Kankala Profile Banner
Kankala Profile
Kankala

@haruna_k92

5,330
Followers
5,065
Following
454
Media
11,268
Statuses

Simba sc & Barcelona & man city

Suma ngira
Joined September 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@haruna_k92
Kankala
2 months
Dondosha handle tuinuane
30
19
41
@haruna_k92
Kankala
10 days
Leo nataka nitoke nikatembee tu ili kuijenga furaha yangu zaidi ungependelea niende maeneo gani?
6
10
27
@haruna_k92
Kankala
10 days
Sina ishu kabsa nani anipe mchongo au nijipikie tu saivi
5
15
28
@haruna_k92
Kankala
11 days
Mwaka 2000 ndani ya bahari ya hindi mwaka 2024 ndani ya like tanganyika
4
6
24
@haruna_k92
Kankala
10 days
Nimetoka kwa mama tiliye nimeshiba sasa naenda zangu kigambon nikazurule tu mpaka ucku
Tweet media one
5
4
24
@haruna_k92
Kankala
7 days
Leo nitaenda mbagala kuzurura huko mida furani hivi nitaenda mpaka mbande
6
12
25
@haruna_k92
Kankala
1 month
Wazee wa VAR hapa hamruhusiwi kuzumu sana 😂😂😂
Tweet media one
17
5
23
@haruna_k92
Kankala
8 days
Kama kawaida mtaa kwa mtaa nipo zangu nauza mkaa bila kuchoka MUNGU atupe riziki yetu
7
14
21
@haruna_k92
Kankala
2 months
JINSI YA KUPATA FOLLOWER TWITER 👉 Kwanza heshimu twiti za kuinuana 👉 Ukiona twiti za kuinuana like, retweet 👉 Mwisho unashusha handle yako 👉 Mwisho kabisa uwe unalike zile handle walizo weka wenzako na kuzireply FB (Follow back) Account 100 zipate follow back leo 💥🔥
Tweet media one
17
10
23
@haruna_k92
Kankala
15 days
Unalalaje bila follow ni follow ni kufollow back chapu tu
8
10
20
@haruna_k92
Kankala
10 days
Siku ya leo kwangu imeisha vibaya lkn freshi sababu nipo salama hata kesho pia ni siku
3
4
21
@haruna_k92
Kankala
21 days
Kwahyo leo bila VPN hauingii humu au ni mm tu huku
Tweet media one
5
8
19
@haruna_k92
Kankala
11 days
Siku zote kidonda kikipona huwa tunasahau maumivu yake
Tweet media one
4
6
18
@haruna_k92
Kankala
9 days
Hii pisi ipo humu ndani niseme tu hii pisi ni nzuri sana aise munisaidie kuitag ujumbe ufike
Tweet media one
8
10
19
@haruna_k92
Kankala
1 month
Hivi nyie nilie wa follow na hamtaki ku follow back munajiona kwamba nyinyi ni bora na wengine hata follow 1k hamujafika mnaanza kulizika kizembe hivyo
7
8
19
@haruna_k92
Kankala
19 days
Huyu mtoto anaumuri mdogo sana ila pesa anayokusanya ww na elimu yako hapa hufui dafu hata kidgo tu
Tweet media one
0
5
19
@haruna_k92
Kankala
9 days
Vp nchi yako mahakama inaweza kuzuia kukodishwa kama walivyo fanya kenya
Tweet media one
5
10
19
@haruna_k92
Kankala
23 days
Alhamdulillah eh mwenyenzi mungu mwingi wa rehema tufanyie wepesi katika shunguri zetu tuepushe na shiriki na shari mbele yutu Amina 🙏🙏🙏
Tweet media one
7
5
18
@haruna_k92
Kankala
19 days
Hawa watoto ni tishio wakiwa na mpira yaani ukija kichwa kichwa unalamba nyazi mapema tu 😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
4
5
18
@haruna_k92
Kankala
8 days
Dogo aliona bora ale kwa macho tu wakati akisubiri akuwe kuwe kwanza 😂😂😂
Tweet media one
4
9
18
@haruna_k92
Kankala
1 month
