Sidraz🇰🇪✊🏾 Profile Banner
Sidraz🇰🇪✊🏾 Profile
Sidraz🇰🇪✊🏾

@SidrazTz1

8,254
Followers
8,370
Following
808
Media
81,124
Statuses

❤️$⚽ Club Manchester United & Simbaa Sports Club....💪💪💪

Kenya
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Mitandao Bhana, Masikini Anajifanya Anazo, Matajiri Anko Wanajifanya Hawana, Wenye Kazi Anko Wanaposti Upuuzi Na Kujiita Jobless, Jobless Wanajifanya Wako Seriously Na Maisha, Mjinga Anajifanya Ana Akili Hii Ndo Mitandao Anko 🙏🏾
67
129
247
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Ujue wanaongea Sana aisee Lakini kwa tabu wanashangilia ushindi wa kupewa aisee kwa hali hii mnataka ubingwa nipo palee aisee
Tweet media one
448
45
2K
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
R.I.P. Halotel Salamu Zifikie Ndugu Wa Marehemu Vodacom Popote Walipo Na Tigo Bwana Ametwaa Na Bwana Ametoa jina liimidiwe Ameen 🤲
Tweet media one
190
93
1K
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Done deal Tunakimbiza Mwizi Kimy Kimy atuna kelel GGMU 💪💪🤲🤲
Tweet media one
32
8
736
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Anacheza kwa Nidhamu Kubwa Mno Cassemiro Mwenyezi mungu Amsimamie Amalize Bila Kadi Ameen Ana kazi Mzuri siku ya jumapil
Tweet media one
60
10
551
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Kama Umepata bahati Wazazi Wako Wote Wawali Wapo Hai Anko Mshukuru Sana Mungu 🙏
Tweet media one
30
49
405
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Mawakala Wa Tigo Wanaupiga Mwingi Kwakwel
Tweet media one
38
15
391
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
7 months
G morning 🌅 Family
Tweet media one
37
52
314
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Mnasemaje Wapwaaa 🥱
Tweet media one
37
14
268
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Ten Hag : Vijana Wameamka Salama Na Wapo Tayari Kupiga Pale Pale Kwenye Mshono
Tweet media one
8
8
271
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
5 months
Anko Karibuni KWENYE Group La Kuinuana Follow Tukuungee Chap Anko Usijiongeleshe Mwenyewe Anko
Tweet media one
99
58
269
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Muda Wa Kuinuana Wapwaa 🔥🔥 Drop your handle 👇👇
Tweet media one
90
49
253
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Hii Kitu Inaenda Kujirudia Kabisa Yaani Ubingwa Wetu Upo Mikononi Mwao
Tweet media one
15
10
254
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Wapwa hii imekaaje Aisee
Tweet media one
100
17
232
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Zangu Tuwe Makini Tu AISEE 😀
Tweet media one
46
36
233
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Huyu jamaa mshahara wake awekewe mapema sana na kama mkataba waongeze mapema mno 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Tweet media one
7
24
232
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Thanks Mom ❤️
Tweet media one
50
49
215
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
10 months
Kama Unamjua Mtaje 🙂😊
Tweet media one
33
17
198
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
10 months
Najiona Mimi Kabisa Yaani
25
39
195
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Walahi Mateso Ni Mengi Mno Kwa Dunia Aisee Pesa Joto Daah 🥱 Punguza stress Mtu Wangu
18
30
168
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
😂 Fb Bana Aya
Tweet media one
29
28
145
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Ebwana eeeh Bi mkubwa anaupiga mwingi Walahi 🥱😁
Tweet media one
18
46
142
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Kuna Maisha Ya Aibu Kabla Ya Mafanikio. 🙂
Tweet media one
16
36
141
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Embu Tuambie Ni Uongo Gani Ujapenda Kutoka Kwa Huyu Binti 🙂
Tweet media one
16
24
134
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
🥱😎
Tweet media one
23
40
136
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 months
Anko Zangu hii Ni Jioni Tu Drop your handle Hakikisha UNA MFOLLOW YOYOTE Yule LET'S CONNECT 🔥🔥
Tweet media one
78
20
133
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Muda mwingine ubaili so mzuri Kabisa unashindwa kuweka pesa upate mchezaji mzuri unabana pesaa kiukwel bwana Mdogo anajua boluu Manchester United tulikuwa wapi aiseee Fundi
Tweet media one
9
3
123
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
😂😂 Mademu Wa X Humu
Tweet media one
34
22
126
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Ni muda Wa kuinuana Joined 2024 Drop your handle 👇
Tweet media one
57
37
121
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Marafiki Wamekuwa Chanzo Kikubwa Cha Kukatishaa Mafanikio Yetu Katika Maisha So Kuwa Makini Na huyo Unaye Mwita ni Family Yako Kumbe Ni Adui Wako Wa Mafanikio Yako.
