Kijana ya fifa Profile Banner
Kijana ya fifa Profile
Kijana ya fifa

@kamzozo100

3,382
Followers
3,244
Following
199
Media
22,586
Statuses

London is always Blue 💙//At ease 🙂‍↕️//Bsc Violence

58
Joined July 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unaamua Leo hutokei utachill kejani 😂jioni unakujiwa na mbogi ya mtu tano wakuambia uvae jacket
19
505
2K
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Fresher wanazunguka uku na form za kuchange course , wanataka zile Kali Kali za kutishia Kijiji 😂kitawaramba
25
139
439
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Jaba inakuanga tamu, until uteme taxin uanze kuzunguka Kwa kitanda ukitafta usingizi 😂
11
105
366
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unafikiria vile utapata pesa Hadi unakonda 😂watu wanaanza kusema ni ukimwi
5
124
322
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Na helb isikufanye utusi sukuma 😂 pea sukuma heshima yake
8
104
321
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Mkienda sherehe Kuna ule msee Moja hua anapewa simu zote na wengine zao zikishika
2
103
303
@kamzozo100
Kijana ya fifa
25 days
Unaiita Dem mkamba mechi ,usiku wa manane anakuspank kukuamsha round ya sita 😂🚮
11
92
250
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Sisi ugly ninjas ukijiangalia Kwa kioo 😂unaanza kujichekelea kwani unakaa aje
5
78
204
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Umepewa lift Kwa gari lakni umeteremsha dirisha yote 😂ukichekelea watu wanatembea🫵see your life
3
78
201
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Nakutolea fom alfu zako zinashikia unaanza kunipea advice 😂
11
88
194
@kamzozo100
Kijana ya fifa
28 days
Unapigia mzazi kumuelezea vile unataeseka ,anacheka kwanza 😂 Kisha anakuambia Hana pesa 🥲
4
76
190
@kamzozo100
Kijana ya fifa
19 days
Unatoa fom siku moja ,unashinda ukinikumbusha mwaka yote
8
99
186
@kamzozo100
Kijana ya fifa
24 days
Na nani alisema Dem anafaa kulala Kwa corner side ya bed na mwanaume hii side ya kutoka 😂
9
77
182
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Sisi ugly ninjas tunakapitia bwana nimepewa mtoto analia nimshike ...akaanza kucheka bana anashindwa kwani nakaa aje 😂💀
13
80
178
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Ukishaa pata helb ,ukule iishe hutakangi kuskia story kuihusu tena Hadi hio next sem 😂
2
68
180
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unaamua kufake life kidogo unaomba luku ,alafu unapigwa ngeta unatokwa 😂🚮
2
74
180
@kamzozo100
Kijana ya fifa
15 days
Endelea kijidanganya ati kuteseka ni Kwa muda 😂kataa kujituma utapata kuteseka ni forever
6
77
178
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Unalala mapema ndio ukute message ya betika ya congratulations umekula bet asubuhi, unaamshwa na ya hustle fund. 😂💔
9
80
176
@kamzozo100
Kijana ya fifa
14 days
Kuhandle simu inahang , is another underated skill
10
76
169
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unatembea Kwa rodi, mwendawazimu anavuka rodi Kaa anakuja kukusalimia bana 😂
6
69
170
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Ndio kuingia hizi streets bana 😂 wale wa ofisi wanafurahi ni weekend hawana kazi kesho ,lakni sisi tunafurahi juu ni Friday only good vibes 💯
2
63
168
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Hii life nikaa game Bana shida ya hii game huwezi pause 💀
11
69
165
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Bwana Kuna Dem nimetoa boxer akanichekelea before mechi imebidi tu cancel hio mechi immediately 💀
7
58
158
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Unalala usiku unaota ukikimbizwa ,unaamka unapata umechoka mwili yote bana
5
65
156
@kamzozo100
Kijana ya fifa
27 days
Ugly ninjas wanazunguka manzi mmoja, watu watatu wakinunulia pombe 😂azime wamkule see your life🫵
2
63
152
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Kukula bet sii rahisi Yani unafaa kupata team zote na muhindi anataka uloose Moja pekee akukule 🥲😂
8
65
145
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Kaa ulikua na nguo za Sunday ukiwa mdogo ,😂hio ni humble background
7
78
151
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Msee akikuja tl Yako kuengage na weh ukatae kufika Kwa yake ni Kaa kusalimia mtu ha salimiki😂🚮
5
75
147
@kamzozo100
Kijana ya fifa
13 days
Sahii ukienda ps unapata ilibookiwa Wednesday 😂fifa boys hawezi risk kukosa fifa night
3
63
151
@kamzozo100
Kijana ya fifa
15 days
Bro to bro : Kaa dem Yako hakatiwi na maboy wengine,bro unadate takataka
7
64
152
