taasisiyamifupa_MOI Profile Banner
taasisiyamifupa_MOI Profile
taasisiyamifupa_MOI

@TaasisiyaMifupa

19,561
Followers
52
Following
1,263
Media
1,539
Statuses

Ukarasa rasmi wa Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili-MOI

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 months
Zifahamu huduma zitolewazo MOI
Tweet media one
0
7
21
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Hongera Dr Constansia Buretta kwa kuhitimu Mafunzo ya miaka 5 ya Upasuaji wa Ubongo,Mgongo na Mishipa ya fahamu (Neurosurgery) katika chuo kikuu cha Kagoshima Japan. Idadi ya Neurosurgeon wanawake hapa nchini sasa itakua 4. @umwalimu @DocFaustine @ElishaOsati @realyoungcaans
Tweet media one
173
369
3K
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Taasisi ya MOI imeokoa maisha ya mtoto wa kike wa miezi miwili aliyetupwa na mama yake maeneo ya Tegeta na kuumia kicwani. Mtoto huyo alipokelewa MOI kama mgonjwa asiyefahamika tarehe 29/06/2020 na ameshapata matibabu anaendelea vizuri. Kwa sasa tumempatia jina la PRECIOUS MOI
Tweet media one
130
239
2K
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
Mfanyakazi bora wa MOI mwaka 2020-2021 Dkt Hamis Shaban (Daktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu) Neurosurgeon.
Tweet media one
63
174
2K
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
MOI imeongeza daktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu (Neurosurgeon) Mwanamke. Dr Zarinah Shabhay amehitimu mafunzo ya miaka 5 katika chuo kikuu cha Algiers Algeria. Hongera sana Daktari karibu tuwahudumie Watanzania. @umwalimu @DocFaustine @ElishaOsati
Tweet media one
55
201
1K
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Zifahamu Huduma zinazotolewa MOI.
Tweet media one
11
157
1K
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Pumzika kwa amani Dkt Pascal Joachim, Tutakukumbuka daima.
Tweet media one
35
38
647
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Tanzania imepata madaktari bingwa wanawake (Dr Aingaya Kaale na Dr Happiness Rabiel) wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu kwa Mara ya kwanza. Madaktari hawa wamesoma Katika chuo kikuu cha Muhimbili MUHAS, na kufanya mafunzo kwa Vitendo hapa MOI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
26
126
578
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
8 months
Tunatafuta ndugu zao
Tweet media one
87
234
554
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Tunatafuta ndugu zao
Tweet media one
17
272
455
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo.
Tweet media one
7
27
435
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Leo tarehe 30/10/2018 tumeanza kutumia chumba Kipya cha upasuaji kwaajili ya watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo wazi , idadi ya vyumba vya upasuaji MOI inaongezeka na kufikia 9. Idadi ya watoto wanaofanyiwa upasuaji inatarajiwa kuongezeka kutoka 6-8 hadi 20-25 kwa wiki.
Tweet media one
25
99
385
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo.
Tweet media one
12
37
372
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Madaktari bingwa wa MOI na MNH wamefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa uvimbe kwenye Ubongo kwa kupitia kwenye tundu la Pua (Endoscopic Trans nasal transsphenoidal pituitary surgery) ambao ulikua haufanyiki hapa nchini. @umwalimu @DocFaustine @mvungi_patrick @Hakingowi @norberthbest
Tweet media one
33
98
346
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Pumzika kwa amani Dkt PG Marealle. Matukio mbalimbali wakati wa kumuaga Dakatri bingwa wa MOI aliyefariki tarehe 13/10/2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
31
325
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
MOI kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India tutaendesha zoezi la kutoa miguu bandia 600 BURE. Wenye uhitaji wafike MOI ndani ya mwezi April 2019 kwa vipimo. Miguu hiyo itatolewa mwezi May 2019. @umwalimu @DocFaustine @Hakingowi @mvungi_patrick @norberthbest @buguzi
Tweet media one
12
221
258
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
MOI kuanza kutoa huduma kwa njia ya mtandao ,picha za X-ray kutoka mikoani kutumwa MOI na kusomwa na madaktari bingwa na majibu kurudishwa ndani ya kipindi kifupi. #telemedicine , #tunasogezahuduma @umwalimu @DocFaustine @wizara_afyatz @TZMsemajiMkuu @Hakingowi @mvungi_patrick
14
47
251
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo
Tweet media one
2
23
203
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Wataalamu 100 wa kutoa dawa za usingizi (Anaesthesia) wamehitinu leo baada ya kupata mafunzo maalum kwa mwaka 1, Sasa wanarudi kwenye vituo, hospitali za wilaya na mikoa lengo ni kuokoa maisha ya Mama wajawazito. @umwalimu @DocFaustine @umwalimu @TZMsemajiMkuu @Hakingowi
Tweet media one
15
32
202
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Leo tumewafanyia upasuaji watoto 30 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi. Upasuaji umefanyika katika kambi ya upasuaji iliyofadhiliwa na benki ya Barclay's Tanzania makao makuu. Aidha kambi hiyo imekwenda sambamba na utoaji wa kadi za bima ya afya (Total card) kwa watoto 75.