Kijijini kwenu ww ndiyo mjanja na wanakutegemea uwape habari za mjini na duniani kote
Tweet media one
4
7
18
@haruna_k92
Kankala
15 days
Nishakunywa chai sasa acha nirudi kulala ili mchana ufike nilekee kilingeni
5
10
17
@haruna_k92
Kankala
24 days
Saivi kwenye uli wimbo wa shule wa mungu ibariki tanzania aise usiniletee zile habari sijuwi za nn nn kwa viongozi tutaleteana noma kabsa
Tweet media one
3
7
17
@haruna_k92
Kankala
18 days
Manisele ameyakanyaga kwa majogoo hiitabu atajuta kuipata leo 😂😂😂
Tweet media one
2
6
16
@haruna_k92
Kankala
9 days
Company yetu wote makacha kuhusu mabitozi hakuna kabsa song frani hivi kipindi hicho
Tweet media one
3
11
17
@haruna_k92
Kankala
2 months
0
0
17
@haruna_k92
Kankala
9 days
Sasa tuingie mzigoni kutafuta chochote kitu ili maisha yasonge
Tweet media one
4
9
17
@haruna_k92
Kankala
8 days
Usimzarau muuza makoti kisa kipindi cha joto kumbuka kuna msimu wa baridi pia
Tweet media one
3
9
17
@haruna_k92
Kankala
12 days
VAR check tazama kwa makini hapo kuna penati ya wazi kabsa
Tweet media one
16
6
13
@haruna_k92
Kankala
11 days
Wakuu kwani nyie mmeamkia wapi me ndo naelekea kijiweni na wana
7
6
16
@haruna_k92
Kankala
8 days
Kumbe kulala jioni ni raha hivi 😂😂😂
4
11
16
@haruna_k92
Kankala
15 days
Tuelekee sasa tukaangalie mechi yetu au mnasemaje wapwa
2
6
16
@haruna_k92
Kankala
1 month
Ni follow na kufollow back shusha handle yako hapo
8
13
15
@haruna_k92
Kankala
9 days
Leo nipo nauza mkaa ukiniona niite tufanye biashara pia tupige sitori za hapa na pale
6
9
14
@haruna_k92
Kankala
22 days
Kujenga Brand wazee ni kazi alafu anatokea mtu anakukunjia tu bila sababu kisa Brand imetengemaa na Dua mbaya inaanza ili uanguke tu alafu hatonufaika na chochote juu ya anguko lako 😭😭
3
10
15
@haruna_k92
Kankala
16 days
B/moyo pazuri kwa kutembea siku moja moja utenbelee mji huu b/moyo ufrahie pia
5
5
15
@haruna_k92
Kankala
28 days
Vp nibweke au niache tu NB; tukutane 2025
Tweet media one
2
5
14
@haruna_k92
Kankala
2 months
Katika nyakati ambazo siyo za kawaida ndiyo hutokea watu ambao uliwahitaji kipindi kile hawakutokea
Tweet media one
7
6
15
@haruna_k92
Kankala
15 days
Nikiamka nitaenda chaka moja kupiga story na wana leo.
7
8
15
@haruna_k92
Kankala
9 days
Ukifanikiwa kutengeneza brand ukiwa kwenye ualisia wako hakika utakuwa umefanikiwa zaidi maana kuna wengine wanatumia majina ya kike na profile ya pisi ili wafanikiwe kimufano huyu kabla hajafanikiwa kipindi hicho anajutafuta
Tweet media one
5
6
14
@haruna_k92
Kankala
30 days
@Roma_Mkatoliki Kaka kwa haya matukio yanavyoendelea yanawajegeaa usugu vijana wengi
0
0
15
@haruna_k92
Kankala
28 days
Tumekaa kinyonge sana acha tujaribu kufuta mawazo
3
6
13
@haruna_k92
Kankala
14 days
Nimeshakula 3 day wapwa tuvumiliane tu
4
9
15
@haruna_k92
Kankala
2 months
Ambae sijakufollow shusha handle yako hapa nikufollow chapu ili ww ufollow back tu pia riposte ifike mbali niinuke na wapwa
Tweet media one
4
7
14
@haruna_k92
Kankala
1 month
Hivi hawa wakizeeka huwa wanaendelea kukata kama maji kweli???
