Francis Furia Profile Banner
Francis Furia Profile
Francis Furia

@furia_francis

20,061
Followers
7,455
Following
1,804
Media
15,308
Statuses

A student of life I A writer in learning I Member of Jamii Health Magazine I

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Dk bora kabisa ni yule anayeuona utu nyuma ya ugonjwa (person behind the illness) Wengi wanakimbilia kuhangaika na ugonjwa na kumsahau kabisa mtu mwenye ugonjwa. Udaktari ni kazi ya kuwahudumia watu siyo magonjwa.
27
236
704
@furia_francis
Francis Furia
2 years
MSc Nephrology 2022… Madaktari bingwa bobezi wa magonjwa ya figo.
Tweet media one
42
35
663
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Ninatafuta daktari (MD) wa kufanya naye kazi, apende kufanya kazi za utafiti (research works), awe na uwezo wa kuandika miswada ya kitafiti (proposals, manuscripts etc) na awe tayari kufanya kazi za kutoa huduma (clinical duties) Karibu tufanye kazi pamoja Dk 🙏🏿
47
126
644
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Profesa Julie Makani, ambaye ni mwalimu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, ni miongoni mwa wana sayansi waliofanya tafiti nyingi na kubwa juu ya siko seli duniani. Prof. Makani ameboresha huduma za siko seli nchini kupitia tafiti zake. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
15
83
533
@furia_francis
Francis Furia
10 months
Hapa ni Bunju B katika makutano ya barabara ya Bagamoyo na barabara ya Mabwepande. Hii ni barabara kubwa inayopitia msitu wa hifadhi wa Mabwepande na kwenda mpaka Mbezi katika stendi kuu ya Magufuli. Barabara Hii ni barabara kubwa ila iko katika hali mbaya sana.
Tweet media one
25
31
441
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Leo nikiwa katika Duka la Anudha, dada Janeth B Mwaifunga amenikabidhi paediatric stethoscope yenye thamani dola 100, zawadi kwa watoto na kunipa jukumu la kuitumia kutoa huduma kwa watoto wa Tanzania wanaohitaji huduma.
Tweet media one
21
38
430
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Some of the MD students who enrolled to University of Dar es Salaam (MUCHS) in 1999…
Tweet media one
39
36
413
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Madaktari wanawake ni wengi kuliko wanaume kwenye fani ya magonjwa ya watoto (Paefiatrics) nchini Tanzania.
Tweet media one
13
31
391
@furia_francis
Francis Furia
10 months
Hospitali ya Wilaya ya Mabwepande, Kinondoni - Dar es Salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
14
28
363
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Tanzania inao madaktari bingwa bobezi wa watoto wachanga 6: •watano wamesomea Afrika kusini •mmoja amesomea Uingereza Wataalamu hawa wako katia hospitali za -Muhimbili 3 -Agha Khan 1 -Mbeya ZRH 1 -Bugando MC 1 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
26
54
347
@furia_francis
Francis Furia
2 years
1. Kuku wa kisasa waliofanyiwa utafiti katika machinjio ya Shekilango na Manzese walionekana kuwa na kiwango kikubwa cha dawa za kuua bakteria aina ya sulphonamides na tetracycline. Utafiti huu ulifanywa na wataalamu wa Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
22
180
338
@furia_francis
Francis Furia
3 years
..usiombe uchelewe kliniki alafu @kajiru aone wagonjwa wote peke yake 🤔
Tweet media one
39
23
337
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Kwa wiki moja nimepata fursa ya kufanya kazi na wataalamu wa hospitali ya wilaya Nyamagana. Nimepita kuona wagonjwa waliolazwa na wa nje. Nimejifunza mambo mengi, na nimefahamu Hospitali ya Nyamagana inatoa huduma zote kwa wanawake na watoto, wanaume wanapata za OPD tu.
