Odo Profile Banner
Odo Profile
Odo

@NajjatOmar

45,302
Followers
1,938
Following
4,020
Media
175,383
Statuses

@TheChanzo Multimedia Journalist || Voice Over || Awards Winning Journalist.

Zanzibar West, Tanzania
Joined March 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@NajjatOmar
Odo
9 months
"Najjat Omar: ๐Ÿ–‹ Senior journalist at @TheChanzo . Award-winner in Gender, Tourism, and Investigative Reporting. Crafting stories, lending voice to audio dramas. ๐Ÿ†๐ŸŽค Passionate storyteller. #Journalism #AudioArtistry "
Tweet media one
56
111
510
@NajjatOmar
Odo
4 years
Asalam Alaykum kwa waume wote wenye Ndevu โค๏ธ๐Ÿ˜
413
50
3K
@NajjatOmar
Odo
4 months
Moyo wangu leo umevunja Yarab ,Mama yangu amefika mbele za haki ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Alhamdulillah ๐Ÿ™๐Ÿฝ
896
134
2K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Nilimpoteza Anty yangu kwa huu Ugonjwa๐Ÿ’”, Sitaweza kabisa kukupoteza na wewe, Allah akulinde kipenzi, Ya Allah Simama nao wote wanaopitia mazito, Ya Allah waponye.. Usimchukue na yeye ๐Ÿ˜ญ
184
65
2K
@NajjatOmar
Odo
5 years
Mkigombana na mwanamme akasema hivi "Aaaaaahh yaishe basi" kheri unyamaze tafadhali, heshimu hio sentensi. Tafadhali heshima hio sentensi. ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ˜Š
205
78
2K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Dear Ladies, Wanaume wanaweza kustahamili mengi ila sio mdomo mchafu ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ˜”
164
99
1K
@NajjatOmar
Odo
2 years
+1 Alhamdullilah ๐Ÿ˜๐ŸŽ‚
Tweet media one
324
72
1K
@NajjatOmar
Odo
3 years
Kuna Siri gani kwenye hizi Marathon?
118
27
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Wanamadhaifu yao kama Binaadamu, ila wapo wengi sana ambao wanapambana ili Wanawake tuishi wengine wanashughulia familia zao mpaka za wenzao ili amani iwepo.. Wanaume sio wasanii ๐Ÿ™๐Ÿผโค๏ธ
117
70
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Hongera kwa wanawake wote duniani waliokaa nafasi za Baba kwenye familia zao #HappyFathersDay
188
49
1K
@NajjatOmar
Odo
3 years
Samahani tutani Wanaume huwa hamuoni Haya maumbile yenu kuonekana na wanawake wengi?
283
24
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
BABA ALIYAWABAKA WATOTO WAKE WANNE WA KIKE. Mwaka 2018 nilipata kazi ya Kwenda Igunga siku mbili wakati nikiwa kwenye gari narudi Mjini nilikaa siti ya mwisho na wazee wa makamo hivi walikuwa wanasema lazima alipe alipe tu ,waliona nawasikiliza wakaanza kuzungumza lugha nyengine
219
209
1K
@NajjatOmar
Odo
5 years
Nimemaliza Kuswali Dhuhuri.. Ghafla nimemkumbuka Marehemu baba angu ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข Muda huu alikuwa Nyumbani anakula nami narudi Shule alikuwa ananiambia "Bi Naa njoo ule hapa kwanza, uswali kisha Madrasa" Allah akurehemu Kipenzi. Awarehemu maiti wote na kuwapa Nuru ya Kabri ๐Ÿ™
148
54
1K
@NajjatOmar
Odo
2 years
Eid Mubarak ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜
Tweet media one
137
51
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kuna Familia Adhana Ikiadhiniwa, Mume, mke, Watoto na Dada wote waanamka na Kuzungumza na Allah, Alhamdullilah kwa hii familia. ๐Ÿ˜”๐Ÿ™๐Ÿฝ
39
61
1K
@NajjatOmar
Odo
3 years
Samahani naomba kuuliza hivi na wanaume nao wanatumika kingono?
