Taifa Leo Profile Banner
Taifa Leo Profile
Taifa Leo

@Taifa_Leo

35,299
Followers
46
Following
65,928
Media
92,621
Statuses

Gazeti la pekee la Kiswahili nchini Kenya. Kwa habari na makala ya kusisimua, jinunulie nakala kila siku kupitia

Nation Centre, Nairobi
Joined November 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Taifa_Leo
Taifa Leo
10 months
Wakenya kutazama Tanzania ikihangaika huko AFCON kupitia KBC bila malipo
Tweet media one
507
728
3K
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
MAHANGAIKO YA AJIRA: Maelfu ya vijana waliofuzu NYS wajazana kambi ya jeshi Embakasi, Nairobi kupigania nafasi 350 za makurutu.
161
666
872
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
MTANIKUMBUKA: 'Utabiri' wa Uhuru umetimia?
Tweet media one
131
129
732
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Taifa Leo Jumamosi
Tweet media one
16
115
494
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 months
Maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha Kisumu.
6
220
351
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
TAHADHARI: Kichwa hiki cha habari kinachoenezwa mitandaoni ni feki. Tunaomba ukipuuze. Tunajitahidi kukabiliana na usambazaji wa habari feki. Vinginevyo, endelea kufurahia uhondo wa habari, makala na taarifa za kuelimisha na kuburudisha za Taifa Leo.
Tweet media one
67
100
272
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Wakuu, tuchanuane, kwani huu mtungi una nini?
Tweet media one
193
19
245
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Haki si watu hutoka mbali. Uswahilini inaitwa Kibatari, kikwenu mlikuwa mnaiita aje? #JunguKuu
Tweet media one
168
31
174
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Rais aenda mteja raia wakiumia
Tweet media one
10
74
149
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Taifa Leo Jumapili
Tweet media one
13
11
105
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Katika Taifa Leo kesho: Tunakuletea habari kamili kuhusu jinsi Naibu Rais Dkt William Ruto aliirarua #BBI .
Tweet media one
9
17
92
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
TAIFA LEO, Mei 22, 2021
Tweet media one
3
16
82
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Gusa Uhuru uone, Raila aonya Ruto
Tweet media one
4
7
84
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Raila sasa aongoza harambee kanisani
Tweet media one
17
6
72
@Taifa_Leo
Taifa Leo
5 years
Mzee arejea kwake nyumbani Gatundu Kaskazini baada ya kutoweka kwa miaka 35
Tweet media one
Tweet media two
34
51
73
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
Wadau; Kifaa hiki kinaonekana kuwa maridadi ni cha kazi gani?
Tweet media one
64
11
65
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Raila kupiga lami baada ya AU kumwonyesha lango
Tweet media one
5
12
70
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Tweet media one
2
6
63
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Ukipata fursa ya kukutana ana kwa ana na kiongozi wa Azimio Bw Raila Odinga, utamweleza nini kuhusu mpango wake wa maandamano Jumatatu kila wiki?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
69
4
65
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Wapepetaji wakuu wa Covid
Tweet media one
1
15
61
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 months
Taifa Leo, Alhamisi, Julai 11, 2024 1. RAILA AOGOPA 'SALAMU' ZA GEN Z - Asema amejiondoa kwenye handisheki 2. Mpasuko katika Kanisa Katoliki 3. Tovuti mpya ya 'Taifa Leo' inavyobamba - itazame hapa: Kupakua gazeti pepe, bonyeza
Tweet media one
3
32
59
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Tukataeni ushoga, Museveni arai Waafrika
Tweet media one
4
8
58
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
TAIFA LEO, Aprili 7, 2021,
Tweet media one
5
11
57
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Uhuru bado kuamini Ruto alishinda urais
Tweet media one
2
15
54
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 months
Duale kupanda miti, Soipan Tuya kulinda nchi kufuatia mabadiliko mapya ya Rais
Tweet media one
4
32
54
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Masharti mapya ya maridhiano yazuka
Tweet media one
2
8
53
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 months
Taifa Leo, Jumanne, Julai 9, 2024 1, GACHAGUA ATOROKWA NYUMBANI - Mbunge wake amemhepa 2. Ripoti yaanika jinsi jamii mbili zinatawala Ketraco 3. Tovuti mpya ya 'Taifa Leo' inavyobamba - itazame hapa: Kupakua gazeti pepe, bonyeza
Tweet media one
6
28
52
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
TAIFA LEO Jumamosi, Machi 25, 2023 1. UDANGANYIFU WA DCI: Idara hiyo yadai baadhi ya picha ni za maandamano ya Machi 20 kumbe ni za zamani! 2. Korti yazuia CASs kuingia afisini 3. Ronaldo achezea Ureno mara nyingi zaidi
Tweet media one
11
29
50
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Majangili wavamia hospitali na kuiba mgonjwa
Tweet media one
2
7
49
@Taifa_Leo
Taifa Leo
6 years
#KenyaVsGhana : 2018: Kenya 1-0 Ghana ( AFCON) 2005: Kenya 2-2 Ghana (kirafiki) 2003: Ghana 1-3 Kenya (kirafiki) 1996: Ghana 1-0 Kenya (Simba Cup) 1965: Kenya 3-3 Ghana ( kirafiki) 1965: Kenya 2-13 Ghana (kirafiki) 1964: Kenya 1-7 Ghana (kirafiki) 1964: Ghana 7-1 Kenya (kirafiki)
Tweet media one
6
22
46
@Taifa_Leo
Taifa Leo
6 years
Taifa Jumatatu
Tweet media one
3
15
44
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Mabingwa warejea!
