Mansang Chirchir Profile Banner
Mansang Chirchir Profile
Mansang Chirchir

@chirchir29

7,908
Followers
5,177
Following
2,354
Media
110,414
Statuses

Positive vibes inshallah💙💙.

Texas, USA
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@chirchir29
Mansang Chirchir
23 hours
Si nliwaambia mtulie Friday itafika
94
17
105
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Kitu nachukia kuhusu generation ya kitambo 🤧wao huona juu waliteseka kila mtu anafaa kuteseka🤦🏽‍♂️ akili fogo kabisa
252
6K
13K
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Now that serikali imekuwa nusu nusu si baba anaeza tulipa 3k kwa ile 6k alisema.
179
3K
9K
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
I have come to realize kama haingekuwa polisi tungekuwa tumetoa Ruto kitambo, without the police Ruto is nothing at all. Stop killing peaceful protestors.
144
4K
8K
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Ruto is a good president. He only needs someone who can advise him to Resign.😂🥹
133
1K
4K
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
"Umevaa kama mkora" ukiskia hii compliment kwa mamako jua look imekubali.
161
772
3K
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Alcoholic addicts hukuwa wamejihumble ukiwadvice waache pombe alafu wanaenda kulewa wanarudi kukutusi😂😂
157
634
3K
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Walijua wakaandika watu waliuma D's wakue polisi ju sisi watu tumeenda university na colleges wengi wetu hatuwezi kubali kutumika vibaya unaware.
99
839
2K
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Nani ako na number ya huyu nafaa kutuma salamu ya congratulations pia for the good work
Tweet media one
142
270
2K
@chirchir29
Mansang Chirchir
26 days
Nimeleta mapishi ya Nairobi kwa nyumba ya mamangu nikaambiwa nirudishe kabej kwa jiko haraka upesi😂😂
100
299
1K
@chirchir29
Mansang Chirchir
29 days
Bachelor unaezapata Ako na stress unamuuliza shida ni Gani anakuambia hajaosha vyombo huwa tunakapitia😂😂💔
156
350
1K
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Lakini si ata sisi maskini tupewe tukue cabinets pia, utakuwa unaskia kwa vetting mtu akiulizwa his financial net worth anasema " sina kitu kabisa ata niliomba pesa ya transport kufika hapa na nafaa kulipa by kesho" 😂😂
109
376
1K
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Sai kama bado uko kwa mzazi usijaribu kutoka kama hauna plans itakutoa block huku njee watu wanachizi haraka
92
328
1K
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Heri niteseke uku nje hadi nilale kwa streets lakini kwa mzazi sirudi 😂
97
260
1K
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Kuna miaka ukifika unaacha kujali much on dressing code bora tu umeficha bolingo uko sawa.
110
254
1K
@chirchir29
Mansang Chirchir
21 days
Heri mtu anidinyie manzi kuliko afue jeans zangu na Omo.
