Greatness Tupu ๐Ÿช„ Profile Banner
Greatness Tupu ๐Ÿช„ Profile
Greatness Tupu ๐Ÿช„

@its_CK23

3,763
Followers
2,007
Following
513
Media
205,377
Statuses

๐Ÿ’ฅ Messi ๐Ÿ|| @ManCity stan||๐Ÿชฉ ~scientist ~ TheAntidote ....alhamdulillah

Homeland
Joined April 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 year
Kila kitu tamu huwa katikati, hata pesa iko Central Bank.
57
504
717
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Ukilewa na matajiri hujuangi bill ililipwa saa ngapi, unaskianga tu "you good?"
131
1K
6K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Fake clothes and shoes nazo huwa mnanotice haraka.... But a guy with bad intentions mnajua after 3 babies.
64
1K
6K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
"Tutatafutana" is one of the greatest lies ever.
47
1K
5K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Nimeamka nikiumwa na ribs...ni kama naundiwa mamaa.
70
880
4K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Unafocus tu kidogo,, plus favor ya God,,mambo inaanza tu kunyooka a good one... Lovely scenes.
44
1K
4K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Broke is such a harsh word, I prefer illiquid.
90
1K
4K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Ambia your friends the exact village unatoka,,,stop rounding off to the nearest town!
57
595
3K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Hizi vitu couples huita ups and downs kwa relationships kumbe ni cheating.
49
634
3K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Umdhaniaye ndiye,, ndiye! Kwani mimi naeza dhania vitu haziko.
36
830
3K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Chrome mnakunywa dry....lakini mala mnaeka sukari,,,frauds!
30
576
3K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
The amount of lies that come with "sa mbona nikudanganye."
68
769
2K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Simps hucheza rough game bana...sasa unapea msichana pesa ya nini?
42
427
2K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
5 months
Ukiwachana na dem always malizia na, "l will always love you to activate the buy back clause."
22
422
2K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Mtoto wa 2005 anaanza statement na "From my experience" Experience gani cocomelon??
41
476
2K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Someone's daughter anichukue aninyonyeshe juu waah.... I'm on the edge.
36
375
1K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
26 days
Mbona uwaste time ukisema hutaki waru si useme tu ViaZii.
64
403
1K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Hawa madem wa macho nne hukuwa beasts in bed,,,,,akishapanguza glasses zake na wipes unaeza piga nduru...
26
241
1K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
27 days
Siku hizi unapumzika tu kidogo unagongwa na sadness out of nowhere.
53
345
1K
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Sometimes kukuwa mzuri ni pointless... Watu ni kama hu respect watu wabaya.
31
295
981
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
@The_Big_Chifa_ "Only three types of people tell the truth: kids, the drunk and the angry."
18
162
923
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
12 days
Kwa hii life usipokuwa mjanja utatrust the process hadi udedi.
32
293
864
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Ukimaliza campus utajua hakunanga friends uko just classmates
31
243
825
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Ni sawa wamepunguza reverse calls lakini wasijaribu kuguza Fuliza!
25
173
735
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Kuomba dem alafu akikunyima umwambie 'kwani hujui jokes' >>
71
249
725
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Wanawake ni wakora.....dem anakutext with some love hata huwezi jua ako sleep over.๐Ÿšฎ
27
180
719
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Back then ile shairi ya "Ukimwi ugonjwa mbaya wamaliza binadamu" was scary asf..
23
232
665
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Hakuna kitu unibamba kama kuona dem alikuwa anajifanya badgirl akiwa na mimba..
23
179
600
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Unaingia bedsitter ya comrade unadhani umeingia store ya mafundi.
67
214
566
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Monkeys hujifanya less intelligent kuliko binadamu ndo wa avoid kulipa taxes.
28
186
558
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Bro code 101b: Never mock a bro to entertain the table and call it fun.
71
225
525
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Maliza shule upate kazi, utalalanga vile unataka. They lied to us.
34
176
510
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Unafaa kuambia aje hawker hautaki kitu anauza na usisound rude?
