๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐๐ต๐ถโ๏ธ๐น๐ฟ
1 year
VASELINE COCOA RADIANT BODY OIL
Haya ni mafuta mazuri ya ngozi.
Yanasaidia ngozi yako kuwa laini na kugrow.
Uzuri wa mafuta haya yanaanzia kwenye harufu yake, harufu nzuri ya coconut chocolate.
Hii ni pure 100% coconut oil
Moja inapatikana kwa 23,000
Bei ya jumla ni 20,000