Tweet media one
Tweet media two
30
53
318
@furia_francis
Francis Furia
6 years
Nimepata heshima kuonana na mama Debora Mwenda, nikakumbuka kipindi cha watoto cha mama na mwana alichokuwa akirusha Radio Tanzania. Kile kipindi kilitufanya watoto wa miaka ile tuwe na furaha isiyo kifani. Ninampa pongezi kwa kazi kubwa aliyofanya ya kutulea kimaadili radioni.
Tweet media one
25
50
288
@furia_francis
Francis Furia
4 years
..mimi ni mtoa huduma ya Afya, ninakusihi uchukue tahadhari na kujikinga na maambukizi ya Corona. ...Afya yangu na yako iko mikononi mwetu.
Tweet media one
13
54
284
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Madaktari wa watoto wanaowahudumia watoto njiti huitwa neonatologists, ili uwe neonatologist unasomea •digrii ya udaktari (Medicine doctor)-miaka 5-6 •master of medicine (gen paediatrics)- miaka 3-4 •subspecialty training in neonatology (miaka 2) #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
25
56
258
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Kiwango cha huduma anachopata mtu aliye masikini kabisa kwenye jamii ndiyo kipimo cha ubora wa huduma zinazotolewa kwenye jamii husika.
7
54
254
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kinatoa mafunzo ya ubingwa kwa Tiba za kinywa katika fani tatu; ambazo ni •MDent Oromaxillofacial Surgery •MDent Restorative Dentistry •MDent Orthodontics •MDent Pedodontics; Matibabu ya kinywa kwa watoto
Tweet media one
19
54
252
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Mganga mkuu wa hospitali ni msimamizi wa hospitali, inspotokea dharura ana wajibu wa kuandaa mazingira ya kutoa huduma kwenye hospitali anayosimamia hii ikiwa ni pamoja na •kuandaa vyumba vya upasuaji •kuandaa wataalamu •kuandaa dawa na damu
18
62
245
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Kiapo anachokula kila daktari baada ya kuhitimu mafunzo yake ya udaktari Tanzania: Inua mkono wako wa kulia ulishwe kiapo, unakubali kwa yakini: #KiapoChaUdaktari
14
87
247
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Asilimia 31.8% ya wagonjwa waliokuwa na UVIKO-19 walipoteza maisha hospitalini nchini Tanzania.
Tweet media one
19
98
239
@furia_francis
Francis Furia
11 months
‘…when you study, study seriously, when you rest, rest seriously and when you play, play seriously.’ Prof Charles Mkony, MUHAS - College of Medicine White Coat Ceremony 2023
Tweet media one
5
42
240
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Nephrology graduates from MUHAS cutting a cake to congratulate and welcome them to the Nephrology Society of Tanzania. Our Tanzania nephrology family is growing very fast.
Tweet media one
6
25
235
@furia_francis
Francis Furia
1 year
-Rwanda walianzisha kozi ya MMed Family Medicine, ikapitishwa na madaktari wakajiunga na mafunzo. -Walipomaliza kusoma wakapelekwa Hospitali za wilaya, ambazo zinafanana na za kwetu. Kazi zao hazikutofautiana na za medical officers.
5
14
233
@furia_francis
Francis Furia
10 months
…nilipata fursa ya kujifunza katika darasa moja nikiwa na hawa wataalamu MUCHS (UDSM).
Tweet media one
4
22
230
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Professa Mwaikambo alikuwa Dk mwaka 1969, na alikuwa Dk bingwa wa magonjwa ya watoto mwaka 1977. Amewahi kuwa Rais wa Tanzania Academy of Sciences, na amepokea tuzo 17 za kitaifa na kimataifa.
Tweet media one
13
25
224
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Huo ndiyo utaratibu wa matumizi ya shahada za heshima za vyuo kikuu kwa mujibu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania. Mpkeaji wa hii shahada ataitwa Bw. Francis Furia (PhD ya Heshima) na siyo Dk Francis Furia au Francis Furia, PhD.
Tweet media one
19
80
213
@furia_francis
Francis Furia
7 months
Leo nilipata fursa ya kuongoza kikao cha kwanza cha kamati ya shule za awali na msingi za Moga. Hii ni baada kuchaguliwa kwenye kikao cha wazazi kuwa mwenyekiti wa kamati ya shule.
