Nimekutana na kijana leo…akawa ananielezea kuhusu mfumo wa malipo alioutengeneza.
Asee nimesikiliza mpaka maskio yakaacha kuskia…..
Hapa ndo nikagundua Presentation ni tatizo…why would you use technical language with me…how do you expect me to understand?
Kwenye haya maisha usiwe mtu wa kutaka kupewa nafasi kwa kutia huruma….wakati utafika, Uwezo utahitajika na huruma iliyokuweka apo haitakua na nafasi tena…
Level tuliyopo hapa Tz hata ukiweza kurekebisha settings za simu unaitwa mtu wa IT.
Tunawajua watu wengi tu wanaofanya hivi na wanaendesha maisha yao kupitia mishe hizi.
Happy to say that hapa nnchini kuna vijana wabunifu na makini mno..
Leo hapa sabasaba nimekutana na mfumo unaoweza kutatua adha ya matumizi mabovu ya rasilimali (maji)
Kijana wetu ametengeneza prepaid meter unayowezesha kufanya malipo ya maji kabla ya kuyatumia.
My life turned around nilipojifunza
kua… hakuna asiyekuwa na changamoto…hivyo basi sina budi, kukabiliana na zinazonihusu na zilizo ndani ya uwezo wangu.
Time is not anybody’s friend.
Life has to go on….
Blessed sunday to y’all🥰
Hey there! Just wanted to share my digital marketing journey with you today.
I don't know why but something tells me there are eyes that are going to be opened from this post.
I must admit It's been quite a ride, moving from being a social media manager,…
Selling is a skill we all want to master so bad…
What makes it even difficult is the disability to create a fantastic marketing strategy…
that can ease the selling process.
At the end of the day…your intentions shall determine if you really deserve what you pray for. Be good ask for good to do good.
.
Have a blessed Sunday beloveds❤️
According to my experience…
.
Ni rahisi watu kuamini mtu kabla ya kuamini bidhaa…
.
That is why ni muhimu kujiweka upfront online…as in personal branding..
.
They have to believe you to purchase from you.
Crazy things been happening lately…kuna la kujifunza in every situation.
.
One thing is for sure dho…we still have a long way to go mpaka tuattain hiyo,proffesionalism inayoitumika kama mwamvuli wa maovu.
.
Tumeshazoea kuendesha mambo kisela na haya ndo matokeo yake.
Taratibu taratibu tunaanza kuelewana mdogo mdogo
Jana tulikua na space na
@mafolebaraka
tukizungumzia mambo kadha wa kadha kuhusiana na mitandao ya kijamii
Lilizungumzwa swala la watu kuexpect kupewa huduma ya Socialmediamanagement na extra services kwa budget finyu.
1/4
Kwa dunia tunayoishi kwa sasa with lots of noise ni rahisi kuhamishwa kama hauko stable…..
.
That is why watu wengi hununua vitu ambavyo hawavihitaji.
.
Purchasing behavior can be influenced too.
Tumia hii online na offline for your advantage..
a social media manager is a person who takes charge of the social medias eg. facebook ,instagram, twitter and so many other…..
.
when i say taking charge i simply mean representing and nourishing the image of a particular person or company on the medias…
Hivi utafanyaje pale utakapo jikuta umeingia saloon kwa kinyozi..
.
Alafu ukute kinyozi wako wa siku zote hayupo..
ila kuna dogo pembeni anakwambia..
“ bro alikua ananifundisha fundisha hapa jana saivi nshamaster acha nikujaribu”
Utanyoa ama utaghairisha?
Milango iliyokuwepo kwaajili yako itafunguka tu, na hautahitaji kuforce ama kusukuma kwa nguvu sana.
Anza kujinoa wewe binafsi, noa karama ulizojaliwa, mengine yatafata.
Most women in Tanzania like engaging in small businesses.
Eg,clothes,beauty ect
.
Sio kitu kibaya but let’s try to expand and get into bigger & better industries eg timber,real estate,Digital..
Appreciate tweet to
@mwanrique
@AD_Abinallah
.
These women are surely paving the way
Fahamu manufaa ya mitandao ya kijamii katika kazi unazozifanya.
.
Haijalishi ni biashara gani unafanya uwepo wako mtandaoni ni muhimu na hata kama ni muajiriwa bado hutakiwi kukwepa kuwepo mitandaoni.
UZI👇🏽👇🏽👇🏽
One thing nimejifunza when it comes to business…ni kwamba
.
Speed is very essential….yani ukisikia kuna 123 vinaweza kuwa vya msaada kwako…do not hesitate!!
Ajionavyo mtu ndivyo alivyo, lakini huwezi kujiona bila kuoneshwa…
.
Let’s ask God to show us the big potential that’s laying within us…
So we can utilize the gifts and blessings that he provided us…
Social media management is way easire when tasks are distributed.
.
You can do it your self but over time your brain drains automatically🤦🏽♀️.
.
If youve got the coin…outsource asee…
Just noticed that most Gurus in social media marketing hata hawako mtandaoni…
Na kama wako basi personal account zao hua ziko passive….unahisi ni kwanini?💁🏽♀️
Kila mtu atakuelekeza umuhimu wa kutafuta ujuzi ama kuwa na ujuzi flani....Hilo wala sio jambo kubwa sana kufanya.
