SportPesa Tanzania Profile Banner
SportPesa Tanzania Profile
SportPesa Tanzania

@TZSportPesa

51,168
Followers
64
Following
13,766
Media
20,505
Statuses

Ukurasa rasmi wa SportPesa Tanzania.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
🚨TAARIFA KWA UMMA KUTOKA SPORTPESA #SportPesaUshindiMwingi #SportpesaTZ
Tweet media one
Tweet media two
388
283
3K
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
🏆Historia inaendelea! Itakuwa ni wiki yenye msisimko wa soka jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 22-27 ambapo miamba 8⃣ya soka kutoka Tanzania 🇹🇿 na Kenya 🇰🇪itakutana uso kwa uso kumsaka bingwa mpya wa #SportPesaCup2019 🏆 Nani ataendeleza historia dhidi ya @everton ?
31
238
2K
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
🦁 Asante @simbasctanzania kwa miaka mitano ya ushindi, mataji na mafanikio. #NguvuMoja 💪 #SportPesa #MakeItCount #SportPesaTz
Tweet media one
54
93
2K
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
Pesa kidogo tu, ushaweka single bet ya laki 5 🤣
149
64
1K
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
✍🏻 Tumesaini rasmi mkataba mpya wa Kihistoria na timu iliyopo ligi Kuu @yangasc1935 kwa Miaka Mitatu kama mdhamini mkuu 💪🏽 Spprtpesa ikiwa kama timu yako ya ushindi itaendelea kuipa thamani na kuinua sekta ya michezo nchini Tanzania #SportpesaMkwanjaKilaSiku #SportpesaTZ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
36
95
1K
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
Kuelekea #SportPesaCup 🏆 Nyota wa @SimbaSCTanzania , Meddie Kagere anaamini uzoefu wa kutwaa SportPesa Cup mara 2⃣ akiwa na kikosi cha @OfficialGMFC utaiwezesha @SimbaSCTanzania kufanya vizuri kwenye michuano ya mwaka huu. Mtazame hapa👇
9
74
944
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
🏆Mabingwa ni @yangasc1935 , wameupiga mwingi na wamechukua Kombe la ligi kuu Tanzania Bara #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
6
73
1K
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
🤩 Hongera sana kwa @yangasc1935 kwa kuchukua kombe la Azam Sports Federations 🔰 #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
3
54
994
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
🏆 Hongera kwa @yangasc1935 , wameupiga mwingi na wamechukua Kombe la ligi kuu Tanzania Bara #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
9
47
928
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
LIGI KUU NBC 2022/23- Umekuwa msimu bora sana kwa Yanga. #Yanga #LigiKuu #NBC #TPL #SportPesa #mainsponsor
Tweet media one
5
27
714
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
24 days
👕Huu ndio uzi mpya wa timu ya wananchi @YoungAfricansSC 2024/25 🤩 Uzi umekolea❓ #SportPesaUshindiUpoNawe #SportpesaTZ #Sportpesa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
48
692
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
🤔 Nani zaidi ya Mayele ❓
Tweet media one
29
21
657
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
16 days
🔰 YANGA DAY NDIO LEO 📢 Timu ya SportPesa tutakuwepo pamoja na Yanga kwenye huu mtanange wa kukata na nashoka #NyieHamuogopi #SportPesaUshindiUpoNawe
Tweet media one
3
33
625
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
MARUMO vs YANGA -Nani kati yao kwenda fainali? Bet Mechi hii kwenye Midweek Jackpot sasa! #CAFCC #CAFConfederation #MarumoGallants #SouthAfrica #sportpesa #Yanga
Tweet media one
5
13
534
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
👕Huu ndio uzi mpya wa timu ya wananchi Young Africans 📸 credit @yangasc1935 #SportpesaMkwanjaKilaSiku #SportpesaTZ #Sportpesa
8
47
519
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
📢 Rasmi! Ratiba rasmi ya #SportPesaCup2019 🏆hatua ya robo fainali! 1⃣Singida 🆚Bandari 2⃣Yanga 🆚Kariobangi Sharks 3⃣Mbao 🆚Gor Mahia 4⃣Simba 🆚AFC Leopards Timu yako itatinga nusu Fainali?