Tweet media one
16
15
213
@furia_francis
Francis Furia
4 months
‘Nimenyoa upara kama ishara ya kuungana na watoto wa Gaza wenye saratani waliokosa huduma na kufariki, lazima vifo vya maelfu ya watu vikomeshwe, na vita isitishwe’ Profesa Karim Manji.
Tweet media one
11
33
210
@furia_francis
Francis Furia
4 months
…the journey of kidney transplantation at the National Hospital in Tanzania.
Tweet media one
21
70
204
@furia_francis
Francis Furia
11 months
The First Tanzania Child Health & Welfare Congress. I am humbled by the honour I have given by @paediatricstz 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
7
33
201
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Watanzania wanaokwenda kusomea fani za afya nje ya nchi ni vizuri wajifunze mfumo wa afya Uko vipi na hizo fani wanazosomea zinatambulika nchini. Hii itawaondolea changamoto za kusomea fani zisizotambulika kwenye mfumo wa afya.
15
37
198
@furia_francis
Francis Furia
11 months
‘…I am told some of my students hated me because I was good in making tricky MCQ questions, now I have grey hair, a bit seasoned and don’t do that anymore.’ Prof Mkony.
Tweet media one
9
25
194
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upandikizaji wa figo kwa wagonjwa zaidi ya 50. Mgonjwa aliyekuwa na umri mdogo zaidi kupandikizwa figo alikuwa na umri wa miaka 9. •Mama yake mzazi ndiye aliyempatia FIGO. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
5
45
186
@furia_francis
Francis Furia
11 months
MUHAS - College of Medicine White Coat Ceremony 2023
Tweet media one
6
15
188
@furia_francis
Francis Furia
2 years
..nimekutana na Bw. Simon kwenye daladala ya Tegeta Nyuki Gerezani, anauza bidhaa zake kwa abiria… Nimevutia na kiwango cha taarifa juu ya bidhaa zake. Nimenunua Mentho Balm…
Tweet media one
Tweet media two
5
10
188
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Nachukua fursa hii kuwashukuru wapambanaji wa Lupus @LUPUSTZ kwa tuzo mlionipatia leo. Imekuwa heshima kubwa kwangu kufanya kazi nanyi, na nimejifunza mengi sana kutoka kwenu. #LupusAwarenessMonth
Tweet media one
25
39
185
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Kuna tangazo nalisikia kwenye vyombo vya habari kuhusu tiba ya maambukizi ya Helicobacter pylori, dalili na madhara yanayotajwa kwenye tangazo si vya kweli. Vyombo vya habari viwajibike kuzuia usambazaji wa taarifa hasa za afya zisizo sahihi na zenye kuleta taharuki kwa jamii.
Tweet media one
13
54
183
@furia_francis
Francis Furia
11 months
Kusomea masomo ya Tiba, Uuguzi, Ufamasia n.k. sio lazima ujisajili kwenye mabaraza yanayosimamia taaluma hizi. Wapo wataalamu wengi wamesomea udaktari, uuguzi n.k. na wanafanya kazi zisizohusisha kutoa huduma kwa wagonjwa na hawana haja ya kuwa na usajili au leseni.
13
31
187
@furia_francis
Francis Furia
11 months
…katika kuadhimisha siku ya walimu duniani, naomba nimshukuru Mwl Kaishozi alisaidia kufungua maisha yetu akiwa mkuu wa Shule ya Sekondari Dodoma 🙏🏿🙏🏿.
Tweet media one
6
9
184
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Mwanasheria mkuu ana gari lenye namba maalum (AG) Mkaguzi mkuu wa mahesabu ana gari lenye namba maalum (CAG) Jaji mkuu ana gari lenye namba maalum (CJ) Ilikuwaje mganga mkuu hana gari lenye namba maalum??? 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
25
18
177
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Maisha ni fumbo kubwa..., tushukuru sana tunapokuwa wazima wa Afya.
