#kigogowasamia Profile Banner
#kigogowasamia Profile
#kigogowasamia

@kigogowasamia

1,081
Followers
1,327
Following
881
Media
1,222
Statuses

WINE ๐Ÿป๐Ÿท BOY ๐Ÿคฃ๐Ÿšถ

Joined February 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Sisi ndiyo sisi!.. tunaanza upyaaaa
Tweet media one
0
5
8
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Kwani majirani wanasemaje ๐ŸŸ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’ช๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
20
36
1K
@kigogowasamia
#kigogowasamia
29 days
Haya sasa nyie watu msio jua ukweli msikilizeni huyu mstaafu SABABU zinaweza mtu akatoweka sio mna jikaza akili angalie hii video alafu acheni comedy zenu
58
28
127
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
ukiwa kama Mtanzania mzalendo Kitu gani utampongeza RAIS SAMIA Kwa UONGOZI wake Comment
Tweet media one
127
34
110
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Licha ya Majukumu mazito ya kuliongoza Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hajasahau kuingia jikoni na kupika Chakula kitamu
48
33
97
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Leo nimeamua kunywa wine ๐Ÿท kidogo sasa nikasema BILA kuongea na watanzania WENZANGU amta jua nacho maanisha niliwaambia kuwa hawa watu ni wapigaji sana Baada ya kutoka kupotosha watu wanajipongeza Kwa konyagi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Haya nini umeona au ni mimi tu nimeona Comment
Tweet media one
68
26
87
@kigogowasamia
#kigogowasamia
22 days
Dotto Magari umepigaje hapo??๐Ÿ˜ Ukweli CHADEMA hamna aibu mama amewasaidia sana kutoka kuwa na ofisi makaburini ufipa hadi mikocheni ila shukrani yenu kwake ni kuvuruga 4Rs zake hii sio sawa.๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
74
22
88
@kigogowasamia
#kigogowasamia
20 days
Kataaa maandamano sio mazuri VIJANA msije mka jutia baadae๐Ÿ™โœ๏ธ
Tweet media one
28
12
88
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Mpina wewe ni CANCER ndani ya taifa hili kwa sababu kuna uchafu mwingi sana umefanya ukiwa na Seif Ali Seif mkisaidiwa na Magufuli mlipokuwa mnagombania mashamba na ranchi huko Kagera. Mbona huwaambii watanzania kuwa Seif Ali Seif alimpa Magufuli ranchi ya hekari 200,000 huko Kag
Tweet media one
57
31
66
@kigogowasamia
#kigogowasamia
19 days
Ifike wakati waandishi wa habari wa Tanzania waheshimike kwa hadhi wanayostahili. Sikia kupitia hii video akisikika moja ya Viongozi wa CHADEMA akitoa muongozo wa hisia kali za kibabe dhidi ya taaluma, ikionekana kana kwamba waandishi hawajui majukumu yao. Je, kilikuwa na umuhimu
19
22
74
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Hii michango ya Maria mbona haina mlejesho au ndiyo Join ze chain part two๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Tweet media one
36
33
64
@kigogowasamia
#kigogowasamia
29 days
Hakika mama ni msikivu Kwa upendo huuu naamini hakuna linalo shindikana
Tweet media one
34
22
63
@kigogowasamia
#kigogowasamia
24 days
Hawa watu wamedhamiria kufanya vurugu na walishasema kwamba hii nchi haitokalika, patanuka, watakiwasha..
