UNI-AID AFRICA Profile Banner
UNI-AID AFRICA Profile
UNI-AID AFRICA

@UNIAIDAFRICA

2,477
Followers
102
Following
249
Media
636
Statuses

Since 2017, We have been assisting Tanzania Students to study in top ranked universities around the world in countries like the US, UK, Canada & India

Dar es salaam, Tanzania
Joined June 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
90% ya watanzania hawana information sahihi kuhusu vyuo vikuu nje ya nchi, fursa zilizopo pamoja na gharama husika. Pia 10% iliyobaki wenye taarifa sahihi, 8% hawana uwezo wa kusoma vyuo vikuu nje ya nchi. Pia 2% iliyobaki, 1% wanaona kusoma vyuo vikuu nje ya nchi ni anasa 1%
Tweet media one
15
38
355
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
13 days
Je, umewahi kufikiria kusoma na kufanya kazi nje ya nchi kwa wakati mmoja? Kwa miaka mingi, Canada, Marekani, Uingereza, na nchi kubwa za Ulaya zimekuwa zikionekana kama maeneo bora ya kusoma nje ya nchi. Lakini vipi nikikuambia kuna chaguo bora zaidi? Hivi karibuni, kuna
Tweet media one
18
65
2K
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Watu 12 maarufu Tanzania Na kozi walizosoma Bachelor degree Cheki kama kuna aliyesoma kozi yako Thread, Please RT 1. Salim Kikeke - Journalist and News Anchor Bachelor's degree in Journalism and Mass Communication from University of Dar es Salaam.
Tweet media one
73
47
1K
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Je, umemaliza Bachelor in Engineering? Zifuatazo ni Masters in Engineering 10 ambazo unaweza kwenda kusoma abroad Ipi Kati ya hizi unaona ina ushindani katika soko la ajira? Thread 1. Masters in Genetic Engineering 2. Masters in Software Engineering 3. Masters in Power
Tweet media one
13
34
487
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Study in India Masters in Medical Lab Technology Masters in Radio Imaging Technology Masters in Clinical Embryology Masters in Optometry 3500 USD per year All inclusive Study abroad with @UNIAIDAFRICA
Tweet media one
4
25
440
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
16 days
Sababu 4 kwanini degree ya Kwanza ukasome India na sio nchi nyingine Watanzania wengi wana Imani potofu kuhusu India kama moja wapo ya study abroad destination @UNIAIDAFRICA tupo hapa kuwatoa hofu hiyo na zifuatazo ni sababu 4 kwanini India is the best country to study abroad
Tweet media one
7
23
441
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Ombi lenu limefanyiwa kazi Top 10 ya matajiri Tanzania Na kozi walizosoma Bachelor degree Wengine ni marehemu Thread, Please RT 1. Mohammed Dewji Utajiri: Biashara na viwanda (MeTL Group) Shahada ya Kwanza: International Business and Finance (Georgetown University)
Tweet media one
29
27
340
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
18 days
Karibu @UNIAIDAFRICA mawakala bora wa vyuo vikuu nje ya nchi Budget ya Tsh 8M tu kwa mwaka inatosha kusoma kozi ya ndoto zako vyuo vikuu nje ya nchi Fika ofisini kwetu 6th floor, Mwanga Tower, DSM au piga 0742109191 #kilamtuapatechuo #uniaidafrica
Tweet media one
3
24
321
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Je, umehitimu form 6 au diploma Mwaka Jana 2023? Je, hujafanikiwa kujiunga na chuo kikuu mwaka Jana 2023? Je, upo chuo na unasoma kozi isiyokuwa ya ndoto yako au isiyo marketable na unajua kabisa unapoteza muda? Karibu @UNIAIDAFRICA tunakusaidia kupata vyuo vikuu nje ya nchi
Tweet media one
2
23
316
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
16 days
Study in Middlesex University, Dubai Study in University of Manitoba, Canada Study in Arden University, Germany Study in BSBI University, Germany Study in University of Manitoba, Canada Study in C3S Business School, Spain Study in Coventry University, UK Study in Jain
Tweet media one
2
26
314
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
18 days