Tweet media one
18
54
483
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
✨YANGA 3 - 1 TP MAZEMBE FT 🤔 Una neno moja kwa Wananchi ❓
18
17
499
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Tunatumaini mlifurahia mechi! Neno moja kwa #EvertonInTZ tafadhali.
Tweet media one
36
105
457
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Bet mechi ya Simba vs Yanga hapa! #Derby #KariakooDerby #Yanga #SimbaSC
Tweet media one
4
9
456
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
🔰Wananchi na @YoungAfricansSC Wanajambo lao kesho kwa Mkapa …..Utakuwepo ❓ #SportPesaUshindiMwingi #SportPesaWikiYaWananchi
Tweet media one
Tweet media two
10
52
388
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
Watu na MAMILIONI yao 😋 Mikeka 2⃣ya MULTIBET imemtunuku Renovatus Filbert mtonyo wa Tsh 26,659,362/= na anasema malipo yake yaliingia PAPO HAPO baada ya mechi kuisha. Utake nini tena? Cheza MULTIBET 👉 uwe MILIONEA leo! Mtazame👇
12
21
328
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
👏👏Hongera Bi Lilian Ngitoria Laizer kwa kushinda JACKPOT BABA LAO! Tupo Mtibwa, Morogoro kwa mshindi;anafanya taratibu za kiofisi kabla ya makabidhiano rasmi ya fedha zake. Bi Lilian ametusua Jackpot ya Mil 267 wiki iliyopita, wiki hii ni zamu yako #chezabilabando
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
58
18
350
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
“Mechi ya watani wa jadi…Unaweza kuhisi matarajio ya watu wanaotuzunguka…” Kwenye sehemu ya mwisho ya msimu wa #TheShirt wa @SportPesaUK , @pjags06 anaondelea kuhusiana na mechi ya watani wa jadi na fahari ya kuvaa jezi ya @Everton #MakeItCount #MerseysideDerby
6
11
342
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
3 months
📸 SPORTPESA YAIPA YANGA KIASI CHA NUSU BILIONI 🏆 Matukio mbali mbali katika picha katika sherehe yakuwakabidhi @YoungAfricansSC mfano wa Hundi ya Mil 537,500,000/= ikiwa kama Bonus ya mafanikio msimu ulioisha #SportPesaSabaZaUshindi #SportPesaTZ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
19
331
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Washindi Midweek na SupaJackpot bonus ya SportPesa Waziri kupatikana. Cheza Jackpot sasa! #sportpesa #Jackpot #SupaJackpot #MidweekJackpot
Tweet media one
8
6
328
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
💰MILIONEA MPYA MJINI! Bwana Yassin Ridhiwani Ally (35) mkazi wa Ubungo Msewe! Ameshinda Sh. 437,631,320/= #sportpesajackpot #makeitcount
Tweet media one
56
26
302
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
SportPesa Tanzania as @everton 's Main club Partner, welcomes Nicola Vlasic aboard! #MadeOfWinners #Welcomevlasic
Tweet media one
2
22
296
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
3 months
🤩 Hongera sana kwa timu ya wananchi @YoungAfricansSC kwa kuchukua kombe la CRDB FEDERATION🔰 🔰🖐🏼 Mmeupiga Mwingi sana kwa mara nyingine tena #TimuYaWananchi #SportPesaUshindUpoNawe #SportPesaSabaZaUshindi
Tweet media one
0
12
321
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
📸💉Matukio mbali mbali wakati wa zoezi la utoaji damu linalondelea viwanja vya jangwani makao makuu @yangasc1935 #SportPesaMkwanjaKilaSiku #Sportpesa #SportpesaTZ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
27
305
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
📸 Meneja uhusiano na mawasiliano Sportpesa Sabrina Msuya akiwa na washindi wa #SportPesaYangaTour kwenye picha ya pamoja. 🤩Hongera kwa washindi #SportPesaUshindiMwingi #SportPesaYangaTour #SportPesatz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
22
273
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