Tweet media one
50
17
60
@kigogowasamia
#kigogowasamia
22 days
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Daaaaa yani kumbe chadema wanateka watu na kuwaua namna hiii alafu wana singizia serikali daaaaa inaumiza sana Kwa hili chadema atuwezi kuwachagua mnajificha kwenye kivuli Cha maandamano ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
45
23
58
@kigogowasamia
#kigogowasamia
11 days
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ila wafipa bhana
Tweet media one
16
21
52
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Charles Kitimaย  akiwa Mkuu wa chuo SAUT mwanza alishiriki kuingiza raia wa kigeni kutoka Kenya kuja kufundisha Chuo cha SAUT wanafunzi wa shahada za uzalimi (masters) raia huyo akiwa na elimu ya form 4 ya Kenya Raia huyo anaitwa Jeremiah Araka hii inaonyesha afai kuishi nchini
Tweet media one
65
11
54
@kigogowasamia
#kigogowasamia
25 days
Catherine Nyakao Ruge mke mdogo wa Freeman Mbowe Bapa Masta
Tweet media one
Tweet media two
9
18
52
@kigogowasamia
#kigogowasamia
28 days
Hakika serikali ya RAIS SAMIA ni sikivu na yenye usikivu hakika RAIS ameguswa na tayari lishaanza kutekelezwa Kwa HARAKA
34
22
50
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Rais Ruto katumia dakika 10 tu, kuongea mambo yaliyotokea kutwa nzima ya leo, huyu jamaa master sana, kaahidi kuwashughulikia wote waliofanya uhalifu na wale wanaowatuma.
Tweet media one
12
4
46
@kigogowasamia
#kigogowasamia
19 days
TAARIFA ISHAFIKA KAKA AKUNA CHA KUPINGA KAKA
19
21
48
@kigogowasamia
#kigogowasamia
21 days
Ndio kasha sema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila chadema bhna kwaio kiongozi wenu kawatoa sadaka
Tweet media one
20
17
47
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Leo nataka niwaambie WATANZANIA KUWA YUPO MAMA MMOJA TU NA NDIO RAIS MMOJA TU POPOTE ULIPO PIGA KIFUA MARA 5 SEMA RAIS SAMIA NDIO CHAGUO LA WATANZANIA COMMENT SHUSHA REPOST 100
Tweet media one
24
28
47
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Serikali imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo.
Tweet media one
21
27
44
@kigogowasamia
#kigogowasamia
29 days
Chadema wanatengeneza propaganda za kisiasa kuichafua serikali ili wapate agenda za kuzumgumza Huu ndio ukweli Wa kujiteka
52
17
45
@kigogowasamia
#kigogowasamia
21 days
๐Š๐ˆ๐๐€๐‘๐€ ๐–๐€ ๐…๐”๐‘๐’๐€ ๐™๐€ ๐Š๐ˆ๐Œ๐€๐†๐„๐”๐™๐ˆ
Tweet media one
15
19
44
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Padri Charles Kitima shirika lake la umisionari limetoa marufuku kuzaa mtoto au kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuoa.
Tweet media one
38
10
41
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
MAMA WA TAIFA ๐Ÿค MCHAPA KAZI๐Ÿค MNYENYEKEVU๐Ÿค ANA HEKIMA๐Ÿค MVUMILIVU/MSTAMILIVU๐Ÿค MWANA DIPLOMATIC ๐Ÿค MWALIMU WA DEMOKRASIA ๐Ÿค
Tweet media one
29
28
40
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Ulikuwa na miaka mingapi ulipogundua kuwa kirefu cha CHADEMA ni CCM HAIWEZI ANGUKA DAIMA ELEWENI MAMBO. C- CCM H- Haiwezi A- Anguka D- Daima E- Eleweni MA-Mambo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. โ€œThe Do-Nothing Party"
Tweet media one
17
18
41
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara
Tweet media one
22
21
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Yani nimekunywa wine ๐Ÿท kumbe sasa hivi WANATUMIA Rushwa kuwaonga watu sasa kama kweli ni kiongozi una kubalika Kwa nini utumie Rushwa yani jinsi gani wana maslai yao BINAFSI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿท๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
17
34
37
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
UTAFITI ๐”๐“๐€๐…๐ˆ๐“๐ˆ ๐–๐€๐๐€๐ˆ๐๐ˆ ๐Ÿ—๐Ÿ—.๐Ÿ•% ๐–๐€๐๐€๐Œ๐Š๐”๐๐€๐‹๐ˆ ๐‘๐€๐ˆ๐’ ๐’๐€๐Œ๐ˆ๐€ ๐’๐”๐‹๐”๐‡๐” ๐‡๐€๐’๐’๐€๐ Utafiti mpya kutoka mtaani unasema asilimia 99.7 ya watanzania wanatamani sana Rais Samia aongoze mpaka 2030 maana ameleta maendeleo kwenye sekta zote