173
23
1K
@NajjatOmar
Odo
2 years
Ukipigwa tukio kwenye mahusiano, jikaze, kuweka status ni udhaifu ๐Ÿ˜‚
103
69
1K
@NajjatOmar
Odo
3 years
Raha ya Mwanaume Ajue Dini.
112
42
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Men, ushawahi kununua Pads kwa ajili ya mtoto wako,mke,mchumba au Gift kwa mtu yoyote? Ilikuwaje?
192
27
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
1+ Alhamdullilah, Happy Birthday Najjat โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ
201
26
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Ukipima Ukimwi Leo na ukakutwa unao... Utafanyaje?
289
10
985
@NajjatOmar
Odo
2 months
Nimekaa newsrooms ya Radio miaka 8 nikiwa kama mwandishi na Meneja wa Vipindi,juzi niliomba niende kusaidia radio moja ya dini huku Zanzibar kwenye kureform news bullet yao bure kabisa ,Wallah kiongozi wao amekataa baada ya kusikia jina langu ,kwa sababu mimi ni mwanamke ๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿ™๐Ÿฝ.
115
85
1K
@NajjatOmar
Odo
4 years
Baada ya Habari kwa Ufupi.. #RamadanMubarak ๐Ÿ˜๐Ÿ™
Tweet media one
83
32
969
@NajjatOmar
Odo
1 year
Alhamdulillah +1 ๐ŸŽ‚
Tweet media one
255
88
977
@NajjatOmar
Odo
2 years
Asalam Alaykum โค๏ธ
Tweet media one
147
44
964
@NajjatOmar
Odo
2 months
+1 ๐ŸŽ‚ Alhamdulillah
Tweet media one
Tweet media two
249
93
974
@NajjatOmar
Odo
4 years
Ushawahi Kupanga Date na Mtu alafu ukaenda ila alipotokea hukumpenda ulifanyaje?
135
16
932
@NajjatOmar
Odo
3 years
Odo ๐Ÿ˜
Tweet media one
91
20
905
@NajjatOmar
Odo
3 years
Baaada ya Miaka 6, leo Mama yangu amenitambua kwa Dakika kadha ameniambia "Bi naa hujambo? ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Alhamdullilah ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
76
27
902
@NajjatOmar
Odo
4 years
My Smile.. Mrs O ๐Ÿ˜
Tweet media one
92
18
884
@NajjatOmar
Odo
4 years
Akikupenda na ukampemda na akasema atabaki nawe japo Ana mke, Fanya hivi Tulia, Jiheshimu mheshimu yeye na Mkewe punguza kujipambanisha na Mke wake,kujipambanisha kutakurudisha Nyuma, kuwa mchepuko ni kuwa na heshima. โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ
133
48
890
@NajjatOmar
Odo
3 years
Kumpenda na kumpa zawadi wifi yako kabla hujaolewa ni Sawa au shobo?
