Galan (Kacha) Profile Banner
Galan (Kacha) Profile
Galan (Kacha)

@gallanemma

38,874
Followers
5,027
Following
1,636
Media
45,223
Statuses

Digital Tips

Mwanza, Tanzania
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@gallanemma
Galan (Kacha)
5 months
KUJIAJIRI KWA KUTUMIA CANVA: jisajili canva leo jifunze kitu kimoja kati ya hivi utapiga pesa Inapatikana App/ play store pia kwa watumiaji wa simu janja Download jisajili kwa Gmail yako.
Tweet media one
25
115
406
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@netanyahu A short story 👇💔
Tweet media one
185
347
2K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Ipo siku post ya video kama hii itapata likes 1000 na Repost 100 maana mtoto katuonyesha kwamba chakula kinahitaji kuheshimiwa sana🤝💥🙏 Video chini kwenye comment 👇
Tweet media one
Tweet media two
48
199
2K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@BarackObama The United States should advocate for peace and diplomacy rather than pursuing retaliatory actions or favoring one side in this conflict. I STAND FOR PEACE ✌🏾 🙏
Tweet media one
250
177
2K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 month
Kama sijakutumia platform ya kutengeneza logo for free Repost Comment "Simba " Nikutumie dm
Tweet media one
445
196
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Sema hii pass ya messi wakuu,messi ni jini 🙌🙌 Video kwenye comment 👇
Tweet media one
63
56
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
NJIA NYEPESI YA KUZIAFAHAMU PASSWORD YA WI-FI NETWORK ULIYOUNGANISHWA. Uzii 🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵🧵. Uwa inachekesha sana mtu anakuuliza unaijua password ya hapa na mm uniunganishe, unasema ujui wakati PC/Laptop yako ipo connected basi soma hii mpaka mwisho 👇
Tweet media one
65
612
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
TOP FIVE 5 SITE ZA KU DOWNLOAD MOVIES NA SERIES BURE KWA KUTUMIA SIMU YAKO TANZANIA. UZI📲 kama ulikua unasumbuka sana kuhusu wapi utadownload movie na series za (marekani,asia,ulaya,Africa) Kwa mbs chache basi soma hapa 👇🏿. RETWEET KABLA UJAENDELEA.
Tweet media one
109
1K
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 month
Kuna platform ambayo unaweza kutengenezewa logo ndani ya dakika chache bila ujuzi wowote for free Itakufanyia branding pia Utachagua rangi, utaipatia tu kina la kampuni na aina ya logo unayotaka Repost Comment "Logo " Nikutumie
1K
272
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Messi ni Goat 🐐 🙌 Video kwenye comment
Tweet media one
21
25
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
5 months
NAMNA YA KUANDIKA EMAIL YA MAOMBI YA KAZI/JOB APPLICATION EMAIL Soma hapa na mifano👇 Anza na To : weka email ya unapotuma maombi. Sehemu ya Subject / kichwa. English: Subject: Job Application for [Position Title] - [Your Name] Kiswahili: Maombi ya Kazi kwa Nafasi ya
Tweet media one
32
494
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Huu mzigo nmepata epsode ya 2 season 2 ebhana ni 🔥😁 . Kuna wanangu mlisema mnasubiri iishe kwanza mi naangalia nitaisha nayo tu.
Tweet media one
72
60
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Wangapi mnataka uzi 🧵 wa VPN? Retweet weka comment ya 🔥🔥 Comment zikiwa nyingi nawashushia leo.
Tweet media one
136
157
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
5 months
@Africa_Archives Slavery was a nightmare for everyone involved. When it comes to African men being raped and sexually assaulted, let's just say, history has a dark side darker than a black hole in a coal mine at midnight.
25
34
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
4 months
SIO LAZIMA COMPUTER Nmeandaa list ya App / Site za kuandaa cv kwa kutumia smartphone yako buree. Kwa kufuata maelekezo rahisi ya nn ujaze Repost Comment. "Kacha" Natuma DM kwako chapu
Tweet media one
1K
334
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
wachambuzi huyu mwamba ni nani??