🤔 Nani zaidi ya Mayele wa @yangasc1935 kwenye ligi kuu ❓ #Wananchi #SporPesaUshindiMwingi
Tweet media one
6
10
265
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Wachezaji wa Everton wakiingia uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya jioni kwa ajili ya kujaribu uwanjani. #EvertonInTz
11
44
237
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
🏀Shinda na NBA! 👕: Phoenix Suns 🆚Golden State Warriors 🏟: Oracle Arena ✍: Wakitupia jumla ya pointi 68 mechi iliyopita, Stephen Curry, Klay Thompson na Kevin Durant wataiongoza Warriors dhidi ya Suns ambao wamepoteza mechi 11 mfululizo. 📲Bet 👉
Tweet media one
3
14
218
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
🤩 Hongera kwa mshindi wa JACKPOT Bilioni 1,255,316,060 📱 Yeye amepatia timu zote 13 !!!! mkwanja kama wote ni wake #Miaka5YaSportpesa
77
35
227
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
🏀Mshiko na Kikapu! 👕: Spurs 🆚Warriors 🏟️: AT&T Center ✍️: Akitupia vikapu 33 kwenye mechi iliyopita dhidi ya Thunders, Stephen Curry ataiongoza Warriors usiku wa leo kuwavaa Spurs wambao wameshinda mechi 8 mfululizo. Nani atashinda? Bet mechi hii 👉
Tweet media one
2
8
218
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
NANI KUONDOKA KIFUA MBELE KWA MKAPA??? Siku ya leo watanzania watakuwa na shauku kubwa ya kujua ni kwa namna gani timu yao pendwa ya Yanga inaweza kupata matokeo ambayo yatatoa taswira kamili ya hatua inayofuata ya mashindano ya kombe la shirikisho
Tweet media one
3
12
226
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
👂Msikie Aishi Manula anasemaje alafu tupia maoni yako ✍ Miaka 3 ya Sportpesa ,Miaka 3 ya Ubingwa ! #nguvumoja #chezabilabando #makeitcount #vplchampionsleague2020 #vplchampions
15
11
229
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
HONGERA MABINGWA @SimbaSCTanzania 👏👏👏👏👏👏
Tweet media one
4
4
225
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
Asante sana @HajiManara kwa maneno yako ya busara na shukurani. Tupo Pamoja! #nguvumoja #miaka3yaUbingwa #miaka3naSportpesa
12
7
212
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
🥊Karibu Mwakinyo! Tuna furaha ya dhati kumtangaza Bondia Hassan Mwakinyo ambaye ni bingwa wa Tanzania 🇹🇿wa uzito wa kati "Super welterweight" kama balozi wetu mpya. #MakeItCount
Tweet media one
6
22
206
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 months
🤩YANGA HII HAPA TUPO JANGWANI ‼️ #miaka89yayanga #SportPesaUshindiUpoNawe
2
12
204
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
6
15
201
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
⚽️US Monastir 🆚 Young Africans 🤔 Wananchi wanashuka dimbani kwenye gemu ya CAF CONFIDERATION , Je wataweza kutoka na ushindi leo ❓ 📱Beti mechi kali hii na uweze kutusua mkwanja MREFU #SportpesaTZ #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
8
11
203
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Baadhi ya mashabiki wametoka Congo kuja kumuona Yannick Bolasie na kushuhudia mechi itakayokuwa kesho. #evertonInTZ
2
45
179
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
⚽️Singida BS 🆚 Young Africans 🤔 Nusu fainali kombe la Azam Sports Federation, Je nani atafanikiwa kutoboa hapa❓ 📱Beti mechi kali hii na uweze kutusua mkwanja MREFU #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
3
7
185
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
SportPesa Tanzania as @everton 's Main club Partner, welcomes Gylfi Sigurdsson aboard! #MadeOfWinners #WelcomeGylfi ⚽🙌🙌
Tweet media one
4
23
172
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
3 months
🗣 Rais wa timu ya wananchi Yanga Eng. Hersi Saidi akizungumzia safari ya miaka saba ya Ushindi na mafanikio baina ya Sportpesa na Yanga ilivyoanza Kufikia hivi sasa #SportPesaSabaZaUshindi