138
22
864
@NajjatOmar
Odo
5 years
Kuna wanaume hawa kazi Maaalum, wanahangaika ili maisha yaendee ila wanafanya kila wawezalo kuwapa wenza wao Furaha, sio wahuni, sio waongo, wala wapigaji, Ukimpata huyo mtunze na umsaidie anapoishiwa au kuhitaji kitu #MondayMotivation ๐Ÿ˜
122
76
884
@NajjatOmar
Odo
3 years
Humu wengi wetu ni Apeche Aloooo ila Mashauzi mengi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
114
21
850
@NajjatOmar
Odo
4 years
Gentleman anauliza "Can I Call?" Muende Peponi nyote wa style hii. ๐Ÿ˜๐Ÿ™๐Ÿผ
100
27
850
@NajjatOmar
Odo
4 years
Outfit yangu Leo ni โค๏ธโค๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
134
20
858
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kabla hujazama DM. Someni Bio za watu... Kaaaaaaaaah ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
96
11
846
@NajjatOmar
Odo
1 year
Chombo y Fundi ๐Ÿฅฐโค๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
@NajjatOmar
Odo
1 year
Fundi Sule ameshona hii gauni vizuri nimependeza sana ๐Ÿ˜โค๏ธ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ
6
1
26
80
30
860
@NajjatOmar
Odo
3 years
Naombeni Wallpapers za Paka ๐Ÿ™๐Ÿฝ
182
21
800
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mabaro baro nao wanajadili kufuliwa wakati wengi wanaishi chumba kimoja Daaaaah๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
119
5
781
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mpishi Vs Pishi
Tweet media one
Tweet media two
161
33
793
@NajjatOmar
Odo
5 years
Anaweza akawa hana pesa za kukupa au kukutoa out au kukusapoti kifedha kwa asilimia unazotaka ila akawa Mshauri, msaidizi, mcheshi na mwema basi amini anakupenda. โค๏ธ #IjumaaQareem
65
65
793
@NajjatOmar
Odo
4 years
Allah awaongeze Rizki za Halal wanaume wote wanatunza Familia zao, Hususan mama zao, Hususan wanaishi nao nyumba moja ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™๐Ÿฝโค๏ธ
62
45
799
@NajjatOmar
Odo
4 years
Dear Ladies.. Hakuna mwanaume singo humu, walio wengi wanatafuta sehemu za kurekebisha Akili zao, mahusiano yao na kutumia vizuri Viungo yao. Ukiwa mpya humu hutaelewa ila nakutarifu ๐Ÿ˜Ž
182
18
778
@NajjatOmar
Odo
5 years
Dear Ladies Ukiwa humtaki au sio hadhi yako jitahidi usimtukane, usimdharau, usimjibu vibaya maaana maneno yako yanaweza kuharibu Akili yake Maisha yake yote. Heshimu na jibu kistaarab au Acha.
69
74
779
@NajjatOmar
Odo
4 years
"Wanakufanya Rafiki wa karibu TL kisha wanakuja DM Kukukopa, ukisema sina wanakuchukia" Unknown - 1654 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
90
43
757
@NajjatOmar
Odo
3 years
Dini yangu ilikuwa sahihi Kusema Tusitumie Jina la Mume kama la Baba yako.
42
28
770
@NajjatOmar
Odo
4 years
My Eid Look.. โค๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿง•๐Ÿฝ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
112
30
758
@NajjatOmar
Odo
3 years
Mwalimu Apigwa Makofi na Wazazi wa Mtoto aliyekatwa Nywele kwa Mkasi Shule.
64
19
744
@NajjatOmar
Odo
4 years
Najjat wangu โค๏ธ๐Ÿ˜๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
89
16
756
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mpenzi Msichana kama unakaa kwako na uko mwenyewe, jitahidi kukipa stara kitanda chako, wanaume wengine wana mikosi, wana uchafu wa nafasi na Mengine mengineyo. ๐Ÿ™๐Ÿฝ
82
56
764
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mpemba โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ˜
Tweet media one
74
18
756
@NajjatOmar
Odo
3 years
Mama yako alishawahi kusema....
134
33
726
@NajjatOmar
Odo
4 years
Dear Ladies... Uko tayari kulea mtoto wa mwanamme umpendae?
88
12
732
@NajjatOmar
Odo
2 years
Eid Mubarak ๐Ÿค—โ™ฅ๏ธ Mama wawili ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
113
38
745
@NajjatOmar
Odo
4 years
JANABA Haya ni machache niyajuayo kuhusu Janaba unaweza kusoma na Kujifunza na itakusaidia. Janaba ni hali ya mwanamme au mwanamke kutoa maji (manii) sehemu yake ya mbele au kujimiana baina ya mume na mke , ikiwa manii yatashuka katika tupu zao basi hapo ndo janaba huanza.