Tweet media one
0
5
46
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Sonko avuliwa nguo zaidi
Tweet media one
2
6
45
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
PENZI LA KIJANJA: Kuchagua mchumba kunahitaji hekima si hisia tu
Tweet media one
0
3
47
@Taifa_Leo
Taifa Leo
9 years
HONGERA @kenya_7s : Kenya yaandikisha historia kwa kuizima Fiji 30-7 kwenye fainali ya Raga #Singapore7s
Tweet media one
Tweet media two
1
36
44
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Handisheki yagueza ‘Baba’ bubu
Tweet media one
6
8
46
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 months
Msafara wa Rais Ruto waacha wabunge walioandamana naye kwa mataa Nyahururu
Tweet media one
4
20
47
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
JAMVI: Ruto kupokelewa kishujaa Kisumu kunaashiria nini?
Tweet media one
5
7
45
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Mbona sikuelewi Rais?
Tweet media one
1
5
45
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Raila asitisha maandamano
Tweet media one
1
6
47
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
ST Anthony's Boys High ya Kitale yapiga Dagoretti High ya Nairobi mabao 2-0 na kuibuka mabingwa wa soka nchini kwenye mashindano ya shule za upili; fainali imeandaliwa katika uwanja wa Bukhungu, Kakamega.
Tweet media one
0
4
46
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
TAIFA LEO Bara, Jumamosi, Julai 29, 2023 1. 'KIMETURAMBA!' 2. Magunia ya mbolea nafuu sasa yapunguzwa 3. Nitakufa na Raila - Uhuru 4. Mahrez aendea noti ya Saudia
Tweet media one
8
25
46
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Taifa Leo Jumatatu
Tweet media one
12
20
42
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Serikali yatangaza nia ya kukata wafanyakazi asilimia 3 ya mshahara
Tweet media one
2
6
43
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Kamati inayommulika Mwangaza yaambiwa gavana huyo wa Meru alikiuka Katiba mara 62 kwa siku 64!
Tweet media one
3
3
42
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
TAIFA LEO Pwani, Jumamosi, Septemba 24, 2022 1.Vinono bungeni vyapasua ODM 2.Hofu Ebola ikichacha Uganda 3.Kilifi hatari kwa akina mama wajawazito
Tweet media one
1
7
38
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
TAIFA LEO, Oktoba 6, 2021
Tweet media one
8
11
36
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
TAIFA LEO Kitaifa Januari 24, 2022 1. Ruto apasua OKA 2. Wavamizi washambulia Lamu na kuharibu vifaa 3. AFCON: Cameroon na Comoros kuvaana leo Nunua nakala kutoka kwa
Tweet media one
1
6
42
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Raila atorokwa zaidi na wabunge wa ngome yake ya Luo Nyanza
Tweet media one
1
2
43
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
Kipchoge azoa Sh7.4 milioni za tuzo ya Kihispania ya Binti Mfalme wa Asturias
Tweet media one
1
5
37
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
KCSE: Wakuu wa shule Kisii, Nyamira watetea matokeo yao bora
Tweet media one
4
6
37
@Taifa_Leo
Taifa Leo
7 months
Katibu Mkuu KMPDU, Davji Atellah asisitiza mgomo wa madaktari utaendelea, licha ya kukutana na Waziri wa Afya Susan Nakhumicha. Asema hakuna makubaliano yaliyoafikika.
