{SIR WEKĒ}⚓ Profile Banner
{SIR WEKĒ}⚓ Profile
{SIR WEKĒ}⚓

@amTavo

3,442
Followers
3,382
Following
6
Media
20,741
Statuses

'|Further from the ordinary|Your voice💢|Vigilant| Little that ik you'll know|Critic |Africanism| Affiliated with self thoughts|in the making|welcome aboard ⚓

around
Joined September 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Unahurumia wig ako na followers 114 angalau umpandishe na anakataa ku fb .. mnakuanga na shida gani lakini
182
144
576
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Uko na 239 followers na hutaki kuengage tutakusaidia aje sasa
15
27
67
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Mayai ingejua vile Huwa inatusave ingekua inakam na York mbili
2
31
65
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
I really fear mtu anaogopa kutumia akili like yoo mzee nn huelewi banaa 😂
4
30
55
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Tutaishi kugongewa mpaka siku utaelewa vitu za ulimwengu si za kueka kwa roho
5
20
49
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Mnafanya last meetups na highschoolers juu hamkushikwa enyewe mnajua kupiga hesabu
0
24
49
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@_NiyiDaniels @amTavo 1k soon fam ❤️🔥
0
0
48
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Playlist yangu ya gospel bado ni kali
2
23
47
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Naguza zenu na hamguzi zangu ni sawa tu 🥲
6
23
44
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@dcijuja @amTavo if you see follow
1
0
46
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
0
0
41
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Burna boy kama hataki tuskie vitu anasema anyamaze
3
18
43
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Nikiwapea vako ya VPN mtaniengage? Infinix owners kaeni kadogo kidogo I'll let you know
5
15
40
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
We all have those moments when we were desperate and couldn't help ourselves
0
23
40
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Kama hutaki nione achana nayo view once tumia highschoolers
3
22
39
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
0
1
39
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Kama hujai pata mdem ako obsessed with you walai u are missing out big time
6
20
37
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Kiingereza ya peaky blinders kusema ukweli sielewi
3
22
37
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Kinembe hukua a real example ya don't judge a book by its cover lakini mnaogopa kusema
6
14
38
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Nishaiandika poem na nashangaa sana huyo alikua nani simp hio design
0
23
39
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Msichana ameiva Hadi unaogopa kuishi na yeye asikuchome usiku
2
16
38
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Apart from Chelsea winning today what else do you know about this day?
4
22
39
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Nani anataka shout out hii masaa??
17
11
38
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Loyals wangu wakipotea Tl Huwa inabidi nimewasearch fr hamwezi ghost hivo
1
19
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
24 days
Naona received kumbe ni Mimi nimedeposit betika
3
21
38
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Hapo burnt forest Kuna siku nilishikana mashati na dere juu nlimwambia anicheze sisi ni wale tuliobarikiwa na rungu akasema hapendi mchezo
5
10
38
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Nakupea retweets na unaruka zangu hio ni ungwana kweli???
4
16
36
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Acha nilale before muanze siasa za mbona uliacha kuenda church
2
20
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Sasa mia Tano ni kitu ya kufanya gava itifuate ??
2
21
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Kitambo nlkua najiongelesha hii tl akianani tumetoka mbali walai
8
15
32
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Posting and at the same time engaging should be respected
3
20
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
In Africa Kenya ni kama ule kijana mjanja wa Nairobi
0
22
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
0
0
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Nakuwashia nots na hujanifollow? hata Elon anakataa hio
6
14
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Apart from moral compass ladies come into our lives to disorient vitu mingi sana 😂
1
20
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Waniona nakuangalia na tayari ushajua kuwa nataka hiyo""" in otiles voice
2
17
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Birds za western huamkia mahindi
1
15
35
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Blessings za God hazijaikua camera shy🩶
3
23
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Nyinyi appetite Iko sawa ama ni kunona inanionea 18?
1
19
33
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Hata kama ni kujikubali post hata salamu utakua small wig mpaka lini mzee?
2
11
33
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Self audit na nashangaa sana hizi pesa huenda wapi
0
24
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
21 days
Nascroll nikilike Hadi nasahau kutweet
1
21
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Sasa kukula kuku mzima ni issue ya kuaddress mpaka majirani waskie
2
15
32
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Maji ya ugali hii masaa Kuna shida kweli?
1
18
33
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Tl sasa imejaa small wigs sieettt imenasa!! Leteni sasa tukue mutuals ❤️
9
7
34
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@dansilly_ke @amTavo I fb asap mnifikishe thao kadhaa
1
0
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@sonko_254 @amTavo fb don't like kino
0
0
32
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Mateso ndo mnaita kujituma
2
15
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Wazee nimeanza kusmile smile tena mniombee
2
16