128
100
729
@NajjatOmar
Odo
1 year
Allah hakunipa mwenza ,bali msiri, na msimamizi wangu .Mimi kwako ni kijazakazi wa huba na penzi lako. Happy Birthday ๐ŸŽ‚๐ŸŽˆ๐ŸŽ‰ Love Nakupenda โค๏ธ๐Ÿฅน
Tweet media one
101
43
754
@NajjatOmar
Odo
1 year
Eid Mubarak โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
Tweet media two
83
52
738
@NajjatOmar
Odo
4 years
#EidAlAdha โค๏ธ๐Ÿ˜๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
74
39
722
@NajjatOmar
Odo
4 years
Happy Birthday Kipenzi, Hakika wewe ni Mfano wa Kusema Alhamdullilah Kila Siku ingiapo. @masoudkipanya
Tweet media one
23
20
727
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mpemba Akee ๐Ÿ˜๐Ÿคญ
Tweet media one
Tweet media two
74
29
704
@NajjatOmar
Odo
5 years
Dear Ladies ... Trust me Make up ni utumwa wa kujitakia... Be smart, be simple na unukie ka nyunyu kwa mbali.. Imeisha hio.... ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ™„
63
48
701
@NajjatOmar
Odo
4 years
Ladies.. Ukitaka kumuambia Mkaka ni handsome unasemaje?
63
9
684
@NajjatOmar
Odo
4 years
Epuka Duara Chafu la Zinaaa, Duara ambalo liko hivi, Unazini, Unakoga kisha unaswali kisha unaomba Msamaah (inajirudia),Duara hili usipoliepuka litakuumiza kwenye Kutaka Magh-Firah, Allah atuhifadhi na Atakabali Misamaha yetu ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ˜”
63
68
699
@NajjatOmar
Odo
4 years
Ukienda Dukani au Sehemu ukaongezewa Chenji huwa unarudisha?
161
8
671
@NajjatOmar
Odo
17 days
Wasichana na wanawake Allah akikupa nguvu za kumpiga tukio huyo mkaka mwenye ndevu mpige haswa hadi asilale. Natanguliza Shkuran Odo๐Ÿ™๐Ÿฝ
201
54
719
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kipimo ni kwenye pua sasa papai lina pua? .. Nawazaje sijui ๐Ÿ˜‡
78
17
655
@NajjatOmar
Odo
1 year
Sisi ndo tupoo ๐Ÿ™‚
234
122
685
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mkaka Handsome kweli Ana Ndevu nzuri ila umbea wa Dr Kumbuka ๐Ÿ˜Ž
45
16
655
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mwanaume mwisho kuweka Status picha zake ni mbili Tu na si vyenginevyo.
82
15
671
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mkumbuke Kuoga Janaba.. Maana uchafu wake ni mikosi. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
59
18
659
@NajjatOmar
Odo
5 years
Kuna watu Kisha kuna My @jaliluzaid .. Nakupenda sana liwalo na Liwe wacha Leo niseme wakikuliza maswali Nitajibu mimi. ๐Ÿ˜โ™ฅ๏ธ๐Ÿ™
94
19
654
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kama Hajali, andika msg Nyingi WhatsApp kisha Futa.. Angalia atakavyopanic ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
82
15
666
@NajjatOmar
Odo
1 year
Mwenza wako amekuaga kwenda kutafuta kisha unapigiwa simu na watu kuwa ni mfu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Maskini huyu Dada analia.
48
31
682
@NajjatOmar
Odo
10 months
Scarf โค๏ธ
Tweet media one
92
50
677
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kitu kikubwa utakachopoteza kwenye ndoa ni UHURU ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ˜Š
88
19
644
@NajjatOmar
Odo
4 years
Rais Hussein Mwinyi Ana Rangi la Mtume Mash Allah โค๏ธ
68
9
637
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kupiga pasi usiku,kupanga Madaktari kwenye begi la shule usiku na kuweka viatu tayari,Baada kuswali Fajri kuamka kupika chai, kufyagia, kudeki chooni na kumpika baba Kahawa kisha kujianda kwenda Shule.. Leo kumenifanya niwe mwanamke mwenye Ratiba Njema.. Alhamdulilah โค๏ธ๐Ÿ˜๐Ÿ™๐Ÿผ
53
23
648
@NajjatOmar
Odo
4 years
Rabbaana aatinaa fid-dduniya hasanatan wafil Aakhirati hasanatan wa qinaa adhaaban-naari. ๐Ÿ™๐Ÿฝโค๏ธ
66
63
657
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kama uko Tayari kumtumia mwenzio kingono kutokana shida zake... Je wewe uko tayari kutumiwa kingono ukiwa na shida zako?
