Msanii diamond amekutana na wachezaji wa dar young African 'YANGA' Mshambuliaji Raia wa Zambia Chama akiwa na Mwenzake Musonda wakiwa airport wakienda Nchini Zambia Kwenye mechi za Timu za taifa, Chama amuomba picha diamond wazi wazi ishara ya upendo na kuthamini mchango wake.
Kuchukua fomu ya kujisajili ni LAKI 1. Kujisajili bloggers TCRA ni MILLION 1. YouTube Online TV ni MILLION 2. So natakiwa niwe na Million 3 ndio nirudi hewani 😭 shule zimefungwa na mwanangu anatakiwa arudi na school fees mwezi wa 7.
MUNGU NIPE NGUVU🙏
Aliyekuwa mtangazaji aliyefanya kazi wasafi media Kwenye kipindi Cha Masham msham Dida Shaibu huyo ndo Binti yake alimuacha, ila wasafi media imejitolea kumsomesha Hadi mwisho wa elimu yake.
Baada ya mechi ya leo Simba kupigwa Bao 1 pekee la Max Limemfanya Mtangazaji Mwijaku kutoa Mbwa kutangaza vita usiku huu anayemfata mkewe
Kumbukuka Mwijaku alitangaza dau kama simba ikifungwa mke wake alimuweka kama zawadi
Baadhi ya Matukio yalitokea Ndani ya ofisi ya Chadema Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu lissu akiwa na baadhi ya viongozi wa chama hicho wakitupiana maneno na Jeshi la Polisi
NAWAZA KWA SAUTI KUBWA SANA, HIVI KWANINI MWILI WA MAREHEMU AGNESS MASOGANGE UMEBEBWA NA VIJANA WA CHAMA FULANI WAKATI WASANII WALIKUWEPO WANGEUBEBA NA KUUFIKISHA KWA DINGI NA KUMKABIDHI.
ILA NAWADHA TU LABDA NIKIWA MKUBWA NITAYAJUA HAYA.