79
167
982
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
I thought nikioa nitakuwa napewa kila siku 🥲 kumbe huku ndio nanyimwa zaidi
117
214
914
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Ruto nae anashangaa hii ni generation gani imemea pembe hivi
62
234
810
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
When the deal is so good think twice,nko sure Ruto kuna deal walipanga na hawa cabinets,tutagongwa vibaya sana if we don't care
100
270
770
@chirchir29
Mansang Chirchir
5 months
@FabrizioRomano Was not easy
Tweet media one
1
36
762
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Hakuna kitu hutoa mtu🤦🏽‍♂️😬 hangover vizuri kama uamke Asubuhi upate huna simu🙆🏽‍♂️😂😂
85
251
761
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Kama ni huyu mzee ndo tunadeal na yeye ni kama hatutoboi bana,watch that video and leave your comment 👇👇
95
214
755
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
The best way ya kuacha dem umpendi bila kumu heartbreak ni gani it's agent manze🤨
178
177
727
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Lakini fourth year kupewa ukimwi na fresher might be some fvcked up shit 😂😁💀just be careful how u fvck around mahn
95
187
697
@chirchir29
Mansang Chirchir
25 days
Hawa waschana wadogo wa 45 to 55 years wako na pesa huku nje lakini hawa mashosh wa 20 to 30years hawananga chochote😂💀💀
135
223
694
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Good evening guys, please hide your women 😂
Tweet media one
85
143
602
@chirchir29
Mansang Chirchir
20 days
Kama sio kumbao ovyo ovyo,men could be living a very peacefull life manzee
92
173
579
@chirchir29
Mansang Chirchir
18 days
Hakuna kitu ilikuwa inanibamba pale high school kama mwalimu wa maths ashindwe na hesabu moja😂
105
96
544
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Imekataa kusimama nikiwa juu imebidi nipretend muscle pull imenishika akii anxiety itaniletea aibu bure😂😂💔
92
165
516
@chirchir29
Mansang Chirchir
25 days
Talking stage ikikulemea sana tuma dollar mbili hapo utaona some positive changes, hawa watu ni pesa wanataka🤣😅
112
206
517
@chirchir29
Mansang Chirchir
19 days
kulewesha dem ndio akupee mali easily seems to be illegal but it isn't 😕
100
70
470
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Mkiteseka mnageuka motivational speakers ajab,pesa ikiingia mnafactory reset😂😭
148
209
458
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Tangu nijue vitu underwear za watu huwa zinafanyiwa huko rooftop niliwacha kuanika huko. Heri ata ikauke na wiki mbili lakini nisianike rooftop
76
109
430
@chirchir29
Mansang Chirchir
20 days
Sai ni matime ya kuambiwa kama uendi kanisa utoke njee nifunge nyumba yangu😆🥲💔
89
141
431
@chirchir29
Mansang Chirchir
24 days
Ugly niggas tukipata dem hatuwezi fanya makosa ya kucheat tena juu tunajua how long it will take us kupata dem mwingine
153
205
427
@chirchir29
Mansang Chirchir
27 days
Wanaume wenye hatujagongewa dem hii nchi tumebaki watatu, adi Ruto mwenyewe amegongewa
99
150
414
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Kutoboa has always been the problem mara bila connection hutoboi , bila inches hutoboi tunashinda tumejaribu kutoboa toboa
87
155
411
@chirchir29
Mansang Chirchir
26 days
Unashangaa mbona imekuwa tamu olofasaden kumbe cd ishabust kitambo uko unadance bure na ivo ndo umekuwa mzazi
107
165
408
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Tumeni mia mbili ,Malaya atanidunga kisu😒💔
106
119
400
@chirchir29
Mansang Chirchir
28 days
Weeh ukiona umeanza kufikiria nikama umegongewa niivo,jua tu ushagongewa bana
105
179
401
@chirchir29
Mansang Chirchir
27 days
Nakupea simu yanguu ukae nayo alafu unaniuliza kama na kupenda ,uko sawa kwelii msichana?
93
167
398
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Ukianza kuambiwa nko place siezi ongea na simu, pole nilikuwa busy,simu ilikuwa charging achana na mtu wa wenyewe 😂
53
153
393
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Mrembo wako akiamua leo she's getting new dick she definitely she will na hakuna kitu utafanya...
127
151
383
@chirchir29
Mansang Chirchir
24 days
Umetulia tu kwa club na mzinga yako ukiwa na stress zako alafu broke milayaz inakuja kutweak mbele yako💀 mimi ntauma mtu chupa ya matako sai
100
145
381
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Nishaienda Kwa Dem akanipikia kuku alafu akaniambia anataka kunipea head alafu nikingoja kichwa ya kuku akaanza kunitoa toja😂😂😁
93
138
369
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Mumama ameniambia ako na kaschana rika yangu naweza kua naenda away match akiwa hayuko.
92
124
372
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Ushago unaambia msee bei ya simu yako anasema ng'ombe mzima!😂
116
166
370
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Malaya anakupea unaperform vizuri adi anakupea bonus
111
156
361
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Siku ya kuoccupy safaricom mniite hata kwa miguu nitakuja.
