The Mandevu Store Profile
The Mandevu Store

@Mandevu_Store

8,374
Followers
236
Following
160
Media
1,476
Statuses

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Ligi Kuu inaenda kuanza lakini sisi hata Followers elfu 10 tu hatujafikisha, jamani tunaomba mtu-follow kuepuka hizi fedhea.
Tweet media one
134
125
4K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Hiyo Blue Tick nyie huko mnaiyona kweli? 😅
Tweet media one
116
99
4K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Tunashindwa hata kutambulisha jezi mpya sababu hamtaki kutusapoti, tunaomba mtu-follow. 😨
Tweet media one
71
87
3K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Rasmi tumepanda Ligi Kuu na huu ndiyo ukurasa wetu maalumu hapa Twitter (X), tunaomba mtupokee wanachunya kwaku Tufollow. Ahsante 🙏 ♥️
Tweet media one
141
131
3K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
18 days
Blue Tick nayo imekimbia baada ya kuona mechi ijayo tunacheza na Yanga. 😭
Tweet media one
99
54
3K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Kwahiyo Sisi ni bora kuliko Simba, najaribu kuwaza pole pole. 😂
Tweet media one
211
67
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Tumepoteza lakini hatujafungwa Tano.
Tweet media one
131
66
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
17 days
Mechi ijayo tunacheza na Yanga, tunaomba ushauri wenu kwanza. 🥲
Tweet media one
231
70
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Simba mida kama hii walikuwa washakula Nne. 😂
Tweet media one
186
76
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
16 days
Wakuu yani na post hii huku natetemeka sijui shida nini. 🤔
Tweet media one
151
67
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
16 days
Kwahiyo ushauri wenu kwenye mechi yetu ijayo dhidi ya Yanga mmesema tukimbie? 😭
Tweet media one
101
51
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
15 days
Aah.!! Familiar wewe hata Followers elfu tano tu hujafikisha humu, ndiyo utaweza fikisha hata point 30 za Ligi Kuu kweli? 😂
Tweet media one
47
58
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Aaah..!! Familiar.😭😂
Tweet media one
50
45
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Huku Twitter watu hata hawaheshima sisi kubeba Championship, Mbona hamtaki kutu-Follow. 😭
Tweet media one
32
36
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 months
Wapeni taarifa kwamba Kengold kachukua kombe la Championship huku.
Tweet media one
19
39
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Nataka nitoe Jezi kwa Watu wawili yaani ya Nyumbani moja na ya Ugenini moja kwa Mtu ambaye atatabiri matokeo sahihi ya mchezo wetu wa leo. Zawadi nitatoa baada ya Mechi kuisha
Tweet media one
600
55
2K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Hili goli tumenyimwa tu ila lilikuwa limeingia au mnasemaje?🤔
Tweet media one
111
39
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Mnajifanya hamjaona kama tumepata goli huku. 😂
Tweet media one
54
31
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
11 days
Walima Asali leo labla wamchezeshe na Miss B, hawatoki leo hapa😂
Tweet media one
55
50
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 days
Hawa JKT Leo mpaka watueleze tofauti yao na JWT ni ipi😂
Tweet media one
25
37
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Tunavyohangaika kuomba mtu-Follow ni zaidi ya kuhangaika kutafuta alama tatu mbele ya Simba na Yanga. Jamani tunaomba mtu-Follow..!! 😂
Tweet media one
38
36
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 days
Cha muhimu kwa sasa tunaomba Mtu-Follow, mambo mazuri yanakuja.
Tweet media one
24
34
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Hii Connection nayo kuna mtu hakuiyona? Utaratibu ni ule ule, pitia comments. 😋
Tweet media one
132
52
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Bado Followers elfu 6 tu ili tuweze kutambulisha jezi zetu mpya, tunaomba mtu-follow jamani ili tufanikishe jambo letu.