5
20
176
@furia_francis
Francis Furia
6 months
Jengo la CHPE lililopo Chuo Kikuu cha Muhimbili likimulikwa na taa kuashiria maadhimisho ya siku ya magonjwa adimu Duniani. #RareDisease
Tweet media one
3
30
178
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kwa watoto (paediatric haemato-oncologist) wapo 4 Tanzania na wanapatikana •Muhimbili •Benjamini Mkapa •KCMC •Bugando #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
18
44
177
@furia_francis
Francis Furia
5 years
Hongereni kwa kazi nzuri..🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@NormanJonasMD
Dr. Norman Jonas
5 years
"Dream Team" iliyohudumu Leo #JustFitTOTBonanza , 🔵Shukrani sana kwa mwitikio chanya. ✅Tumepata damu za kutosha zikasaidie maisha ya wenye uhitaji ✅ Vinasaba Siko-Seli ✅Presha ✅ Vihatarishi vya magonjwa yasiyoambukiza #TOTMedics #AfyaYakoMtajiWako
Tweet media one
33
70
366
5
14
165
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Chuo kikuu cha Muhimbili (MUHAS) kimeanzisha masomo ya ubingwa wa katika magonjwa ya figo kwa wauguzi (MSc Renal Nursing). Mafunzo ni ya miaka miwili, na sasa hivi chuo kinapokea maombi ya watakaopenda kujiunga mwaka huu. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
9
33
167
@furia_francis
Francis Furia
2 years
1/2 NHIF imegeuza mfumo wake na kuwa welfare fund badala ya bima. Hili linatokana na kuwa na wanachama wapya wanaojiunga leo na kuhitaji huduma kesho. Mfano ili kuufanya fao la TOTO CARD kuwa endelevu, ilibidi watoto wote wanaosoma shule na vyuo wajiunge na huu mfuko
20
44
165
@furia_francis
Francis Furia
10 months
‘Mloganzila Hospital is the classroom for teaching health professional students’ Prof Kisali Pallangyo.
Tweet media one
3
21
164
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Hatua ya Chuo Kikuu Muhimbili kuwapa fursa walimu hawa wabobezi kuendelea kutoa elimu kwa vijana ni nzuri. Nimebahatika kulelewa na hawa wazee na ninakiri ni wabobezi na nusu.
Tweet media one
Tweet media two
1
27
164
@furia_francis
Francis Furia
5 years
..nimekuwa mwanafunzi wa tiba ya binadamu kwa miaka 20 (tangu 1999) ..jambo kubwa nililojifunza ni umuhimu wa mteja/mgonjwa kujua shida (Ugonjwa) yake kwa undani, matibabu yake na matokeo tarajiwa. Hii ndiyo sehemu muhimu ya matibabu ambayo mara nyingi haipewi kipaumbele.
Tweet media one
12
60
164
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Nikiwa wodini jana nimemwomba intern mwenzangu akaninunulie CONDOM kwenye duka la dawa nje ya hospitali... ...watu wakashangaa mimi kuomba hicho kifaa. Huwa naitumia kama sheath ya probe ya ultrasound, nilikuwa nahitaji kufanya renal biopsy ya mtoto. World’s AIDS Day 2020
Tweet media one
Tweet media two
22
13
161
@furia_francis
Francis Furia
5 years
Leo nimemsikia mwanafalsafa redioni akisema kwa nini watu wanapoteza muda kwenye utumishi wa umma ilhali kuna fursa nyingi nje ya huo utumishi...mfano kilimo Nikatafakari kwa kina, hivi walimu, wauguzi, mahakimu, polisi n.k wakiacha kazi wote tutakuwa na Taifa kweli 🤔🤔🤔
Tweet media one
21
40
158
@furia_francis
Francis Furia
10 months
The first class of Doctors in the Faculty of Medicine…
Tweet media one
3
25
157
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Leo mchana nilipata bahati ya kutembelewa na Ally @venturally , asante sana kwa kutenga muda na kunitembelea MUHAS 🙏🏿
Tweet media one
4
8
151
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Unapofurahia moshi wa shisha, kumbuka unapovuta huo moshi kwa dakika sitini ni sawa na kuvuta sigara 100. …ukikaaa kwenye kijiwe cha shisha, kumbuka na wewe unavuta hata kama huna paipu mdomoni.. Second, third and fourth hand smoking!! @ZakayoMmbaga
Tweet media one
15
50
145
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Stethoscope 🩺 ni kifaa kinachotumika kurahisisha watoa huduma wa Afya kusikia sauti kutoka kwenye mapafu, moyo, tumbo n.k.