Je, ulikuwa unajua @UNIAIDAFRICA Ndio taasisi pekee Tanzania Inayoweza kukupatia Scholarship ya asimilia 30 Kusoma Middlesex University, Dubai Wanafunzi wetu wote Wanapata 30% scholarship Kusoma kozi zaidi ya 200 Fika ofisini kwetu 6th floor Mwanga Tower au piga 0742109191
Tweet media one
8
16
293
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
16 days
Kipima Joto Unamshauri nini mwanafunzi aliyehitimu form 4? A. Asijaribu kwenda A level, akasome tu Diploma B. Aende A level asije kosa mkopo chuo C. Inategemea na kozi, kama ni arts na biashara aende A level, kama ni afya na engineering aende diploma D. Aangalie tu mwenyewe
Tweet media one
6
13
285
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Turudishie tshirt yetu kaka Mbona umeifanyia hivyo Umepitwa mpaka na Masele
Tweet media one
@julip202
Julip20
1 month
Easy Thursday. My sense of self awareness in terms of fashion is undeniably flawless. I can't think of a better outfit to kick start my day. Call it what ever you want but I'll call it dripping ✍️✅
Tweet media one
Tweet media two
236
47
684
56
32
275
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
22 days
Mzee Chilo anawakaribisha @UNIAIDAFRICA mawakala bora wa vyuo vikuu nje ya nchi Anakuambia budget ya Tsh 8M tu kwa mwaka inatosha kusoma kozi ya ndoto zako vyuo vikuu nje ya nchi Fika ofisini kwetu 5th floor, Mwanga Tower, DSM au piga 0742109191
4
21
236
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
4. Sugu (Joseph Mbilinyi) - Musician and Politician Education: Bachelor's degree in Law from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
12
3
223
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
3. Maria Sarungi Tsehai - Media Personality and Activist Education: Bachelor's degree in Mass Communication from St. Augustine University of Tanzania.
Tweet media one
3
3
218
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
KIPIMA JOTO Kulinganisha na soko la ajira Ushindani pamoja na upatikanaji Muhitimu wa Bachelor degree Anashauriwa A. Ajiendeleze Masters mara moja B. Atafute mtaji afungue biashara C. Ajishikize sehemu hata bure ili apate uzoefu D. Asubiri ajira za mama
Tweet media one
12
19
216
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
2. Joseph Kusaga - Media Entrepreneur Education: Bachelor's degree in Marketing from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
1
3
206
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
23 days
Sunday Challenge Comment chochote kwenye post hii Comment yako isipopata Like yoyote mpaka saa 4 usiku Utazawadiwa *Tsh 10,000 na T shirt ya UNI-AID AFRICA* Vigezo na masharti 1. Uwe umetufollow @UNIAIDAFRICA 2. Uwe umeretweet post hii 3. Mwisho wa kucomment saa 3 usiku
Tweet media one
149
76
198
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
5. Zitto Kabwe - Opposition Leader and Politician Education: Bachelor's degree in Economics from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
2
2
188
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
23 days
Simba anakufa ngapi leo? Tabiri mechi ya Leo Kati ya Simba SC na Tabora United Uweze kushinda 10k for correct score 2K kwa wafungaji sahihi Vigezo na masharti 1. Huruhusiwi kutabiri zaidi ya Mara 1 2. Uwe umetufollow @UNIAIDAFRICA kabla ya utabiri 3. Mshindi ni mmoja tu 4.
Tweet media one
67
50
188
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
21 days
Full Funded Scholarship Masters in Nursing in 1. Community Health Nursing 2. Obstetrics & Gynaecology 3. Child Health Nursing 4. Medical Surgical Nursing 5. Psychiatric Apply on the link below: @UNIAIDAFRICA #kilamtuapatechuo #uniaidafrica
Tweet media one
5
24
175
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
12. Idris Sultan - Comedian and Actor Education: Bachelor's degree in Journalism and Mass Communication from St. Augustine University of Tanzania.