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
23
28
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
17 days
Duuuuu ila chadema bhana
18
15
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
19 days
Mnyika kwake kikao cha kamati kuu ni muhimu sana kuliko kutoa ushirikiano kwa polisi kwenye uchunguzi unaoendelea. Mnyika kwake kifo cha Mzee Kibao hakina umuhimu ukilinganisha na kikao chao kinachoendelea kupanga kufamya vurugu na kupindua serikali tarehe 23.09.2024
Tweet media one
10
17
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
28 days
Sasa alafu wana sema ety watekaji WAKATI watekaji wako chadema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
17
22
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
LEO UFIPA IMEKULA KWAO WALIJUA WAFUGAJI WATA WAUNGA MKONO KWA SERA ZAO ZA UBAGUZI NA RUSHWA SASA APA UNAAMBIWA TAKRIBANI WAFUGAJI ZAIDI YA 1000 WAJITOKEZA KWA MAPOKEZI YA MWENYEWEKITI WAO NA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KWA MAENDELEO ANAYO WALETEA WAFUGANI NA HAWANA SHIDA NA RAIS
18
25
36
@kigogowasamia
#kigogowasamia
20 days
Nawasalimu Kwa jina la MUUNGANO WA TANZANIA Kazi iendeleee
Tweet media one
17
17
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
23 days
Ila chadema bhana naona na k vat aja sahau kabisa
Tweet media one
14
17
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Chadema mnachomfanyia Lissu si sawa mpeni funguo aingie ofisini gari mmeshindwa kumnunulia hata funguo ya ofisi mnamnyima mnahofia atampatia siri Msigwa.? Msimamo wa Lissu ni kuwa tuhuma za Msigwa zijibiwe na chama kumzuia kwenda ofisini ni kumnyanyasa.
Tweet media one
10
14
38
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Nilitaka nishangae wanyakusa kweli waandamane ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
7
16
37
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
CHADEMA IMEKWISHA LISSU NA MBOWE WAGOMBANIA URAIS. Hii ni kwa sababu wanahubiri chuki makamu mwenyekiti anasema SSH Ni mzanzibari hafai kuiongoza TANZANIA hizi ni kauli za kupingwa na zipaswikuungwa mkono. TUNAWAAMBIA CHADEMA RAISI WA NCHI HII NI. MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโค๏ธ
Tweet media one
21
22
35
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
MAMA SAMIA IS A GEM Utetezi wa Maria Sarungi anasema alikuwa anampenda Rais Samia kwakuwa alikuwa hamjui hii Dunia ina watu waongo opportunist wakikosa maslahi. Maria alishiriki Bunge la Katiba Rais Samia alikuwa Makumu Mwenyekiti. Maria Sarungi alipiga kampeni usiku na mchana
Tweet media one
Tweet media two
11
24
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Maelfu ya Wananchi wa Katavi wamejitokeza kwa Wingi katika Uwanja wa Ndege wa Katavi (Katavi Airport) kwa ajili ya kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anayetarajia kuwasili hivi punde mkoani humo kwa ziara ya kikazi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
24
34
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Mama anawatakia ASUBUHI njema na juma tatu njema Kazi iendeleee
Tweet media one
5
18
32
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
HAYA NIKIWAAMBIA NIKINYWA ๐Ÿท NAWAPA UKWELI ONENI SASA Mke wa Lissu alimuacha Lissu kwa sababu ya usaliti na siyejali familia watoto wa Lissu wanasomeshwa na wajomba kaka zake na mke wa Lissu. Yeye anachojua ni Pombe na umalaya
16
24
35
@kigogowasamia
#kigogowasamia
20 days
Mama amedhamiria kulinda amani yetu ya nchi
Tweet media one
10
19
36
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Sera nzuri za ๐Œ๐€๐Œ๐€. Mtaji uliowekezwa nchini toka nje โ—‰ Mwaka 2020 = TZS trilioni 2.6 โ—‰ Mwaka 2023 = TZS trilioni 14.3 Hili ni ongezeko la ajira, mapato kwa serikali, huduma bora za kijamii, kukua kwa uchumi na uhusiano imara na jumuiya ya kimataifa.
