama Israel wakishambulia nyuklia site za Iran na wao watazishambulia za Israel muda huo huo.Iran hii jeuli anaipata wapi mbona kama kuna mtu anamtia kibuli au ana nyuklia Bom tayar huyu? #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
39
12
307
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Rais wa korea kaskazini anasema ili uwe na uhakika nchi yako isiweze kuchezewa na US na vibaraka wake ni lazima umiliki makombora ya Nyuklia.. Je kauli yake hii ina ukweli?. . #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
44
15
300
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Kamati ya maalum kutoka Niger imewasili Burkina faso kufanya kikao na Ibraimu Traore kiongozi wa Burkina faso.ECOWAS kama wanadhani hawa jamaa wanatania wayakanyage tu #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
9
18
302
@kikomasta
Jack upepo
10 months
GAZA MBWAI MBWAI TU Nyama ishakuwa ngumu wanamgambo wa Hamas wamezitungua Hellcopter mbili za Israel zilizokuwa zinashambulia duh.Jamaa wanataka kumuwekea Israel no fly zone. #Behindthescene #BilaGanzi
46
41
303
@kikomasta
Jack upepo
1 month
AWAVUMI LAKINI WAMO Ndege isiyo na rubani ya Hezbollah iliyoingia katika anga ya Israel na kurekodi vituo muhimu ilitengenezwa na Iran. Watu walikuwa wanajiona wao ndo mamasta kumbe kuna vichwa vimetulia havina promo wala nini? #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
15
16
306
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Hoyo situlikubaliana wameishiwa wanajeshi na vifaru vyote vimeishia Ukraine au.Kama unafikir Urusi kaishiwa silaha sababu ya mzozo wa Ukraine nanda hospital unaumwa tezi dume.Mtu anaijua Urusi kwa kutumia vyombo vya habari vya magharibi 😂😂😂 stukeni mnapangwa. #Behindthescene
Tweet media one
Tweet media two
44
14
298
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Kamanda wa Iran anasema wao wanatengeneza Balistic missile kama wanavyotengeneza sigara tu,Kwaiyo endapo Israel itajaribu kuwagusa watarusha makombora 1000 kwa pamoja waone kama kuna air defence inaweza kuyazuia. #Behindthescene
Tweet media one
23
20
296
@kikomasta
Jack upepo
2 months
Sisi ni Warusi na hatujawai kupiga magoti kwa yeyote. Kama NATO wanataka vita vya moja kwa moja, wanaweza kuipata. Hii si Iraq, hii ni nchi ambako Wajerumani milioni tano walipoteza maisha::Kauli kutoka kwa Wanajeshi wa Urusi wa kikosi maalum.Hii NATO wameiona kweli? #BilaGanzi
Tweet media one
25
19
293
@kikomasta
Jack upepo
9 months
Ushawai kujiulizi kwanini Al Qaida hawajawai kuipiga Israel wala ISIS hawaja wai hata kupambana na Israel,wakati haya yanaitwa makundi ya kigaidi ya kiislam,Jamaa hata bifu na Israel hawana.Dunia kubwa hii😂😂😂 #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
34
22
290
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Zilizo nifikia hivi punde.Dege kubwa kutoka Urusi hilooo linatua kwenye ardhi ya Niger #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
8
11
290
@kikomasta
Jack upepo
9 months
Kuna za chiiini ya kapeti kwamba kuna baadhi ya Special force wa Israel walienda Gaza ili kuwakomboa mateka na wao wametekwa na wanajeshi wa Hamas.Mbwa kala mbwa😂😂😂 #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
35
17
284
@kikomasta
Jack upepo
1 year
France imesema inajiandaa kwenda kulinda maslai yake endapo yatateteleshwa na mapinduz yaliyofanyika Niger.Maslai gani tena situlikubaliana Niger ni nchi huru au ndo nchi huru chini ya France😂😂😂 #Behindthescene #Bendthescene
Tweet media one
19
12
280
@kikomasta
Jack upepo
1 month
Taarifa Mpya: Korea Kaskazini imetuma makontena elfu kumi yenye mizinga milioni tano kwenda Urusi. Kim Jong Un yani yeye amani kwake anasa kabisa aisee. #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
23
18
281
