Abogaa Profile Banner
Abogaa Profile
Abogaa

@abogaa_

7,071
Followers
6,506
Following
236
Media
27,444
Statuses

||SongWriter(different sounds)||scriptWriter||Singer|| Comedian๐Ÿ˜‚|| inspired by Bruno Mars โญ

Joined August 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@abogaa_
Abogaa
5 days
Happy Saturday guys,its Liberian girl (demo-cover) -Michael Jackson done by Abogaa
4
12
17
@abogaa_
Abogaa
8 days
Huyu akitoa mguu ninaye ngoja anunue chips kwanza sije nikabebeshwa majukumu Bure ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ’”
Tweet media one
28
20
176
@abogaa_
Abogaa
1 month
Moja ya demu mkali sana humu X aisee ukisikia maana ya mwanamke aliekamilika ndio huyu sasa anakila sifa ya kuwa mke wa mtu,huyu nikimpata nauza ile nyumba ya urithi โ™ฅ๏ธ
Tweet media one
37
15
165
@abogaa_
Abogaa
5 months
Abogaa ๐Ÿ“Œ
Tweet media one
13
63
152
@abogaa_
Abogaa
6 months
Abogaa on this one again!!. This is the music demo of one of my works.(afro pop genre).kindly listen to this๐Ÿ™
25
94
132
@abogaa_
Abogaa
3 months
Guys please make @wizkidayo see this song,it's musical demo naiona mbali sana I have no money tu push my career but what I know nina mziki mkubwa sana just repost and tag him please ๐Ÿ™โ™ฅ๏ธ
37
80
115
@abogaa_
Abogaa
4 months
Betting inatupa kiburi sana nimetoa vya zamani vyote nimeweka vipya๐Ÿ˜†
Tweet media one
8
14
105
@abogaa_
Abogaa
9 months
Ukipata matatizo ndio utagundua kuwa hauna marafiki wengi bali una watu wengi unaojuana nao๐Ÿ™.
16
41
91
@abogaa_
Abogaa
9 months
Nasubiri kamalizie kufua kakimaliza tu nakafukuza ๐Ÿซง๐Ÿซง
Tweet media one
19
14
90
@abogaa_
Abogaa
5 months
Pesa haitaki waoga inataka uwe mtu wa liwalo na liwe, kama huna cha kupoteza nicheki โœ๏ธ
12
21
88
@abogaa_
Abogaa
5 months
Kuishi maisha ya kumsikiliza kilร  mtu kutakufanya kilร  siku ujichukie na kupoteza thamani yakรณ.Good morning ๐ŸŒ…
14
40
87
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Mungu atuepushe na changamoto ambazo pesa haiwezi kutatua"๐Ÿ™.
17
44
86
@abogaa_
Abogaa
4 months
Vitu mnafanya saivi mkizani mmekuwa wajanja ndo sisi tunajaribu kuacha Good morning fam
17
37
84
@abogaa_
Abogaa
26 days
Hakuna watu wanajionaga wana akili nyingi kama wale ambao Hawa wekagi whatsap DP.
6
29
83
@abogaa_
Abogaa
3 months
"Losers quit when they fail. Winners fail until they succeed". Good morning family ๐ŸŒ„
22
47
77
@abogaa_
Abogaa
10 months
Unaweza kuvaa aina hii ya jeans?
Tweet media one
16
15
80
@abogaa_
Abogaa
5 months
Chapati za maji kwร  kiingereza zinaitwaje?
Tweet media one
21
28
77
@abogaa_
Abogaa
6 months
Shukuru kwร  Yale yaliyoyokea,ridhika kwร  kile ulichonacho na subiri kwa kile ulichopangiwa . Good morning ๐Ÿ™
24
49
75
@abogaa_
Abogaa
9 months
Hakuna haja ya kulipiza kisasi kwani matunda yaliyoharibika yanaanguka yenyeweโš ๏ธ
11
49
70
@abogaa_
Abogaa
4 months
Kama una ndoto za kuwa tajiri ,Basi jua fungu lako lipo,Usiache kuomba Mungu na kupambana ๐Ÿ™. GOOD MORNING FAMILY
15
41
76
@abogaa_
Abogaa
15 days
Basi mimi leo nilienda kupima ukimwi wakati nasubiri majibu nikasema ngoja nitembee tembee kidogo si nikajikuta nimefika home ๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท
13
19
74
@abogaa_
Abogaa
9 days
Hakuna mtu anahitaji kuona mapito yako, Watu wanahitaji kuona Matokeo tu,Good morning family ๐ŸŒ….
