Jacqueline Lawrence Profile Banner
Jacqueline Lawrence Profile
Jacqueline Lawrence

@jackielawrencem

20,518
Followers
10,444
Following
639
Media
8,756
Statuses

Media: Highlands FM | MWF Alumni |Vital Voices Alumni|UN FELLOW | Laureate Global Fellow | Journalist

Mbeya, Tanzania
Joined March 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
1 year
4
8
75
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 months
Nane nane Arusha, huyu mbwa nimeambiwa ni million 30! Nikawauliza kama anaongea 🙈
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
123
37
954
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
11 months
Happy Birthday To Me….31 years young 🤪 Thank you God for another blessed year..
Tweet media one
114
31
859
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Lawama za vyombo vya habari ni nyingi sana kuhusu ‘paid news’ Naomba kuwahadithia kisa kimoja kilichonikuta na chombo kimoja kikubwa cha habari nchini.
Tweet media one
16
41
723
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Mkoani raha sana, haipiti siku lazima ufurahi..Nimeambiwa Hawa ni marafiki Wamenunua basi pamoja. Wakaweka picha yao kabisa nyuma 😁😁. Tahadhari… hapa sio Mbeya🙈
Tweet media one
51
26
591
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Wakazi wa Dar es salaam wakija mikoani kuna namna wanatuongelesha haipendezi… what do u mean ‘ Mbeya netflix inapatikana?’ 😒😒😒
52
37
510
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
29 days
Neno La Leo : Busara zisizidi kipato!
Tweet media one
18
24
472
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 years
🙏🏽 Mama Mulamula, always a fun spirit
Tweet media one
9
9
445
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
Siku moja kwenye ndege kuja Mbeya nilipata kujadiliana na Rafiki mpya,akafurahi kusikia mimi mkazi wa Mbeya, akaanza kunieleza kila akifika Songwe airport lazima akutane kwaya wanashoot gospel video, kwa kweli nilimkasirikia sana… nilitumia lisaa kumuelekeza
Tweet media one
34
15
344
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Niliweza kuhudhuria Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2024. Inanifurahisha kuona Serikali ya Tanzania ikifuatilia na kuchangia maendeleo ya sekta ya habari nchini. Vyombo vya habari ni chanzo muhimu cha maendeleo ya jamii na maendeleo yetu yanaathiri jamii moja kwa moja!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
0
250
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
11 months
31 never looked so good, embracing my ‘early 30s’ Happy Birthday to me….
Tweet media one
22
17
214
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 months
Hi Guys! Looking for a lady that has a cleaning company and she does deep cleaning… cant seem to rememeber her handle 😅
27
8
170
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
8 months
Nikiwa na Dada Upendo Mwakyusa…our own Environmental scientist… kusini kumechangamka 😄
Tweet media one
14
11
166
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Mbeya na utalii. kikwetu kwetu tour 2024. Upo tayari? Karibu ujiunge nasi Kutalii Mbeya 💃🏼 Mwaka huu tunaleta big names Mbeya kutuunga mkono, can u guess who?
Tweet media one
19
14
168
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
28 days
Work by Mac contractors, or as I call him, Dad… thank you for giving old man his flowers! They have their own asphalt plant so that Tarmac is made in Tanzania by Tanzanians #TanzaniaYaViwanda
@KennedyMmari
Kenny Mmari Snr.
28 days
Mkandarasi aliyejenga barabara kipande cha Mwenge hadi Morocco aliwezaje kuhakikisha miaka yote hii mitano mashimo hayajatokea na hakuna viraka? Barabara nyingi hazifikishi miezi sita kabla ya kuanza kuziba vipande. Hii ina miaka mitano nadhani.