117
172
370
@chirchir29
Mansang Chirchir
21 days
@kinyii_ Uko na lips zingine apart from hii
Tweet media one
12
7
364
@chirchir29
Mansang Chirchir
19 days
Unatusi mtu ati yeye ni mjinga na kichwa yake imejaa tu ugali😂😀kidogo kidogo unaskia waluhya wamemkidnap🤣😅
109
54
354
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Kumbe vitu zingine ni za wazungu pekee,,,,tumejaribu sex kwa bafu nimeteleza karibu nimeze sabuni💔💔😂😂😂🤞🤞
92
138
353
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Ruto amefanya sisi wakalee hatuaminiki tena but i want to assure you guys, tuko na nyinyi kabisa na agenda moja Ruto must go, Hakuna faida tumepata,tunateseka wote.
26
136
346
@chirchir29
Mansang Chirchir
18 days
Tumbo nayo iliamua haitawahi nguruma ukiwa peke yako😂😅💔
94
142
344
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Ukitaka kujua mtu anatoka humbled background huwa anakula nyama ya mwisho😂💔
122
150
339
@chirchir29
Mansang Chirchir
22 days
Usikubali kugongewa team na bado unagongewa Dem choose one struggle my friend
133
179
338
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Kwa Maisha yangu yote kama kuna kitu hutawai niona nikifanya ni kutenganisha watu wasipigane 😂😅
120
153
323
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
@FaithOdhiambo8 We respect you continue working for our nation
0
9
324
@chirchir29
Mansang Chirchir
22 days
Hawa wasichana wa 45 years wao hukua loyals to there boyfriends
109
144
315
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Saa hii ukienda kisumu alafu ushout RUTO MUST GO. Utapokea kichapo cha umbwa msikitini😂😂
108
133
306
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Ukishagundua hii maisha inakuanga trial and error utakuwa unatuma shot at every chance you get ikijipa ni sawa, Isipojipa kilamahali pia ni sawa
126
186
298
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Equity Bank hukuwa mzuri lakini shida ni lazima upige screenshot account balance before ulale.
89
127
293
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Mkenya akisave number ya polisi mmoja tu kwa simu, kila saa akikosewa.. "Hii ni police case"😂😂💔
94
150
288
@chirchir29
Mansang Chirchir
27 days
Nikifanya vile kichwa yangu inaniambia sai kesho Monday nitakua pale milimani law court
106
137
280
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
The longer the relationship, the painful the breakup. So breakup now 🙂
81
136
266
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Na ujue nikivaa siwezi toa tena💔😂💀
81
117
266
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
In prime maandamano days saa hii tungekuwa streets tukirudisha teargas back to the sender
96
130
271
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Unaambia mgeni achukue kikombe ya maji kitchen, kidogo unaskia mtungi ya busaa ikifunguliwa😂😂
78
121
257
@chirchir29
Mansang Chirchir
17 days
Hawa madem wanono wanakuanga wachoyo ata bila kujua, Mtu amepanua miguu yake yote na bado mapaja imeshikana 💀😂😂
86
34
262
@chirchir29
Mansang Chirchir
26 days
Nimeambia mokoro Ruto ni muongo sana akajibu "kama wewe tu hakuna difference", sijewahi kasirika ivo bana
108
143
260
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Ukiingiza charger kwa simu ,,,, 🥺🥺 simu ikatae kutoa sauti nini iko na shida,,,, 🙆🙆 charger ama simu 🤣🤣🤣
107
123
256
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Mtu anakuride vizuri hadi unawish ni wewe ungemuoa instead ya uncle wako 😂😅💔
96
112
253
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Life hukuwa na hardships nyingi but giving up is not the solution,most of the times solution is just making money.
115
150
253
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Just stay humble because I've seen people become what they always laughed at.
