Single handsome😊(PhD)🇿🇦 Profile Banner
Single handsome😊(PhD)🇿🇦 Profile
Single handsome😊(PhD)🇿🇦

@alfa_mollel

5,775
Followers
4,476
Following
2,125
Media
30,750
Statuses

Influence|| Public spiker🗣️|| Author 📚📗Soft Skills Trainer🧠. Social Activities👥|| PSALM 83:18

Africa.
Joined March 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
Lengo letu ni kujifunza, kuelimishana na kukumbushana baadhi ya mambo kuhusu Maisha yetu halisi ya Kila siku.📌
12
46
80
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Mmiliki wa hili gari anatokea Denmark. Hakuwasha gari lake kwa mwezi mzima mpaka pale njiwa huyu alipo angua mayai yake. Alisema;~"ilimradi kachagua gari langu kutengeneza kiota chake Nitalingana/nitafanana na roho yake"
Tweet media one
38
104
2K
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Mwanaume anayekupenda hawezi kukushika hivi hadharani😁😁 anakuaibisha sanaa
Tweet media one
75
61
671
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
'Mtoto wa mama Yako! Mdogo akikupa unapiga!?🤔
90
18
507
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Neno Moja kwa waziri wa maji😁
Tweet media one
10
21
314
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"£we Mwenyenzi Mungu Nakuomba kama ipo siku nitapoteza tumaini langu....Basi nakuomba unikumbushe kuwa mipango Yako ni sahihi kuliko matarajio yangu🙏 ...Good morning Taifa la Mungu 🌍🌄
15
48
283
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Mimi nasema Kilimanjaro Hawa watu wamebarikiwa😊🙌🙌
Tweet media one
108
21
277
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Hatuko Tena chini ya utumwa wa dhambi YESU KRISTO ametukomboa na kutuweka Huru.🙌 "Kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu~Wagalatia 3:16 (b) Good morning Taifa la Mungu 🌍🌄
20
45
242
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Mapenzi yakianza huwa matamu sana baada ya hapo ni kuvumiliana tu ikiwa mnataka kudumu ....
Tweet media one
6
13
233
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Idadi ya watu wanaosubiri kuona ukikosea Ili wapate neno la kukushtaki ni kubwa kuliko idadi ya watu wanaotaka kusikia umefanya vizuri wakupongeze.💪 Good morning everyone 💕🌄
24
44
210
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
5 months
Inawezekana kule mbinguni Tanzania ni Chanel ya vituko 😁😁😁
Tweet media one
19
13
205
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Habari Njema🤗😋
Tweet media one
15
7
172
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Kuna watu hawataelewa hii Dar ers Salaam. sehemu Gani hapa..?🤔
Tweet media one
41
5
138
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Happy birthday to me 1+❤️🎁
Tweet media one
11
12
126
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
6 months
Hata kama simu Yako Ina 1%tafadhali weka kopa❤️ kwa wamama wote wapambanaji Ni Upendo tu ❤️🙏😌
Tweet media one
8
8
122
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Ahsante Mungu kwa zawadi ya Uhai 👏 Good morning everyone 💕🌄
17
31
118
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Neno Moja kwa fundi huyu 🟢🟡
Tweet media one
3
7
115
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Girlfriend wako akigoma kuondoka kwako utafanya nini?😂
32
14
110
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Inapotokea tunaowapa kipaumbele kwenye maisha yetu hawatuzingatii haifuti alama ya Upendo na Wema tuliowatendea tuwape muda wa kutambua Umuhimu wetu..✍️ Gm🌄🙏
15
30
109
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Hatuvuji jasho kwa ajili ya kupigiwa makofi. Tunachotamani ni kubadilisha hadithi na kupigana vita ambavyo wazazi wetu hawakushinda. Good morning 🌄🙏
12
34
105
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Kama haikuwa Leo basi itakuwa kesho ilimradi tu Mwenye kuimiliki kesho akiridhia🙌 Good morning 🌄🙏
23
22
100
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Kuwa makini sana na watu unaowakaribisha kwenye Meli Yako wengine wataizamisha kwa Kuwa wao sio manahodha" Wengi wakishindwa kupata walichojia kwako watahitaji kukuangusha Ili mkose wote. Good morning Africa 🌍🌄
14
28
90
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Haijalishi unapitia magumu au mazuri mangapi ila hakikisha uhusiano wako na MUNGU hautenganishwi na hayo mapito.💪📌 Good morning 🌄🫂
14
35
96
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Ahsante Mungu kumepambazuka tumepata fursa nyingine ya kuiona Siku ambapo Kuna watu hawana makosa kama sisi ila hawajapata kuona fursa hii Sio kwa ubora wetu ila kwa mapenzi yako! Mwenyenzi MUNGU!! Ikawe fursa ya kuwepo kwenye misingi yako!....AMINA🤲