16
35
73
@abogaa_
Abogaa
7 months
Elimu ni ufungo wa maisha vipi huo ufunguo umepata au nisiwapigie kelele ๐Ÿ˜‚
22
41
69
@abogaa_
Abogaa
6 months
Kuwa makini na wale watakaokwambia.. โ€œusijali wewe soma tu wajomba zako tupo serikalini" Good Morning!๐Ÿค
15
39
69
@abogaa_
Abogaa
7 months
Mume Bora na mke Bora huja kama sadaka, ukimpoteza ni ngumu sana kumpataโœ๏ธ.
12
34
65
@abogaa_
Abogaa
26 days
Kuna umri fulani ukifika Itakulazimu ukose usingizi, Ili wanao kutegemea walale vizuri.
14
32
69
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Penda kile ulichonacho kabla maisha hayajakufunza kupenda kile ulichopoteza".
9
37
66
@abogaa_
Abogaa
8 months
SWALI Kuna ndugu watano sebuleni 1. Aisha anasoma kitabu 2. Angel anapika 3. Aggie anacheza karata 4. Anna anafua Watano anafanya nini ?
15
18
63
@abogaa_
Abogaa
7 months
Usipite bila kulike tuzidi kuwaombea watu wa Congo ni ndugu zetu ๐Ÿ™
Tweet media one
7
17
65
@abogaa_
Abogaa
9 months
Hakuna mwanamke mwenye hisia za kweli na hawa wababa ni njaa tu na kukosa adabu๐Ÿ˜‚
Tweet media one
7
19
62
@abogaa_
Abogaa
6 months
1hr Karaoke With Abogaa" - Jumatano saa 3 kamili usiku 27/3/2024. Nitaimba live ngoma mbalimbali na kukaribisha mawazo kutoka kwenu.pia kwร  watakaopenda kuja na mabeat makali(zouku,rnb,rumba,afro pop,piano na etc)ambayo yanacatch feelings za mtu njooni nayo nitatia melodies๐Ÿ™.
Tweet media one
6
28
60
@abogaa_
Abogaa
8 months
Mliosema December tusiwaite mafremaso imefika Sasa๐Ÿ˜‚, wakuu December ndio hii au mnasubiri ya 2024๐Ÿ˜Ž
10
38
62
@abogaa_
Abogaa
4 months
Usipojituma kwร  bidii kwenye ujana wako utakuja kuishi maisha magumu sana uzeeni๐Ÿ“Œ.
13
35
61
@abogaa_
Abogaa
8 months
Jana nimestake pesa ya kula ya wiki imeliwa,Figo ipo sehemu gani niitoe?๐Ÿ’”
Tweet media one
21
22
59
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Ukifikiria sana kuhusu jana,utakosa mengi ya leo".
7
33
60
@abogaa_
Abogaa
9 months
Usizibe njia wanayo pita wenzako kwa miiba maana ipo siku utawahitaji wakusaidie na wewe na hutoweza kuwafikia kwasababu ya miiba uliyoiweka itakua kikakwazo kwako na itakuchoma tu. GOOD MORNING
17
39
61
@abogaa_
Abogaa
4 months
kama huyu ni jux usikate tamaa mwanangu ๐Ÿ™
Tweet media one
8
7
58
@abogaa_
Abogaa
6 months
Kuna wakati ukitazama ulikotoka na namna hatari na vikwazo ukavishinda ,unasema hakika Mungu yupo. GOOD MORNING FAM โ˜€๏ธ
14
29
60
@abogaa_
Abogaa
8 months
Sio kilร  unapofanikiwa ni matunda ya juhudi zako,mafanikio mengine ni matokeo ya Sala za watu juu yako๐Ÿ™.
11
37
55
@abogaa_
Abogaa
12 days
Wallahi Reyna katika wanawake wa ndoto zangu siku moja kuja kukuoa nawe ukiwemoโค๏ธโ€๐Ÿ”ฅโค๏ธ
Tweet media one
7
13
60
@abogaa_
Abogaa
5 months
Uendeleavyo kuwa mnyenyekevu kwake ndivyo na yeye uendelea kukuinua ๐Ÿ™.
12
36
59
@abogaa_
Abogaa
10 months
Ndoto kubwa ni ile inayokunyima usingizi ๐Ÿ“Œ.tupambane bila kuchoka Good morning ๐ŸŒ„
12
34
60
@abogaa_
Abogaa
9 months
Utofauti katika ngazi za kimafanikio ndio kitu pekee ambacho kinaweza kukuonyesha yupi alikuwa rafiki wa kweli kwako na yupi alikuwa mpita njiaโœ๏ธ.
13
42
57
@abogaa_
Abogaa
4 months
Kamwe usikate tamaa kupambania kipaji chako na maisha mazuri ambayo ulijiahidi utayaishi ๐Ÿ™.
