One day I’ll tell you a story of how I convinced a nduthi guy at night that I’m a murderer when he started complaining about the amount I was to pay him😗
Pombe kweli ni kitu mbaya, jana tukiwa sherehe ya graduation, majamaa zao zilishika wakaanza kuita mwenye graduation ati Birthday Girl💀. Sijawahi isha hivyo...na walikuwa serious buana.
Siku umechelewa mahali na upande mat ndiyo ni kama hawa watu wa mat wanakumbuka hawajaweka mafuta na pressure, hawajapita kwa karoa bila license, hawajagonga gari ya mtu...wtf man😂. I'm just trying to reach somewhere fast.
Reason why hatuwezi fanya Hiyo challenge ni comments zitajaa “Huyo number 3,2” sahizo wewe ni wa saba huko. Labda hata hawakumaliza kuwatch video kukuona💀
I can't believe y'all are proud of this...some of these artists were not as privileged as y'all are and they finally got a place to express themselves and get at least something to sustain themselves. Mliua kabla hata iEvolve to something even better....smh
Kuna huyu msee wa hizi tour vans nilichukuwa number yake...kila siku nafeel niko game park bure nikiwatch status zake buana. Premium content pale. Leo kuna python imepiga antelope ngeta ajab🥰
Really grateful to God for another year and how far he’s brought me❤️🙏🏿. Age disclosed, ndiyo nisifunge milango ya any potential millionaire wimminz who want me😙💀