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Madoido mpaka exam room sister ?
0
16
33
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Nataka nifike huko nichukue fresher Kamoja mali safi na nitulie hawa wasichana 3rd years watanitesa
1
16
33
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
1 month
Waa waa waa... kumbavu zangu
3
14
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
22 days
Lakini loyals si mseme tuashiane nots basi hamnifanyi vizuri kabisaa
2
12
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Admit when you are wrong ushakua mtu mzima
2
14
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Kuna mtu anabambika na tweets zako but haezi engage ,wewe pia ...mbwa wewe
3
11
32
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Muache kusimamisha watoto wa wenyewe kwa baridi
1
18
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Mhindi analike tweet as if anaelewa kiswahili this people lie alot
2
16
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@_NiyiDaniels @amTavo follow at your own risk
0
0
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Utaishi kusema mhindi ni milayas na nawaambia dm hamskii!! Waa
3
17
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Nikitoka block worms ntakua naskia na nyinyi
1
16
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@TheOtherDelo_ @amTavo follow at your own risk
0
0
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
1 month
Elon anataka nieke badge ya lazima wazee si muekee ten ten niwashow vile tutafanya
1
13
31
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Kama unajua kirikou unafaa kukua na twins
0
18
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
1
0
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Webuye shuttle inafanya Nini kinangop wazee
0
15
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Unashangaa mbona life yako inakaa vile inakaa kumbe ni wewe uliharakisha hukupewa sahani yako
1
10
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Wasee wa matatu zingine wanachukua doh ukiingia ndo usichange mind ushuke
2
15
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
26 days
Keja Iko na ceiling lakini raindrops naziskia by force
3
16
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
1 month
I'll use this time I have around to give the best of me
1
17
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Siett hii wiki nawaombea breakthrough ya pesa!!
1
15
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Mwanaume unakunywa chai aje?
4
17
27
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@Shann_099 @amTavo mnifikishe thao sasa fam nitulize roho 🙌🙌
0
0
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Comrades finyeni muekewe doh accounts hii pesa ni yenu banaa
0
15
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Ile dream we huota Kuna watu wanaishi hio dream sasa....unfair isn't it??
1
14
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Nimekula chipo juzi sahi naskia Niko na umama kuliko nasti
1
15
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Msichana anaeza ona saa umevaa imturn on
5
12
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Unacheka man u na Iko na game kukuliko smh
0
14
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
January babies chapati za 1st ndio hukua keki
1
19
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Unaexpect a perfect heaven yet this one we are on you won't take care of it..inashangaza sana
0
12
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Lakini wakenya tuache mchezo Kuna jamaa nimeona anakula fried eggs ,boilo na on top ako na dessert ya mgongo ya kuku banaa yaani mnakula generation mzima tf!!
1
21
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Next after hesabu kitu ingine ngumu ni kuelewa wasichana
4
23
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Uko na sojas 238 na unataka badge??uongeleshe nani sasa??
4
8
25
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
1 month
Buanaa wahindi wa Kuala Lumpur muache kunifollow bana sahi hatuezi elewana
1
12
30
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Miezi mbili na bossi hatujakuita kwani namna gani ndugu
0
19
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Loyals wangu hukua ninewamark🩶
5
17
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Just realized hata wazazi wetu walkua na hizi ndoto tukonazo hope we get there
1
12
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
What's the reason behind maths kukua ngumu sijai pata sababu
3
13
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Naeza kupiga kimunju ushtuke... kikiss yaani nikumunju""....
2
12
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Unashangaa sufuria zinaangukia side gani kumbe ni mzae anakwambia ufunge tap but we uko airplane mode
1
10
27
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Octo ashaiuliza OG kama ashawai piga picha na mtu amedungia Louis Vuitton 😂😂naisha
0
12
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
1 month
Ukiona nikisimp wee tulia story ni yangu
2
14
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
4 months
@SK_araca @amTavo 1k soon fam ❤️🔥
0
0
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Siku moja utapata sojas wote wamesonga juu hauengage mzee
3
17
26
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
You're some joke thing kama unadhani kuoga lazma utumie maji
4
13
27
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
26 days
Nilijaribu kufuga vifaranga huko Ingo and for sure mwewe had a unique choice na zangu ..
1
19
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Huyu anamark territory na nails banaa mko sure hii si uganga
2
8
29
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Gamblers huku nje wanabet Hadi Tv wanawatch na unalia mhindi akichukua ruabe yako
3
13
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
2 months
Mm ukisema fb nayo nitaguza mbio sana 🩶😂
3
11
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
3 months
Small wigs si mlete handles mtoke 67 followers jamani ..are you happy where you are?
9
11
28
@amTavo
{SIR WEKĒ}⚓
17 days
Unadhani ni mapenzi kumbe unadhani
2
21
27