2
10
178
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
⚽: Mbao 🆚Yanga 🏆: TPL 🏟: CCM Kirumba 🌟: Saidy Jnr 🇹🇿 | Makambo 🇨🇩 ✍️: @yangasc1935 watawavaa wabishi @OfficialMbaoFc kuendelea kujikita kileleni mwa TPL baada ya kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Simba. 📲: Bet mechi hii 👉 ushinde
Tweet media one
5
10
165
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Tweet media one
0
11
165
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
“Kila muda unapoingia uwanjani kucheza unakuwa unaliwakilisha kundi kubwa la watu”. Steven Davis anaelezea jinsi anavyojisikia fahari kuvaa jezi ya @SouthamptonFC #MakeItCount
1
8
152
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
Nani yupo tayari kwa mtanange wa Simba 🆚Sevilla? Kagere: 👇
Tweet media one
15
6
147
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Jackpot Bonus safari hii yaenda Goba, Dar. Cheza Jackpot sasa #Betnow #jackpot #jackpotbonus #Mwanamke #sportpesa #WhyNotUS
Tweet media one
6
5
148
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
Kuelekea #SportPesaCup2019 Nyota wa @yangasc1935 , @KasekeDeus anatusimulia jinsi alivyojisikia fahari kukabidhiwa zawadi ya mchezaji bora wa mechi ya mshindi wa 3 kwenye michuano iliyopita ya SportPesa Super Cup, akiwa na kikosi cha @Singidaunitedfc . #MakeItCount
3
5
138
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 months
🏆 Raisi wa klabu ya Young Africans Eng. Hersi A. Said akizungumza kwenye sherehe yakukabidhiwa Yanga mfano wa Hundi ya Mil 537,500,000/= ikiwa kama Bonus ya mafanikio msimu ulioisha #SportPesaSabaZaUshindi #SportpesaTZ
1
10
140
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
3 months
🗣PT2 Rais wa timu ya wananchi Yanga Eng. Hersi Said akizungumzia safari ya miaka saba ya Ushindi na mafanikio baina ya SportPesa na Yanga ilivyoanza kufikia hivi sasa #SportPesaSabaZaUshindi
1
7
134
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Tweet media one
0
10
130
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
16 days
WANANCHIIIIIIIIIIIII🔰 Timu yako ya Ushindi tupo dimbani LIVE ⚽️ Umeweka mkeka wako? #sportpesaushindimwingi #nyiehamuogopi
1
10
135
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
🏀NBA kumenoga! 👕: Celtics🆚Nuggets 🏟️: TD Garden ✍️: Baada ya kushinda kwa vikapu 129 mechi iliyopita, Celtics watashinda kwa vikapu zaidi ya 110 dhidi ya Nuggets usiku wa leo? Bet soko la OVER/UNDER kwenye kikapu ushinde Bet mechi hii 👉 #Makeitcount
Tweet media one
2
8
120
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
20 days
👕 𝗦𝗛𝗜𝗡𝗗𝗔 𝗨𝗭𝗜 𝗠𝗣𝗬𝗔 𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 1. FOLLOW ukurasa wetu 2. COMMENT na jibu sahihi pamoja na Hashtag #DakaJeziNaSportPesa 3. LIKE, watag marafiki watano(5) post ya swali 4. SHARE post hii kwenye ukurasa wako na tag kurasa zetu #DakaJeziNaSportPesa
Tweet media one
60
29
127
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
📓Kitabu cha Mipango! 🤔Mshindi wetu wa Jackpot Yassin Ridhiwani Ally anapangilia michezo yake yote kwenye kitabu, habahatishi tu! Anapangilia michezo yote na kuhakikisha vilivyo! Jionee.. Je wewe hua unajipanga vipi kabla ya kubasiri? #SportpesaJackpot
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
37
21
120
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
📸 Kutana na mshindi wa SUPA JACKPOT BONUS 5,766,244/=   ✍🏻 Amepata bonus kwa kupata mechi 15 kati ya 17 kwenye mkeka wake   🙏🏼MAJUTO SAFARI MWAIGUNGA   📱 Bashiri mechi 17 za #SupaJackpot kwa usahihi ushinde zaidi ya BILIONI kwa Buku tu   #SporPesaUshindiMwingi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
4
122