Tweet media one
5
19
147
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Dr Mwidimi Ndosi, ambaye alihitimu BSc Nursing katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Muhimbili, ni mwenyekiti wa kamati ya wanataaluma wa magonjwa ya Rumatisimu katika chama cha wataalamu wa magonjwa ya Rumatisimu Ulaya. Kwa sasa Dr Ndosi ni mwalimu na mtafiti nchini Uingereza
Tweet media one
11
20
149
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Hospitali kadhaa hapa nchini zina vitengo vya kutoa huduma ya ICU kwa watoto wachanga (Neonatal Intensive Care Units - NICU). Hospitali hizo ni: •Hospitali ya Taifa Muhimbili •Hospitali ya Bugando •Hospitali ya Agha Khan #ElimikaWikiendi
Tweet media one
9
27
147
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Nchi WanaWaNchi
Tweet media one
Tweet media two
4
11
141
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Hapo zamani nilikuwa mwanafunzi…
Tweet media one
6
8
141
@furia_francis
Francis Furia
8 months
Tweet media one
3
51
146
@furia_francis
Francis Furia
5 years
Asubuhi ya leo nimepata fursa kutoa elimu kuhusu matibabu ya kisukari na shinikizo la damu (hypertension) kwa muuguzi wa kituo cha Afya Masaki-Kisarawe
Tweet media one
2
19
142
@furia_francis
Francis Furia
7 months
@Roma_Mkatoliki Asante @Roma_Mkatoliki kwakuibua hii hoja. Kwetu tumeanza kupandikiza viungo hususani figo, bado tunajitafuta kwenye ini, mapafu, moyo n.k. Pia tunachukua viungo (figo) kwa kwa watu walio hai (living donors), ninaamini hapo baadaye tutakuwa na hiyo option ya kukuomba mazagazaga
6
6
141
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Tweet media one
7
56
142
@furia_francis
Francis Furia
8 months
..hongera nyingi kwa hawa wataalamu, 👏🏿👏🏿👏🏿
Tweet media one
4
16
140
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Toto Afya kadi iliniwezesha kutoa huduma bora kwa zinazolingana na wadhifa na heshima ya wapiga kura wa baadaye. Ninawashukuru sana @nhiftz kwa fursa ile ya kipekee 🙏🏿🙏🏿 Ninasali na kutumai mpango unaoandaliwa utaendelea kuwapa mafao bora hawa wapiga kura wetu wa baadaye.
Tweet media one
10
27
142
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Filamu ya kwanza katika mtandao wa Netflix iliyoigizwa na mTanzania ni ‘SLAY’. Muigizaji ni @IdrisSultan , itaonyeshwa kwa mara ya kwanza 26/04/2021 Hili ni letu sote, tuungane pamoja kuiangalia hii filamu, kongole 🇹🇿 #ElimikaWikiendi #IdrisOnNetflix #TanzaniaOnNetflix
Tweet media one
4
19
140
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ni kati vyuo bora kwenye utoaji wa mafunzo ya afya katika uga wa afya ya kinywa Afrika Mashariki. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
4
20
133
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Viongozi (mikoa na wilaya) wana wajibu wa kuandaa & kusimamia timu za uokoaji na dharura. Timu zinahitaji mafunzo, rasilimali na miongozo. Mafunzo ya muda mrefu na endelevu ni muhimu kwa ufanisi, na drills za majaribio. Tupunguze kutafuta mbuzi wa kafara tukipata majanga.