Tweet media one
26
27
32
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Leo sijanywa wine ๐Ÿท kabisa ila huyu mzee kabla ajapata kichaa alikua mtu Wa maana sana Msikivu,mvumilivu pia ana upendo kwa watanzania wote , mitano tena kwa Mama samia ๐Ÿคฒ๐Ÿคฒ๐Ÿคฒ
15
21
32
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Sasa wine ๐Ÿท IMEINGIA KICHWANI nawapo angalizo moja nyie msio na akili Ni Kwamba Ukiona una MIAKA kuanzia 40 na kuendelea alafa huna HELA usijifanye una mlaumu RAIS SAMIA Nasubiri handle zetu au NIENDELEE na wine zangu tu๐Ÿท๐Ÿšถ๐Ÿšถ
19
26
32
@kigogowasamia
#kigogowasamia
22 days
Safi sana dotto hakika mama tumpe maua yake
14
17
36
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
HAKIKA MTWARA KUMENOGA HII NDIO MAANA ALISI MAMA ANAWAPENDA VIJANA TK MOVEMENT MAMA ALIPO NA VIJANA WALIPO HAWA NI VIJANA WAZALENDO WAMEAMU KUMUUNGA MKONO RAIS WETU KIPENZI CHA WATANZANIA SAMIA COMMENT
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
25
34
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
BREAKING NEWS : Rasmi Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa vikao 10 vya Bunge, kiufupi hatakuwepo Bungeni hadi Bunge la Bajeti litakapoisha na atarudi Bunge la Septemba. Mnipe maua yangu, kigogowasamia niko mbele yenu ๐Ÿ˜€
Tweet media one
24
29
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
24 days
Kwa sasa CHADEMA kuna stress kubwa sana kwa maana, uchuguzi wa Jeshi la Polisi unaingia hadi kwenye chama chao. Uchunguzi wa awali unaonesha kuna chances over 50% mauwaji ya Mzee kibao yana uhusiano na ndani ya CHADEMA.