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
Hongereni Mabingwa wa nchi kwa kombe lingine tena! @yangasc1935 ! Daima tuko nyuma yenu kuendeleza ushindi💚💛 #SportPesa #youngafricans #sportpesamkwanjakilasiku
Tweet media one
7
9
118
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Mshindi mwingine wa Bonus, SportPesa Jackpot! Chess Midweek Jackpot hapa. #jackpot #sportpesa #supajackpot #Ushindi
Tweet media one
1
2
119
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Mwanadada ashinda 12,352,327, Jackpot Bonus ya SportPesa. Bet Jackpot ya wiki hii hapa! #betting #jackpot #jackpotbonus #SportPesaJackpot
Tweet media one
5
7
117
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
MILIONI 56,383,640 ZA SUPA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA ZAENDA BAGAMOYO. Abibu Mauridi Omari, ameshinda Sh 56,383,640, kama bonasi ya Supa Jackpot ya SportPesa, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 16 kati ya mechi 17 za Supa Jackpot.
Tweet media one
1
6
117
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluh Hassan aliwaandalia Timu ya Everton Chakula cha jioni na alikuwa na machache ya kusema. #EvertonInTZ
2
23
117
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
📊 | ⚽️ Vita ya Mabingwa wa Tanzania @SimbaSCTanzania na Kenya @OfficialGMFC . Nani atashinda #SportPesaSuperCup 2018 ndani ya dakika 90?🏆🤔
(1) Gor Mahia
556
(X) Sare
55
(2) Simba
647
19
35
112
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Mapokezi ya Timu ya @everton yakiendelea hivi sasa jijini Dar! #EvertonInTZ
7
38
107
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
Patachimbika Kundi C @AFCON2019_en Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 Algeria 🇩🇿 Senegal 🇸🇳 Hapa SAMATTA pale MAHREZ kule MANE na WANYAMA Nini maoni yako kuhusiana na kundi letu❓
Tweet media one
16
13
104
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
Je, unataka kushinda Jezi Spesho ya Ushindi wa Simba ? Ni Rahisi: 1️⃣Jibu maswali yafuatayo 2️⃣Like/retweet post ya Sportpesa 3⃣Tag marafiki wengi wakafollow @TZSportPesa swali; -Simba imefundishwa na makocha wangapi kwa msimu huu? #chezabilabando
Tweet media one
50
22
101
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
📸 Kutana na mshindi wa JACKPOT BONUS 6,069,063/=   ✍🏻 Alipata bonus kwa kupata mechi 12 kati ya 13 kwenye mkeka wake   🙏🏼MADUHU PETER JAMES   📱 Bashiri mechi 17 za #SupaJackpot kwa usahihi ushinde zaidi ya BILIONI kwa Buku tu   #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
9
109
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
NEWCASTLE vs LEICESTER - Nani kati yao kumkwamisha mwenzake. #Betnow #EPL #Leicester #LeicesterCity #multibet #sportpesa
Tweet media one
0
4
104
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
📸 Kutana na mshindi wa JACKPOT BONUS 12,209,017/=   ✍🏻 Alipata bonus kwa kupata mechi 12 kati ya 13 kwenye mkeka wake   🙏🏼ALLY SULEMANI ISWIZILO   📱 Bashiri mechi 13 za #Jackpot kwa usahihi ushinde MAMILIONI kwa Buku tu   #SportPesaUshindiMwingi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
8
109
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Tukiwa Kama familia ya ushindi, tunaitakia kila la kheri Serengeti Boys kwenye mechi yao dhidi ya Mali Leo. #sportpesatz @Tanfootball
Tweet media one
11
19
104
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
“Kuwa mzawa kuna maana kubwa sana” Leighton Baines akizungumza na @SportPesa_UK juu fahari anayojisikia kuvaa jezi ya jezi ya @Everton . #TheShirt #MakeItCount #MerseysideDerby
0
4
102
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