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Kila mbogi Iko na ule msee mmoja ukiskia alikua na Dem huwezi amini
5
72
150
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Pesa kidogo unaenda ushaa enda kuulizia bei ya pombe zote apo Kwa counter
2
55
144
@kamzozo100
Kijana ya fifa
8 days
Kuuza nudes ndio mnaita working from home 😂💀
4
79
146
@kamzozo100
Kijana ya fifa
26 days
Vile mmeshikana mkikunywa yoghurt Kwa rodi mkicheka 😂mshikane kabsa , staki kuskia baadae I need a favour 😂🚮
6
62
141
@kamzozo100
Kijana ya fifa
24 days
Pic zako ukiwa sherehe u hit mbaya sana time unateseka huna hata ten bob 🥲 hauamini ulikua na hio pesa yote ukaharibu😂💀
7
77
139
@kamzozo100
Kijana ya fifa
28 days
Mi nayo ukiniambia deeper na harder mechi inaishia hapo🚮
3
60
134
@kamzozo100
Kijana ya fifa
22 days
Mumama wangu ameniwekea zaa kujispoil 😂 unlike huyo girlfriend wako amekupost na akakupea chwani ya bangi 🚮
7
61
134
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unalia upate helb Kisha wanakuwekea mapema unakula inaisha 😂💔unaanza kutetea mbona saa walikupea mapema
4
55
132
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Kutoana kutu ndio mnaita true love 😂🚮
7
71
129
@kamzozo100
Kijana ya fifa
18 days
Ni vijana wakonde Wanapenda madem wanono ama ni madem wanono Wanapenda majamaa wakonde 😂
8
60
127
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Real fans wa man city ni watoto wa grade4-6 hao wengine ni fake fans😂
7
57
126
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Ukiona loyal Kwa tl Yako ,tumia akili pia wewe fika Kwa yake 💯
6
53
126
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
After mechi Dem huachwa kutafta kwenye panty ilirushwa na boy mwenye alitoa Hana shughuli Tena 😂💀
12
70
124
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Zikishika hua mnaangaliana mnacheka tu out of no reason 😂
3
52
124
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Hakuna kitu huuma kama kupigwa fifa clean sheet
8
63
122
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
"Dream ya kutoka Kwa block " itakua reality kweli ama ni dream tu
1
52
122
@kamzozo100
Kijana ya fifa
8 days
Ujificha usiku uende ununue 😂unapata ni mtu wako anauza 💀na alikuambia ananyesha
4
57
121
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Bana kumanage pesa kidogo ni gumu heri tu iishe mtu atafte zingine
8
48
118
@kamzozo100
Kijana ya fifa
22 days
Mii nayo uki knock mlango ya choo na utulie hapo nje nikiwa ndani ,natoka tu roho safi
5
65
118
@kamzozo100
Kijana ya fifa
9 days
Sahii ndio naelewa mbona Mzee alikua anakula chakula asubuhi watoto wakikula mkate
2
71
117
@kamzozo100
Kijana ya fifa
18 days
Block lazima tutoke ,borake mtu hua hazikiwi na pesa lazima zitufike before tuende pia 💯 inshallah
4
56
115
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Leo nikupea pesa wines na club , before kesho ifike tupee muhindi 😂Kisha Monday ubaki ukilia ukitafta zingine
3
65
115
@kamzozo100
Kijana ya fifa
23 days
Gain train hua hisimami Hadi usiku wa manane train inasonga tu 😂
8
50
114
@kamzozo100
Kijana ya fifa
14 days
Ile kitu huwezi bribe hii Dunia ni time pekee 💯always fare Kwa sonko na maskini
5
55
114
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Kwa ndoto weh ni tajiri lakni reality maisha inakugonga Kaa nonsense
3
67
111
@kamzozo100
Kijana ya fifa
25 days
Unachekelea mafan wa man u wamepigwa 😂anakasirika anakutoloea vida akikugongea Dem yako 💀
7
54
110
@kamzozo100
Kijana ya fifa
11 days
Pea site heshima yake 😂unasema wacha ufike mjengo alfu unashinda active X siku yote 😂ama weh ndio foreman
10
63
109
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Football ni tamu sana ,Yani Leo Chelsea na ma fan wa man u tulikua side Moja kukuza 😂arsenal iiumie
3
54
106
@kamzozo100
Kijana ya fifa
8 days
😂ati ukuje kwangu uninyime, nikaa kungojea palmer atupe pena
5
53
108
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unajichocha vile freshers night utateka ka fresher ,Kisha unatokwa simu 😂💀
3
55
105
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unamuita Dem wako, lakini mkitembeanisha na yeye kwa rodi anahug wanaume zaidi ya 20 😂
3
46
105
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Kuna zile scenario mtu hua anaona Kaa kitu ishai happen Tena ,but in real life ndio ime happened saa hio 😂na inahappen exactly vile uliona
6
42
106
@kamzozo100
Kijana ya fifa
26 days
Marafiki nataka sikuizi ni ma fans wa man u 😂 Kila weekend wanapigwa wanakasirika wananunua pombe 😂
0
57
103
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Game inakuweka feelings kuliko manzi Yako bana 😂💀