Tweet media one
109
43
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
11 months
Kwa kiswahili anaitwa kanga , kwa kiingereza anaitwaje ??😅
Tweet media one
242
46
1K
@gallanemma
Galan (Kacha)
10 months
Kama kweli ulipata A ya physics tuambie mnara kwa kiingereza unaitwaje bila Google 😀?
Tweet media one
205
30
907
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Nikikumba mashabiki wa CR7 Tanzania walikuaga wanabisha kwamba Ronaldo hazidiwi na MO utajiri wakati anazidiwa mbali uwa nachoka sana😀
Tweet media one
Tweet media two
85
72
912
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 month
Uwa nashangaa mtu mwenye smartphone anaenda stationary au kwa camera man kutengeneza passport size kwaajili ya matumizi ya digital i! 😁 Wakati ni rahisi tu, huna hata haja ya shuka la blue nyuma! Nmeandaa list ya application Bure Repost Comment "size" Nikutumie
Tweet media one
Tweet media two
785
243
926
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@Israel this meme had made me laugh out loud 🤣
Tweet media one
34
185
865
@gallanemma
Galan (Kacha)
11 months
Wengi wanashindwa kuitambua hii movie/series 🎬 🔥
Tweet media one
77
71
878
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Wapenzi wa movies🎬 . Chini kuna movie za kutazama mwezi huu🔥🔥 . . Shuka nayo👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
44
179
854
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
LEO KWENYE SIMU . NJIA NYEPESI YA KUZIFAHAMU PASSWORD ZA WI-FI NETWORK ULIYOUNGANISHWA. Kwenye simu za Android 📱...ila pia iPhone inawezekana.🧵🧵🧵 Kama ulibahatika kuungwa kwenye wi-fi network na aukumbuki password hili umuunge na rafiki yako anaetaka kuenjoy soma hii👇
Tweet media one
54
352
813
@gallanemma
Galan (Kacha)
3 months
Nmepata application nzuri ya kucompress video yenye Mbs Nyingi kwenda Mbs chache bila kupunguza quality yake. Repost. Niambie kama unataka nikutumie.
380
165
813
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Tatizo la jamaa yenu analemba sana mwandiko hiki ndicho kilichomkuta 😁 Video kwenye comment 👇
Tweet media one
34
25
792
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Kama ulisoma kwenye mazingira haya repost itrend 💧🙌
Tweet media one
8
157
726
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Picha kali kwenye gallery challenge 🔥💦👇
Tweet media one
117
37
705
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
SUGUNYO ni nini? 👇 UZI⏰🕰 "USTUUMIZIE" USMUUWE"ni kauli niliowasikia wekenya wengi wakitamka pale ukumbi wa KICC wakati natazama pambano la Mandonga mtu kazi 🇹🇿 vs Wanyonyi 🇰🇪 hapa Nairobi, Kenya.
Tweet media one
37
62
698
@gallanemma
Galan (Kacha)
3 months
Niliwaambia leo nitashare CapCut ✔🔥🔥 Tool ya content creation (videos) - Pesa Nyepesi Kwa mtu unaetaka kuanza Repost Comment "Cup Cut" nakutumia maelekezo.
Tweet media one
713
246
723
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Sema huyu dogo Selemani vitu anavyofanya vimeshindikana angalia baada ya Pafu kaitupa kiutu uzima😀 Vedeo kwenye comment 👇
Tweet media one
Tweet media two
51
65
675
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Hawa machalii hii freestyle waliuwa sana🔥 . Unawapa max ngapi kwenye 100%🎵💪
54
173
673
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
JE UNAZITAMBUA HIZI USSD CODE NA KAZI ZAKE KWENYE SIMU YAKO Kupitia Dial jaribu. *31# (ondoa Caller ID) Mtu unaempigai atoweza kukutambua kurudisha piga*31# * #06 # (Check the Device's IMEI) Angalia IMEI number ya simu yako  * #67 # (angalia Call Forwarding) ...🔄👇
Tweet media one
28
430
643
@gallanemma
Galan (Kacha)
8 months
Jifunze kuandika CV (wasifu wa kazi) upige pesa za vijana👇 Hatua za kuandika CV kwa kutumia ChatGPT na Word ni kama ifuatavyo Itakuchukua dakika 20 kutengeneza CV kama pro Repost 🔄
Tweet media one
14
240
637
@gallanemma
Galan (Kacha)
10 months
Wapwa leo ni siku ya kuzaliwa kwangu 18/12 🎂
Tweet media one
126
99
617
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
NAMNA YA KUANDIKA PROJECT/MRADI Imelenga sana mashirika na wajasiriamali wadogo wadogo kwenye kuomba ufadhili wa pesa. Tumia Google kwaajili ya kupata taarifa mbalimbali,kuandika na kupanga ratiba tumia notion,Google Docs na Ms word ,kuandaa presentation tumia Canva..