Tweet media one
21
15
35
@kigogowasamia
#kigogowasamia
25 days
VIJANA WASIHATARISHE MAISHA YAO KWA MASRAHI YA WATU WATU WACHACHE
14
18
34
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Leo sijatumia wine ๐Ÿท kabisa Kwa kasi hiii nitazidi kumuombea mama aongoze Tanzania Mika ata 20 maana janga la pale jangwani kasha anza kazi kulitatua ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™
Tweet media one
17
23
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Mheshimiwa Rais amesisitiza kauli yake ya kuhakikisha uhuru wa kujieleza na zaidi, vyama vya siasa kuruhusiwa kufanya shughuli zao ikiwemo maandamano, licha ya baadhi ya wanasiasa kutumia lugha zisizo na staha na mara nyingine kuvuka mipaka na kujaribu kuvuruga tunu za Taifa
Tweet media one
19
22
32
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Tweet media one
13
15
34
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
RAIS SAMIA AKIWA AMEWASILI UWANJA WA NDEGE MPANDA KWA AJILI YA ZIARA MKOA WA KATAVI UNA NINI CHA KUMPONGEZA RAIS SAMIA KUTUA KWENYE ARIDHI YA KATAVI
3
27
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Leo nimerudi maana nilieshimu sikuku ipite ila kama kawaida leo ndio nimeanza kunywa wine ๐Ÿท๐Ÿท๐Ÿšถ Hivi ndio MNATAKA kusema wenzetu ofisi ZAO ndio hali hii ILIVYO FIKIA au mimi sioni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
19
19
31
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Hii sio ya kweli ni yauongo imegushiwa hakuna Mtanzania anae weza mpinga RAIS WETU SAMIA WATANZANIA Tuipuuze kabisa NCHI iko SALAMA hakuna lolote Kama wewe ni mzalendo wangu repost na kusisitiza ni Fake news
Tweet media one
Tweet media two
37
7
31
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
UNAFAHAMU KUWA RAIS SAMIA NDIYE RAIS MWENYE HEKIMA ,BUSARA NA MWENYE MAAMUZI SAHIHI KUTOA TAMKO BILA KUMUUMIZA MTU YEYOTE MAAMUZI GAZI YA RAIS SAMIA MPAKA LEO UNAJIVUNIA NA UNASEMA MAMA NI MTENDAJI KWELI COMMENT YAKO MUHIMU
Tweet media one
33
7
31
@kigogowasamia
#kigogowasamia
29 days
Ukweli kuhusu kutekwa Kwa watu ambazo ni propaganda za chadema hizi apa zifahamu
25
15
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
28 days
CHAIRMAN NA MPANGO WA KURITHISHA KITI KWA MWANAE Za ndaaaaaaani ni za Motooo!!! ๐Ÿ”ฅ Mtoto wa Freeman Mbowe Bw. Dudley Mbowe ndie anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa!! kweli Lissu anahaki ya kususa! Chama kimekua cha Familia hiki.
Tweet media one
19
15
33
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
RAIS SAMIA CHACHU YA MAPINDUZI YA UCHUMI TANZANIA KABLA YA RAIS SAMIA KURUHUSU UWEKEZAJI TANZANIA SEKTA YA MANDARINI HALI ILIKUA TETE ILA ALIPO CHUKUA MAAMUZI SAHIHI KUTULETEA WAWEKEZAJI SASA HIVI TPA MAPATO YANAONEKANA NA HUU NDIO MWANZO TU SHUSHA HANDLE YAKO APA
13
27
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
24 days
Yani Chama kimekua hakieleweki kabisa Bora ata umegundua mapema kaka
12
20
32
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Charles Kitima ni baba wa watoto watatuย  wenye wazaziย  mama tofauti na mataifa tofauti anawalea kwa siri sana bila mamlaka la shirika analofanyia umisionari hapa nchiniย  kujua.
Tweet media one
11
6
30
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Mama Wa TAIFA kila pande za Tanzania HAKIKA mama ni mfano Wa kuigwa Asante watu Wa KATAVI Kwa upendo WENU huuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
24
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Upofu wa Padri Kitima unahitaji neema ya Mungu 1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
Tweet media one
7
14
30
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
POPOTE ULIPO SEMA HAKUNA WAKUMPINGA RAIS SAMIA Hii ndio maana alisi ya upendo na kua kiongozi bora Hakika watu wa katavi hamja tuangusha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
16
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Our president ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐ŸŒ๐Ÿ“ธโœˆ๏ธ๐Ÿคโค๏ธ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
15
30
@kigogowasamia
#kigogowasamia
8 days
Mpeni pole mzee wetu. Madaktari wameshauri aangaliwe hali yake leo na kesho, ikiwa mbaya basi ni kwa Madiba au Nairobi. Chadema hii hamsemi, ila taarifa sisi tumepata. Pray for Mbowe ๐Ÿ™
Tweet media one
17
14
31
@kigogowasamia
#kigogowasamia
20 days
Mbowe unatoa watoto wa Watanzania kafara kwa maslahi yako binafsi na familia yako. Hakuna maandamano ya amani wakati mmepanga uhalifu wa kuchoma vituo vya mafuta na kuvamia vituo vya polisi. Vikao vyenu vya siri vyenye nia ya ovu na kuharibu amani na usalama wa Taifa letu
Tweet media one
17
17
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
29 days
Kuna watu wanajifanya kujiteka alafu wana singizia eti oohhhhh Sasa huu ndio ukweli wote
21
16
30
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Ushahidi wa wazi Mwenyekiti wa Chadema Bi. Rose Mayemba ndiye muhusika namba moja wa kuzusha TAHARUKI na kusambaza machapisho ya mgomo feki wa wafanyabiashara. Chadema wameona wamekwama kwenye siasa sasa wamehamia kwenye biashara za watu.