Tweet media one
22
31
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 month
Mbona hamtaki kutu-Follow? 🤔
Tweet media one
55
25
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Singida wametubahatisha goal moja kali sana. 😭
Tweet media one
63
31
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
15 days
Sehemu tutakayo mkanda Yanga ndiyo hapa, hawato amini.
Tweet media one
104
22
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Kwahiyo mnangoja tushuke daraja ndiyo mtu-follow au? 😁
Tweet media one
41
17
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Mbona siwaoni mki tu-follow, au mnaogopa hiyo Blue Tick hapo? 😅
Tweet media one
28
25
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Yanga wapo kupika Supu hapa, Wakuu nasisi tukishiriki kutakuwa tumemkosea Mtu kweli? 😂
Tweet media one
44
27
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Hivi Sisi keshokutwa tunacheza na Singida ipi, mbona kama Singida inacheza kesho. Wanatuvuruga mjue? 🤔 😂
Tweet media one
23
25
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 months
Mmeliona Kombe letu au nyie mnaona nini? 😂
Tweet media one
34
21
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
23 days
Wakuu kwa sasa tuongelee ubora wa hizi jezi zetu mpya.
Tweet media one
55
20
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
15 days
Nasemaje, kesho Dunia haito amini kitakacho kwenda kutokea.
Tweet media one
116
27
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Leo mbona Masaa yanakwenda haraka haraka. Mmmh..!!
Tweet media one
52
37
1K
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Hawa ni Singida Black Stars kweli au ni Yanga B? 🤔
Tweet media one
44
26
985
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
10 days
Hivi Simba tunacheza nao lini? 🤔
Tweet media one
44
25
983
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Wakitoa bahasha za hamasa sisi tutatoa bahasha za dhahabu, hatujaja Ligi Kuu kinyonge. 😂
Tweet media one
35
40
965
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Nipo hapa kwa ajili ya kuwakumbusha, kama ulipitwa na Connection ya Lulu Diva basi pitia comments 😋
Tweet media one
69
38
903
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
11 days
Wakuu msijikaushe tushaanza kuwakamua Asali huko. Gonga repost moja ya heshima kwetu.
Tweet media one
12
42
922
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Hivi hamjui kama tumepanda Ligi Kuu, sasa mbona hamtaki kutu-Follow?
Tweet media one
39
24
877
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
11 days
Tunaomba samahani. 😓
Tweet media one
52
15
881
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
15 days
Tunayofuraha kubwa kuwakaribisha Wageni wetu tutakoacheza nao kesho karibuni sana. Semeni nyie mnataka tuwafunge goli ngapi?
Tweet media one
41
23
861
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
28 days
Tumepata goal moja tamu sana hapa. Makofi Tafadhali. 😂
Tweet media one
36
19
843
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
13 days
Unakumbuka nyinyi mlifungwa Tano?
Tweet media one
77
54
841
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
3 months
Walivyojikausha sasa kama hawajafungwa sita huko Misri. 😂
Tweet media one
55
18
810
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Mechi yetu inayofuata ipo mbali sana, kwani haiwezekani hapa katikati tukapata hata Mechi moja ya kirafiki na Simba, maana dharau zimezidi humu.
Tweet media one
35
23
794
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 days
Kama unaona Timu yako haikupi furaha karibu Kengold sisi kwetu ni ushindi tu.
Tweet media one
18
19
873
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
4 months
Hongera sana @YoungAfricansSC tutakutana Ligi Kuu.
Tweet media one
6
18
752
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Nani atakuja leo hapa Sokoine Stadium kushuhudia tukiwafundisha Singida Black Stars namna ya kucheza mpira mzuri?
Tweet media one
49
17
759
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Umewaona hao, wemefungwa nne na wenzao walekule wametolewa Club Bingwa. 😂
Tweet media one
16
21
735
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Mnangoja tubebe Ubingwa wa Ligi kuu kama tulivyofanya Championship ndiyo Mtu-follow eti? 😁
Tweet media one
15
9
732
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 days
Oyaaaaa...!!