MID WEEK JACKPOT YATOA MSHINDI WA BONUS -Ni Kelvin Andrea Madenge Cheza Jackpot ya wiki hii hapa #Betnow #jackpot #jackpotbonus #MadeOfWinners #supajackpot
Tweet media one
0
6
105
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
💰Jackpot mpya! Unasubiri nini wakati Jackpot kubwa kuliko zote Tanzania ya Tsh 494,275,700/= imeshatoka❓ Bashiri mechi 13 uwe MILIONEA na pia kuna BONUS za hadi Milioni 30 bila kugawana ukipatia mechi 10, 11, 12. Cheza Jackpot 👉 #SportPesaJackpot
Tweet media one
6
7
96
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
3 years
💰MSHIKO DEILEE 🙌 ERICK OMONDI pamoja na GIBEBE Watakuwepo Jumatatu kutoa zawadi nono ya Mil 15,888,000/= , Je itakuwa wewe? #SportPesaMshikoDeilee
4
5
89
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
MANCHESTER CITY vs MANCHESTER UNITED- Fainali ya Kombe la FA ya kibabe. #FA #Manchester #manchestercity #ManchesterUnited #ManCity #MANU #MANUTD
Tweet media one
0
4
98
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
🎥 Mshindi wa SUPA JACKPOT BONUS 56,383,640/=   ✍🏻 Amepata bonus kwa kupata mechi 16 kati ya 17 kwenye mkeka wake   🙏🏼ABIBU MAULIDI OMARI   📱 Bashiri mechi 17 za #SupaJackpot kwa usahihi ushinde zaidi ya BILIONI kwa Buku tu   #SportPesaUshindiMwingi
2
4
101
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
🤩TIMU YAKO INAYOKUPA USHINDI Tunakushukuru kwa kutuchagua na tunakuahidi kukupatia huduma bora kila wakati. Kheri ya wiki ya huduma kwa wateja! #CustomerServiceWeek #CelebrateService #CSWeek #SportpesaTZ #Sportpesa #WayaWaya #WayaWayaChallenge
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
95
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
"Mambo mazuri yanazidi kuja" SportPesa @RacingPointF1 🏁 #MakeItCount
3
40
94
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
📈Poll ⚽️: Al Ahly 🆚 Simba ✍️: Simba wameshinda mechi 8 kati ya 17 walizocheza dhidi ya timu kutoka Egypt kwenye michuano ya Afrika huku mara ya mwisho kukutana na Ahly ilikuwa mwaka 1985 Nini tutegemee baada ya dakika 90 leo❓ 📲: Bet mechi hii 👉
Al Ahly kushinda (1.13)
177
Droo (5.64)
58
Simba kushinda (17.51)
208
12
9
85
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
@TZSportPesa imeingia makubaliano rasmi ya udhamini na klabu ya Simba kwa kipindi cha miaka 5 wenye thamani ya TZS Bil 4.9 #SportPesaTz
Tweet media one
10
44
91
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said akipongeza na kushukuru kampuni yetu ya SportPesa kama wadhamini wao na kuwa sehemu kubwa ya mafanikio ya Klabu yao ya Yanga SC mpaka kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu 2022/23.⁣ ⁣ #SportPesa #yangasc #SportPesaTz #football #tanzania
0
5
91
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Baadhi ya wachezaji na viongozi wa @everton wakipokelewa na Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe #EvertonInTZ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
25
91
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
⚽️Yanga 🆚 Dodoma Jiji 🤔 Wananchi wanashuka dimbani leo tena hawajamaa ni wa moto sana, Je watashinda tena au meza itapinduliwa ❓ 📱Beti mechi kali hii na uweze kutusua mkwanja MREFU #SportPesaUshindiMwingi #Miaka6YaSportp
Tweet media one
0
3
93
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Mkazi wa Tabata Kimanga Deus Isidory Msigwa, amebahatika kushinda kitita cha Sh 5,615,992, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13, kama bonus ya Jackpot ya SportPesa. #jackpot #jackpotbonus #sportpesa
Tweet media one
3
3
90
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
SportPesa inawatakia Heri na Fanaka ya Mwaka Mpya. 💸🤑2020 Ukawe na mwaka wa mafanikio na ushindi kwako. ⚽️Hebu tutajie timu yako pendwa unayotamani ichukue ubingwa mwaka huu 2020!