8
31
58
@abogaa_
Abogaa
6 months
Unapokutana na mtu ambaye amekuzidi maarifa, Usione aibu kujifunza kupitia yeye๐Ÿ™
10
30
58
@abogaa_
Abogaa
9 months
Umeamka mzima wa afya jumapili ya leo hata kama unapitia maumivu kwenye maisha au watu wako wa karibu wanakufanyia mabaya usisahau kumwambia Mungu asante๐Ÿ™.
11
29
55
@abogaa_
Abogaa
6 months
Hivi mwisho wa kupata hela ni shilling ngapi nisije nikawa najichosha tu ๐Ÿ˜‚???
8
18
57
@abogaa_
Abogaa
6 months
Kama kwenu bado mnaweka vyombo kwenye beseni wewe ni maskini kama mimi. Amka acha kulala ๐Ÿ˜‚
5
26
58
@abogaa_
Abogaa
6 months
Wema nalipa na ubaya nalipa ,sipendi madeni .Good morning ๐ŸŒ„
19
36
56
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Kilร  kitu kitakuja kwako kwร  wakati sahihi,amini mipango ya Mungu aliyokuwekea lakini usiache kupambana". good morning fam๐Ÿ™
13
38
55
@abogaa_
Abogaa
2 months
Thinking out loud - Ed Sheeran effectuated by me (live). Rate it over 10
6
43
54
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Asante mwenyezi Mungu kwร  kilร  kitu kizuri na kibaya Mengine yalikuwa baraka na Mengine Yalikuwa Mafunzo".
11
34
55
@abogaa_
Abogaa
8 months
Mungu yupo ukimuita anaitika kwร  wakati pale tu utakapoamini yupo nawe na kwร  Imani utasema naye,na yeye anasikia na anatekeleza kwร  wakati siku zote. Daima tumshukuru siku zote!!!๐Ÿ™
14
45
56
@abogaa_
Abogaa
8 months
Tunaishi kwa kutegemeana ridhiki unayoipata wewe mfanikishie na jirani yako aipate ili msichoke kusaidianaโœ๏ธ
11
29
52
@abogaa_
Abogaa
7 months
Ukweli mchungu kuhusu maisha 1. Wazazi wako ndio wanapenda ufanikiwe 2. Mpenzi wako anaweza kukucheat wakati wowote kwa pesa, sura, ngono, hadhi nk 3. Ubora wa maisha yako unategemea na Ubora wa mahusiano yako 4. Huwezi kumfurahisha kila mtu 5. Usipojituma, Utatumika
7
30
54
@abogaa_
Abogaa
8 months
Imani, mawazo mapya kuchangamana walio kuzidi kwenye kile unacho hitaji ndio mafanikio yako yalipo ๐Ÿ“Œ
8
43
53
@abogaa_
Abogaa
7 months
Tuone msanii ambaye ushawahi kuchati naye Instagram๐Ÿ‘€
Tweet media one
8
12
47
@abogaa_
Abogaa
27 days
kamwe usikate tamaa haijalishi nini kitatokea, wakati mwingine lazima upitie mabaya zaidi Ili kufikia mazuri zaidi๐Ÿ’”๐Ÿ™.
15
28
54
@abogaa_
Abogaa
5 months
Kama huyu ni Rema sina haraka na maisha ๐Ÿ˜“
Tweet media one
12
9
52
@abogaa_
Abogaa
2 months
Mwanamke ndio mtu pekee anaye ficha maumivu yake Ili azidi kuwapa matumaini Wale wanaomtegemea๐Ÿ™.
7
29
51
@abogaa_
Abogaa
9 months
Hivi kwanini ukiwa chooni mtu akibisha hodi "unajibu kuna mtu" kwanini usitaje jina lako Bro๐Ÿ˜‚
17
16
48
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Usiache kutenda wema kisa umekosa kupewa shukrani, Wema ni hazina kama hujapata wewe basi yupo kutoka kwako atapata".
5
23
53
@abogaa_
Abogaa
5 months
1hr Karaoke With Abogaa" - Leo saa 3 kamili usiku. Nitaimba live ngoma mbalimbali na kukaribisha mawazo kutoka kwenu.pia kwร  watakaopenda kuja na mabeat makali njooni nayo. Good morning ๐ŸŒ„
Tweet media one
10
23
52
@abogaa_
Abogaa
6 months
Kama vipi tumchangie jamaa aliyetapeliwa laki 6 au mnasemaje waungwana?๐Ÿ˜“
6
15
50
@abogaa_
Abogaa
9 months
Ukishindwa kumuoa yule uliyemharibu, basi utamuoa yule aliyeharibiwa na wengine โœ๏ธโœ๏ธ
9
27
48
@abogaa_
Abogaa
4 months
Ni baraka sana Ukiwa na Marafiki Ambao Wanakusogezea Mchongo Bila Kuionea tamaa pesa utakayopata๐Ÿซก.