Tweet media one
6
4
172
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Wadau wameomba ya matajiri wa Afrika OKAY Top 10 ya matajiri Afrika Na Kozi walizosoma Bachelor degree Cheki kama kuna aliyesoma kozi yako 1. Aliko Dangote (Nigeria) Utajiri: Biashara za bidhaa za viwandani Shahada ya Kwanza: Business Administration (Al hazar Uni in Egypt)
Tweet media one
21
22
170
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
18 days
Study Aerospace Engineering abroad 3000 usd only including tuition fee, accommodation, food and ticket Karibu ofisini 6th floor, Mwanga tower. Dar es salaam au piga 0742109191 Study abroad with @UNIAIDAFRICA #uniaidafrica #kilamtuapatechuo
2
9
169
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
22 days
Ukiingia tu ofisini kwetu Unakutana na budget za kusoma vyuo vikuu nje ya nchi Kwa hizi budget hapo ukutani Unajiona ukisoma nchi gani abroad? Please share watu wazijue Study abroad with @UNIAIDAFRICA #kilamtuapatechuo #uniaidafrica
Tweet media one
8
30
168
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
Sunday Challenge Comment chochote kwenye post hii Comment yako isipopata Like yoyote mpaka saa 4 usiku ya Leo Utazawadiwa na @UNIAIDAFRICA 1. Tsh 15,000 fedha taslimu 2. T shirt ya UNI-AID AFRICA Video na masharti 1. Uwe umefollow akaunt yetu ya @UNIAIDAFRICA
Tweet media one
265
29
166
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
6. Dr. Tulia Ackson - Member of Parliament and Politician Education: Bachelor's degree in Political Science and Public Administration from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
13
2
158
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
8. Mkubwa Fella - Entertainment Mogul and Entrepreneur Education: Bachelor's degree in Music and Performing Arts from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
8
1
156
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Kama umeshawahi kupoteza hela kwenye forex, ni muda sasa ukaongeze elimu kwa kusoma Bachelor in Forex Management Thread, maelezo inahusu nini na ajira zake. Sio lazima uwe trader unaweza pata kazi hata kwenye mabenki Bachelor in Forex Management ni nini? Bachelor in Forex
Tweet media one
22
27
152
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
7. Salma Kikwete - Former First Lady of Tanzania Education: Bachelor's degree in Community Development from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
4
1
148
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
11. Millard Ayo - Media Personality and Blogger Education: Bachelor's degree in Journalism from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
8
1
145
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
9. Carol Ndosi - Activist and Entrepreneur Education: Bachelor's degree in Business Administration from the University of Dar es Salaam.
Tweet media one
2
1
125
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
10. Faraja Nyalandu - Social Entrepreneur and Philanthropist Education: Bachelor's degree in Journalism from St. Augustine University of Tanzania.
Tweet media one
3
1
120
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
July photo dumps Thread, let's have it
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
20
114
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Kozi 5 ambazo bora usome TZ kuliko kusoma nje ya nchi na kupoteza hela No 1 itakushangaza Thread. Please share 5. Diploma in Clinical Medicine Hii ni bora usome TZ tu, ujitahidi ufaulu vzr maana kwa nchi nyingi hawaitambui kasoro India kuna vyuo 3 tu vinatoa hii Diploma
Tweet media one
9
12
111
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
23 days
Tabiri ushinde Tabiri mechi ya Leo Kati ya Azam FC vs APR FC Uweze kushinda 10k for correct score 2K kwa wafungaji sahihi Vigezo na masharti 1. Huruhusiwi kutabiri zaidi ya Mara 1 2. Uwe umetufollow @UNIAIDAFRICA kabla ya utabiri 3. Washindi ni watatu tu 4. Tabiri kabla
Tweet media one
75
28
104
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
A. Or. B
Tweet media one
Tweet media two
12
19
105
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Top 10 ya matajiri duniani na kozi walizosoma vyuo vikuu Cheki kama kuna aliyesoma kozi kama uliyosoma wewe Thread, Please RT 1. Bernard Arnault Utajiri: $211 bilioni Elimu: Alisoma Uhandisi (Engineering) katika École Polytechnique.
