MAKOSA YA SIMBA DHIDI YA AL AHLI TRIPOL
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Wakuu nimefanya review na kuona kuna makosa kiasi yamefanyika kwa upande wa simba ndani ya mechi hii amin sasa tushuke nayo ๐
MAKOSA YA NONO KATIKA AJALI YAKE
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Wakuu nimekaa nikafanya review ya hili kuna makosa huyu binti kayafanya aisee na watu wameshindwa kulifaham hilo sasa tushuke nayo wakuu
MAKOSA YA "HAKUNA MATATA"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
unajua makosa gani yaliyopelekea nyimbo hii kushuka baada ya kutrend masaa machache nimefanya review hii hapa
@MoviesAndchills
Best 20 ๐๐ฅถmovies for adult only
1. Fifty Shades of Grey (2015)
2. Shame (2011
3. Preachers daughter
4. Night Bird
5.The Piano Teacher (2001)
6. The pirate (2005)
7. Foursome (2024)
8. Call me Alma (2024)
9.The Dreamers (2003)
10. Footage (2024)
11. Vatas (2024)
12. Anyone but
MAKOSA YA "ABIGAIL CHAMS ~NYASH"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Leo nimeamka na kuangazia pande hizi za huyu slay queen nimechoka aisee๐ฅฒ wimbo unamakosa kinoma shuka nayo ...
MAKOSA YA MRS.JOKER(MARTHA) NA SABABU YA KUTREND
๐ป๐๐๐๐๐ ๐๐งต
Wakuu nimefanya review na kuja kuliweka sawa hii inshu ya sitomfaham iliyozuka juu ya host mia martha sasa tushuke nayo taratibu๐
@neohistoria_id
Ayolah bersatu, ga peduli kalian wibu, kpopers, memek hunter, tukang colong foto orang, tukang adu domba, fans mu, fans chelsea, fans Messi, fans my goat ori Ronaldo, ini masalah dam perjuangan kita bersama
MAKOSA YA OTTAWA KATIKA AJALI YA NONO
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Wakuu nmekaaa nikafanya review ya huyu jamaa kuna duku duku kubwa kuwa jamaa kawapanga na yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kufika kwenye tukio.... sasa tushuke nayo wazee๐
2.hapa Derulo na diamond kama uliangalia kwa umakini walipishana mikono na hii ilitokana na mbwembwe za diamond mwenyew pia derulo kuangalia camera sana
3.hiki kipande Jason Derulo aliingiza mistar sio kama ulisikia vzur alisema "fuck in the car ๐ค" sasa inahusiana nini na hii nyimbo amini nawapanga alijisahau
1.chley hapa aliyehusika na color alishindwa balance vizur pia make-up haikukolea ndio maan tukapata sura halisi ya huyu dada kama ukiangalia kwa umakini
6.Dakika za jion watu wakaamua kufukunyua madudu mseala chura ameinyaka kutoka kwa huyu dada victoria nyinda kamwaga kinaga ubaga jisomee uone mwenyewe
1.Huyu dem sawa kapata ajal ila hakuweza kutuambia na kutuonyesha pf3 ambayo lazima mtu yoyote aliyepata ajal hawez pata matibabu bila ya kuwa na hyo sawa basi ni haraka muda aliopost picha hizi mbili ni mmoja so hakuonyesha hata interval ya mda ....dem ameyumba kinoma๐ค๐ฎ
4.Hii edit ya kitoto sana haikuwa na lazima wa kuweka animation ya mnara hapa kwan iliharibu uhalisia wa kipande hiki aisee so director na yeye alianza leta shida
Part 2:MAKOSA YA NONO KATIKA AJALI YAKE
kutokana na mzozo uliojaa ndani ya space hii nikabaini makosa mengine ambayo sikuyahadisia wala kuyagusia sasa tushuke nayo wakuu๐
7.Hizi ni ajali mbili zilizotokea kwa wakati mmoja na ajali zote ni za fumanizi poleni sana nyie watu wenye mioyo miepesi sana ......aisee X ni kukaa kwa akili๐คฆโโ๏ธ
2.Hii picha aliipost julip na ndio mtu wa kwanza kutoa taarifa ya huyu binti kuwa amepata ajali na ndio mtu alitoa taarifa ya kurlekea hospital ila maajabu mpk leo hatukuona yy yupo na mgonjwa badala yake alitaka kuaminisha umati wa watu tu humu amini nawapanga hii jau ๐ค๐ฎ
3.Huu nilikuja amini mchezo ni baada ya Esir kuwa na maswali mengi kuhusu malipo ya huyu dem huyu jamaa Trojan aliamua kurudisha muamala wake na kumbuka wakati huo ilizuka namba ina jina la kiume amini huu ni dhamiri ni mpango ulipangwa
MAKOSA YA "HARMONIZE~SIJALEWA"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Baada ya miezi kadhaa kuachia hili goma lenye muundo wa piano ,nimefanya review nikaona kuna madudu hayo hatareee๐คฏ amini nawapanga mmakonde kazingua sasa shuka nayo .......๐