118
73
906
11
33
155
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
8 months
When I first moved to Mbeya in 2011 they used to call me Mwakalyeye,i never understood it. Ndimiyake Mwakaleyeye is A Tanzanian l Nyakyusa broadcaster on VOA,I thot maybe coz we are women in media. Until I met her and realized, we sound the same 😅 Voice twin is an actual thing
Tweet media one
9
14
140
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@Samagoal77_ I follow anyone who likes this... Pls follow back immediately 💯
0
1
122
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
‘I hope this email finds you well’ how the email found me…
Tweet media one
Tweet media two
8
5
122
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
10 months
Mwaka 2013 Baada ya airport kuwa established Mbeya, Songwe International Airport, kulikuwa shida sana kwa taxi drivers na shuttle kujipanga kupokea wageni. Kila mtu alikuwa anataka ndege ikifika wajipange nje ya airport kwa utaratibu walioupanga wao ambao haukua rafiki kwa wateja
Tweet media one
11
12
119
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
Poleni sana Ndugu, Familia… Pamoja uongozi na wafanyakazi wenzake @CloudsMediaLive Bwana Ametoa, Bwana ametwaa. Mungu aendelee kuwapa ujasiri katika kipindi hichi.
Tweet media one
2
10
118
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
8 months
Lets use this women’s day to ensure we remind all the women in your life what they mean to you🙏🏽 #HappyInternationalWomensDay
Tweet media one
13
11
116
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
14 days
So this jumper had me answering all sorts of questions about Tanzania from travelers at the airport, but the most interesting one was ‘ Is it true that all the main roads in Tanzania were named after African leaders who were freedom fighters. And at the end of the roads were the
Tweet media one
13
9
115
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Every morning in Africa,a gazelle wakes up, it knows it must outrun the fastest lion or be killed. Every morning,a lion wakes up, it must run faster than the slowest gazelle or it’ll starve. It doesn't matter if ur the lion or gazelle,when the sun comes up….start running!
Tweet media one
Tweet media two
1
2
96
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
3 months
Our Tulia 🙌🏽
Tweet media one
43
7
106
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
3 months
Jana nilichukua boda boda kwenda kuona maporomoko ya maji na tulipokuwa tukirudi, alisimama kwenye duka la mke wake kumpa 'kodi ya meza' kwa sababu nilikuwa mteja wake wa kwanza wa siku. Kitendo hiki kilinifanya nitake kumjua zaidi. Aliniambia kila mteja wake wa kwanza hutoa
19
9
95
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
1 year
@IdrisSultan Pigeni mswaki usiku, oga..tumieni night repair cream and night deodorant..asubuhi mnaamka kama mmetoka kuoga . Napokea miamala mitandao yote
15
4
95
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
World Press Freedom Day in Dodoma some 9 years back… when there was only 2 female media owners in the country, Highlands Fm Mbeya and Voice of Africa Tanga #MediaFreedom
Tweet media one
7
5
94
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Somewhere in southern Tanzania
Tweet media one
9
7
93
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
11 months
Highlands FM Kwa Kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwenye campaign maalum kuhamaisha usafi Mbeya, Mvua zinakuja, tuweke mitaro safi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
13
88
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
1 year
Guess the age i was in this photo… winner gets free lunch kwa @enamalisa 😅
Tweet media one
42
2
85
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 years
Back to work…
Tweet media one
5
3
80
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
2021, waandishi 20 waliingia ofisi yangu ya DSM kwa fujo, sikuelewa, Ila kulikuwa na kampuni nashare nao ofisi,walikuja kwajili ya hio kampuni kuwa bombard kuhusu taarifa ambazo kuhusu mradi mkubwa wa serikali waliokuwa wanausimamia na ingekua ‘hot news’ kuirusha taarifa ile.
1
0
81
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Launching Kikwetu Kwetu with the team today and the regional commissioners office, this year we head to Mpanga Kipengere game reserves in June & Mount Rungwe in October, the goal to beat the north im tourism numbers 😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
14
80
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Vijana wenzangu, kama una fedha nakushauri jenga…. Ukifanya biashara ukapata fedha kanunue viwanja, jenga! Utapokuwa mfanyabiashara mkubwa Taasisi za fedha, safari za nje zote zinahitaji real asset…nyumba si liability hamna maintanance ya nyumba kubwa kuliko rent utayolipa nje
@julip202
Julip20
7 months
Hot take: kijana unaejitafuta usiwe na mawazo ya kujenga. Hio nyumba ni liability more than an asset kama hauna sustainable income. Bora utumie hio hela ya kujengea kuzungusha kwenye biashara. Infact matajiri wengi especially waarabu wamepanga kwenye apartments. Jiulize kwanini
32
28
289
6
11
77
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Nilivoona hilo tukio kama mwandishi niliwapigia simu wahariri wa vyombo vya habari vya waandishi waliofika pale kwangu kuwaelekeza namna ya kuverify taarifa wanazopewa na kuwaasi kutowafuata wafanyabiashara kwa fujo namna ile kwani si picha nzuri kwa taasisi binafsi au kwetu
1
0
73
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Mbeya,Arriving here 13 years ago and seeing where we are now..once an underperformer now the 2nd national Income contributor, mining region, a tourist destination, agri-hub, a vital gas-hub and even healthcare hub. Development entails collective effort. #media4development
Tweet media one
Tweet media two
7
13
69
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
1 year
Utuombe radhi 😒
Tweet media one
@Reefkm
rēēf
1 year
Sijawahi ona mnyakyusa baddie...