17
30
91
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Dear girl message za mara kwa mara na masimu muda wote sio mapenzi ni kukerana tu!🙄😁
4
15
88
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Ulishawahi kuambiwa kwamba umeota mapembe na wazazi wako au wakubwa zako ?? Basi walikuwa wakimaanisha hivi👇😁😁
Tweet media one
5
4
84
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Kina Cha Upendo wako kwake! Ndio kina Cha jeraha atakalo kuachia hao ndio binadamu💔 Good morning Tanzania🇹🇿🌄
6
14
88
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Good morning Africa 🌍🌄
Tweet media one
10
7
76
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Hongereni Wanaume na wanawake wote wenye kipato kizuri lakini bado Mnawaheshimu Wenza wenu MUNGU awabariki 🙌 Good morning 🌄🙏
19
17
78
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Kama mmetuchoka sii mtuambie tuhame nchi tu😂😂😂
Tweet media one
20
9
77
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Washambuliaji wa Morumo fc walifia kwenye miguu ya BACCA 🙌💪
Tweet media one
3
5
79
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Mungu aliumba vitu vionekanavyo na visivyo one kama "Naomba mfano wa vitu visivyoonekana🤔👇
15
8
76
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
Anaitwa mfalme Zumaridi huwaambii kitu wasukuma kwa huyu Mungu wao Neno Moja kwake🙌🙌
Tweet media one
4
8
73
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Kwa maana siionei haya lnjili sababu ni Uwezo wa Mungu uletao Wokovu kwa Kila aaminie! Good morning Taifa la Mungu 🌍🌄
Tweet media one
11
13
73
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
"Wakuondoka Usimbembeleze, Wakubakia Mpe ushirikiano.Ishi na hii Mwaka huu..💉💊 Good morning 🌅
22
32
73
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Kwa wahenga tu ndio watamjua huyu Binti anakwenda kwa jina la Rae Dawn Chong alicheza kwenye movie ya Anold Schwarzenegger Commando.
Tweet media one
4
4
70
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
0
0
66
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Yaaa Allah tusamehe madhambi yetu tuliyo yatenda na yajayo mbeleni na tuwe miongoni mwa watu wa kuingia Janna fridhaus inshaallah 🤲🤲 Good morning 🌅🙏
12
21
67
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Sasa huyu Lile tarumbeta🎺 la siku za mwisho likipigwa atatokaje hapo😁
Tweet media one
12
8
69
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
Mara moja katika maisha Yako, Utakutana na mtu maalum anayekufurahisha, anaekuunga mkono na kukufanya kuwa mtu Bora zaidi Usimuache aende zake. Good morning 🌄
16
34
68
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Ukweli ni kwamba tunasadia kwa Sababu tumepewa moyo huo wa kuguswa na Matatizo ya wengine ila tuwaambie tu ukweli tuna Matatizo kuliko zenu📌 Good morning 🌄🙏
16
24
68
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Ulipozaliwa tu Kuna watu walichukia maana walijua uwepo wako duniani ndio mwanzo wa mafanikio katika familia yenu. MUNGU ana makusudi na maisha Yako💪📌📌 Good morning 🌄🙏
14
26
66
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Road to finally🔋💪
Tweet media one
0
4
64
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@FirstObidient @CfcGaz10 I'm following everyone how follow me @alfa_mollel
0
1
62
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Kuna muda wa kuwa mtu mwema na Kuna muda wa kusema "Sasa inatosha..!🫸 Good morning 🌄🙏
12
20
63
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Vijana tumejiweka mbali sana na Mungu haswa kwenye suala la Ibada. Kisingizio tuko busy kutafuta Maokoto. Utafutaji Uendane na Ibada TUBADILIKE. GOOD MORNING 🌄🙏
8
23
63
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
Tunapata na tunapoteza tunakosea na kujifunza pia hatujilaumu maana ndio sehemu ya maisha..📌 Good morning 🌄💕
11
27
58
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@omwambaKE I'm following everyone how follow me @alfa_mollel ⚡⚡
0
0
62
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Atakuwa kasoma Chuo Gani huyu jamaa!🤭😹
Tweet media one
6
8
60
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@omwambaKE I'm following everyone how follow me @alfa_mollel
0
0
57
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Hata Kama wengine wataendelea kukudharau kama familia zetu zinatuamini basi inatosha 📌