Tweet media one
Tweet media two
9
63
200
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
9
25
191
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Tunasogeza huduma za kibingwa sehemu mbalimbali hapa nchini, hapa ni Hospitali ya rufaa ya kanda Mbeya ambapo Madaktari bingwa wa MOI Dkt Mwanga J na Lisokotala L walifanya upasuaji mkubwa wa mfupa wa kiuno (Pelvis Acetabula surgery) na kutoa mafunzo kwa madaktari wa MZRH.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
28
194
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Kwa anayemfahamu Mama huyu awasiliane nasi kupitia no 0739646897 ili Taasisi iangalie namna ya kumsaidia. Maelekezo yametolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface. @umwalimu @DocFaustine @Hakingowi
5
101
169
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo.
Tweet media one
0
19
169
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Taasisi ya Mo Dewji Foundation na Simba SC wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja na vitakasa mikono katika maeneo mbalimbali ya MNH, MOI na JKCI lengo ikiwa ni kusaidia kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Corona. @umwalimu @MuhimbiliTaifa @TaasisiMoyoJKCI @moodewji
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
12
161
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Tumempumzisha ndugu yetu Chakwanda Mkate katika nyumba yake ya milele. Wana MOI tutamkumbuka kwa utendaji wake madhubuti, tutaendelea kuwa na familia yake katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa, bwana ametwaa, jina la bwana lihidimiwe. Pumzika kwa Amani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
12
159
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Madaktari na Viongozi wa MOI wakimuombea Sala Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwaichi ambaye anapatiwa matibabu MOI. @umwalimu @wizara_afyatz @DocFaustine
Tweet media one
13
21
160
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Kongamano la madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu: Huduma ya kuondoa vivimbe vya Mishipa ya damu kwenye Ubongo (Celebral aneurysm )kuanza kutolewa hapa nchini kwa mara ya kwanza.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
36
154
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Daktari bingwa wa MOI Revocatus Bernad Luziba amehitimu mafunzo maalum ya Upasuaji wa Mifupa ya Watoto ya COSECSA na kuibuka mwanafunzi bora wa mwaka 2019 katika halfa iliyofanyika kampala nchini Uganda, Mgeni rasmi akiwa Rais wa Uganda Mh Yoweri Kaguta Museveni. @umwalimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
22
155
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Waziri wa Afya @ummymwalimu amezindua kituo cha kitaifa cha tiba mtandao (Telemedicine) MOI ambapo picha kutoka hospitali ya mkoa ya Morogoro zimetumwa MOI na majibu kurudishwa Morogoro ndani ya muda mfupi. Lengo ni kufikisha huduma za kibingwa kwa wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
25
149
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Angio Suite Services: Huduma ya upasuaji na uchunguzi wa ubongo bila kufungua fuvu.
Tweet media one
7
22
152
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Tanzia, tumepoteza mpambanaji mwenzetu, Pumzika kwa amani Dkt. Pascal Joachim (Daktari bingwa wa Radiolojia MOI).
Tweet media one
16
20
148
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo.