13
1
10
10
5
68
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
3 months
Nimepitia mengi sana katika safari yangu ya uandishi 🤣🤣
Tweet media one
13
1
67
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
3 months
Meru… our beautiful country
Tweet media one
2
9
69
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Wengi walielewa, wahariri wakawaita waandishi wao wakarudi kujipanga upya kuleta hoja zao profesionally ili wajibiwe vizuri na kwa ufasaha, ili ike kampuni itoe majibu sahihi na waandishi wapate taarifa kamili…wote walikubali kasoro chombo kimoja.
1
0
69
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
3 months
Mwaka 2015 nililala hoteli moja 5 star, kwajili ya seminar flani. Katika pita pita nje ya hoteli Nikafurahi kuona kampuni ya rafiki yangu, tena classmate ndie amepewa tenda ya ulinzi pale. Ilikuwa ni hoteli kubwa na nikastaajaabu, amewezaje? Nilimpigia na kumpa hongera na
Tweet media one
6
3
67
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
A happy soul and a thankful heart 🙏🏽
Tweet media one
6
2
65
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
3 months
Mwaka nilioahidi Kusini itaipita Kaskazini kwa utalii high season na mimi nimejikuta kaskazini 😩😫 dunia ina majaribu sana hii
Tweet media one
15
4
66
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Nilibeba hilo jukumu kuwasaidia kujadiliana na mwandishi huyo aliebaki, ‘omba appointment, leta taarifa zako, zitapelekwa kwa mkurugenzi na kisha muulize hayo maswali yako, namba zake hizi hapa pamoja na msaidizi wake…wafanyakazi wengine hawana mamlaka kuiongelea swala hilo’
1
0
65
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
0
0
60
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Kampuni hio walioandamwa na huyo Mwandishi haina PR wala mtu wa masoko, ni kiwanda cha kawaida kabisa cha waTanzania kama mjuavyo kampuni zetu hivyo hawakujua namna ya ku-deal na vyombo vya habari Kwamba wana haki ya kuomba muda kujibu maswali yeyote yale
1
0
64
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Wao walikuwa wanaamini kwamba hio ni hot story na walitaka kurusha hio habari kwa udi na uvumba muda huo huo! Wakijieleza kabisa kwamba taarifa waliosikia ambayo imefanya waje hapo ni kweli!
1
0
63
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Nilefedheheka sana na kufunga social medias zangu zote. Mchana tu nilipigiwa simu na watu karibia 23. Niliomba msaada kwa watu wengi waongee na hicho chombo bila mafanikio. Nikatafakari sana kuwapeleka mahakamani ila nikaona nianze kwanza TCRA tuitwe wamiliki wote watusuluhishe
1
0
62
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Baada ya wiki tullitwa na cha kushangaza, mmiliki wa chombo kile hakuwa anajua kuhusu ile taarifa wala lile sakata,mwaandishi walijitahidi sana kumficha akitetewa na bosi wake (mhariri)
1
0
61
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
Truly such an honor! 13 years ago as we were starting out if you would have told me I would be called a ‘Media leader’ among such presitigous women from across 3 continents I wouldnt have believed it, but here we are! #GodDidThis
Tweet media one
12
15
58
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
“BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kuchelewa kulala usiku, Na kula chakula kwa taabu; Kwani Yeye humpa mpendwa wake usingizi.” Zab 127:1-2 Have a blessed month 🫶🏼🫶🏼
Tweet media one
1
7
61
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Arise, the Lord has given us another gift of the day. Be joyful!