70
168
494
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Eye contact kidogo tu na usher ashakupea bahasha ya fungu la kumi.
29
183
476
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Hii Kenya ukiskia "we are just good friends" wee jua kuna mahali vitanda vimetingika..
19
149
448
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Niliogopa Githurai ile siku mlango ya jirani iliibiwa alafu Kesho yake akakuja na mlango imeandikwa chief's office.
75
199
466
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Don't feel bad when you upload your profile and nobody comments on it... Who knows?? Maybe you left everyone speechless.
53
192
451
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
There is always a person that finds you in the same clothes every time you meet...you always feel like explaining.
64
187
437
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Unaleta coolkid kwako anaona mitungi ya maji alafu anaanza kuuliza hiyo mafuta ulibuy how much
28
162
428
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
That moment unasmile na crush alafu anakwambia uko na mboga kwa meno >>
67
187
425
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Msee wa mjengo anaeza kupiga comeback hatari hadi ujichukie.
40
150
405
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Ushaipata gas imeisha ukatumia maji moto ya hot shower kutengeneza cocoa
38
165
394
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Telegram nao lazma watangaze umejoin ndo tujue umeanza kufinya chura.
48
144
378
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Light skin men hutokea na serving spoon as their weapon of choice mwizi akishikwa hapo kwa ploti..
24
130
383
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Hii baridi unazunguka kwa nyumba na duvet kama batman.
17
150
372
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Ni wengi walideposit lakini wachache watawithdraw.
62
185
376
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Kama uko na deni yangu wee nilipe hata nusu bana...Sio kuzuri hata kidogo.
27
126
358
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Maombi inakushinda lakini hiyo kitu unaomba kama Paulo na Sila.
23
127
363
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Jersey ni kitu ya kuita "all I have done..."
15
130
355
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
I started doubting this country wakati nilipata watchman kwa gate ya police station..
14
110
355
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Walevi hawananga trust issues,,,wanakuambia wewe stranger uwaangalilie drinks zao from other strangers...ati wanatoka nje kidogo wanarudi.
30
115
350
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
5 months
Madem hukua na bahati wanatembea Tao wanaona nguo smart wakiulizia bei wanaambiwa "10 bob bei ya kuongea."
29
123
324
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
"Niki-make it bro siwezi kusahau" nimemcall akauliza "ni nani?"
26
132
328
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Unafanyia mtu vile alikufanya alafu anataka kukasirikia.
15
138
321
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Hakuna kitu risky kama kudate dem anacheka akiwa amejam...huyo anaeza kuua.
15
101
320
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
"If your parents count on you, don't play the same game with those who count on their parents."
71
170
318
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Nairobi jobless youths wananunua magari na ukiwauliza wanatoa wapi pesa, wanasema ni God tu na bidii.
33
137
319
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
6 months
Tukisema unakaa fiti ni nguo si wewe.
18
119
303
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Pale highschool ukiteleza kama umebeba githeri yako afadhali ungevunjika mkono as long as githeri haimwagiki...in fact ulikuwa unaweka hiyo githeri chini kwanza alafu unaanguka.
29
128
311
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Mi naye huwezi niconvince ati tattoo ya mapaja ulilipia na pesa msichana.
27
102
302
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Find a woman who loves and treats you so well that you have no choice but to hide your other women from her....simple.
23
134
299
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
"Pole basi." This is not an apology. Hii ni kiburi.
19
137
299
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Unaringa na boy wako alikuwa anatumwa canteen alafu anakatiwa mandazi.
32
112
295
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Hii dunia haijali kama Leo umekula au hujala....usipojituma hata Kesho hautakula pia.
21
105
293
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Unaona hio kindness uko nayo, generation ya saai haitambui...
12
98
261
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Simu ya mwanamke kitunguu tupu... you'll be staring at your teammates face on
29
122
267
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
"Wacha nirudishie mwili shukrani" is a phrase usually followed by bad financial decisions.