Tweet media one
4
18
60
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
11 months
Kivyovyote vile Hakikisha hauwi king'ang'anizi kwenye Maisha ya watu.📌 Good morning Taifa la Mungu 🌅🙏
9
11
58
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@Strictlyirene I'm following everyone how follow me @alfa_mollel
1
0
58
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
"2024 Mwenyenzi Mungu atusaidie tuwepo tunapohitajika tuache kujipendekeza🤲📌 Good morning 🌄
14
22
60
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
6 months
Mchepuko hautakuja kuwa msaada wako pale ambapo utakuwa unaumwa halafu hujiwezi ila huyo mke wako unaye mdharau ndiye atakuwa msaada wako mheshimu mkeo..📌
5
21
60
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@omwambaKE I'm following everyone how follow me @alfa_mollel
0
0
59
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
5 months
Kuna Muda utafika na sisi tutaishi Yale maisha ambayo siku zote tulikuwa tukitamani kuishi tusikate tamaa.. Good morning Taifa la Mungu 🌄🙏
9
20
57
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Mwishoni mwa Mwaka huwa Kuna matukio ya ajabu na ya kusikitisha ikiwemo ajali Vifo na mengine mengi. Ee Mwenyenzi MUNGU mlinde Kila anaesoma post hii akaweze kuuona Mwaka 2024 na Ukawe Mwaka wenye mafanikio kwake. Aamen🙏 Good morning 🌄🙏
22
30
57
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Wakati Ukifika Kila gumu litakuwa historia Muamini Mungu. Good morning 🌄
9
13
58
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Mwanaume imara hakai na vinyongo✊
2
7
56
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Msitende neno lolote kwa kushindana Wala kwa majivuno Bali kwa Unyenyekevu,kila mtu na amheshimu mwenziwe kuwa Bora kuliko Nafsi yake. Good morning Africa 🌍🌄
6
11
56
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
Message Moja ya neno 'l miss you! Isikufanye urudi Tena kwenye mahusiano yenye Matatizo ya kujitakia✍️ Good morning 🌄
5
13
57
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
5 months
Haijalishi unafanya biashara ndogo kiasi gani Usisahau kuiombea..🙏🙏 Good morning 🌅
13
13
55
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
11 months
Usiogope kamwe kumpoteza mwanamke wako.. Yeye ndiye anapaswa kuogopa kukupoteza wewe. kwa Sababu Wanaume wenye thamani kubwa ni wachache kuliko wanawake Wanaovutia.📌
3
10
55
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Ishi na watu vizuri Matatizo Yana tabia ya kukupeleka kwa watu Uliowakosea 🤝 Good morning 🌄🙏
12
20
56
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@Strictlyirene I'm following everyone how follow me @alfa_mollel
0
0
52
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
FT: Aston Villa 1 Man City 0 Kuwaacha watu hawa waondoke lilikuwa ni Kosa kubwa la kiufundi. Kwenye kichwa Cha Guardiola haya yalikuwa ni matumizi Mabaya ya akili They say you never know what you have till you lose it.
Tweet media one
7
6
54
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
Heri ya Mwaka mpya kwa watu wote wanaotupenda, kwa maadui wanaotuchukia, kwa watu wote wasiotuelewa, kwa wanafiki wasiotukubali na kwa Wajinga waliotupoteza .. Good morning 🌅
18
29
53
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Safari Yako aliianzisha MUNGU mwenyewe mkabidhi mambo Yako naye atakufanikisha kati njia zako ...usipambane mwenyewe muachie yeye akupambanie. Good morning Africa 🌍🌄
8
16
55
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Pamoja na changamoto zote kuanguka na kusimama Lakini nguvu ya ujasiri ya kupiga hatua mbele ndio silaha ya kuitafuta kesho ilio kwenye Fumbo.📌
5
14
54
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Wapo waliotukukimbia kwa Sababu ya udhaifu tulionao, Wakaja wengine wakatupenda pamoja na udhaifu huo huo.🙌 Good morning 🌄🙏
7
28
51
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Jambo kubwa la kushangaza kwenye maisha Kadri unavyodhani huna maana na hadhi Yako ni ndogo. Kuna watu kibao kwenye jamii wanakutazama kama kioo Cha mafanikio wanapambana wawe kama wewe!! Good morning 🌄🙏
10
20
52
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@nyuki_malkia Aliyeniambia Siri ya mafanikio ni kufanya kazi usiku na mchana Tumekutana kwa mganga 😂😂😂
4
1
54
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Unadhani kwanini wazungu wanapenda wanaume weusi? Tazama video kwenye coment😃🏃🏃.