Tweet media one
2
21
39
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
BOTTOM UP ndio azimio la Arsenal ligini kwa sasa. Lakini wataingia Nne Bora?
Tweet media one
4
5
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Magoha asisitiza shule zafaa kufunguliwa sasa: ''Tanzania na Burundi hazikufunga shule zao. Mataifa majirani zetu kama vile Uganda, Malawi na Zambia yamefungua shule. Sisi pia tutafungua."
Tweet media one
9
7
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
6 years
Taifa Jumatatu
Tweet media one
8
2
36
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
TAIFA LEO Pwani, Jumanne, Septemba 26, 2023 1. MZEE NI WEWE 2. KCSE mambo ni 2; Kiswahili au Kiingereza 3. Bandari: Nassir sasa anguruma
Tweet media one
2
5
38
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
TAIFA LEO Pwani, Jumamosi, Julai 29, 2023 1. 'KIMETURAMBA!' 2. Ruto alipia egesho la ndege Sh1 milioni 3. Nitakufa na Raila - Uhuru
Tweet media one
4
17
37
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 month
Taifa Leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024 1. CHAWA WA JELA WAMSUBIRI 2. Nyinyi ni wasaliti - Gachagua 3. Adani Group motoni kwa ulanguzi wa pesa
Tweet media one
5
29
36
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
MADIWANI wa Kirinyaga wapitisha hoja ya kumbandua Gavana Anne Waiguru baada ya kikao cha kujadili hoja hiyo iliyowasilishwa na Kinyua Wangui ambaye ni diwani wa Mutira.
Tweet media one
1
4
36
@Taifa_Leo
Taifa Leo
9 years
ULIZA Usijibiwe: "Mbona sijasikia wameenda kwa TV wakamwaga huyu mtangazaji hujiita Mashirima Kapombe?" http://t.co/FSJcxhNKqI
Tweet media one
44
62
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
KESI YA UFISADI: Waititu amezirai nyumbani, wakili aambia korti
Tweet media one
2
5
35
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 months
Taifa Leo, Jumatatu, Julai 8, 2024 1. RUTO BADO HAPUMUI - Vijana wa Gen Z waapa kurejea maandamano Alhamisi 2. Gachagua alia mbunge anamhujumu 3. Tovuti mpya ya 'Taifa Leo' inavyobamba - itazame hapa: Kupakua gazeti pepe, bonyeza
Tweet media one
1
39
36
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
MIKIMBIO YA SIASA: Pigo kwa Azimio Jubilee ikizidi kuzama Mlimani
Tweet media one
1
6
33
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Wetang'ula achemka kusikia mgombea mwenza wa Ruto atatoka Mlima Kenya
Tweet media one
4
4
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
5 months
Taifa Leo, Ijumaa, Juni 14, 2024 1. NI USHURU NA USHURU ZAIDI - Bajeti yaonyesha Wakenya wataendelea kuteseka 2. OCS apiga risasi hakimu, naye auawa 3. Dimba la #Euro2024 laanza nchini Ujerumani
Tweet media one
3
12
35
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Manchester City na Liverpool vitani kesho EPL
Tweet media one
0
5
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
9 years
Tweet media one
48
64
33
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
TAIFA LEO JUMAMOSI. Soma habari moja kwa moja kwenye mtandao. Jiandikishe leo kupitia kwa wavuti wa:
Tweet media one
3
5
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
TAIFA LEO, Jumanne, Septemba 06, 2022 1.Rais wa Tano 2.Risasi ya mwisho ya Raila yalenga nje ya Ikulu 3.Uhuru arudia makosa ya Mzee Moi 4.Familia kuu za kisiasa zazimwa 5.Ruto avuka vizuizi tele kutua Ikulu 6.Mawaziri waliojaribu kuzima Ruto wazama
Tweet media one
3
15
31
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Vyakula vinavyoweza kuwasaidia walio na ugonjwa wa jongo (Gout)
Tweet media one
0
7
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Raila aongeza kasi ya maandamano jijini
Tweet media one
1
5
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
EPL: Karen Nyamu aitakia Manchester United msimu mbaya
Tweet media one
9
3
34
@Taifa_Leo
Taifa Leo
7 years
Bangaiza nasi Ijumaa hii kwenye Bambika, gazeti la Taifa Leo. #KiswahiliKisikike
Tweet media one
11
22
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
Jumatatu: Sema kuchanganyikiwa...Utaingia gani?
