Wozzah Kama vile mnajua at MRX Media, nurturing talent is our core mission. Ndio maana CEO wetu
@MwalimuRachel
, anakuwanga amejituma kusupport na kujenga mavijana apa nje. Pia big up to
@WOJOAfrica
juu wamekuwa wakituwai outstanding meeting spaces that fuel our creativity.