Tweet media one
51
449
621
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Nasikia wakishaonja damu ya mtu wanatakiwa kuuliw@ maana inachumvi nyingi ni tamu wataanza kuwinda binadamu 🚥 Video chini 👇
Tweet media one
Tweet media two
52
42
600
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Wapwa naomba zawadi hii ya TECNO iende kwa mama yangu mpendwa ambae kila siku ananitumia ujumbe mfupi wa maneno kunitakia usku mwema. 🙏🙏 Retweet imfikie #SambazaFuraha na @TecnomobileTZ
Tweet media one
@TecnomobileTZ
TECNO TZ
2 years
Tunafahamu kuwa, mpira una raha yake, ila kumzawadia umpendae ni raha zaidi! 🥳🎁 #SambazaFuraha kwa mtu wako wa karibu kwa kumshindia simu toleo la CAMON 19 au SPARK 9 Sports Edition BURE! Unachotakiwa kufanya: 1. Quote tweet pinned tweet hii soma zaidi 👇
68
169
408
70
620
532
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Chapu chapu wazee 👈
Tweet media one
460
39
540
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Kama unapenda hiphop Retweet hii Roho saba Nakupa Hiphop 🎶 Throwback Thursday ✊
55
199
525
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Kuna dogo ana div 1 form 6,div 1 form 4 ,pia kasoma shule za serikali toka primary mpaka A level ,chuo alipata mapema (Saut) anatokea familia ya wakulima, maskini dogo alienda mpaka JKT maana alihiisi asipoenda atakosa mkopo ,lakini bado kako Swali BODI WANATUMIA VIGEZO GANI?
Tweet media one
103
48
506
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@POTUS The United States should advocate for peace and diplomacy rather than pursuing retaliatory actions or favoring one side in this conflict. I STAND FOR PEACE ✌🏾 🙏
Tweet media one
100
35
490
@gallanemma
Galan (Kacha)
3 months
EMAIL YA KAZI KWA CHATGPT . Ni simple sana. . Nmeandaa list ya Prompts za kutumia chatGPT kuandika email za maombi ya kazi . Repost . Comment "GPT" Nikutumie DM
Tweet media one
467
158
492
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@POTUS The United States should advocate for peace and diplomacy rather than pursuing retaliatory actions or favoring one side in this conflict. I STAND FOR PEACE ✌🏾 ✨ 🙏
Tweet media one
79
42
468
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@netanyahu Is this true ?💔💔
Tweet media one
87
47
461
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Sjaona lifestyle picture kali kuliko hii👇 Africa💦
Tweet media one
33
42
464
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Kwenye hii Interview majani maneja wa rapcha Anasema. Atleast hii battle ingekua motra au Nikkmbishi vs Dizastavina ndo mzani ungebalance. Ila rapcha ni wa muziki biashara tu. Na kamind ule mstari wa dizastavina I am a better artist than your all label😀 🏷
39
76
470
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
WEKA TABLE OF CONTENTS AUTOMATIC . Juzi nilishuhudia dogo mmoja chuoni akilalamika kua kaishamaliza kuandika kazi yote ila anawaza kuanza kuandaa Table of contents. Ni simple sana kuandaa table of contents kwenye Ms Word. UZI 🧵
Tweet media one
27
279
471
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
9
63
467
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
Mbwa kama huyu wanaweza kumaliza migogoro ya Wakulima na wafugaji Tanzania 🇹🇿
43
127
430
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
JIFUNZE UDUKUZI UKWEPE KUDUKULIWA. Uzi 🧵 🧵 Aina za udukuzi 👇 1. UDUKUZI KWA NJIA YA WI-FI . Hii ni aina ya udukuzi ambapo mtu anajaribu kuingia kwenye mtandao wako wa Wi-Fi kisha kuchukua taarifa binafsi bila idhini yako .