14
51
117
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
10 months
Kuna Wakati Kama Sehemu Awatambui Samani Yako Ni Kherry Kwenda Kutafuta Changamoto sehemu nyingine Morning
Tweet media one
14
38
112
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
7 months
Kila Kitu Kina Mwisho 🥱😎
Tweet media one
7
19
112
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
7 months
Kuna followers Wengi Leo Drop your handle 👇👇
Tweet media one
50
35
109
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 months
Let's be connect with me ifb now 🇰🇪✊🏾🛜🛜🚀🚀
85
68
109
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Kwenye Sex Usiwe Na Huruma Na Mwanamke Peleka Pumzi Ya Moto Mno Baadae Utanishukul 🥱
16
25
105
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Mwenyezi Mungu Habariki Hustle Zetu Kwa Siku Ya Leo Ameen 🙏
Tweet media one
16
30
105
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Kiumbo inshallah Mora kamjalia ana mwendo wa kimiss Mimi napendaa anavyotembea 🫴💕
Tweet media one
14
38
102
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Ukimwi Upo 🙏🏾
Tweet media one
17
25
97
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
9 months
Ety 😂
Tweet media one
11
34
98
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Zipende Nyakati Ngumu Maana Ndio Zitakuonyesha Watu Sahihi Uliosimama Nao Kwenye Maisha Yako..📌
14
50
95
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Hii Nchi Unakuta Mdada Wa 2000 Lakini Kifua Cha Mwaka 1985 😅
26
20
93
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
3 months
Anko Achana Na Aibu Za Wengine Angalau Upate Muda Wa Kuzistiri Aibu Zako Anko... Good morning 🌅
36
60
95
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Muda Kama Huu Umetulia Cheki Movie 🎥🍿 🔥
Tweet media one
14
26
95
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
7 months
Kuna Watu Watashindwa Kujua Huyu Ni Msani Mkubwa Nigeria Ni Nani 🙂
Tweet media one
25
18
90
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Good morning Family
Tweet media one
21
37
89
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Hakuna Mtu Mzuri Kwa Kila Mtu Na Hakuna Mtu Mbaya Kwa Kila Mtu. Endelea Kuwa Mzuri Kwa Wanaojua Thamani Yako Tu Anko
21
53
86
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
3 months
Anko Tupo Mbali Na Nyumbani Tunapambana Irudi PESA au Irudi MAITI Ukiona Huwezi Kutusaidia Basi Usitufanyie Fitna. Anko
31
55
86
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Tafuta Hela Umtoe Huyo Mtoto Wawatu Out. Mapenzi Gani Hayo Mnachati Kama Madalali.✍️
16
34
83
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 months
Ijumaa Kareem Anko Zangu Dua Ya Mtoto Kwa Mama Ni Kubwa Mno Anko Zangu Tuwaombee Mama Zetu Popote Walipo Amen 🙏🏾
Tweet media one
14
37
81
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Kwenye Hii Challenge Ya Circle Kiukwel Nimetupwa Mbali Sijajiona Ata Moja Anko Daaah
Tweet media one
15
28
86
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 months
Anko Sasa Wewe Endelea Kujifanya Ujuhi Kufollow Watu Kufollow back Huku KINAWAKA 🔥🔥 DROP YOUR HANDLE
Tweet media one
74
32
80
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Good morning Ameen 🙏
Tweet media one
12
30
81
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Tunaendelea Tulipo Ishiaa Binadamu Wepesi Kusaau
Tweet media one
9
2
82
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
11 months
Wapwaa Sisemi Sana Fanya Kutafutaa Movie 🎥 Hiyo
Tweet media one
17
24
79
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
0
1
68
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Kuna Wakati Anko Inakubidi Kuwa Na Maamuzi Magumu Ili Kufikia Malengo Yako Anko Usiogope Wala Kukata Tamaa Anko Asubuh Njema 🙏🏾
Tweet media one
15
38
78
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Chanika Inazidi Kuwa Ya 🔥🔥 Karibuni Chanika Wakuu 😊😎
Tweet media one
11
14
77
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
7 months