Tweet media one
23
16
93
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
23 days
Chelsea anakufa ngapi leo? Tabiri ushinde Tabiri mechi ya Leo Kati ya Chelsea vs Man City Uweze kushinda 10k for correct score 2K kwa wafungaji sahihi Vigezo na masharti 1. Retweet post hii ya utabiri 2. Huruhusiwi kutabiri zaidi ya Mara 1 3. Uwe umetufollow @UNIAIDAFRICA
Tweet media one
52
38
93
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Watu mashuhuri duniani Waliosoma University of Dar es salaam (UDSM) Namba 10 itakushangaza Inaletwa kwenu na @UNIAIDAFRICA Wataalamu wa vyuo vikuu nje ya nchi 1. Yoweri Museven President of Uganda Bachelor in Political Science
Tweet media one
1
6
89
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
24 days
Tabiri ushinde Tabiri mechi ya Leo Kati ya Yanga na Vital'O FC Uweze kushinda 10k for correct score 2K kwa wafungaji sahihi Vigezo na masharti 1. Huruhusiwi kutabiri zaidi ya Mara 1 2. Uwe umetufollow @UNIAIDAFRICA kabla ya utabiri 3. Washindi ni watatu tu 4. Tabiri kabla
Tweet media one
49
16
79
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
2. Said Salim Bakhresa Utajiri: Sekta ya chakula, usafirishaji na viwanda (Bakhresa Group) Shahada ya Kwanza: Hakuna taarifa za elimu ya shahada ya kwanza
Tweet media one
2
1
76
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
7. Michael Ngaleku Shirima (marehemu) Utajiri: Usafiri wa anga (Precision Air) Shahada ya Kwanza: Aircraft performance engineer, from the Aviation College, Perth, Scotland
Tweet media one
1
2
74
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
CEO wa @UNIAIDAFRICA Mr Cypriano Kasase kulia, Anaahidi watanzania yafuatayo 1. Kozi bora zenye market Tanzania na nje ya Tanzania Mf Petroleum Engineering, Dialysis Technology, Cyber security, Artificial Intelligence nk. 2. Vyuo vyenye viwango bora duniani kwa gharama nafuu
Tweet media one
7
15
73
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
5. Ali Mufuruki (Marehemu) Utajiri: Biashara na uwekezaji (Infotech Investment Group) Shahada ya Kwanza: Mechanical Engineering Design (Reutlingen University, Germany)
Tweet media one
1
1
69
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Uzi gani mkali A. Or. B
Tweet media one
Tweet media two
9
9
69
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
4. Reginald Mengi (Marehemu) Utajiri: Vyombo vya habari na viwanda (IPP Group) Shahada ya Kwanza: Accounting (University of Strathclyde, Scotland)
Tweet media one
1
1
66
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Watu maarufu/ mashuhuri waliokipiga Mzumbe University No 1. Atakushangaza Itoshe kusema Mzumbe ina Alumni wakali inakimbizana na UDSM 1. Nape Nnauye Former Minister of ICT Masters in Public Administration Source: Wikipedia
Tweet media one
7
8
61
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Wawakilishi wa chuo wamefika nyie hamjaja, kwenye betting inaitwaje hii?
Tweet media one
4
13
62
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
6. Gulam Dewji Utajiri: Biashara na viwanda (MeTL Group) Shahada ya Kwanza: Business Administration (University of Western Ontario, Canada)
Tweet media one
1
1
59
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
Tabiri ushinde Tabiri mechi ya Leo Kati ya Yanga na Azam Uweze kushinda 10k for correct score 2K kwa wafungaji sahihi Vigezo na masharti 1. Huruhusiwi kutabiri zaidi ya Mara 1 2. Uwe umetufollow @UNIAIDAFRICA kabla ya utabiri 3. Washindi ni watatu tu 4. Tabiri kabla mechi
Tweet media one
67
16
58
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Mwaka 2022, baada ya kuhitimu mchepuo wa PCB katika shule ya sekondari singe iliyopo babati mkoani manyara, Aloyce Mollel (pichani) alihangaika sana kutafuta chuo cha afya nchini kwani mwaka huo wanafunzi wengi walifaulu hivyo kufanya competition kuwa kubwa sana. Vyuo vingi vya
Tweet media one
Tweet media two
7
12
54
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Umeshawahi kusikia kozi inaitwa "Masters in Clinical Embryology" Masters in Clinical Embryology ni programu ya uzamili inayojikita katika utafiti na matibabu ya masuala yanayohusiana na uzazi na ukuaji wa viini tete (embryos). Programu hii inawapa wanafunzi ujuzi na maarifa
Tweet media one
3
16
54
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
3. Rostam Aziz Utajiri: Mawasiliano, madini na kilimo (Vodacom Tanzania, Caspian Mining) Shahada ya Kwanza: Bachelor degree in Economics, Exeter University UK
Tweet media one
3
1
50
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Otea huyo Dada anaenda nchi gani ujishindie kitita cha elfu 7 ya chap Study abroad with @UNIAIDAFRICA
Tweet media one
20
6
47
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Kusoma kozi ya Bachelor in Nutririon Ni kama kubet tu, kuna mawili Mkeka utiki upate kazi Mkeka usitiki uishie mtaani Zifuatazo ni kazi unazoweza fanya Ukishahitimu na mkeka kutiki Please RT graduate wazione 1. Clinical Dietitian/Nutritionist | Mtaalamu wa Lishe wa Kliniki:
Tweet media one
3
6
47
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
9. Subhash Patel (marehemu) Utajiri: Ujenzi na mali isiyohamishika (Super Group) Shahada ya Kwanza: B. Tech. degree in electrical engineering from Loughborough University, Loughborough, England, in 1968, and the M. Tech. degree in electronic engineering from Brunel University.