Tweet media one
33
184
416
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
20
75
387
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@BarackObama I totally agree with this 👇
Tweet media one
33
28
369
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
NAANDIKAJE CV? APP AU SITE 6 ZITAKAZOKUSAIDIA KWENYE KUTENGENEZA CV AU WASIFU WA KAZI KWA KUTUMIA SIMU KWA HARAKA ZAIDI Uzi🧵 Kwa kiwaida unashauriwa kila kazi utakayoomba kuandika cv kwaajili yake, basi kupunguza gharama za kwenda stationary kuandikiwa soma hapa adi mwisho.
Tweet media one
18
249
379
@gallanemma
Galan (Kacha)
5 months
Ila vijana wa Forex mnamoto sana 😀
Tweet media one
15
21
369
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
Twitter family hili tunda linaitwaje?
Tweet media one
111
28
356
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
14
77
363
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
@POTUS The United States should advocate for peace and diplomacy rather than pursuing retaliatory actions or favoring one side in this conflict. I STAND FOR PEACE ✌🏾 ✨ 🙏
Tweet media one
85
30
352
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
TUMIA BLUETOOTH KUUNGANISHA INTERNET. BLUETOOTH TETHERING 🧵🧵🧵 Bluetooth pia inaweza kutumika kama njia ya kuunganisha internet kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye PC / Laptop 💻 yako
Tweet media one
18
147
356
@gallanemma
Galan (Kacha)
27 days
NAMNA RAHISI YA KUTOA WHATSAPP BANNED 🚫 Ukijifunza hii unaweza kupiga pesa pia ,na wadau wapo wengi (wazee wakuvunja Sheria . Okay nmeandaa Note zenye maelekezo mafupi Nifollow Repost Comment" WhatsApp " nitatuma dm
Tweet media one
369
177
368
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 month
Kutengeneza Google forms ni Rahisi sana. Kwa kuitumia Simu. Labda uliwahi kujaza tu ,lakini unahisi ni changamoto kutengeneza Yako . Repost Like Comment "Form" Nikutumie maelekezo.
Tweet media one
Tweet media two
233
115
368
@gallanemma
Galan (Kacha)
2 years
NAMNA YA KUFAHAMU KAMA CALLS ZAKO ZA SIMU ZIKO DIVERTED AU FOWARDED NA NAMNA YA YA KUONDOA . UZI 🧵 Labda umekua ukijiuliza inakuaje mpenzi wako anafahamu sana kuhusu watu wote unaowasiliaana nao,pengine amedukua simu yako kwa njia nyepesi ya USSD CODE . RETWEET kisha endelea.
Tweet media one
20
293
335
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 year
6
42
346
@gallanemma
Galan (Kacha)
1 month
SIO LAZIMA UWE MTAALAMU SANA KUTOA BACKGROUND YA PICHA KWA KUTUMIA SIMU YAKO📲 Rahisi sana kuitumia kwaajili ya designing linapokuja swala la kutengeneza au kuedit posters Watu wanakwama kutumia picha zilizotolewa background Retweet. Comment done Nikutumie maelekezo DM
Tweet media one
Tweet media two
307
136
354
@gallanemma
Galan (Kacha)
4 months
Post ya jana ya CV kama sikukutumia DM Repost hapa. Comment. "." Nitatuma
Tweet media one
270
120
338
@gallanemma
Galan (Kacha)
8 months
@CAFCLCC @SimbaSCTanzania I'm from Ivory Coast, but I watched the Simba Sports Club game. It was a massacre. I've heard that "Simba" means lion, the king of the jungle. There's a player named Chama, and honestly, he should be playing in the English Premier League, not in the Tanzanian league.
52
23
331