KÃDÕM🌴 Profile Banner
KÃDÕM🌴 Profile
KÃDÕM🌴

@bri6424

2,336
Followers
2,291
Following
72
Media
9,158
Statuses

... there is power in second chance./damage attract damage\

Joined February 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 days
Kukula maini ndio uconfuse pombe itachoma liver gani kwa mwili is always an underrated skill..
4
49
83
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
"huyu wa sai anajua blunt ni kisu yenye si sharp msinirogee>>😂😂
1
35
60
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Ukionja ya mkikuyu utaskia kama zingine ni jokes tu🙈🙉😛🤣🤣
5
28
54
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Nishai kaa chini after kukoniwa hadi nikafurahia kazi ya hao watu
5
27
52
@bri6424
KÃDÕM🌴
10 days
Mapenzi haitaki akili mingi... Jifanye mjinga ufike anniversary 💯
4
31
57
@bri6424
KÃDÕM🌴
12 days
Bien asisahau bado haja explaina wakenya mbona alikuwa ananusa kamisi na biker💀
6
29
50
@bri6424
KÃDÕM🌴
22 days
Unaosha kila kitu kejani,unapata wewe ndio takataka imebaki😂
2
31
52
@bri6424
KÃDÕM🌴
25 days
Huyu analia nimemuacha na ni Mimi nilimkatia..😅😅
3
27
46
@bri6424
KÃDÕM🌴
13 days
''kababa umeona hizo nimetuma sahii za beard maintenance"
2
25
44
@bri6424
KÃDÕM🌴
14 days
Corner ya nne na bado huyu msee ananifuata,acha nikimbie nikipiga nduru..😅😅
2
29
40
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Unashangaa mbona ukatiwii, kumbe ni ule mbaba ulichezaa amekulaani😂😂
1
22
38
@bri6424
KÃDÕM🌴
26 days
18th August is National couples Day ....mtakufa hii August nawaambia😂😂😂
4
27
38
@bri6424
KÃDÕM🌴
4 months
@polo_kimanii Si ati mamangu siku nilichizi sababu ya bhangi nilikuwa naona kama anataka kuniuwa,lakini aliniambia kila siku alikuwa ananiombea nipone na nilipona sai tuko almost 1yr kutoka rehab,never underestimate parents prayer 🙏
2
1
38
@bri6424
KÃDÕM🌴
4 months
1
0
32
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Nimeambia beggars sina cash akanipea till number 🙌This time hakuna kuponyoka..
4
18
36
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Squirt inakuwanga litre ngapi juu ni kama hii gaidi imenikojolea🙆
3
22
34
@bri6424
KÃDÕM🌴
26 days
Nangangana kutafuta pyenga nilificha loo napatana na Gbag.. aki Mungu wewe 🥹🥹
2
20
35
@bri6424
KÃDÕM🌴
26 days
Unataka jersey na akiwa na crumps huwa unamuambia pole😅😅
2
23
35
@bri6424
KÃDÕM🌴
14 days
Huwa inahitaji some few regrets halafu unaanza kutumia akili💀
1
23
36
@bri6424
KÃDÕM🌴
29 days
Kumbe kulambwa shingo ukipiga iyo kitu ni tamu ivo 😂 karibu ninyambe leo😂
2
18
36
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Sai ningekuwa natafuta correction ya 2 marks chemistry ndio nifike 10 %😂😂
5
23
32
@bri6424
KÃDÕM🌴
25 days
Pahali imefika sasa itabidi nimesaka millennial moja peng juh hawa gotha siwezani...💀💀
4
25
34
@bri6424
KÃDÕM🌴
27 days
Nimeamka nikapata nilitextiwa at 3 am ati "you know you mean the world to me babe right??"mumenigongea sindio??💀💀
1
20
33
@bri6424
KÃDÕM🌴
11 days
Ile usingizi iliniharibia masomo ndo,tena inataka kuniharibia kazi🌚
2
22
34
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Use hospital language to describe your relationship. Mine;we are trying our best 😂😂
5
13
30
@bri6424
KÃDÕM🌴
25 days
First date lazima ukuwe adi na coins za kuekea viwete kwa Barbara.😅
2
20
30
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Ama ni Sisi wazimu Ruto ako Sawa...