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Putin anasema anashangazwa na siasa za US zinavyojifanya walimu wa demokrasia duniani wakati Rais Biden anamuandama mpinzani wake Trump kwa kesi zenye sura ya kisiasa.tena bila ya aibu dunia inaona.ingekuwa nchi nyingine US ingekuwa wa kwanza kulaani. #Behindthescene
Tweet media one
12
25
275
@kikomasta
Jack upepo
7 months
Iran inaishikilia meli ya mafuta ya US kwenye bahari ya Oman.Siku hizi kila mtu anandevu kama familia ya kambale tu, #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
14
11
278
@kikomasta
Jack upepo
3 months
China imekataa kulaani mashambulizi ya Iran kwa Israel.Yani sasa hivi hakuna siri tena China,Iran,North Korea na Urusi wapo team moja. #Behindthescene
Tweet media one
12
15
276
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Iran imeionya Israel endepo itaingiza jeshi lake GAZA hakuta kuwa na njia nyingine zaidi ya Iran kuingiza majeshi yake GAZA. Mmh naskia harufu ya ww3 #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
43
9
277
@kikomasta
Jack upepo
1 year
UTAKE USITAKE Kwa jinsi alivyozungukwa na ulinzi hapo hata kama Sniper umetoka Lyaur trainning base,Tajikistan hautoboi tena kwenye mtembeo wa gari hakuna kitu unaweza fanya. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
11
13
271
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Sasa zile mission za uongo na kweli kwenye Movie za Hollywood zinapigwa na SEALs au Green beret nchini Iraq.Special force wa Mrusi ndani ya Ukraine wanazipiga Og,na hutosikia wana brag kwenye media.Jamaa wameingia Sumy wamekichafua balaa Video hazitazamiki. #Behindthescene
Tweet media one
17
4
273
@kikomasta
Jack upepo
1 year
UTAKE USITAKE Kupitia mgogoro wa jana Dunia ndo imeona sasa kuwa Putin anakubalika kiasi kiasi gani na jeshi,raia na upinzai mana baada ya kuongea yeye tu Urusi yote iliegemea upande wake . #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
15
9
270
@kikomasta
Jack upepo
14 days
SHUJAA Jamaa ni konyo ndo kamkalisha Shooter wa Trump on the spot fasta tu #BilaGanzi
Tweet media one
26
13
277
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un anasema ishu ya GAZA is about freedom not about muslim or Christian.sababu hata Palestine kuna makanisa pia. Vip hapo? Kaongea ukweli au tumuache aendelee na ishu zake za makombora ya nyuklia? #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
28
12
266
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Rais wa Korea ameondoka Urusi na Rais wa Beralus Lukashenko anawasili Moscow kweli vikwazo vya US na EU ni kwa mapoyoyo lakini kwa vichwa ngumu mishemishe zinaendelea kama kawaida.hapo bado China,Iran,Venezuera zimegoma kupelekwa pelekwa. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
7
16
263
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Kiongozi wa Korea kaskazin Kim Jong Un akizindua Ujenzi wa appartment 10000 baada ya kukamilika.Nyi endeleeni hivyo hivyo kukaririshwa Korea Kaskazini ni nchi masikini zaidi dunian na hao mabeberu. #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
23
266
@kikomasta
Jack upepo
1 year
MAJARIBU YANAYO TINGISHA UHUSIANO WA US NA ISRAEL (Somewhere In Middle East) Uhusiano wa nchi hizi ni wa muda mrefu .Wamekuwa wakishirikiana kwnye mambo mengi muhimu kama Biashara,chunguzi za silah na kutengeneza silaha,vita vya ugaidi na kushea baadhi ya taarifa za kijajusi👇
Tweet media one
Tweet media two
28
58
265
@kikomasta
Jack upepo
1 year
WEEKEND NA CHAFU ZA MOTO (YANAYO IKUTA UFARANSA) Kijana Nahel Marzouk mwenye miaka 17 mfaransa mwenye asili ya Algeria.Alisimamishwa na polisi akiwa anaendesha gari akagoma kusimama waka mblock akasimama alipotoka akachezea risasi za kifua akiwa karibu kabisa na polisi.