Tweet media one
4
16
136
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Madaktari Bingwa wa MOI kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa hospitali ya @ZydusHospitals ya India wamefanya upasuaji mgumu wa kupandikiza Nyonga bandia na upasuaji wa Mgongo kwa mbinu za kisasa zaidi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
33
134
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Tunasogeza huduma kwa wananchi. @wizara_afyatz
Tweet media one
5
24
131
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Leo tumemruhusu kwenda nyumbani askofu Mkuu wa jimbo kuu Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwai’ch baada ya kujiridhisha na maendeleo ya afya yake. @umwalimu @DocFaustine @MsigwaGerson @wizara_afyatz @TZMsemajiMkuu @Hakingowi
Tweet media one
Tweet media two
7
21
129
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Timu ya Wataalam kutoka taasisi ya Mifupa MOI imewasili Beijing leo kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwa miezi miwili katika hospitali ya Peking University International Hospital.Hii ni sehemu ya utekelezaji wa mkataba uliosaniniwa August @MagufuliJP @umwalimu @DocFaustine
Tweet media one
2
19
135
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo.
Tweet media one
2
8
133
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
1 year
Sauti ya Mteja
Tweet media one
5
19
124
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Taasisi ya MOI kwa mara ya kwanza imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study). Kipimo hicho hakijawahi kufanyika ktk hospitali ya Umma hapa nchini kinaonyesha vyumba, Milango, mishipa ya damu na misuli kwa ufasaha mkubwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
37
116
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Tanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe 14/10/2020 katika Taasisi ya MOI. Apumzike kwa Amani
Tweet media one
Tweet media two
12
18
117
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
TAARIFA KWA UMMA. Ufafunuzi kuhusu habari iliyochapishwa na gazeti la @MwananchiNews la leo tarehe 31/07/2018 ukurasa wa 3 lenye kichwa cha habari "Mwanafunzi UDSM aliyenusurika ajali ya ambulance apoteza kumbukumbu".
Tweet media one
8
41
114
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Madaktari bingwa wa MOI na MNH wakifanya upasuaji mkubwa wa kuondoa uvimbe kwenye Ubongo kwa kupitia kwenye tundu la pua (Endoscopic Trans nasal transsphenoidal pituitary surgery) ambao ulikua haufanyiki hapa nchini. @umwalimu @DocFaustine @Hakingowi @mvungi_patrick @norberthbest
7
30
111
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Jopo la madaktari bingwa watatu wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu (Neurosurgeon) kutoka Hospitali ya kimataifa ya Chuo Kikuu cha Peking nchini China, Jana 23/02/2019 wameendesha mafunzo kwa nadharia, kesho 25/02/2019 wataendesha kambi ya upasuaji hapa MOI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
30
112
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Je wajua? Upasuaji mkubwa wa kupandikiza Kiungo bandia cha nyonga na goti unafanyika hapa Tanzania.
Tweet media one
13
42
107
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Miaka mitatu ya uongozi wa Mh Dkt @MagufuliJP Taasisi ya Mifupa imenufaika na Mageuzi makubwa katika sekta ya Afya. Cc @umwalimu @DocFaustine
0
23
106
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
8 months
Asilimia 60 ya majeruhi wanaoletwa MOI wanatokana na ajali za pikipiki
Tweet media one
6
41
105
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Serikali ya Japani kupitia taasisi yake inayoshughulikia masuala ya uchumi na Maendeleo barani Africa (Afreco) imekubaliana na Serikali ya Tanzania kuwajengea uwezo na kuongeza idadi ya Madaktari bingwa wa Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya fahamu. @umwalimu @wizara_afyatz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
16
103
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Taifa ya Tanzania Simon Msuva ametoa msaada wa kijamii katika wodi ya watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo wazi MOI na kuhamasisha jamii kusaidia wenye uhitaji. ⁦ @DocFaustine ⁩ ⁦ @umwalimu ⁩ ⁦ @Hakingowi ⁩ ⁦ @msuva27 ⁩ ⁦
Tweet media one
2
11
103
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
7 months
Salamu za pongezi
Tweet media one
11
6
100
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
MBINU MPYA ZA UPASUAJI WA UBONGO, MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU. Wakufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Colorado Denver, U.S.A wamekuja MOI kutoa mafunzo kwa madaktari na watumishi wengine. Mafunzo yanayohusu matumizi ya 'Ultrasound ' na darubini ya kisasa 'Neuromicroscope' ktk upasuaji
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
34
94
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
Hongereni madaktari bingwa wetu wapya kwa kuhitimu, karibuni muwahudumie Watanzania.