7
21
48
@abogaa_
Abogaa
8 months
CHOCHOTE KILICHOPOTEA KWENYE MAISHA YANGU HAKIKUSTAHILI KUWA CHANGU ๐Ÿ™.
14
29
48
@abogaa_
Abogaa
9 months
Hakuna furaha kubwa kwenye maisha kama kuona wazazi wako wananufaika na hustle zako. Good morning
14
29
45
@abogaa_
Abogaa
6 months
Mboga gani nzuri ya kumpigia mgeni aliyekuja bila taarifa nataka nimkomeshe?๐Ÿค”๐Ÿค”
10
17
47
@abogaa_
Abogaa
5 months
Mungu hawezi kukupa majaribu bila ufumbuzi kuwa mvumilivu na mwenye Imani๐Ÿ™.Good morning fam
9
20
46
@abogaa_
Abogaa
5 months
"Dhumuni la mahusiano ni kuongeza furaha,amani na maendeleo katika maisha.Ukiona uko na mtu unakosa furaha basi tambua hauko sehemu iliyo bora".
9
26
47
@abogaa_
Abogaa
6 months
Huna sababu ya kuwa na wivu kwenye maendeleo ya mtu,fanyร  Kazi kwร  juhudi Ili wewe uwe sababu ya kuonewa wivu kwร  mafanikio yakรณ๐Ÿ™.
9
31
47
@abogaa_
Abogaa
4 months
Justin Bieber. ?????
Tweet media one
Tweet media two
8
4
41
@abogaa_
Abogaa
13 days
Sio kila mwanamke unayemuona ni Wakumchezea, Wengine wamejaa Baraka zako Bro.๐Ÿ“Œ
8
30
47
@abogaa_
Abogaa
6 months
"Wanadamu wakishindwa kukutumia kama walivyotegemea basi hugeuzwa kuwa adui hakikisha usiyumbe "
2
28
46
@abogaa_
Abogaa
7 months
"It takes courage to grow up and become who you really are." GOOD MORNING FAM
10
32
45
@abogaa_
Abogaa
10 months
Namba ngapi hapo huwezi kuchachua ikikupa?๐Ÿ˜Ž
Tweet media one
26
6
43
@abogaa_
Abogaa
7 months
Ukitaka wakupe heshima waoneshe kuwa unaweza kuishi bila ya kuwategemea๐Ÿ“Œ.
6
33
44
@abogaa_
Abogaa
2 months
Nyimbo nilizoziandika kwenye industry ya bongo flavour 1. KAYUMBA. MAMA
Tweet media one
Tweet media two
12
29
45
@abogaa_
Abogaa
6 months
Siku moja utaolewa na utaacha kuingia X online usiku, sema tawile๐Ÿ˜‚
11
20
43
@abogaa_
Abogaa
5 months
Tuishi kwa upendo na ridhiki huwa haifuatwi bali unajaaliwa๐Ÿ™.
8
29
45
@abogaa_
Abogaa
7 months
Ni biashara gani poa ya kuanza karibu na barabara ?
6
17
46
@abogaa_
Abogaa
6 months
Unaona hivyo unavyojisikia wakati umefunga, hivyo ndivyo wanachuo hujisikia kilร  siku๐Ÿ˜‚
5
10
46
@abogaa_
Abogaa
8 months
Umeamka leo umeweza kutoka kitandani hata kama unaona elimu yako haijakupa pesa bado mwambie Mungu asante๐Ÿ™
13
32
41
@abogaa_
Abogaa
6 months
Kama hutak ku retweet pinned post za watu humu twitter asubuhi asubuhi umekuja kufanya nini humu ? ๐Ÿ˜‚ Sambaza upendo rt pinned zote humu
Tweet media one
4
18
45
@abogaa_
Abogaa
7 months
Nataka kutia verses zngu kwenye hii beatโœ๏ธ
Tweet media one
9
20
43
@abogaa_
Abogaa
6 months
Vyuo vyenye pisi kali Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 1. UDOM(Harvard of Africa) 2. UDSM 3. TIA 4. MUST 5. SUA๐Ÿ˜Ž 6. MUHASI 7. BUGANDO 9. 15. IFM
26
18
45
@abogaa_
Abogaa
9 months
Naanzaje Ili nichukue number yake? Nasoma comments ๐Ÿ‘€
Tweet media one
24
3
43