Tweet media one
Tweet media two
5
4
61
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
Always lovely running into my schoolmates…
Tweet media one
4
2
58
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
‘airport kwetu ni mambo madogo,ipo moja mjini imefungwa, nyingine chunya migodoni hadi tukuyu zinafika ndege ndogo’ na kwamba wanyakyusa wamezoea, anongelea mambo ya zamani. Ile tumechukua mizigo tunatoka nje ya airport Naona kwaya mbili zimejipanga, Ilibidi nipotee ghafla 🤣
7
3
59
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
0
0
56
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
11 months
Beautiful Mbeya Sunrise or sunset?
Tweet media one
Tweet media two
9
6
58
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Baada ya maelewano,Kile chombo kikaamuriwa kuomba msamaha na kufuta posts hizo kutoka kwenye social medias zao. Walilipa fine kwa kosa hilo, Yule mmiliki alinisihi sana nisiende mahakamani sababu hawataweza kulipa fidia kwani hali fedha ni mbaya mno. (mwaka baada ya corona)
1
0
58
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
Everyday is a gift….Be thankful for the gift today.
Tweet media one
5
5
57
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
ilikuwa aibu kwamba tuko kwenye tasnia moja ika yule mwandishi hata hakufahamu kwamba anaemrusha ni mwandishi mwenzake na mmiliki wa chombo ila akadanya kwenye taarifa mimi ndie mhusika ili kufanya taarifa yake ionekane kwamba ni kweli.
1
0
57
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Huyo mwandishi akanirecord sauti na kurusha mchana huo huo kwamba taarifa hio ni kweli na kwamba mimi ni mfanyakazi wa kampuni hio na nimekataa kutoa ushirikiano akatumia picha yangu ya mtandaoni akarusha story. Muda huo huo. Ikaruka live na usiku kwenye habari
1
0
57
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
1
0
42
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Nilipewa vipindi bure kutangaza mwaka mzima kwa chombo kile.Ila sikuwahi kutumia, nilikuwa na maumivu sana sikutaka tena hata kukiona kile chombo. Baada ya muda niliona waliboresha dawati la habari na kumwondoa yule mwandishi ila mara nyingi kuondoa watu hawa sio suluhu.
1
0
55
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Happy Fathers day to my father, whose sense of humor surpasses any situation. 30 minutes late to church on my wedding waiting on my dress in the hotel room he calls ‘Princess, please get to church, kamahari tulichokaomba kalichangamka afu unachelewa hivi kweli’ 🤣🤣
Tweet media one
3
5
55
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
0
0
50
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
I am super happy to see our cleanliness campaigns did not go in vain! Next goal is utalii 🙏🏽
Tweet media one
13
6
53
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
1 month
Today at Tanzania Tech Challenge. Grateful to the US Embassy of Tanzania and the Global Engagement Center under State Department for the opportunity to share our journey. Happy to see the wave of youth engaging in creating solutions for the country in the tech Space!
Tweet media one
1
12
52
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
Thrilled to announce we won the ‘Media leader’ award for Middle East, Africa and Europe here at Women SME Leaders Awards. Many thanks to Mastercard Foundation for recognizing our contribution to the Media Sector. #SmallGirlBigGod small girl like me… 3 continents #humbled
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
10
51
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
1 year
Beautiful Arusha…
Tweet media one
Tweet media two
5
3
52
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
A month of re-uniting with alumni, with my classmates from Sweden’s Swedish Institute. Such a lovely bunch…
Tweet media one
1
1
52
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Mbele ya mamlaka Mwandishi yule alikuwa anatetemeka na alishindwa hata kuongea, tukakalishwa vyumba tofauti kujadili na mmiliki yule tunaendeleaje mbele.
1
0
52
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Nasema haya ili uelewe tatizo hili sio la wamiliki wa vyombo wala vyombo vyenyewe,tatizo ni rushwa! Na watoa rushwa ni sisi watu kwenye jamii, rushwa imefanya kuonekana kwamba ni kawaida, ukikamatwa na traffic, ukitaka mambo yako yaende haraka kwenye ofisi za watu,unatoa rushwa
1
2
52
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
11 months
Binti wa miaka 18 🤪
13
1
51
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@efo_filey @henri_danni Ifb immediately. I don't cheat.