Tweet media one
0
8
99
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
HISTORIA. Upasuaji wa kuzibua vivimbe kwenye Ubongo (Cerebral aneurysm) umefanyika kwa mara ya kwanza hapa MOI kwa mafanikio makubwa. Upasuaji huo uliotumia masaa 5 umeongozwa na Prof. @DrPhilipStieg kutoka chuo kikuu cha @WeillCornell Marekani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
42
100
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Mfanyabiashara Azim Dewji ametoa shukrani kwa huduma bora alizopata MOI na kuwaasa watanzania kutokukimbilia nje ya nchi kwani huduma bora zinapatikana hapa nchini. @umwalimu @DocFaustine @TZMsemajiMkuu @MsigwaGerson @wizara_afyatz
6
19
96
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya MOI tunampongeza Mh Ummy Mwalimu (MB) kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Afya, Pia tunampongeza Mh Dkt Godwin Mollel (MB) kwa kuteuliwa kuwa naibu Waziri wa Afya. MOI tunawatakia utendaji Mwema. @ummymwalimu @wizara_afyatz
Tweet media one
1
9
93
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface achoma chanjo ya UVIKO 19 katika kituo cha MNH @muhimbili_taifa
Tweet media one
1
13
90
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Kliniki yetu mpya ya Watoto wenye Mguu Kifundo (Clubfoot) inafanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 , Kama una mtoto mwenye tatizo hili mlete MOI ili kuepusha ulemavu kwa kuchelewa kupata matibabu. @umwalimu @DocFaustine @Hakingowi @mvungi_patrick
Tweet media one
0
51
86
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Madaktari bingwa MOI kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Chuo kikuu cha Weill Cornell cha Marekani kwa mara ya kwanza leo wafanya upasuaji mkubwa wa Ubongo kwa mtoto mwenye kifafa. @umwalimu @DocFaustine @TZMsemajiMkuu @MsigwaGerson @Hakingowi
Tweet media one
2
15
84
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
TAARIFA KWA UMMA. Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesaini mkataba wa ushirikiano na hospitali ya kimataifa ya Chuo Kikuu cha Peking @PKU1898 cha Beijing nchini China.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
24
85
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
8 months
ASILIMIA 60 YA MAJERUHI WANAOLETWA MOI WANATOKANA NA AJALI ZA PIKIPIKI Asilimia 60 ya majeruhi wa ajali za barabarani wanaopokelewa katika kitengo cha dharura cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za bodaboda na bajaji. Imebainishwa
Tweet media one
6
28
83
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
We offer specialised and Super specialised services in Orthopaedics, Neurosurgery and Traumatology.
Tweet media one
0
11
85
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Taarifa kwa umma. Mgonjwa aliyekaa siku 637 wodini ametambulika. Tunashukuru Watanzania wote mliofanikisha kupatikana kwa ndugu zake. Majina yake rasmi ni bwana Marco Matinde (46) Mwenyeji wa Mwanza.
Tweet media one
0
34
83
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Ramaiah ya Bangalore, India zimeendesha kambi maalum ya uchunguzi na upasuaji wa Ubongo na mgongo kwa mbinu za kisasa ambapo zaidi ya wagonjwa 12 Wamehudumiwa. @wizara_afyatz @ummymwalimu @MsigwaGerson
Tweet media one
2
12
80
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Ujenzi wa maabara ya kisasa ya upasuaji wa Ubongo (Angio suite) yenye thamani ya Tsh bilioni 7.9 umekamilika kwa asilimia 70% . Naibu wa Waziri wa Afya @DocFaustine ametembelea na kukagua mradi huo na kuelekeza mradi ukamilike na mgonjwa wa kwanza ahudumiwe mwezi Juni 2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
11
78
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Serikali itaendelea kutoa takwimu za mwenendo kuhusu Ugonjwa wa Corona mara baada ya kukamilika kwa maboresho ya kiufundi ya Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii. @umwalimu
3
11
78
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Wadau wamekabidhi rasmi chumba maalum cha upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi ambacho kimegharimu zaidi ya Tshs Milioni 500. @umwalimu @DocFaustine @wizara_afyatz @Hakingowi @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
3
12
80
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya tano, Huduma za @TaasisiyaMifupa zimeboreshwa maradufu. Serikali ilitoa Tsh Bilioni 16.5 kwaajili ya kumalizia jengo jipya la MOI na kununua vifaa vya kisasa vya uchunguzi @MagufuliJP , @umwalimu @DocFaustine @Hakingowi @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
2
22
78
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
1 year
Taarifa kwa Umma.
