Happy birthday dam yangu
@officialbabalevo
mtalaamu fundi manyumba nimekulea sana mmbwa wewe🤣🤣🤣 Nshukuru Mungu sasa umekuwa tajiri sana😇 Mungu akutunze unipe mihela kama uliyonipa leooo👌♥️🥂🎂🎂🍡
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila alisema Dar huwezi kuitenganisha na starehe, na starehe yenyewe ni kula jamani.
Asante Mheshimiaa kwa kufika ShishiFood.
Mpuuzeni yeyote anayewaambia Ng’ombe wa maskini hazai na kwamba hamuwezi kutoboa kwasababu hamna shangazi wala mjomba Serikalini.
Mtangulize Mungu na ukipata nafasi fanya kwa bidii, Subra ni ibada, Heshimu kila mtu, Ukipata kidogo usisahau kula na wa kwenu🙏
HILI ni kubwa sana Kwangu
Binti yangu wa pili Rahma amenifurahisha mwenzenu matokeo yake ya kidato cha nne kanipigia Div ONE yake saafi. Asante mwanangu😭😭😭 mama yenu nawapambania na mnanipa moyo mnoo na mnanitoa machozi ya furaha sana. Mungu nakushukuru sana kwa hili🙏
Basi moyo wangu umefarijika sana baada ya mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makala kufika Shishifood.
Ameonyesha uongozi wake na kunisapoti sio tuu kwa maneno kama alivyonitaja juzi bali kwa vitendo pia. Kuja kwake leo hapa kuna maana kubwa sana kwenye safari yangu ya kijasiriamali.
Shishi food tumepatwa na msiba mzito
Msiba ambao machozi yake ni kila shishi food ikisifiwa kwa uzuri wa chakula kizuri kwasababu nyuma ya chakula hicho kizuri mkono wa mama Mariam ulikuwepo. Ametoka mbali na shishi food hadi leo hii Mama Mariam hatuko nae tena. 🙏🏽
SHISHI FOOD MPYA, DAR
Nikiandika mengi nitakosea maana hapa Natetemeka, Namuogopa Mungu sana, Namshangaa Mungu wangu😭😭
Tunapatikana KIJITO NYAMA ofisi za kata, na si mbali sana na polisi mabatini.
Asanteni sana kwa support yenu na kutuamini.
Jamani eeeeh Nyieeeeeeee hebu njooni kwanza mnishike mwenzenu nina furahaaa jaman mimi💃💃
Joyce wangu amenifutia aibu amenifanya nione kumbe ada haziendi buree jaman. Amepata Division ONE ya 7 kwakwel nimefurahi sana.
Hongeraaa sana kwa uongozi wa shule ya Imperial secondary.
CHAKULA NI BUREE
#SHISHIFOOD
Furaha yangu kubwa sana. Uhai, afya na upendo mnaonipa ni zawadi toka kwa Mungu
Sina cha kuwalipa wapenzi wangu. Angalau SAA 6 MCHANA MPK SAA 8 CHAKULA NI BUREE iwe kama ishara ya kurudisha japo kidogo changu kwenu🙏
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema zake nyingi na uhai.
Pili namshukuru Rais Samia Suluhu kwa imani yake kubwa kwangu kuisaidia nchi yangu kwenye mapambano dhidi ya Malaria.
Namuomba Mungu anisaidie niweze kutumia kila kipawa na karama aliyonipa kwa utukufu wake.
Kuna ndugu zangu wameanza kunifananisha na mama. Najua wananijaza 😅 lakini mimi ni nani nikatae hizi baraka?.
Basi nikasema nijaribu huu ushungi wa rangi ya mamlaka halafu na miwani nayo ikaona isibaki nyuma, ili mradi tuu.😄
Vipi wapenzi wangu eti tumefanana kweli?😄
Kaka yangu Kayombo John, Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji. Baada ya kutoka kukabidhi mwenge Temeke Leo akaona apite kwa mdogo wake kunisupport 🙏
Happy birthday Mume wangu Mungu akutunze na Akupe afya njema! Na akufungulie mema na kila unachotaka upate inshaaaalllha Nakupenda mdigo wangu ♥️🎂🎂🎊🎉
@Rommy3d