Jirani yangu alivamiwa na vibaka wakati anaenda kwenye mishemishe zake asubuhi, bahati nzuri aliwajua kwa Sura anasema ni vijana wa mtaani, bahati mbaya walimchana kwenye mkono, akaenda polisi kujielezea. Wakati nazungumza nae aliniambia alichoambiwa polisi ambayo ni 👇🏽