Tweet media one
4
3
12
@haruna_k92
Kankala
7 days
Leo nipo pindo sana aise acha niende clabu nikasikilizie hata ma music kwanza
Tweet media one
5
9
13
@haruna_k92
Kankala
2 months
Kwahyo hawa waliogoma kuni follow back wanataka wainuke wenyewe tu hawataki tuinuane wote humu
Tweet media one
4
2
13
@haruna_k92
Kankala
11 days
Leo nimerudi nyumbani mapema sana aise nimewaachia mji na wikendi yenu
4
6
13
@haruna_k92
Kankala
16 days
Ngoja nirudi sasa kwenye mji wenu maana siku ya leo nusu nimeimalizia b/moyo
4
8
14
@haruna_k92
Kankala
1 month
Nitoshe kusema tu TLS imepata RAISI nimemsikiliza mwabukusi katoa mwanga sana mbele ya jamii natamani kusikia kutoka kwenye chama cha madakitari chama cha walimu nafikiri tutapiga hatua kusonga mbele zaidi
5
5
14
@haruna_k92
Kankala
19 days
Bingwa anashinda mechi ya 3 mfululizo nyie mnaotaka kushindana nae kwenye mechi zenu mnaomba mpira uishe kweli mtaweza
Tweet media one
0
0
14
@haruna_k92
Kankala
1 month
Alhamdulillah eh mwenyenzi mungu mwingi wa rehema tufanyie wepesi katika shunguri zetu tuepushe na shiriki na shari mbele yutu Amina 🙏🙏🙏
2
4
14
@haruna_k92
Kankala
17 days
Tuna madini mbuga misitu Tuna mito ziwa bahari Tuna gesi bandari lkn...???
3
7
14
@haruna_k92
Kankala
3 months
Leo follow ni wakutosha yaani ni weningi weka handles tuinuane pia nafollow back muda huu
Tweet media one
14
1
14
@haruna_k92
Kankala
2 months
Katika maisha kamwe usikatishwe tamaa na mtu wala kitu pambana tu hadi mwisho wa tone la damu
3
10
13
@haruna_k92
Kankala
2 months
Sijafurahishwa na hili jambo unaposema utani utani umebeba mambo mengi yakiwemo haya ya kupondeana jezi. ila sipokuwa kutukanana na kugombana tu hapo ndo itakuwa siyo sawa
Tweet media one
7
9
13
@haruna_k92
Kankala
1 month
Nipate kama huyu sasa nitulie zangu niachane na nyeto maana itaniua
Tweet media one
3
4
13
@haruna_k92
Kankala
30 days
Nashangaa shikamo zinakuwa nyingi kumbe ni ujumbe unatumwa ili nijuwe nimekuwa nihame nyumban 😂😂😂
Tweet media one
5
2
13
@haruna_k92
Kankala
1 month
Alhamdulillah eh mwenyenzi mungu mwingi wa rehema tufanyie wepesi katika shunguri zetu tuepushe na shiriki na shari mbele yutu Amina 🙏🙏🙏
Tweet media one
7
3
13
@haruna_k92
Kankala
24 days
Hivi vijana kuvaa mtepesho huu ni ujanja au ni ushamba wa kilimbukeni ambao hatujuwi hata turilisi kutoka wapi?
Tweet media one
2
3
12
@haruna_k92
Kankala
30 days
Kama ndiyo hari hii kazi ya uwakili ni ngumu sana aise
Tweet media one
3
2
12
@haruna_k92
Kankala
9 days
Alhamdulillah kumekucha salama Mungu ametujalia afya njema tuamke sasa tukapiganishe harakati zetu pia tukumbuke kufanya ibaada maana ndiyo mrengo mkuu wa Mungu zidi ya mwanadamu inshaallah mwenyezi Mungu atajibu maombi yetu kwa wakati 🙏🙏🙏 Ikawe juma tano njema kwetu sote
Tweet media one
5
4
12