Tweet media one
9
43
140
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Mh waziri @PNdalichako naomba msaada wako, mgonjwa wangu katika hospitali ya Taifa @MuhimbiliTaifa ni mwanafunzi aliyeugua baada tu ya kuanza kidato cha sita July 2020 Ndwika Girls Masasi. Anasubiri uhamisho tangu kipindi hicho, Mkuu wa shule anasema amewasilisha maombi wizarani.
11
46
137
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Use of cough syrups for children with acute cough...
Tweet media one
11
62
138
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Zaidi ya asilimia 50% ya uzito wa mwili wa mwanadamu ni maji. Maji ni uhai, tunywe ya kutosha kila siku.
Tweet media one
2
30
135
@furia_francis
Francis Furia
3 years
How I wish I was an old-fashioned doctor… 🤔
Tweet media one
7
32
135
@furia_francis
Francis Furia
5 years
Nimetembelea Hospitali ya Bugando, nimevutiwa na utaratibu wa kutengeneza baadhi ya dawa za maji hospitalini (Intravenous Fluids) mfano 10%Dextrose, 15% KCL, 3% Sodium Chloride.
Tweet media one
Tweet media two
7
33
132
@furia_francis
Francis Furia
1 year
…jana jioni tulipata fursa kujumuika na wanafunzi wenzetu tuliosoma pamoja taaluma ya magonjwa ya watoto 2020 - 2023. …tunawapongeza na kuwashukuru kwa mchango wao kwenye masomo yetu 🙏🏿🙏🏿 @muhimbiliuniver @MuhimbiliTaifa @TaasisiMoyoJKCI
Tweet media one
9
15
132
@furia_francis
Francis Furia
9 months
Tweet media one
1
23
132
@furia_francis
Francis Furia
7 months
Mgonjwa wa Gaucher husababisha kuvimba ini na bandama kutokana ukosefu wa enzymes muhimu mwilini. Baada ya tiba anaendelea vizuri. Alipatiwa matibabu ya enzyme replacement katika @MuhimbiliTaifa Gharama ni sh milioni 3 kwa sindano moja, na zinahitajika nyingi #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
12
50
134
@furia_francis
Francis Furia
10 months
Mahafali ya kwanza ya Dar es Salaam Medical School mwaka 1967. Safari ya miaka 60 imefanikisha mabadiliko ya Dar es Salaam Medical School kuwa Muhimbili University of Health and Allied Sciences.
Tweet media one
1
35
131
@furia_francis
Francis Furia
4 years
..hongereni madaktari na wataalamu wote wa Afya kwa kazi za mikono yenu. ...asanteni kwa kuwa nuru ya mwanga kwa wale waliozongwa na giza la magonjwa.
0
23
129
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi - Muhimbili kimetangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya uzamili katika shule zake kwa mwaka 2023/24 Shule ya Tiba
Tweet media one
8
39
127
@furia_francis
Francis Furia
10 months
Hatua ya kujenga Hospitali ya Wilaya Mabwepande inachangia kuboresha huduma za Afya katika jiji la Dar es Salaam. Pongezi nyingi kwa uongozi wa TAMISEMI na Wizara ya Afya kwa huduma hii. Hospitali hii ni kubwa na ya kisasa @wizara_afyatz @ortamisemitz @ummymwalimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
18
128
@furia_francis
Francis Furia
10 months
‘Energy Drinks, do they really give you wings?… Pedro Pallangyo
Tweet media one
Tweet media two
8
32
129
@furia_francis
Francis Furia
2 years
Nashukuru Mwalimu @kajiru kwa kunipokea kwenye darasa lako 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
2
9
127
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Sheria ya wafamasia ya mwaka 2011 inazuia mauzo ya dawa bila ya kuwa na cheti maalumu cha kupatiwa dawa kilichoandikwa na daktari. Kuuza dawa bila cheti maalumu cha dawa ni kosa linaloadhibiwa kwa faini au kutumikia kifungo gerezani au vyote kwa pamoja.