Tweet media one
1
1
47
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
21 days
Hii tweet ni kwale wanafunzi Waliohitimu form 6 na Diploma Mwaka huu 2024 Wanaotokea Familia duni Na hawajioni kabisa Wakipata mkopo chuo kikuu @UNIAIDAFRICA inawaletea Online Bachelors degree From Jain University, Bangalore Kozi zinazotolewa Online ni pamoja na 1. Bachelor
Tweet media one
5
17
46
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
10. Yusuf Manji (marehemu) Utajiri: Ujenzi na mali isiyohamishika (Quality Group Limited) Shahada ya Kwanza: Business Administration (Florida International University)
Tweet media one
1
1
47
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Kozi 10 kali za afya ukiachana na MD, DDS na Pharmacy ambazo madaktari wanaona aibu kukuambia 1. Bachelor in Optometry Haipo Tanzania, Diploma yake ipo Bugando na Mvumi 2. Bachelor in Physiotherapy 3. Bachelor in Medical Lab Technology 4. Bachelor in Radiology Nasikia ipo
Tweet media one
12
20
41
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Kozi 17 ambazo zina fursa ndogo sana ya ajira kwa kingereza tunasema low employability rate Usijiloge kusoma hizi kozi Unless you have something extra (Extra skills) Utaishia mtaani No 4 itakushangaza Thread, Please RT 1. Bachelor in Fine Arts 2. Bachelor in Philosophy
Tweet media one
5
15
41
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
2. Hon Asha Rose Migiro Former UN Deputy Secretary General Bachelors of Law & Masters of Law
Tweet media one
1
0
37
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
8. Fida Hussein Utajiri: Viwanda vya mafuta ya kula na sukari (Fida Hussein and Sons Group) Shahada ya Kwanza: Hakuna taarifa za elimu ya shahada ya kwanza
Tweet media one
1
1
37
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Kaka @MfalmewaX Tunakufikia vipi Uubless uzi wa @UNIAIDAFRICA
Tweet media one
1
8
36
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
3. Prof Mussa Assad Former CAG of Tanzania Bachelor of Commerce
Tweet media one
1
0
34
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
6. Dr Mwigulu Nchemba Minister of Finance Bachelor, Masters & PhD in Economics
Tweet media one
1
0
34
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
5. Bill Gates Utajiri: $134 bilioni Elimu: Aliacha masomo katika Chuo Kikuu cha Harvard ambako alikuwa anasomea sheria lakini akabadilika kwenda hisabati na sayansi ya kompyuta.