Tweet media one
73
27
714
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Saa nane haifiki tu Wakuu, tukachukue point zetu tatu mbele ya Singida Black Stars
Tweet media one
41
24
672
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 months
Sisi tumebeba kombe la Championship lakini watu mnajifanya kama hamuoni mpo bize na ushindi wa Simba. 😭
Tweet media one
9
15
646
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 months
Hivi mnajiamini nini ambavyo hamtaki kutu-Follow Mabingwa wa Ligi Kuu msimu ujao? 🤔
Tweet media one
29
26
644
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
12 days
Kwa nini hamtaki kutu-Follow? 🤔
Tweet media one
45
11
654
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Msimu wa Baridi umeanza na Connection tayari zimeanza kuvuja, Utaratibu ni ule ule pitia comment.
Tweet media one
40
35
619
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Lakini mbona kama mmegoma kutupa heshima yetu au hamjui kwamba Sisi ndiyo tulikuwa Mabingwa wa Championship? 🤔 😂
Tweet media one
9
12
616
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Hii ndio Squad yetu ya msimu 2024/2025.
Tweet media one
51
31
618
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
23 days
Jezi la ushindi, huu ndiyo uzi wetu wa nyumbani msimu huu.
Tweet media one
21
14
599
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Tungepewa mwaka robo kipindi hiki bado wa moto moto na sie tujipigie😂😂 Mashabiki zetu wafurahi💪
Tweet media one
58
25
578
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
15 days
Kama wewe ni mpenzi wa Mpira, tunaomba utu-follow.
Tweet media one
31
17
596
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Manara akiwa semaji letu kuna shido? 😁
Tweet media one
18
14
571
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Hawa wote tulianza nao wakiwa na accont ndogo kama wanachama wetu na hivi sasa tayari wamesha jipata tunapenda kusema THANK YOU kwao, sasa ni zamu ya wengine kwa ambao wapo tayari kujiunga nasi. Chakufanya comment handle yako niku add kwenye Group letu.
Tweet media one
318
76
559
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Hawa wetu hawa, kipindi cha pili tunawafanyia Comeback.
Tweet media one
26
15
581
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Kama Simba kashindwa kubeba kombe msimu huu wakati sisi bado hatuja panda daraja, asitegemee tena kubeba chochote msimu ujao ambao tunaanza kucheza Ligi Kuu.
Tweet media one
59
23
557
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
19 days
Dah
Tweet media one
27
12
573
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Tunaomba mtu-follow walau tufikishe Followers elfu 10 tu, ili tutambulishe jezi zetu kesho.
Tweet media one
13
22
570
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Wametufunga goli la tatu ila msipate mashaka mpira ni dakika 90.
Tweet media one
39
12
530
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
28 days
Singida leo tukiwakosakosa sana basi goal tano, bookmark this tweet.
Tweet media one
41
6
524
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 months
Tunasemaje kama kuna Timu ilishindwa kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi sisi hatujapanda Ligi Kuu tunatuma salamu za pole kwao.
Tweet media one
6
11
478
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Uliza swali lolote kuhusu Timu yetu ya Kengold, nami Admin nipo hapa kukujibu. 😎
Tweet media one
69
17
475
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Hebu Tazama hapa Goal tulilonyimwa kisha utoe maoni yako. 😭
73
39
475
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Wakuu hivi Timu ikipanda Ligii kuu, Bus la timu inapewa na TFF au inabidi ijinunulie? 🤔
Tweet media one
29
14
459
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 month
Suala la nyie kukataa kutu-Follow halitozuia Sisi kubeba Ubingwa wa Ligi kuu Msimu huu, waulizeni Championship huko wanaijua Habari yetu.