Tweet media one
16
16
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
29 days
Huyo ni wewe mbona verified ipo hapo???
Tweet media one
6
4
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Michezo ya kitoto kabisa, Mambo ni mengi, muda mchache, wananchi tusipokuwa makini kuna siku tutanunua sukari kilo moja 20K. Kwanini Sugar Catels wamejipanga sana kukwamisha mabadiliko ya Sheria ya Sukari hadi wanataka kuandika barua fake ya Waziri wa Kilimo Kujiuzulu?
Tweet media one
19
25
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Chadema wakisemwa wanakuwa wakali kama pilipili kosa la Makamu Mwenyekiti ni lipi hadi anyimwe funguo za Ofisi Mikocheni? Anaambiwa si Ofisi ile ni nyumba ya mtu haisikii gari amenyimwa na Ofisi haruhusiwi kufika. Vikao anafanyia nyumbani kama housegirl.
13
15
28
@kigogowasamia
#kigogowasamia
16 days
Hospitali ya wilaya Namtumbo. Zaidi ya Sh.bilioni 2.3 zilizopelekwa na Rais Samia Suluhu zimesaidia kuboresha miundombinu ya Afya katika Hospitali ya wilaya Namtumbo
Tweet media one
11
17
30
@kigogowasamia
#kigogowasamia
28 days
Chadema warudisha Kikundi cha RedBrigade [KimyaKimya Je, unaikumbuka RedBrigade iliyoanzishwaga na CHADEMA na ikakatazwa na Serikali? Kwa mujibu wa taarifa za ndani, inaelezwa kuwa kikundi hiki, kwa kushirikiana na washirika wao, ndicho kinachohusika na matukio
Tweet media one
16
17
28
@kigogowasamia
#kigogowasamia
24 days
MBOWE, kwenye hayo mapori mnayoongoza mafunzo ya kijeshi ya RED BRIGADE kwa ajili ya kuvambia vituo vya polisi na kuharibu UCHAGUZI, hamtofanikiwa.Tunajua kwamba CHAMA chenu kinaendesha mafunzo ya siri ya kutumia silaha za KIVITA, kwa madai kwamba mnajiandaa kushika nchi hata kwa
Tweet media one
19
15
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Popote ulipo jivunie kuwa na RAIS anae julikana kila kona ya Dunia jipige kifua sema mama chapa kazi The best president SAMIA in Africa ๐ŸŒ
6
17
25
@kigogowasamia
#kigogowasamia
25 days
Chadema wanataka kuwatoa kwenye reli ya uchunguzi". Uchunguzi upi wakati nyinyi ndiyo watuhumiwa namba moja?. Acheni kutusanifu, yote kwa yote maandamano yanayoingiliwa kwa hila na polisi ndiyo hutoa matokeo mazuri. Njooni tuandamane sote.