Tweet media one
1
1
31
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
4. Burton Mwemba (Mwijaku) Influencer and Media Personality Bachelor in Heritage Management
Tweet media one
1
0
34
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
Je, ulikuwa unajua? MBA, ambayo ni kifupi cha Masters in Business Administration, ina specialization zaidi ya 10 Wengi wetu tumezoea 1. MBA in Banking & Finance 2. MBA in Marketing 3. MBA in International Business MBA zingine ambazo zipo vizuri katika soko la ajira ni hizi
Tweet media one
9
14
34
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
Juzi Ijumaa Kuna mzazi alikuja ofisini Anataka kumpeleka mtoto wake Akasome nje ya nchi Wakati naongea naye nikamshauri Mtoto wake akasomee kozi inaitwa "BACHELOR OF COMMERCE" Maana mtoto wake alikuwa Amehitimu combination ya HGE Akasema Hapana Mtoto wangu hawezi kusoma Kozi
Tweet media one
8
19
32
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
5. Prof Issa Shivji Expert in Law and Development Studies PhD In Law
Tweet media one
1
0
31
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
22 days
"Ijue Masters in Virology and Immunology pamoja na Ajira Zake" Kusoma Masters in Virology and Immunology kunakupa ujuzi wa kitaalamu katika kujifunza virusi na mfumo wa kinga ya mwili. Hizi hapa ni ajira 10 ambazo unaweza kuzifanya ukiwa na shahada hii: 1. Virologist - Mtaalamu
Tweet media one
4
12
32
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Hapa kuna mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapotaka kusoma vyuo vikuu nje ya nchi: 1. Uchaguzi wa Chuo Kikuu: - Chagua chuo kikuu kinachotambulika kimataifa na kinachotoa kozi unayopenda kusoma. 2. Gharama za Masomo: - Tafiti na ufahamu gharama zote zinazohusiana na masomo,
Tweet media one
5
15
31
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
22 days
Je, umemaliza form 6 mwaka huu? Je, unataka kuokoa tasnia ya filamu hapa nchini? Nakushauri usome Bachelor in Animation, VFX and Gaming Design Hii kozi ni nzuri Sana na haipo Tanzania so opportunity yake ni kubwa Kwa maelezo zaidi: 0742109191 Au fika ofisini kwetu 6th floor,
Tweet media one
4
18
31
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Kama hutujafollow Huu ndo muda Sasa Weekend hii Update za scholarship kedemkede Zitakujia live kupitia Kurasa zetu za Twitter(x) @UNIAIDAFRICA @UNIAIDAFRICA Na wengine wengi Influencer gani ungepende kumuona ndani ya uzi wa @UNIAIDAFRICA Mtag kesho uzi umefikie mapema
Tweet media one
15
14
31
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Mwaka 2019, @uniaidafrica tulimsaidia Vedasto Ishengoma pichani kusoma Bachelor in Cardiovascular Technology chuo cha Galgotias kilichopo nchini India. Pichani akiwa Agakhan Hospital, Dar es salaam kwa ajili ya internship ambapo aliweza kuapply kwa vitendo vitu vingi
Tweet media one
9
13
30
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
16 days
A. Or. B
Tweet media one
Tweet media two
6
8
30
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Ukitaka kujua Dubai kuna hela HR wa kawaida anakula 3M kwa mwezi Hata kama living expenses ni 2M kwa mwezi bado unaweza save 1M ukatuma nyumbani au yakufanyia maendeleo Soma hii ujue ukweli kuhusu Dubai
Tweet media one
8
13
29
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
3. Nicky Oppenheimer (South Africa) Utajiri: Madini ya almasi (De Beers) Shahada ya Kwanza: Philosophy, Politics and Economics (PPE) (Oxford University)
Tweet media one
2
1
27
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Recruiting Recruiting Front Office Intern Tall white girl Diploma or Bachelor Degree Full time & to start immediate Lunch & Nauli provided Send CV at Uniaidafrica @gmail .com Study abroad with @UNIAIDAFRICA Hapa ndo atakapokuwa anakaa 👇
Tweet media one
2
7
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
10. John Garang Former President of Sudan Masters in Agriculture Economics
Tweet media one
3
0
28
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
KIPIMA JOTO Kozi gani ya afya inaopportunity ya kukunja mpunga mrefu after graduation? A. Bachelor in Medicine B. Bachelor in Pharmacy C. Bachelor in Nursing D. Bachelor in Optometry E. Bachelor in Biomedical Engineering
Tweet media one
14
12
28
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
Twitter graduates wa SUA Twitter graduates wa Agriculture Umeshawahi kusikia kozi inaitwa 𝗠𝗮𝘀𝘁𝗲𝗿𝘀 𝗦𝗰𝗶𝗲𝗻𝗰𝗲 𝗶𝗻 𝗔𝗴𝗿𝗼𝗲𝗰𝗼𝗹𝗼𝗴𝘆, 𝗪𝗮𝘁𝗲𝗿 𝗮𝗻𝗱 𝗙𝗼𝗼𝗱 𝗦𝗼𝘃𝗲𝗿𝗲𝗶𝗴𝗻𝘁𝘆? Najua hujawahi Click the link below ukasome inahusu nini, ajira zake ni
