@beatrizrams
Essa situação é extremamente delicada e envolve muitas emoções. A decisão de ter um bebê enquanto enfrenta uma doença terminal é algo que poucas pessoas podem entender plenamente. Embora possa parecer egoísta para alguns, é possível que a pessoa tenha motivos muito pessoais e
#UZI
MZUNGUKO WA SIKU KWA WANAWAKE
Hii itawahusu Sana Wadada na Mabinti na kwa wale waliopo kweny ndoa Kuna somo hapa.
Shuka nayo usisahau kuwatag Wadada kweny Comment wajipatie madini✍️
Tunafahamu kuwa, mpira una raha yake, ila kumzawadia umpendae ni raha zaidi! 🥳🎁
#SambazaFuraha
kwa mtu wako wa karibu kwa kumshindia simu toleo la CAMON 19 au SPARK 9 Sports Edition BURE!
Unachotakiwa kufanya:
1. Quote tweet pinned tweet hii
soma zaidi 👇
#UZI
NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIES KWENYE SIMU.
Shuka nayo Mjomba
Japokuwa Bando limekuwa Changamoto Sanaa ila Kuna wengine wanatumia Wifi au Swala la bando kwao sio tatizo na pia ni wapenzi wa Movie na vitu vingine Kama Music App Games Documentary na vingine vingi
#UZI
FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO.
Najua Hii inawagusa Wajomba wengi Sanaa Sasa shuka nayo usisahau kupiga Retweet Vijana wengi waipate ikawasaidie🙏🙏🙏
Ni wakati wa "Level Nyingine" 🎁🥳🎁
#SambazaFuraha
kwa mpendwa wako kwa kumshindia simu toleo la SPARK 9T BURE!
Unachotakiwa kufanya:
1. Quote tweet pinned tweet hii
2. Weka na ujumbe mfupi wa kumthamini na kisha kum-Tag mtu huyo!
Soma zaidi 👇
Nimegundua kitu bhn ukihifadhi sh 500 kwa mwaka unapata 1,260,000
Kwa wiki 500 x 7 = 3,500
Kwa mwezi 3,500 x 30 = 105,000
Kwa mwaka. 105000 x 12 = 1,260,000
Pesa ya kutosha kabisaa hii wazeee
YAFUATAYO NI MATUNDA YATAKAYO LINDA AFYA YAKO NA KUKUPA NA NGUVU WAKATI WA TENDO.
Matunda haya Kitaalam yana Uwezo na Virutubisho mbali mbali ambayo kwa leo sitayataja ila Mjomba wewe yatumie kwa Faida🙏
📌Ndizi mbivu
📌Tikitimaji
📌Parachichi
📌Pilipili
📌Maji ya kunywa
Share huu UZI kwa Vijana wapate kupona tuokoe taifa Kama swali Drop Comment, changamoto, Mbinu mbadala na namna ya kufanya pia shuka kweny comment
Follow me Piga Retweet Tag Wajomba wengine
Wenu katika kazi
#Mtuwauziwamchongo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Fanya Haya yafuatayo
👉Acha kuangalia Picha na video za ngono ❌❌❌
👉Jipe Majukumu na uwe na Ratiba maalum
👉Usipende kukaa Pekee yako
👉Fanya Mazoez
👉Jiunge na vikundi vya kubadilishana mawazo
👉Tafuta mtaalamu Kama umezidiwa sana usione aibu
👉Fikiria kuhus madhara yake
Fanya Kitu kimoja wewe kula mlo wako wa kawaid alaf malizia na hivi vitu
Chukua
➡️Limao -2
➡️Karoti -2
➡️Vitunguu Swaumu -2
➡️Tangawizi -2
➡️Tikitimaji Kipande kile Cha Jero
➡️Maji Glasi -3
Tengeneza Juisi yake piga kutwa Mara 3 Asubuh Mchana na jion kwa siku 3.
📌Tangawizi
📌Unga wa Mbegu za Maboga
📌Red Wine(Mvinyo Mwekundu
📌Asali
📌Kahawa
📌Unga wa Dona
📌Zabibu
📌Mayai
📌Spinach
📌Pweza na Chaza
📌Chocolate
📌Vitunguu Swaumu
📌Karanga
📌Malimau(Limao)
Hiyo pia kama Ni gharama Fanya ivi Piga msosi wako wa kawaid alaf pita gengeni Chukua
▶️Tikitimaji Kipande
▶️Ndizi 1
▶️Kitunguu mswaumu Vipande Viwili Meza Kama dawa
▶️Karanga mbichi hata Za sh 100 ilimradi iwe imefika punje 8 nakuendelea
▶️ Parachichi Kipande 1
▶️Maji Lita 1