Tweet media one
12
6
54
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
6 months
Kutimiza ndoto Ili Ufanikiwe Kuna gharama zake. Kuna muda itakulazimu kuwa macho wakati ambao wengine wakiwa wamelala📌
4
13
54
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Mkumbushe Jirani Yako kuwa waliomtia kisimani Yussuf ni ndugu zake wa damu na waliomuokoa ni wapita njia🙌
7
14
52
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Mara unapohisi Kuna MTU anakuepuka Jitahidi usiendelee Tena kuwa MSUMBUFU kwake📌 GOOD MORNING 🌄
13
25
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
"Endesha kwa utaratibu unapokuwa kwenye hii barabara iitwayo "Maisha" maana Kuna watu ghafla watabadili njia na kuingia upande wako bila hata ishara yoyote..!__🚕 Good morning 🌄🙏
11
23
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Chochote Utakachofanya Haijalishi ni kibaya au kizuri watu lazima Watakuwa na namna Mbaya ya kuzungumzia na hayo ndio maisha na hao ndio Binadamu.🙌 Good morning Taifa la Mungu 🌄
10
19
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Mwanaume ukimpenda mkeo wako na kumkubali kwa moyo wako wote hakuna mwanamke utakaye muona mrembo kumzidi..
7
8
52
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Kuna watu itakulazimu kuwawekea distance sio kwa Sababu unawachukia Bali kwa Sababu unaulinda Moyo wako.📌 Good morning 🌄🙏
10
24
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Mama yangu aliniambia mwanangu lia na utoe machozi uwezavyo lakini hakikisha unaponyamaza kamwe usilie tena kwa Kosa lile lile lililokufanya ulie mwanzo" Ahsante"mama..🙏🙏
3
11
51
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Kwa Dunia ya Sasa ikitokea una ndugu mwenye roho nzuri Usiache KUMSHUKURU Mungu maana baadhi ya ndugu zetu FURAHA Yao ni kuona tunaishi maisha ya dhiki na wanachukia sana kutuona tunaishi maisha ya furaha na yenye mafanikio Good morning 🌅🌄
10
14
51
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Chunga sana usipoteze utu maana utakuwa Umepoteza Kila kitu. Good morning Taifa la Mungu 🌅🙏
7
12
46
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@nyuki_malkia Ukitaka kupiga wewe Tafuta Baraghashia kuubwa vaa ukipata kanzu pia freshi uwe na uwezo wa kuitamka neno A. Salaam aleykum vizuri! Lakini kinyume na hapo nakuhakikishia hutoboi ni wabaguzi sana halafu wanajikuta waarabu🚮
Tweet media one
6
2
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
"MIMI SIWEZI KUMCHEKI KWANZA MPAKA YEYE ANICHEKI" Tumesha zika mahusiano Mengi Kisa hii kauli.🙂💔
3
5
51
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
6 months
Marafiki ambao hawezi kukusaidia Wakati unashida bado ni marafiki zako. they're not fake, nao wanapitia mengi japo wapo kimya ...huna haki ya kumkasirikia mtu ambae ameshindwa kufanya kile ambacho ulishindwa wewe kufanya..💯📌
2
12
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
7 months
"Usimsahau MUNGU pesa💰 Haijawahi kutosha..📌 Good morning 🌄🙏
11
17
50
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
Akawaambia wote, Mtu yeyote akitika kunifuata na ajikane Mwenyewe ajitwike msalaba wake kila siku anifuate.~Luka 9:23 Good morning Taifa la Mungu 🌅🙏
11
17
49
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Wananchi 🔰 ndio wenye nchi😁🙌
@Mzungu_pori1
MZUNGU PORI💪
1 year
Uzuri yanga hatuna jambo dogo ✅✅ Mudathiri
Tweet media one
4
10
46
1
8
47
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Haiwezekani nyie Mpendane wakati mi nipo Single 😂😂😂
Tweet media one
3
6
47
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
10 months
0
0
42
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
"Ukiamua kumuona Mpenzi wako kituko,hafai, mwongo Utamuona hivyo siku zote.
0
6
48
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
8 months
Hakikisha hauvuki na mwanamke au mwanaume mzigo kwako 2024 Good morning 🌄🙏
15
26
45
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
Kuwa na Amani moyoni ndio mafanikio mapya tunayotafuta siku hizi ..🙏 Good morning Taifa la Mungu 🌅🙏
5
17
47
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Mwanamke mwenye akili na malengo ya kupata mume Bora hua hachagui mwanamme tajiri Bali huchagua mwanamme mwenye kumjali kumpenda kumthamini na kumheshimu 🙏 Good morning 🌄🙏
10
19
48
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Kuna muda tunashindwa kuwaacha waende maana ndio waonatupa furaha japo tunajua mapenzi Yao kwetu ni ya uongo📌 Good morning 🌄🙏
6
11
45
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
5 months
Unapo Nunua gari Used, hakikisha mmiliki wa kwanza hajabaki na ufunguo wa ziada. hii post haihusiani na gari.
5
7
47
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
9 months
Kwa bahati nzuri sana lolote Lile linaweza kumshinda MUNGU Usiache kuomba 🙏 Good morning 🌄🙏
7
17
47
@alfa_mollel
Single handsome😊(PhD)🇿🇦
1 year
@TreyUTD7 I'm following everyone how follow me @alfa_mollel
0
0
45