95
146
244
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Kwa Ploti kila mtu anatoka na dem kwake alafu kuna mimi wa kutoka na vyombo😂
145
171
244
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Cut them off silently, they know exactly what they did. Good morning, we try again today.
119
151
244
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Na ukioshwa usishinde umetangaza biashara yangu kijiji mzima bana. Kwani hautaki nitoke block
93
115
245
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Lucky bastards sahii wanaambiwa "ngoja kwanza nifunge nywele vizuri " 😂😂💔
79
121
239
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Nyinyi hamwoni ni kama mzungu ni mtu amefade,hii black yetu ndo colour original
Tweet media one
87
118
238
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Ata mechi ikue tamu aje mwanaume usiwahi moarn kwani wewe ni gay
60
92
231
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Sasa nimeona itabidi tumerudi maandamano tena, sifurahi venye Ruto siku hizi ako na furaha sana😭😂😂
71
109
235
@chirchir29
Mansang Chirchir
27 days
Venye unaongea kizungu fluent ukiwa mlevi iyo KCSE exam ya English wanafaa wailete tena nikiwa nimekata maji🤣😂
127
141
234
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Mumama ata hajali wewe bado ni kijana mdogo😨 anakuride tu venye anataka
86
111
233
@chirchir29
Mansang Chirchir
22 days
Tulisema expectations zikue chini kama game ya Manchester united 🥲😂
80
117
231
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
na kwani umenyolewa aje?"...hapa confidence inashukanga kutoka 100 to 0 very fast ajab 😂
88
122
226
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Salaried friends karibu wanaanza kuchange route wanapitia ndo tusiwadai madeni zetu
96
129
225
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
One of this fine days tunafaa kutenga siku moja ya kudeal na hawa paid goons, wanajiona wanoma sana, it's because our agenda ni ingine bora tungewavaa proper.
86
117
228
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Saa zingine unaona dem ni mrembo ndio lakini ukikumbuka atakuletea needs zake zote ziwe zako unaishi na nguvu kwa magoti unamwacha aishie tu
88
121
225
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Kukuwa chalk man sio rahisi, one mistake ivi usha ingiwa mangumi.
104
133
221
@chirchir29
Mansang Chirchir
25 days
Sisi ugly niggas ata hatuulizwi mambo na badycount bana ju wako sure tu hatujewahi pewa na mtu
87
119
217
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
He will only manage pull out game when you're not beautiful,now you know where you belong
76
115
211
@chirchir29
Mansang Chirchir
3 months
Unajua vizuri wewe ni one minute man alafu unataka kujaribu threesome😂😂💔
44
100
212
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
You all have relationships then mini relationships within those relationships and again other mini relationships in those mini relationships 😂😂😅
93
117
216
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Nice face, Nice boobs, nice ass, nice height....Aaaaaiii huwezi kuwa perfect hivi, tuambie ulipata grade gani KCSE mamaa😬😂
93
111
214
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Nataka muniombe am going through a lot of problem na ni mimi nilijiletea
80
109
211
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Fans wa man u wako ready kuliko players wenyewe unaskia tu "hii season tukicheza vizuri tunabeba kila kitu"😂😂
108
138
206
@chirchir29
Mansang Chirchir
24 days
Hakuna watu walikua wanajiona discipline kama wale walikua wanasema thank you after kuchapwa, mimi nilikuwa napewa zangu naamka na maubad ya kulima modee after form four😂😂🤣
122
138
199
@chirchir29
Mansang Chirchir
1 month
Matako yangu ni private part yangu, usiniguze bana adi kama tuko mechi wachana na matako yangu😂
90
119
199
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Ligi ianze bana. Ni wikendi na unapatana na mafans wa chelsea wakicheka cheka tu ovyo ovyo, so embarrassing 😬😂
87
119
195
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Risk take ni mtu anajua vizuri ni one minute man na anakubali dem amuride😂😂💔
86
101
199
@chirchir29
Mansang Chirchir
2 months
Hakuna story ya better days are coming, kama huna na hutafuti wewe sahau tu.
75
127
195