Tweet media one
10
18
262
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Wazee wa WEEKEND NA CHAFU ZA MOTO mpo tayari weka notification on.Mzigo umeshaiva. (Somewhere in west Africa) #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
4
12
261
@kikomasta
Jack upepo
8 months
Su-35s za Urusi zilizokuwa zina escot msafara wa ndege ya Putin kwenye Persian gulf zilisababisha usumbufu mkubwa kwa meli vita za US baada ya electro magnetic warfare zake kuzima Rada zote za US na aircraf ya US kushindwa kurusha ndege masaa 24. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
31
23
261
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Israel imethibitisha kikundi cha Hamas kimechukua maeneo kadhaa ya Israel na wanajeshi wa Israel wengi wa maeneo haya wapo mikononi mwa wapiganaji wa Hamas.Sijui ndo ile vita ya dunia tulio ambiwa itaanzia mashariki ya kati #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
28
20
257
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Kwa alicho kifanya Iran kwa Israel sijui kama kuna nchi itapeleka air defence zake Ukraine kibwege bwege alafu yenyewe ibaki mtupu. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
14
7
261
@kikomasta
Jack upepo
2 months
BREAKING Kwa mara ya kwanza Hezbollah wameshambulia bandari ya Haifa, ambayo ni bandari muhimu zaidi kwa shughuli za kiuchumi za Israel. Hivi hawa Hezbollah wanamjua vizur US hawa? #BilaGanzi
Tweet media one
45
12
260
@kikomasta
Jack upepo
1 year
MGOGORO WA MAKOMBORA CUBA Kutokana na mzozo unaoendelea wa Ukraine kila mtu anaona kama kuna hatari kubwa kwa USA kuingia kwenye mzozo wa nyuklia direct na Urusi.Nikaona niwakumbushe kipindi ambacho dunia ilikuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya vita vya nuclear kuliko sasa.👇
Tweet media one
Tweet media two
13
45
259
@kikomasta
Jack upepo
1 year
UTAKE USITAKE Urusi ina ndege vita zaidi ya 3500.toka kuanza Operation maalumu ya kijeshi nchini Ukraine sijui hata kama ndege 200 zimetumika lakini kuna raia imekaza shingo inakwambia Urusi kaishiwa silaha. Nawahakikishia Urusi haija tangaza vita na Ukraine bado #Behindthescene
Tweet media one
40
13
255
@kikomasta
Jack upepo
1 year
Unadhani Kwanini kwenye Mapinduz ya kijeshi yanayotokea kwenye nchi za Afrika kwa sasa unaona wananchi wakiwa na bendera za Urusi au Picha za Putin na Wakiimba nyimbo za kuchoshwa na Ukoloni na vibaraka wa mabeberu kwenye Nchi zao. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
13
8
259
@kikomasta
Jack upepo
10 months
Ijumaa ya wiki inayokuja Burkina faso inatiasaini memorandum of Understanding ya kujengewa Nuclear Power plant na Urusi.alivyokuwa anaomba walimuona kama chizi mbeleni watakuja kumuelewa.Dogo janja anaupiga wa kutosha #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
8
16
258
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Jeshi la anga la Israel limetangaza lipo tayari kuishambulie Iran muda wowote kuanzia sasa kama litapewa maelekezo. #Behindthescene
Tweet media one
24
9
254
@kikomasta
Jack upepo
1 month
KIM JONG UN NA PUTIN "Makataba wa Ushirikiano wa Kistratejia Kati ya Urusi na Korea Kaskazini,nchi moja itaingia vitani moja kwa moja endapo nchi rafiki itachokozwa" — Putin. Kazi ipo ngoja nianze kuchimba andaki langu mapema. #Behindthescene
Tweet media one
21
13
260
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Burkina Faso nao wameona isiwe shida harakati za Balozi wa France nchini kwao hawaielewi elewi,wamempa masaa 48 aondoke nchini Burkina faso haraka sana #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
5
8
251
@kikomasta
Jack upepo
9 months
UTAKE USITAKE Kwa ule mkwara waliokuwa wanapiga waziri mkuu wa Israel na Mkuu wake wa majeshi wa kutoa saa24 wanaingia Gaza sikutegemea itafika wiki ya tatu hii wanaomba msaada US.Inawezekana hata mateka wa Entebe uganda waliokolewa na US tuka pangwa. #Behindtheacene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
44
6
255
@kikomasta
Jack upepo
11 months
Iran nuclear deal ndo ishakufa hivyo.Iran kashapata backup ya Urusi uwezi kumrudisha mezani kijinga. Na pia uwezi kumtenga sababu ashakuwa na kampani ya uhakika kibiashara ndani ya BRICS. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
2
13
249
@kikomasta
Jack upepo
3 months
Drone nyingine zimerushwa kutoka Yemen na Iraq. US air force wanajaribu kuzitungua drone kutokea Iraq. US anaingilia nini Ugomvi wa watoto huu si akapambana na Urusi level zake.Ndo mana nasema ile historia ya kupiga nch sijui ngap tulipigwa changa la macho. #Behindthescene
Tweet media one
Tweet media two
20
15
252
@kikomasta
Jack upepo
4 months
Ebu tuwekane sawa hapa kidogo.Hivi kama Israel inanguvu za kijeshi za kupambana na Iran mbona US ndo wanajiandaa zaidi kwa mapambano na Iran kuliko Israel.Hapo ndo utajua hileee historia tulipigwa changa la macho US. #Behindthescene #BilaGanzi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
90
13
251