Tweet media one
4
7
33
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Kesho katika Taifa Leo Ijumaa
Tweet media one
1
7
31
@Taifa_Leo
Taifa Leo
7 years
RAIS KENYATTA: Kwa sasa nimemteua Waziri wa Elimu Dkt Fred Matiang'i kusimamia Wizara ya Usalama wa Ndani
Tweet media one
1
13
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Mwanamume shupavu anayehamasisha umma kuhusu maswala ya hedhi, huku akiwapa wasichana visodo bila malipo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
6
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Taifa Leo Septemba 2, 2021
Tweet media one
8
8
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Wabunge Omboko Milemba na Johanna Ng’eno waongoza katika orodha ya utendakaz. Soma orodha kamili hapa
Tweet media one
Tweet media two
2
3
29
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Ruto ampa Raila nguvu
Tweet media one
0
7
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
11 months
Kenyatta: Serikali ya Ruto imeshindwa kuafikia matarajio ya Wakenya, inafanya vibaya sana kwenye utendakazi wake. Siku hizi, inashinda ikinilaumu kwa kila kitu, hata mke wa wenyewe akikosa kushika mimba 'wanalaumu Uhuru'. Hata hivyo, nitaendelea kueleza yaliyo mawazoni mwangu.
Tweet media one
8
8
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Karua amkejeli Ruto kwa kuzindua mradi mara mbili
Tweet media one
4
10
31
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
MAPISHI KIKWETU: Pancakes zilizojazwa nyama
Tweet media one
0
5
32
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Jumatano
Tweet media one
3
9
29
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
“Inawezekana vipi kutugharimu Sh2 bilioni kuandaa kura ya maamuzi kwa wapigakura 20 milioni wakati ilitugharimu Sh10 bilioni kwa zoezi kama hilo kwa wapigakura 12 milioni?” - Ruto
Tweet media one
4
1
29
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Wahudumu wa matatu, bodaboda wapandisha nauli
Tweet media one
1
3
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Taifa Leo Alhamisi. Jipakulie nakala ya kidijitali hapa
Tweet media one
4
21
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
TAIFA LEO Bara, Ijumaa, Agosti 11, 2023 1. RAILA ATAFUTIWA MFUPA 2. Fahamu asili ya 'paka-jini' 3. Msimu mpya wa EPL waanza rasmi leo
Tweet media one
10
7
29
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
KAMAU: Serikali ishughulikie masaibu ya mwanahabari Yassin Juma
Tweet media one
0
6
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
TAIFA LEO, Machi 12, 2021,
Tweet media one
4
11
27
@Taifa_Leo
Taifa Leo
8 years
Kwa wale wanaosafiri kila wakati
Tweet media one
3
97
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
TUSIJE TUKASAHAU: Ruto atueleze jinsi atakavyozima ufisadi Sh100 bilioni zikiwa kwa kapu la mikopo nafuu
Tweet media one
3
5
26
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Elewa kilimo cha kisasa cha mapapai na mboga
Tweet media one
Tweet media two
1
3
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 months
Taifa Leo, Jumatano, Julai 17, 2024 1. KUMBE MAMBO BADO - Nchi yakwamishwa tena na maandamano 2. TAHARIRI: Ruto atapona akifuta ushuru wenye utata 3. Picha nyingi za mshikemshike wa maandamano
Tweet media one
3
32
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
4 years
Mbunge ashutumu Rais kuporomosha uchumi
Tweet media one
3
4
27
@Taifa_Leo
Taifa Leo
3 years
Tweet media one
3
8
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 year
IWAPO ILIKUPITA: Mahakama yatupa ombi la kutaka jamii ya Waluo ijitenge na Kenya
Tweet media one
4
2
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
2 years
Onyo kwa walimu wasiongeze karo iliyowekwa rasmi
Tweet media one
0
3
28
@Taifa_Leo
Taifa Leo
1 month
Taifa Leo, Jumanne, Septemba 17, 2024 1. INSPEKTA JEURI 2. Waiguru apinga kampeni Mlima Kenya kwa sasa 3. Nairobi inanuka, Rais Ruto sasa aambia Sakaja
Tweet media one
4
19
30
@Taifa_Leo
Taifa Leo
11 months
TAIFA LEO BARA, Novemba 20, 2023 1. MNIKOME, Uhuru aambia Ruto na serikali yake kwa kuendelea kumlaumu kwa mabaya yote 2. Ruto amjibu Raila kwamba uchumi uko sawa 3. Bila bima mpya ya Kenya Kwanza hutatibiwa Jipakulie gazeti hapa:
Tweet media one
3
6
27