79
18
645
@NajjatOmar
Odo
4 years
"Unanipenda?" Jibu kama mwanamme wa Kitanzania
208
11
639
@NajjatOmar
Odo
4 years
Mimi ni Najjat Wake โค๏ธ
Tweet media one
70
13
623
@NajjatOmar
Odo
2 years
Nimeachwa staki tena maswali Naenda beach kula upepo wa bahari Naumwagilia moyo mziki kwa mbali Jimbo lipo wazi sema nitakubali.. ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฝ
73
19
629
@NajjatOmar
Odo
4 years
Ndoa ni stara ila naomba mnisamehe kusema hivi, ndoa si kila kitu,kheri mpunguze hizi presha kwa wasichana wasome na wajipange kiuchumi na kisaikologia, wema wapo watakuja wakati sahihi โค๏ธ๐Ÿ™
77
55
637
@NajjatOmar
Odo
5 years
Amekuwa na Kuishi kwenye maisha ya Tabu, amesoma kwa tabu, Alhamdulilah Leo amepata kazi na amesema huyu Mwanamke nampenda ni mke wangu na mama Watoto wangu,Analipa Kodi, umeme, Maji, Chakula, na Bili zote pamoja na za Serikali, Shopping na out kama zote,Still unataka upewe 40%?
74
66
619
@NajjatOmar
Odo
4 years
Kila nikiwaza kuwa napendwa kipande, nahisi kuumwa homa, mwili unaisha nguvu ๐Ÿ˜”๐Ÿ™†๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
116
11
602
@NajjatOmar
Odo
3 years
Akimaliza kumfurahisha Watu. Kwa ajili ya Like na Comments niambieni niweke chats zake hapa.
47
11
596
@NajjatOmar
Odo
2 years
Tweet media one
47
16
614
@NajjatOmar
Odo
1 year
Tweet media one
@WilberMugisha2
Wily.๐Ÿ…
1 year
Define "smile "
50
17
137
47
19
618
@NajjatOmar
Odo
4 years
Ukitaka kunyongwa mda huu, Ila wakikupa nafasi ya kuagiza Chakula utaagiza nini?
152
4
613
@NajjatOmar
Odo
2 years
Chapati ๐Ÿ˜‹โค๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
92
30
623
@NajjatOmar
Odo
4 years
Waume za watu wenye Ndevu ๐Ÿ˜โค๏ธ
93
8
594
@NajjatOmar
Odo
3 years
Wanawake sisi.. Daah unamuibia mtu mume wake.. Kisha bwana Ake akimpost unamsifia 'Wifi mzuri Msalimiee" ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
45
11
597
@NajjatOmar
Odo
4 years
Msaada Tutani, 1 Kg ya viazi unatoa chips kavu ngapi? ๐ŸŸ๐Ÿ™
87
11
594
@NajjatOmar
Odo
3 years
Mungu ameumba Jamani huku kuna wakaka warefu wanandevu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
57
15
586
@NajjatOmar
Odo
4 years
Na Kwa Allah Hakuna Kubwa โค๏ธ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
82
15
597
@NajjatOmar
Odo
3 years
Naomba Coco aolewe Pwani tafadhali ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
22
8
583
@NajjatOmar
Odo
2 years
Ukiwa na mke mwenza usiwe mshari na kataa unyonge...akiwa na mdomo sana zamu za kule wewe umwaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
53
18
603
@NajjatOmar
Odo
2 months
Ugomvi w Esha na Shishi ,Esha amenyanganywa passport na NiDA ๐Ÿค
43
10
618
@NajjatOmar
Odo
1 year
Habibty Odo ๐Ÿฅนโค๏ธ
Tweet media one
64
37
604
@NajjatOmar
Odo
2 years
๐Ÿ˜Šโค๏ธ
Tweet media one
63
34
586