Tweet media one
10
14
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Hatimae chuma kime salenda chenyewe ๐Ÿ™๐Ÿค๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
8
17
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
9 days
Mama Samia ameuzunguka uwanja wa Majimaji mara mbili hii ni heshima kwa mapokezi makubwa haya. Daaah haijawahi kutokea kama hii.
Tweet media one
7
17
30
@kigogowasamia
#kigogowasamia
25 days
Kifupi fujo chadema ni faida kwa Mbowe na hasara kwa wanachama mtatandikiwa virungu yeye ataenda kwenye maridhiano atalamba Asali.
Tweet media one
13
16
29
@kigogowasamia
#kigogowasamia
19 days
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya Mazungumzo na mke wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
14
28
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
RAIS SAMIA KIONGOZI BORA AFRIKA 2023 Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti la The African Times USA.
Tweet media one
7
14
26
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Mambo yamezidi kuchemka! Report kutoka ground inatuambia January Makamba na Nape Nnauye, after being fired, are now trying to whitewash their corrupt pasts using media. You can fool some people sometimes, but not all the people all the time!
Tweet media one
0
18
26
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) tarehe 03 Sept
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
14
28
@kigogowasamia
#kigogowasamia
3 months
Wananchi wa Wilaya Kalambo mkoani Rukwa, wakiwa tayari kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani humo Julai 16/2024.
1
19
26
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
JAMANI leo nilikua bize kidogo sema sasa ndio nashika simu sasa mambo UNAAMBIWA ni aibu tupu Aibu naona Mimi Aya kama bado aujakutana na connection ya Twaha Mwaipaya kiongozi wa Chadema Umoja wa Vijana BAVICHA njoo dm ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
11
11
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Mama ana Upendo mkubwa
Tweet media one
13
19
28
@kigogowasamia
#kigogowasamia
8 days
Huwezi kuona thamani ya Amani ukiwa nayo. Tuilinde Nchi yetu, tulinde tulichonacho
17
21
28
@kigogowasamia
#kigogowasamia
22 days
Hakika sasa hivi ndivyo ccm wanavyo ipambania nchi Kwa namna yeyote iwe mvua iwe jua kazi iendelee
11
15
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
28 days
Siasa chafu inafanywa na chadema halafu lawama anatupiwa CCM
12
10
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
Nani kama Rais SAMIA Nipe neno moja kuhusu hii picha
Tweet media one
7
11
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
20 days
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo maalumu lililoandaliwa kwaajili ya Gwaride la Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yaliyofanyika Shule ya Polisi (TPS) Mkoani Kilimanjaro leo Septemba 17, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
12
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
25 days
ONYO KALI KWA CHADEMA Jeshi la Polisi Nchini limetoa onyo na kupiga marufuku maandamano yaliyotangazwa na Viongozi wa CHADEMA September 23,2024 na kusema Mtu yeyote atakayeingia barabarani atakabiliwa vilivyo kwa mujibu wa sheria za Nchi.
Tweet media one
14
13
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
1 month
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania na mwana Diplomasia namba moja Africa Mhe, Dkt, SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Ziarani nchi Kenya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
15
26
@kigogowasamia
#kigogowasamia
4 months
Mvueni huo ubunge wenyewe Sasa akamsaidie yule muhindi kuvuna miwa kule kagera sugar. Maana tamaa ya pesa ameweka mbele kuliko ata wananchi wanampa ajira hapo bungeni
Tweet media one
4
6
26
@kigogowasamia
#kigogowasamia
28 days
Mafanikio ya ziara ya mhe.Rais SAMIA nchini china ndio haya hapa
9
18
27
@kigogowasamia
#kigogowasamia
2 months
RAIS SAMIA AZINDUA BWAWA LA UMWAGILIAJI KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan amezindua Bwawa la Umwagiliaji na awamu ya tatu ya Upanuzi wa Mashamba ya Miwa kwenye Kiwanda Cha Sukari Cha Mtibwa Mvomero Mkoani Morogoro
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
18
25