๐๐ฉ๐ฅ๐๐ง๐๐จ๐ซ ๐๐ฒ๐ซ๐ข๐จ๐ฌ๐ฆ
2 years
Leo Ally ameteuliwa kuwa kaimu mkurugenzi idara ya michezo nchini Tanzania, ameshika nafasi kubwa kuliko ambayo aliyokuwa anaitaka mwanzo, Hivi sasa TFF ipo chini yake, Wallace karia na viongozi wote wa TFF wapo chini yake, yeye ndio Boss wao.๐ฅ
โฝ