4
14
31
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
@eleven_KE Mzee Bora ulicram iyo felling ni ivo
0
0
31
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Reggae fans: Skiza hiyo messages bro.. The messsage:"liki liki laka laka soso soso"🤣🤣😂
3
17
29
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Huyu naye nafikiria alini_cutoff kumbe alifungiwa simu na Mkopa😂😂
2
19
28
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Unarepiwa ukienda kupiga nduru unapewa your favourite style 📌 😂😂
1
12
26
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Sasa nyinyi wote mkijifanya hamna ukimwi Nani ako nayo sasa??😂
5
19
28
@bri6424
KÃDÕM🌴
21 days
Kama anaita high heels Kong Kong marry that one bro she's not contaminated 🙌
3
21
29
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Mtegemea cha nduguye,hana kazi buana....hufa maskini hiyo ni ya wahenga.😂😂
1
16
26
@bri6424
KÃDÕM🌴
21 days
Tunakuzika na suti lakini ghost yako inatokea na kanzu....kwani ulipeleka wapi suti yetu mkuu💀😂
3
17
27
@bri6424
KÃDÕM🌴
11 days
I have matured up kama ni Mimi napika nyama mlango ikiwa wazi😂😂
3
17
28
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Nitaacha kusave watu majina nikiwa mlevi,sasa tusker mbili ni Nani😂😂
2
13
27
@bri6424
KÃDÕM🌴
21 days
Naskia mum akipiga story na wamama wa plot ati me niliacha kunyonya nikiwa na miezi tisa, laiti angejua tu..
3
23
29
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Ukinipea Bj piga testicles heady kama ndama bana.....😂😂📌
3
12
27
@bri6424
KÃDÕM🌴
9 days
Hii tabia yako ya kuchange mother -in-law kila mwaka sio poa 😅😅
0
19
32
@bri6424
KÃDÕM🌴
16 days
Msee wa nduthi anaona niko morning run na bado ananiuliza kama twende 😑😅
3
18
28
@bri6424
KÃDÕM🌴
11 days
Kumbe Colgate Na Mkate Huslap Videadly Ivo🫰
0
15
26
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Ukiona nyuma kuna mlima jua mbele kuna mtaro 😂😅
4
15
27
@bri6424
KÃDÕM🌴
23 days
Mimi ndio huongelea mabeshte wangu place wanafaa kuongea English.
0
15
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
24 days
Unachizi tu peke yako alafu mtu anasema unamcut off..😅😅
0
18
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
3 months
0
0
24
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Amerudi bila waist beads....walai mumenigongea💀🙆
5
15
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
28 days
Nimepata morio wangu akona windsock kejani and funny thing hajui ilitoka wapi.
0
12
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
16 days
Niko na mechi na orphan namwaambia call me daddy anaanza kulia💔
3
19
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
11 days
Me listening to luyhas say "mboka ni mboka"knowing very well they mean vegetable 👽
3
18
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
0
0
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Hakuna kitu unibamba kama kuona dem anajifanya badgirl akiwa na mimba..🙆😁
1
16
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
14 days
Ushai perform kwa bed adi dem akakuita small meeting kukuuliza ''will you leave me?"😂💀
1
16
26
@bri6424
KÃDÕM🌴
23 days
Leo mambo ikienda mzuri ntanunua a quarter niketi Mahali niikunywe vizuri nikifikiria maisha yangu sasa
0
15
26
@bri6424
KÃDÕM🌴
10 days
Mnakaaga na dem kwa mat but kwa akili yake wewe ni broke nigga 😅
1
13
26
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Hakuna watu hujiona kama hawa watu wa mseveni wakizalia watoto Kenya,wanaonanga nikama green card ya USA😂🙆
3
11
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
19 days
Gen z hawawezi simama wapee mtu Mzee kiti kwa matatu.huwa wanashangaa kwanini huyo mtu Mzee anaingia mat imejaa...
1
18
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Nitakuletea uigonge kama kibuyu ya supu...ametumiwa fare akakula😂🙊
2
13
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
9 days
Mat za kayole unasikianga dondaa akisema,,,,,dere cheza na panty hapo mbele"unashangaa ni nini inaendelea 🤔 kumbe anamaanisha shukisha...😂😂
2
12
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Hakuna kitu hunihumble kaa kutu>>>💀💀
1
13
24
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Nairobi kuna wasee wanapiga deal moja Safi wanashinda kejani the whole month, enyewe hard work na nguvu mingi peleka ocha😮‍💨😂
2
8
23
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Hiyo nguvu ya kujitetea Sana sinanga.ukisema ''hapana."ni Sawa😂😂
2
22
21
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Wacha Tu nimpigie,tukiendelea hivi kunyamaziana tutawachana🥹🥹
1
14
24
@bri6424
KÃDÕM🌴
17 days
Unapita hapo CBD masaa ya noon unakuta kipofu ameboeka mpaka anasoma gazeti..😂
3
15
24
@bri6424
KÃDÕM🌴
18 days
Majuu unapata a 21 year old ako na gari,a hot baddie na a stable job lakini wa Kenya ako juja....
