Twitter mahusiano I have a ask
.
Uko na demu humpi hata sh.10 na hakuombagi hela kabisaa but kila siku ana shine balaa🔥na mambo yake mengine yote yanaenda vizuri tu,
Jeh,kichwani kwako utakua unawaza nini??
Dah😩!! Nyie kuna mkaka humu ana list ya majina
ya wadada aliowapitia na ambao watapitiwa hivi karibuni..”KUWENI MAKINI”...sio kila king’aacho ni dhahabu🤦🏽♀️
Soooooo this new girl in our office,on her first day at work the BF alikuja na maua kumpongeza kwa kupata kazi, leo ametimiza week ya pili dude just showed up with em flowers again...Love is a beautiful thing nyie😍😍
.
Sema jamaa ni mzungu ndo maana🤣🤣🤣🤣