Natamani Baadhi Ya Watu Ningewafahamu Mapema Sana, Wengine Ningewafahamu Baadae Kidogo Na Wengine NISINGEWAFAHAMU Kabisa.✍️
11
34
77
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Kuna Umri Ukifikia Unakuwa Huvutiwi Kabisa Na Mambo Mengi Ya Kipuuzi Kichwani Kinajaa Majukumu Ambayo Wa Kuyatimiza Ni Wewe Na Wala So Baba Wala Mama.✍️
14
40
75
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 months
Anko Tumshukuru Mungu Kwa Kutuamsha Salama Na Kuweza Kuiona Siku Ya Leo Muwe na Jumapili Njema 🙏🏾
Tweet media one
27
44
76
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
9 months
Nasoma Comment 🥱 Twende Kazi Wapwa
Tweet media one
29
12
78
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Ety Anko Zangu 🥸
Tweet media one
10
19
73
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
Aisee Tumefikia mbali Mno Wakuu
Tweet media one
2
9
76
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
7 months
Unamkumbuka Kwa Kipi Mzee Wetu Drop your Comment 👇
Tweet media one
13
17
74
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
Onana 🙌🙌🔥🔥 Welcome United
Tweet media one
3
4
75
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
0
0
71
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
1
0
70
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Kuna Msanii Anakwambia "Vipo Vya Kuvumilia Lakini So Mapenzi 💔 Mapenzi Yanaumiza Pia Anamalizia Kwa Kusema Amini Unayempenda Naye Pia Anawake Anampenda Anko. 💔
17
42
74
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Hizi chocolate 🍫 Siku Hizi Zinakuja Kwenye Mfumo Tofauti 🥱😎
Tweet media one
14
21
70
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Kuna Muda Kama Tulikukosea Tusamee Ole
Tweet media one
2
3
72
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
19 days
Good morning Anko Zangu 🙏🏽
Tweet media one
35
55
71
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
0
2
63
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Kikundi Cha Wachimba Mchanga Msimbazi Kilichopo ULAYA 😂
Tweet media one
10
18
67
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
10 months
Usiruhusu Njaa Ikufanyie Maamuzi Ukishiba Utajutaa 🌅
15
35
71
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
10 months
Dunia Isitufanye Tukasaau Kuwa Sisi Ni Wakupita Tu
Tweet media one
5
33
68
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Amka Sasa Nenda Kapambane Shujaha Usiye Katatamaa. Iwe Siku Njema Kwako Anko 🙏🏾
18
30
67
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 months
I FOLLOW BACK NOW LET'S CONNECT WITH ME 🚀🚀🚀🛜🛜
62
48
66
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
Mchelee Unatosha Tu Kwakwel ,😂😂
Tweet media one
3
4
65
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
5 months
Wapenda Nyuma mna pesa Ya Bomba 😎 Anko Nyuma So Kizuri
Tweet media one
19
14
64
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
0
0
67
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Umeshika Nini Mkononi Now 😎
Tweet media one
17
14
65
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
2 years
1
0
62
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
10 months
Jobless kidogo Nimejipata kwa Leo Aisee
Tweet media one
9
17
68
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
0
0
56
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Watu Wengi Walikwama Wewe Ukawapitisha Kwanini Nisaau Kama Nina Miguu Miwili Umenipa Na Macho Naona Mimi ni nani nisiye Weza Kusema Asante Mungu Kwa Siku Ya Leo. 🙏
19
48
62
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
4 months
Anko Nimekuja Kugundua Kuwa United Ni Team Ambayo Inapendwa Mno RT GUMU 🛑🛑
Tweet media one
5
19
63
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
Wanawake Mbona Mnatuchanganya Sana Ndo Kwanza January Hii Kati Ya Pesa na Sauti Ya Jaiva Mnataka Nini..!!
7
26
64
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
1 year
0
0
66
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
6 months
Asante Mungu Kwa Siku Ya Leo Bali So Kwa Ujanja Wangu Ni Mapenzi Yako 🙏
Tweet media one
17
30
61
@SidrazTz1
Sidraz🇰🇪✊🏾
8 months
0
0
56