Issue ni baada ya kuupata huo ujuzi....
Namna ya kuutumia,
Namna ya kuuendeleza,
Namna ya kuuza,
Hapo ndo mambo yanapoanza kuchanganya.
Hapa nyumbani ukishapata jina…jamii inaanza kukutenga…
unapewa standards ambazo hazipo kabisa…so ni wewe uchague..
.
You either go with the flow umaarufu wako ukutese…
.
ama uishi maisha yako ukihakikisha jina lako linakupa maisha unayoyatamani…🥱
.
Gunyt!
Nadhani ni muda sasa wa kuwaelezea wanawake kwa wepesi kuhusu teknolojia.
Wengi huvunjika moyo mapema wanapoingia na kukaribishwa na elimu ngumu m.f lugha za programming kama C++
Waelekezwe kua ziko "Sexy Skills" kwenye teknolojia ambazo sio ngumu, ili wapate hamasa.
Kama vile Denmark ilivyokuwa mshirika wa maendeleo ya Tanzania kwa muda mrefu…
Jumuiya ya
@NoCodetz
pia inalenga kuleta mabadiliko kupitia njia tutakazo tumia kutekeleza miradi ya maendeleo.
Kwa kutumia zana za kiteknolojia bila kuandika code.
#CommunityBuilding
Unaweza kujiuliza ni kwanini una uwezo mkubwa, wa kudeliver kazi nzuri lakini, people don't take you seriously.
Kwanzia kwenye upande wa malipo mpaka, unavokua treated.
Learn how to write business emails, reports, concept notes za kazi zako n.k
It will save you big time.
It was 17:25pm on my way home…and this lady just told me..
“Dada unanukia vizuri”
Yaani jioni hii and i still smell like roses.
There couldnt be any better compliment than this Walahi!!
Kesho ntashare Uzi hapa,kuhusu safari yangu ya kujifunza kucode/programming.
Nilichojifunza, changamoto nilizokutana nazo na mengineyo.
Ps; sikuchagua kuendelea.
Wadau wote wateknolojia wanaotoa elimu kama hizi mnaweza kuutumia kama case study.
#nocodetz
#communitybuilding
Kwa roho safi tu, mwalimu alinipatia roadmap ya maeneo ambayo ilibidi nianze kujifunza.
Nikaanza na HTML na kufurahia sana kujifunza
kisha CSS, nikaweza kutengeneza website yangu ya kwanza kwa kutumia bootstrap.
ningeweka hapa sema inafunguka kwenye computer yangu tu😅
4/10
Nadhani litakua ni jambo jema…kama watu tuliweza kupata ujuzi wa kidigitali..
Tutatumia ujuzi huu kuwaelewesha wengine namna unavoweza kutatua changamoto zao…
bado nguvu kubwa inahitajika kuwaelewesha wenzetu….lets take it slow with them
bila kutanguliza self superiority..
“I love your hair”…a compliment i keep getting …..that makes me wonder if I’ll ever have to change my hairstyle…despite the fact that i am tired of it already 😂😂
A lot of businesses stop creating content pale wanapoona hawapati instant results…
.
It takes about enough content to make one believe in you and your product or service..
.
Keep pushing…keep creating
I just learnt that most of the time we overlook the power of influence and try to force other irrelevant ways, that end up costing us time and resources.
Yesterday Mr.Obinna Anyalebbechi Spoke about how we should find a way to impose our digital agenda ….
The GOOD new is…
We SM-Marketer can bring you the right audience for your business.
.
But the BAD news is..
If you haven’t mastered the art of CONVERSION it’s all useless…
Kila siku mwanadamu anavumbua teknologia mpya…
I am pretty sure mawazo yaliyopo humu duniani ni sawa na mara 1000 ya jumla ya watu waliopo duniani..
But the question is
Do you have the right team thats willing to execute??
What a season it was, filled with love and laughter with our families and friends.
Cheers to the spirit that 2024 is about to bring…more impact,love and light❤️
Happy new year fellas.
Jamani tujitahidi kuelewa haya mambo basic kwenye mitandao ya kijamii.
.
Hayana swala la umri wala jinsia ….vitu vidogo vidogo havitakiwi kukushinda.
.
Kweli mtu unalipishwa mpka 300k kwaajili ya kufunguliwa akaunt za ig na fb….kufungua tu jamani.
Perfection is the disease of a nation🎶🎶
.
Once in a while i pass through my own tweets…afu nakutana na alot of typing errors😅
.
But yet y’all understand the intended message.
.
Perfection doesn’t exist do whatever you wan-to do you’ll get better in the process ❤️
I’ve been receiving a lot of texts from youth’s lately….most of them asking how this whole digital marketing thing works.
.
Keep up with the spirit there are abundant opportunities in this field and i pray we all succeed💪🏼
Ukiona bado unashida kwenye swala zima la mawasiliano, jua hakuna course ama video utaangalia itakayo kusaidia kwenye eneo hilo.
The only solution ni kutafuta watu wakuwasiliana nao.
The more you communicate the more you get good at it.
You can’t deny the fact that kuna watu wamefanya vizuri in Social media Marketing….
Si kwasababu they took courses…..si kwasababu wanajua kuhusu algorithms….
Ni consistency,value, and relevance in there contents….So acha kukaza ubongo