2
15
22
@bri6424
KÃDÕM🌴
12 days
Ji fix fix tu kwa iyo relationship yao, maybe huyo mwingine ndio hafai kuwa hapo.😂😂
1
14
23
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Daily reminder;vibe huisha msipokulana😅💔 Run...or...perish📌
1
15
20
@bri6424
KÃDÕM🌴
10 days
Mnaongea ama anakujibu😂
0
17
22
@bri6424
KÃDÕM🌴
4 months
0
0
20
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Kwa mjengo "is either you know a guy who knows guy".otherwise you will always pray for better days 😂😂😂
0
9
21
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Kumbe mapera na strongtea ni tamu ivo...🤗
2
11
21
@bri6424
KÃDÕM🌴
21 days
Wtf!was "hatujambo mwalimu...shikamoo?"
4
17
22
@bri6424
KÃDÕM🌴
30 days
Tuko na manzi yako hapa ameambiwa', "your thinking velocity is at rest". akasema aaaww thank you 😂😂😂
4
10
20
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
I was in love until she picked the 3rd chapati.Aaai apana.😂🙆
1
13
22
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Rooftop utadhani tuko Tanzania..... moshi tu☺️
1
10
20
@bri6424
KÃDÕM🌴
19 days
Ukipata Daktari ako na handwriting nzuri ujue hautapona haraka 💀💀
2
13
22
@bri6424
KÃDÕM🌴
19 days
How Boyz introduce their ugly girl friends ''usimwone hivi hivi ni Nurse"😂😂
1
15
20
@bri6424
KÃDÕM🌴
23 days
Hawa watu wa scrap metal walitutesa tukiwa wadogo,,,,,nilipeana sufuria yetu wakanipea bunduki ya maji 😂🤦
1
10
21
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
''Chaser" labda ukunywe before tupatane🥹
1
12
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
18 days
Hata Paul aliandikia wakorintho barua akiwa jela, excuse yako ya kutotext mtu the whole day ni gani ???
2
9
21
@bri6424
KÃDÕM🌴
9 days
Ukipita stage ya kudinyiwa dem,utadinyiwa bibi 😂😂
1
14
25
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
After confirmed message,kuna hii ingine ya someone have followed you back. They hit differently💀😂💀
5
8
17
@bri6424
KÃDÕM🌴
16 days
Unashangaa mbona waislamu ni matajiri kumbe hawana budget ya mazishi na tissue..
1
15
20
@bri6424
KÃDÕM🌴
12 days
19 centimetres ni inches ngapi?
2
12
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
20 days
Heartbreak za 2016-2019 zilikiwa intense😮‍💨😮‍💨hizi mpya ata hakuna kulia,unarudi soko like you never left.
0
16
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
13 days
''Babe unajua nikona mtoi but sikuzaa normal,nilifanyiwa operation"...😂mtaniua😂
0
11
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Unaeza jituma na bado usifaulu uliza Arsenal fans😂🤞
0
9
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
20 days
Mtu ako na 700 kwa mpesa anafaa kuamka kweli😅??
1
10
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
1 month
Shule nilisomea driving tulifanya road test na lorry mzee ya bedford.mnafika kwa mteremko unashangaa niaje lorry inasonga na speed ya mia kumbe imekata brakes.kuangalia kando yako unaona instructor ata asharuka kwa shamba ya majani chai hapo kando unaanza maombi ya mwisho🙏
3
8
18
@bri6424
KÃDÕM🌴
2 months
Nikiwa class 3,dad alikuwa amelala chini ya mti nkaenda nkamshtua na nyasi kwa maskio.sijui kama mshawai notice huwa natembea nkiinama side moja😂😂📌
0
8
19
@bri6424
KÃDÕM🌴
11 days
Ka uko kwa locals na akuna generator,you have a long way to go 😂
1
10
17
@bri6424
KÃDÕM🌴
11 days
Unakumbuka DJ afro akiwambia kutakuwa na nuru gizani ona sasa 😂😂
0
5
18