Tweet media one
18
9
464
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Kama upo tayari kujiunga na chama letu la Wakujiongelesha, chapa handle na utu follow kwenye hii page yetu ili tuku add kwenye magroup yetu ya engagement.
Tweet media one
172
68
446
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Kama kweli wewe ni mpenzi wa Mpira, tuambie huu ni Uwanja gani? 🤔
Tweet media one
55
14
454
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Kwa heshima ya MVP wetu tunaomba mtu-follow. 🙏🏿
Tweet media one
7
11
437
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 days
JKT leo labla waje wakiwa wamevaa magwanda. 😅
Tweet media one
14
11
443
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
3 months
Sisi siraha zetu tunasajiri kimnya kimnya, kelele zake mtazikuta Ligi Kuu. 😂
Tweet media one
11
9
425
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Tumerudii tena #wakujiongeleshaHQ kama upo tayari kujiunga na chama letu shusha handle hapo tukuunganishe na wababe wa Twitter.
Tweet media one
184
53
408
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Kama utani ila ndiyo serious tumepanda Ligii Kuu. 😂
Tweet media one
16
13
407
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
14 days
Yanga wanatushambulia haraka haraka sijui wana maana gani. 🤔
34
9
421
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 month
Mtaleta Team uwanjani kweli, au tupunguze mazoezi? 😁
Tweet media one
4
5
414
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
3 months
Mnaona vyenye hatuna Mbwembwe, tupo chimbo tunaendelea na tizi la kutwaa taji la Ligi Kuu msimu ujao.
Tweet media one
5
4
402
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Ndugu zetu Tabora United tubadilishane bidhaa sasa tupeni Asali sisi tuwape Gold. 😂
Tweet media one
7
14
414
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
6 months
Wachimba dhahabu to Worldwide. 😆
Tweet media one
13
9
404
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Kabla hatujatambulisha Uzi mpya, tunaomba kwanza mtu-follow.
Tweet media one
1
11
398
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Tulijiandaa kuchukua point tatu mbele ya Singida Black Stars ila kwa bahati mbaya wametufunga tatu. 😮‍💨
Tweet media one
26
13
393
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 months
Oyaa hili kombe lina hatari, tafadhari usi zoom. 😂
Tweet media one
9
7
367
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
11 days
Tabora United leo mpaka waseme kwanini muamuzi alikataa lile goal letu shidi ya Yanga. 😂
Tweet media one
17
9
388
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
23 days
Taarifa kwa Umma
Tweet media one
53
19
380
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Mashabiki wa Mpira Support yenu ni muhimu sana kwetu kwa kipindi hiki, tunaomba mtu-follow walau Account yetu pia iwe na hadhi ya Ligi Kuu. 😨
Tweet media one
5
8
360
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Mambo yatakavyokuwa baada ya Ligi Kuisha. 😎
Tweet media one
41
16
356
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Anaitwa Joshua Ibrahim, hii ndiyo mashine ya Magoli yenyewe achana na zile mlizokuwa mnazisikia. Kiatu cha mfungaji bora msimu huu, tunaomba akabidhiwe kabisa.
Tweet media one
11
7
357
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Kabla hatujaenda kwenye Mechi yetu ya kwanza leo kwenye Ligi Kuu, nadhani si vibaya tukiwakumbusha kuwa Sisi ndio Mabingwa wa Championship msimu uliopita. 🏆 😁
Tweet media one
15
5
348
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
1 year
Hauna Followers 10k, wewe ni wakujiongelesha chapa handle ili tuinuane na umfollow atakae like handle yako.
Tweet media one
158
63
319
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
5 days
Unateseka ukiwa wapi? 😂
Tweet media one
14
15
341
@Mandevu_Store
The Mandevu Store
2 months
Tunaomba mtu-follow walau tufikishe Followers elfu 10 tu kabla ya saa nane mchana kuingia kwenye Mechi yetu ya kwanza, mtakuwa mmetupa nguvu sana.
Tweet media one
20
15
332