8
59
104
@kamzozo100
Kijana ya fifa
21 days
Kumbe shot ya kwanza ndio mnaita quickie
3
54
103
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Kwa ndoto huwezi rudi place uliwachia Jana usiku ukilala 😂lakini in real life mateso Inapause ukilala ,Kisha inakuamsha kukutesa zaidi
2
56
101
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Kutumia mwakenya ya mtu mwingine inakuanga gumu😂
4
49
98
@kamzozo100
Kijana ya fifa
15 days
Comrade washaa sota na hawajafanya Cat one
6
56
97
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Sisi ugly dudes tukiingia bank masoja wanashinda wakianangalia angalia sana
6
50
96
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Dem anajipost akiwa sherehe Kali,😂kumbe ni birthday party ya mababa wake anafika 60yrs 🚮
3
57
95
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Dem Kaa hutaki mtu usimuite bro 😂mwambie uko na ball hawezi kukaribia tena 😂
3
49
94
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Nimejiita a brief meeting with myself 😂 tumekosa vibaya sana Hadi Niko Kwa counter kushika quarter juu ya hio story
9
46
88
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Bana mathe amenicall kumbusha nafaa kuoa ,🥲😂kwani nimezeeka haraka aje
3
51
94
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
People are Soo judgmental,🚮 weh fanya kitu inakumbamba 💯
0
46
92
@kamzozo100
Kijana ya fifa
12 days
Attachment imefika na sina official hadi Moja 😂
9
40
91
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Bana unateseka Hadi watoto wanakuhurumia
7
53
91
@kamzozo100
Kijana ya fifa
25 days
Hakuna kitu mbaya Kaa Dem kuitisha jamaa deni in public 🚮it's very shameful
6
52
92
@kamzozo100
Kijana ya fifa
23 days
Ugly ninjas wanajua kuita madem majina tamu tamu 😂💀agenda ikiwa kupata hio kitu Iko kati kati ya miguu
3
51
89
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Nimeambia mganga mashida zangu 😂anakuambia ati kesi Yako ni complicated sana itabidi ukuje next week
3
49
88
@kamzozo100
Kijana ya fifa
12 days
"Your data bundles is below 2 mbs ''hii message huuama 🥲kwanza ukiwa unajua wamekublacklist okoa jahazi na huna Hadi bob 💀
3
51
88
@kamzozo100
Kijana ya fifa
11 days
Ukiona umeanza kuendea Mali hadi Kwa keja ya pedi jua ushaa kua addicted
3
40
85
@kamzozo100
Kijana ya fifa
11 days
Weh kazi Yako kutoka mbio Kwa keja ukiskia madem Kwa ploti yenu 😂🫵 unemployed tunakapitia
1
54
89
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unaamua kuattend daro for the 1st time hii sem morio wako anakuambia m connect E football 😂daro inaisha ivo
3
50
85
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Usikue na haraka ya kuwekalea tamble kwa meza ya jug ujachangia 😂ngoja uitishwe
4
48
87
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Kuna hizi ninja zikapata pesa kidogo zinaanza masimu za ufala ufala
3
43
85
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Monday morning haikuangi rahisi unaamka ukiwa unaingia mpesa na calculator mbio mbio 😂huamini hio mpesa balance 🥲💀
6
49
85
@kamzozo100
Kijana ya fifa
13 days
Hii jua sii mchezo , Wacha nimeze jug Moja ya dark nikingoja Giza iingie
4
46
82
@kamzozo100
Kijana ya fifa
15 days
😂Hadi mnaingia aviator kaa couple ,muhindi hajali 💀
9
51
82
@kamzozo100
Kijana ya fifa
27 days
Zikiwa zimeshika ,hua unataka kuona matako zikipita bana😂
5
43
80
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Good morning good people , finally weekend is here finally, Leo kutokea saa nane Hadi saa sita usiku 😂kupanga table
4
38
77
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Unashangaa Leo niaje notification zimejaa kumbe umeaddiwa Kwa train na hujui 😂
2
38
74
@kamzozo100
Kijana ya fifa
17 days
Unasoma hii yote ili wazazi wapate picha za kuweka Kwa ukuta ya nyumba 😭
3
43
77
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Heri unikulie Dem lakini uniwachie avocado yangu na amani
2
44
75
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Weh ukiona tweet hazinasi,, jua ushaa Anza kuzeka
12
40
74
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 month
Bana Hadi walevi zao zimeshika lakini wanaona nchi haelekei pazuri
3
34
75
@kamzozo100
Kijana ya fifa
1 year
@omwambaKE Ifb immediately guys 🙏
0
0
71
@kamzozo100
Kijana ya fifa
2 months
Exam room inabidi ukue marafiki na kila mtu
10
44
74
@kamzozo100
Kijana ya fifa
21 days
Hii app hukua tamu ajab 😂Yani unatembelea loyal Moja unapata umetembelea ma loyal wako wote once
5
45
72
@kamzozo100
Kijana ya fifa
11 days
Kuna couple hua unaangalia hivi unajua tu wanakula doggy pekee
3
54
74