5
3
86
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
1 year
Mchezo mwingine wa Kasino unaopatikana katika tovuti yetu ya SportPesa, unaokwenda kwa jina la Hot Safari! Cheza sasa ushinde. #casino #hotsafari #playnow #scratchgames #SportPesaCasino
Tweet media one
0
4
86
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
Tweet media one
0
3
88
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
Pointi 3⃣kwanza halafu Ujirani baadae! Gonga LIKE 👍 tuiunge mkono Taifa Stars dhidi ya Kenya kundi C la #AFCON2019 #KENTAN
4
10
84
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
7 years
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akitoa ujumbe wa kuikaribisha @everton Tanzania. #EvertonInTZ
0
15
85
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
Mabao 5⃣0⃣ Meddie Kagere (20), Emmanuel Okwi (15) na John Bocco (15) wamefunga jumla ya mabao 50 kati ya mabao 72 ambayo yamefungwa na Simba kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Neno moja kwao............................
Tweet media one
7
3
78
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
5 years
📲Siri ya ushindi! Mshindi wetu wa #SportPesaJackpot Kingsley Pascal hutumia wiki nzima kuandaa mkeka wa Jackpot 😒 Msikie 👇akipiga stori ya @IdrisSultan kisha wahi chaneli yetu ya YouTube 👉 kutazama mahojiano yote
2
5
65
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
✈️Tumewasili! | @AFCLeopards Kikosi kamili cha AFC Leopards kimewasili Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kutoka nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki michuano ya #SportPesaCup ambapo watafungua dimba dhidi ya @SimbaSCTanzania Januari 23. ____
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
11
74
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
6 years
💪Komaa mpaka kieleweke! Ushindi huleta furaha, faraja na ari ya kupambana zaidi ambayo hukuongezea moyo wa kujiamini siku hadi siku. Washindi hawakati tamaa; komaa mpaka kieleweke. #MondayMotivation
1
7
73
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
2 years
🎫 👕🚎Shinda jezi, tiketi ya kushuhudia DERBY pamoja na TOUR ya kukutana na wachezaji uwapendao wa YANGA. 🤔Jinsi ya Kushiriki: 1. FOLLOW kurasa zetu 2. jibu swali hili 3. Like, watag marafiki watano(5) post ya swali. 4. Hakikisha wanafollow page yetu. #SportpesaYangaTour
Tweet media one
29
13
75
@TZSportPesa
SportPesa Tanzania
4 years
Simba kama Simba, uzi mpyaaaa❗ Leo tuna washindi mmoja wa Jezi Swali 1️⃣Jackpot ya SP imetusuliwa mara ngapi?? Wakwanza kujibu swali haya kwa usahihi watashinda Vigezo na Masharti kuzingatiwa Usisahau kusuka sasa mkeka wako wa ushindi uchomoke na Mamilioni #ChezaBilaBando
Tweet media one
39
4
73