Tweet media one
Tweet media two
24
25
126
@furia_francis
Francis Furia
11 months
‘I would like to ask my colleagues sitting in this room to treat these young men and women as colleagues…’Prof Mkony
Tweet media one
6
16
129
@furia_francis
Francis Furia
5 years
Kuharisha kwa watoto hasa chini ya miaka 5 husababishwa na maambukizi ya virusi. Tiba yake ni maji ya chumvi na sukari (ORS) na zink ya vidonge. Antibiotics hutolewa tu endapo kuna damu kwenye choo. Picha ni mtoto aliyekuwa anaharisha alipewa dawa hizi, na hali yake ilidhoofu.
Tweet media one
13
52
123
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Prof Janabi akimpongeza @MaureenManyama ambaye ni mpambanaji wa Lupus aliyefanya kazi kubwa kuandaa maadhimisho ya siku ya Lupus yaliyofanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili @MuhimbiliTaifa #LupusAwarenessMonth #ElimikaWikiendi
Tweet media one
2
22
127
@furia_francis
Francis Furia
2 years
A beautiful prayer before they start working… Bugando Medical Centre
Tweet media one
7
18
125
@furia_francis
Francis Furia
10 months
Ufunguzi wa Dar es Salaam Medical School mwaka 1963 ambayo imebadilishwa kwa vipindi tofauti na kuwa MUHAS mwaka 2007. Miaka 60 ya kutoa mafunzo ya fani za afya nchini.
Tweet media one
2
36
124
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Leo nimepata fursa kutoa mada kwenye kongamano la kuwakinga watoto na madhara ya tumbaku, jijini Kampala-Uganda @paediatricstz
Tweet media one
Tweet media two
3
16
125
@furia_francis
Francis Furia
1 year
Wazee hupata sana shambulio la moyo kwa sababubya magonjwa ya uzee, vijana wanaweza kuwa hatarini kwa matumizi ya vinjwaji vya kuongeza nguvu mwilini. doi: 10.1177/23247096231168811. PMID: 37085978.
Tweet media one
8
51
120
@furia_francis
Francis Furia
2 years
MNH ward B team participating in the PAT 2022 Conference in Zanzibar. #PAT2022Congress
Tweet media one
13
15
122
@furia_francis
Francis Furia
8 months
..kongole kwa hawa wataalamu, 👏🏿👏🏿🙏🏿
Tweet media one
3
14
123
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Mh waziri @DocFaustine tusaidie kuondoa ulazima wa kutumia VPN kwa mtandao wa twitter. Tunautumia kwa shughuli mbali mbali ikiwemo kutoa elimu ya Afya kwa Umma. Asante sana Mh waziri. #ElimikaWikiendi
4
26
119
@furia_francis
Francis Furia
3 years
Maprofesa na wahadhiri wakiwa kwenye maandalizi ya kuanza mahafali ya 15 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) @muhimbiliuniver @MuhimbiliTaifa @TaasisiMoyoJKCI
Tweet media one
0
12
120
@furia_francis
Francis Furia
10 months
Viongozi waliongoza chuo tangu kianzishwe…
Tweet media one
6
26
121
@furia_francis
Francis Furia
2 years
@KennedyMmari Unadhani ukigoggle tatizo linalosababisha gari lako kutoa Moshi mzito na kukosa nguvu utaweza kulitengeneza? Vivyo hivyo kwa matibabu ni ngumu kugoogle na kuweza kutambua tatizo na kutoa matibabu bila kuwa na taaluma husika 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
9
36
117
@furia_francis
Francis Furia
4 years
Tweet media one
6
16
115
@furia_francis
Francis Furia
5 years
5/7 Siku hazigandi.... Mwaka 2003 nikiwa mwaka wa nne chuo kikuu cha Dar es Salaam, darasa letu la wanafunzi zaidi ya 100... .....watu 3 tu waliokuwa na kompyuta tena zilikuwa desktop, mmojawapo @HKigwangalla
Tweet media one
12
10
115