1
0
39
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
0
0
47
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
Tanzania has a housing deficit of 3Million Units with a growth of 300,000 units yearly. Do what you need with this information 😁
5
11
47
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
Happy to be in Dubai to celebrate Women SME Leaders across Middle East, Africa and Europe. Must commend Mastercard Foundation and Entrepreneur Magazine for making this such a beautiful gathering of entrepreneurial women across 3 continents!
Tweet media one
Tweet media two
2
6
46
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Umizwa mara kumi, Penda zaidi… dondoka mara kumi, simama zaidi…Unapoacha kujaribu, unafunga milango ya kulishinda jaribu… penda zaidi!
Tweet media one
4
3
47
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
Rest knowing God knows your heart, that the midst of misunderstanding he will give you a chance to be understood.
Tweet media one
2
2
47
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Hata ukiita waandishi ukatoa pesa habari yako iruke ni rushwa! Unapaswa kulipa kampuni za PR ikufanyie tartegeted advertising uweke taarifa zako kwenye vyombo, ila sababu watu hutafuta njia rahisi inazaa rushwa kwenye vyombo…
1
4
47
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
0
0
42
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
1
0
37
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
0
0
39
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Haifichiki kama sekta ni jambo tunahitaji sana kuboresha, ila kama mlaji inabidi tuelewe Kila sekta ina defective products/ services, na unaweza boresha kwa kureport taarifa isio ya kweli ilorushwa na chombo cha habari TCRA / Tcra CCC,itakabiliana sana na mtengeneza maudhui
1
0
42
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 years
Always advocating for media as a tool for development and business growth🙏🏽
Tweet media one
1
3
43
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
Taasisi tofauti zimejitahidi kufanya malipo na uwasilishaji wa taarifa kutumia dijiti,suala hili halipo kwenye vyombo vya habari. kutumia dijiti kuwasilisha habari itaweza kupunguza mlolongo wa ‘paid news’. Paid news ni ishara ya hitaji la dijiti kila sekta kukabiliana na rushwa
1
0
43
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
7 months
Ran into Access FM MD Samwel Mtela , Sam has been an exclusive client and partner of Highlands Fm for almost 10 years, on the 11th year he started his own radio station… remained a client regardless. This one Client turned competitor…
Tweet media one
3
3
43
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
Enjoyed a delightful lunch with my cousin Naomi, CEO Mababu Chocolates, I am immensely proud of her accomplishments and the significant strides she is making in shining a spotlight Mbeya’s Cocoa…Did you know Mbeya Produces 90% of the country’s Cocoa?
Tweet media one
8
4
43
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 months
2021 2024
Tweet media one
Tweet media two
7
5
43
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
0
0
41
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@efo_filey @henri_danni Ifb immediately. I don't cheat.
0
0
37
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 years
We are entering 2023 with Larry’s energy
@LarryMadowo
Larry Madowo
2 years
Camel News Network LIVE from Mombasa 🤣 @BeckyCNN and I got a real kick out of Ali 🐫 and his antics. Happy New Year!
56
199
2K
2
6
41
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
2 years
@HappyKonina hivi kwa mfano wanaume wakilewa kurudi saa kumi usiku na wao wanapigwa na kuuliwa?
44
1
39
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 months
Special invitation to Media Owners in Parliament today to the listening of 2024 budget of the Ministry of Information, Communications, Technology from the responsible Minister @Nnauye_Nape I take pride in witnessing MPs diligently advocating for media-related concerns
Tweet media one
Tweet media two
5
6
40
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
1
0
37
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@efo_filey I follow anyone who likes this... Pls follow back immediately 💯
0
0
34
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@efo_filey I follow anyone who likes this... Pls follow back immediately 💯
1
0
28
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
4 years
@chibelube Like,nikufollow,Usikawie Kufollow me Back.
0
0
37
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@efo_filey @henri_danni Ifb immediately. I don't cheat.
0
1
26
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
5 years
@efo_filey @henri_danni Ifb immediately. I don't cheat.
0
0
28
@jackielawrencem
Jacqueline Lawrence
6 months
Children are the living messages we send to a time we will not see
Tweet media one
1
2
36