Tweet media one
15
26
78
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Katika kipindi hiki ambacho mashine za MRI na CT SCan za MOI ziko kwenye matengenezo makubwa tunawaomba wagonjwa wote wa MOI wanaohitaji vipimo hivyo kupata huduma hiyo katika hospitali ya Taifa Muhimbili . Tutatoa taarifa rasmi pindi huduma zitakaporejea.
Tweet media one
4
21
74
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
1 year
Wagonjwa 16 wamendikizwa Nyonga na Goti bandia Zanzibar katika kambi maalum ya upasuaji iliyoandaliwa kwa Ushirikiano kati ya MOI na Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar. @ummymwalimu
Tweet media one
4
11
75
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Jopo la Wataalaam 7 wanaomhudumia Askofu Mkuu wa jimbo la DSM Mhashamu Yuda Thadeus Ruwaichi limeamua kumhamisha kutoka chumba cha Ungalizi maalum (ICU) kwenda wodi za kawaida baada ya kujiridhisha na maendeleo ya afya yake. @umwalimu @DocFaustine @MsigwaGerson @Hakingowi
Tweet media one
2
9
74
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Siku ya 3 ya kongamano: Madaktari bingwa wa MOI na chuo Kikuu cha Weill Cornell cha Marekani wakifanya upasuaji wa mgongo kwa mbinu ya kisasa kwa kutumia darubini maalum (Neuro microscopy) na mashine ya (Neuro Monitoring). @umwalimu @DocFaustine @TZMsemajiMkuu @MsigwaGerson
Tweet media one
1
15
72
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Kuelekea mpambano wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga siku ya Jumapili 8/03/2020 Mfanyabiashara Azim Dewj ametoa ofa ya tiketi 300 kwa mashabiki (Yanga na Simba) ambao watajitokeza Ijumaa na Jumamosi kuchangia damu MOI ili kuokoa maisha ya najeruhi wa ajali. @umwalimu
Tweet media one
5
13
73
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Madakatri bingwa kutoka mataifa zaidi ya 13 kushiriki mafunzo maalum ya matibabu na upasuaji wa mgongo uliopinda (Scoliosis) yaliyoandaliwa na MOI.
Tweet media one
1
16
77
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Tumepokea majeruhi wanne (4) kutokana na ajali ya daladala iliyotokea Wilaya Temeke leo alfajiri, wawili (2) kati yao hali zao sio nzuri , wawili (2) waliobaki wanaendelea vizuri kiasi. Wataalam wetu wanafanya jitihada zote kuokoa maisha ya majeruhi wote. Tuendelee kuwaombea
Tweet media one
1
10
70
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Zaidi ya wagonjwa 400 wamehudumiwa kati yao 17 wakifanyiwa Upasuaji mkubwa wa Ubongo, Mgongo na jopo la madaktari bingwa wa MOI,Cuba Katika Hospitali ya rufaa ya Bugando Mwanza toka tarehe 8/04/2019 hadi 12/04/2019 @umwalimu @DocFaustine @TZMsemajiMkuu @Hakingowi @mvungi_patrick
Tweet media one
Tweet media two
0
22
72
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Taarifa kwa Umma: kuanzia kesho tarehe 17/04/2020 wagonjwa , ndugu wa wagonjwa na wadau watakaofika MOI kupata huduma watatakiwa kuvaa Barakoa (Mask).
Tweet media one
5
21
68
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
Daktari bingwa wetu wa leo
Tweet media one
1
5
69
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Mama Doroth Rugaba (70) alifanyiwa upasuaji mkubwa wa Mgongo hapa MOI baada ya kupoteza matumaini na kuteseka kwa maumivu makali na kuzunguka katika hospitali nyingi toka mwaka 2001 na kuambiwa tatizo lake halitibiki hapa nchini.