7
120
266
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Fresha unajua pedi na siku mbili...pedi mwenye ametafutwa na polisi for years.
45
128
262
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Shida yenu mnaheal na mnarudi crime scene tena..
29
116
250
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Ann amenikataa, I feel Ann wanted. Weeell... that shouldn't be Ann issue.
61
117
252
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Huyu anasema hapendi wanaume wanavaa ripped jeans smh...sa nishone viraka kwa denim zangu juu yake... Akwende!
25
113
251
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Ile kiburi ilikuwa na scouts joh....komanda kalinitoa kwa line ati sijui kumatch vizuri sasa kanauzanga jaba
19
84
237
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
No parties,no formation, no outings...just chilling comfortably in my nest while listening to music without my 16 bob in my M-PESA untouched.
20
96
231
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
Dem ako na shingo ya upanga na amedress to kill....Chali yake amebeba rungu na mapenzi yao ni ya kukata na shoka.
24
92
233
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Ile kizungu inakuanga pale police station huwa tunanyamaza tu juu wako na guns.
16
85
226
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Ukiwa club mnakunywa alafu beshte yako aanze ati "bro nishai kukosea" peleka hiyo ghasia nyumbani... mtapigwa tu bure na bouncer.
24
82
224
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
1 month
There is always a truth in "I was just kidding."
34
120
223
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Highschool dorm/class roasts remain undefeated.
56
122
213
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
On my wedding day entertainment will be in form of memes, displayed on a 100inch projector.
49
127
216
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Huwezi kuwa umeiva na unataka kunieka friend zone..
19
92
214
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Nini ushawai ambiwa na mzazi ukaona ni heri ukatafute kwako?
16
82
211
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Niko hapa kwa jirani na naona ameleta sahani mbili na tuko watatu,,sijui nani hakuli.
22
98
209
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Nimenunua mlango nangoja opportunity to knock..
62
131
209
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
27 days
Kama kuna kitu ngumu kufanya kwa hii life ni kulipa deni walai, hata kama ni 30bob ile kusumbuana mtasumbuana....si rahisi.
17
86
193
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Mbona uwaste time ukisema unataka chapati na chai si useme tu ChapaTea.
38
96
188
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Githu msee anakuomba simu aangalie time then anakimbia nayo as if ako late..
22
87
185
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Usishtuke...kama ilikua ikue itakuwa tu.
20
102
185
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Siku hizi siri ya betting ni kubet the opposite of what's in your mind.
20
89
186
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Huwa una save 10K alafu unaskia sijui nani wenu uliumwa skio na mwenda wazimu na anahitaji 10K adungwe dawa ya mad morio disease,,stay woke... don't save!
70
115
179
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Madem warefu hudhania tunaworry about their frame,,,,siste nitakutega uanguke ndo uniangukie ๐Ÿ˜ค
13
66
177
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Mtu akikufurahisha alafu ukose kucheka hiyo ndo furaha isiyo na ki-funny ama๐Ÿค’
61
112
173
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Itabidi nirudi kwa mzazi sasa,,,, things are getting out of hand.
15
86
172
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
When you excel they spreadsheet about you >>
30
101
168
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
11 days
Unaomba namba alafu after some time unashangaa ulikuwa unaomba ya nini
14
114
305
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
2 months
Unakopesha dem 2K alafu ukirudi kumdai anakuita babe.
22
86
164
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
Juzi tu nimekuacha ukiwa mdogo....Hawa marelatives wanajionanga ma-ancestors sana.
15
85
155
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
3 months
"I think google is a woman because it never lets you finish your sentence without making a suggestion."
15
82
154
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
5 months
Nairobi rent ni expe waaah! Itabidi tu nimeishi Nakuru kama flamingo.
8
66
151
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
4 months
Girls from rich families are always shapeless but these daughters of peasants....eiish..
16
76
148
@its_CK23
Greatness Tupu ๐Ÿช„
5 months
Siku hizi pesa inaisha na ukiangalia sio ati uliiwaste,,ulinunua chenye ulikuwa ununue.
15
73
152