MAKOSA YA JULIP KWENYE AJALI YA NONO NA SAKATA LA MARTHA
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Leo nmefanya review ya hili sakata na huyu mwamba wa anonymous na weng wamejiuliza je n part gan na makosa gan aliyo yafanya mbona kama yupo sahihi na vp kuhusu connection??? ,sasa tushuke nayo ujionee ๐
5.Wakuu kumbe dili lili sanuka kuna mwana alimpanga datius kuhusu mchongo mzima ulivyoenda na hata ww ukiangalia mtu unaweza pata ajali usichubuke uso uvimbe upande mmoja alaf upande mwingine ukae sawa huyu dem kazingua aisee ..amini nawapanga ๐ค๐ฎ
MAKOSA YA "JASON DERULO~KOMASAVA REMIX"๐ค๐คฏ
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Baada ya kutoa ngoma nyingi ikiwemo iliyomleta mjini "wiggle" aliyomshirikisha snoop dogg na nyingne nying kama Acapulco,Take you dancing,goodbye na nyingne nying,Lakin hii remix ya komasava kayatimba kinoma
Tushuke nayo
Jana aliniaga anaenda kulala kwa dada yake leo karud siku nzima amelala nmeshika simu yake nakuta hizi text
Nifanye nini wakuuu nisaidieni ๐ญ๐คฆโโ๏ธ
Naongea nikiwa na evidence ukinijia kichwa kichwa njoo na evidence zako dem ameyumba amini nawapanga na siku zote wajinga ndio waliwao
Naitwa
@_itsmalume
@_itsmalume
MAKOSA YA "COUNTRY WIZZY~JUDIANA"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Hii nimefanya review ya video ya huu wimbo mkali kazingua sehem nyingi sana sasa shuka nayo ,,Hakuna kuchoka
3.nyimbo inavyoanza gari limeharibika baadae unakuja kuliweka katika location tena sasa director alichukua kipande cha kati akakiweka mwanzo na cha mwanzo akaweka kati
MAKOSA YA "HARMONIZE~UJANA"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Nimeamua kufanya review ya hii nyimbo ambayo ina masaa 15 mpaka sasa huko mjini youtube ,nimeona baadhi ya makosa aisee ๐ฎโ๐จ sasa tushuke nayo ๐
MAKOSA YA "ZUCHU~SIJI"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Leo nimeamka na mke wa almasi haiwezekani afanye sumu juu ya madem huku kwenye video ya hii nyimbo katuwekea madudu kinoma shuka nayo .....๐
MAKOSA YA NABI KATIKA MECHI DHIDI YA YANGA
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Nabi ni kocha mweny mafanikio makubwa sana na profile yake ni kubwa lakini leo kaingia mitini amini nawaambia sasa ona makosa yake shuka nayo ๐
5.kweny hii location michoro ya masomo haikutakiwa sasa "civics" inaingilianaje na hii nyimbo aisee mbona bongo hatujui fananisha .amini nawapanga huu ni creation ya kitoto ๐ฎ
@panelaquedanca
Ninguรฉm obriga ninguรฉm a nada. Se as pessoas descobrem sรณ na hora do check-in รฉ porque nรฃo se deram ao trabalho de ler a passagem que tava comprando porque sempre avisam quem tรก operando o vรดo.
2.Marioo na jua lote hilo unavaa groves sasa hata kama ubishoo uko mbali umekuwa kama mngoni sema designer na yeye aliyumba, umevaa saa ya ice na bracelet acha vionekane designer ameyumba nakupanga ๐ฎ
@moviecentrale
Top 18+ Movies to Watch ๐ฌ๐ฅ
1. Basic Instinct
2. Eyes Wide Shut
3. Fifty Shades of Grey
4. Blue Is the Warmest Color
5. American Psycho
6. Black Swan
7. The Wolf of Wall Street
8. Nymphomaniac
9. Call Me by Your Name
10. Gone Girl
6.Director akutuonyesha wamasai lengo lao ni nini wamezuka tu sasa kama hapa hata wamasai wenyewe walifanya kitu bila kujua ila hii idea haikuwa sawa amini nawaambia ๐ฎ
Sasa unakuta watu ni weusi na bado watakimbizana kununua jezi nyeusi kiukwel hizi jezi zipo katika standard ya kawaida mno๐ค amini nawapanga bora uvae jezi ya jkt tanzania
1.Baada ya kurusha space iliyobeba masaa mengi na kuweka watu takriban 1.5k kuhusu tukio la yule slay block nono huyu martha alisahau kuwa saut watu wamerecall na kuna huyu mwamba alijia na kutafiti host na tabia yake alisema hiv ๐ na kitu hicho host alisahau kuweka akiba amini
MAKOSA YA "SIKU YA WANANCHI"
๐ป๐๐๐๐๐ ๐งต
Nimeangalia tokea wanaanza ufunguzi mpaka mwisho kuna vitu makosa mengi yametokea sana amin nawapanga wamezingua ๐ฎ