Tweet media one
1
25
70
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Jezi 200 za Simba na Yanga kutolewa kwa wachangiaji damu siku ya ijumaa tarehe 06/11/2020 kuanzia saa 2:30 asubuhi katika eneo la maegesho la magari la kitengo cha dharura cha zamani.
Tweet media one
4
17
69
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Jikinge, Wakinge Wengine , Corona Inazuilika. @umwalimu
Tweet media one
4
11
66
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Naibu waziri wa afya @DocFaustine ametembelea na kukagua hali ya utoaji wa huduma ktk baadhi ya vitengo ktk Taasisi ya MOI na usimikaji wa mitambo mipya na ya kisasa ya MRI ,CT SCAN ,DIGITAL X-RAY nk
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
20
67
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Familia ya Rugaba ya DSM imeandika shairi maalum kwa Taasisi ya MOI la kushukuru na kupongeza huduma nzuri zinazotolewa MOI.
Tweet media one
2
23
69
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Watumishi wa Taasisi ya tiba ya Mifupa ya MOI leo wamejitolea kuendesha kambi ya upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo wazi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma pamoja na miaka 23 toka MOI kanzishwa.⁦ @umwalimu ⁩ ⁦ @DocFaustine ⁩ ⁦⁦
Tweet media one
2
13
67
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Heri ya siku ya wauguzi duniani, MOI tunatambua, tunaheshimu na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na Wauguzi katika Taasisi yetu. Chapeni kazi tuko pamoja nanyi. @umwalimu @DocFaustine
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
8
66
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu huduma za MOI kutoka kwa Dkt William Mgisha alipotembelea banda la Taasisi ya Mifupa MOI katika maonyesho ya viwanda katika mkutano wa 39 wa nchi za SADC ⁦ @umwalimu ⁩ ⁦⁦
Tweet media one
2
10
69
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Hatimaye ameweza kurejea kwenye maisha yake ya kawaida. Tunarejesha matumaini yaliyopotea.
1
15
70
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
Watoto 15 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi wamefanyiwa upasuaji leo katika kambi maalum iliyodhaminiwa na Dr Mr UK Marathon pamoja na Mr Khakoo na Mrs Tahera Fazal.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
8
68
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Elimu kuhusu uvaaji wa Barakoa (Mask) @umwalimu @DocFaustine
Tweet media one
4
16
65
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Taarifa kwa Umma. Wanachama/Wanufaika wa mashirika yafuatayo wanaweza pata matibabu ya kibingwa katika Taasisi ya MOI bila kuwa na rufaa kutoka hospitali za mikoa na wilaya.
Tweet media one
2
34
66
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
3 years
MOI yaingia mkataba wa ushirikiano na Chama cha Madaktari China pamoja na hospitali ya Tian Tan China ili kuboresha huduma za kibingwa za mifupa, ubongo , mgongo na mishipa ya fahamu hapa nchini. @TZEmbassyCN @wizara_afyatz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
10
67
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
6 years
Wizara ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesaini mkataba na Taasisi ya Mifupa MOI utakaopelekea wagonjwa kutoka visiwani humo kupata huduma za kibingwa ambazo wamekua wakizifuata nje ya nchi kwa gharama kubwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
15
64
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Tumesogeza huduma mikoa ya kusini.⁦ @umwalimu ⁩ ⁦ @DocFaustine ⁩ ⁦ @Hakingowi ⁩ ⁦ @TZMsemajiMkuu ⁩ ⁦ @norberthbest ⁩ ⁦ @mvungi_patrick
Tweet media one
2
14
66
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
5 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana kwa furaha na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwaichi ambaye anapatiwa matibabu hapa MOI. @umwalimu @TZMsemajiMkuu @DocFaustine @MsigwaGerson
Tweet media one
4
8
66
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
2 years
Madaktari bingwa wa MOI wakishirikiana na madaktari bingwa kutoka hospitali ya Ramaiah Memorial Hospital ya India wakifanya upasuaji wa ubongo bila kufungua fuvu katika maabara ya kisasa ya upasuaji wa Ubongo MOI (Angio Suite). @wizara_afyatz @ummymwalimu @MsigwaGerson
Tweet media one
Tweet media two
3
11
63
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo
Tweet media one
2
5
63
@TaasisiyaMifupa
taasisiyamifupa_MOI
4 years
Daktari bingwa wetu wa leo.
Tweet media one
0
8
60