Tweet media one
4
11
27
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
22 days
Kozi 10 kali za wanafunzi waliohitimu michepuo ya arts kama HKL, HGL na HGK ambazo wengi hawazifahamu Please share ziwafikie wengi 1. Bachelor in Product Design 2. Bachelor in Fashion Design 3. Bachelor in Film Media 4. Bachelor of Journalism and Mass Communication 5. Bachelor
Tweet media one
1
11
27
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
8. Prof Ibrahim Lipumba Chairman of CUF Bachelor in Economics
Tweet media one
1
0
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Vyuo 10 bora Tanzania Pamoja na ranking zao Duniani Source: 4icu website Link: Cheki kama chako kimetoboa No 7 kitakushangaza 1. University of Dar es salaam Founded in 1970 World Rank: 3169
Tweet media one
1
7
27
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
29 days
Abbreviation (Vifupisho) zinazotumika vyuo vikuu ambazo wengi huwa hawazifahamu Share kila mtu azijue, Thread Ongezea ya kwako ambayo haipo BBA - Bachelor in Business Administration MBA - Masters in Business Administration CPA - Certified Public Accountant MSc - Masters of
Tweet media one
2
9
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
7. Prof Rwekaza Mukandala Former Vice Chancellor of UDSM Bachelor in International Relations Masters of Development Management
Tweet media one
3
0
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Top 5 study abroad agencies of all time Mawakala tano bora wa vyuo vikuu nje ya nchi wa muda wote hapa Tanzania No 1 atakushangaza 5. @UNIAIDAFRICA Tumejikita katika unafuu na ubora wa vyuo tunavyopeleka wanafunzi wetu Tuna opportunity nyingi za scholarship na sponsorship
Tweet media one
Tweet media two
6
12
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
23 days
Je, una ndoto za kufanya kazi kwenye NGO kubwa zinazojihusisha na mazingira #climatechange Watu wanavuta hela nzuri sana kwenye mashirika ya kimataifa yanayodeal na mazingira Soma hii uelewe zaidi Study abroad with @UNIAIDAFRICA #kilamtuapatechuo
Tweet media one
6
13
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
KIPIMA JOTO Kwanini wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu nje ya nchi wanapata tabu sana kupata ajira nchini A. Kwa sababu ya utofauti katika mitaala B. Vyuo vingi vya nje havina vigezo C. Nani amesema hayo maneno ya uongo D. Wamesoma nje, wanarudi TZ kufanya nini E. Kozi nyingi
Tweet media one
7
13
26
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
1 month
Chini ya uongozi wangu hapa @UNIAIDAFRICA nitahakikisha tunaongeza ushirikiano (partnerships) na vyuo vikuu nje ya nchi Leo hii nimekutana na Jain University kutoka India. Fursa iliyonivutia kutoka kwao ni Online education ambayo mwanafunzi hatasafiri kuelekea India. Hii ni
Tweet media one
Tweet media two
7
17
24
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
30 days
Kwa miaka mingi sasa Watanzania wamekuwa wakiteseka Kupata chuo chenye ranking nzuri Ili waweze kusoma ONLINE Masters in Business Administration Kwa kutambua hayo CEO wetu Mr Cypriano Kassase Amefanya juu chini kuhakikisha Chuo hicho kimepatikana Last week alipost kwenye page
Tweet media one
6
12
25
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
9. Zitto Kabwe Leader of Opposition party, ACT Bachelor in Economics
Tweet media one
1
0
25
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
4. Johann Rupert (South Africa) Utajiri: Biashara za bidhaa za kifahari (Richemont) Shahada ya Kwanza: Economics and Company Law (Stellenbosch University, lakini aliacha masomo) +Lakini aliacha masomo+
Tweet media one
2
1
24
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
5. Mike Adenuga (Nigeria) Utajiri: Mawasiliano na mafuta (Globacom, Conoil) Shahada ya Kwanza: Business Administration (Northwestern Oklahoma State University)
Tweet media one
2
1
24
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
Nimevaa kama wewe 😍
Tweet media one
@claramogul
CLARA 🖤
2 months
Umevaa nini leo?🤭
Tweet media one
26
32
697
3
4
23
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
2 months
One extra 11. Jokate Mwegelo Secretary General UVCCM Bachelor in Political Science
Tweet media one
2
0
23
@UNIAIDAFRICA
UNI-AID AFRICA
21 days
Jana nimetoka ofisini saa 9 usiku Nikasema nichukue Bolt mpaka home Nabook Online ikaja Tsh 7500 Nikasema sio kesi kwani Muda huo hakuna madaladala Ya kwenda Buza, Gongo la mboto Bolt akafika chap tukaanza safari Njiani tukuwa tunapiga stori Nikamuuliza analala saa ngapi? Maana
Tweet media one
5
11
23