LEO NAOMBA NITOWE DARASA KIDOGO KWAWAFANYABIASHARA WA MADINI UPANDE WA UNUNUZI WA MAKINIKIA NA KUYAFANYIA PROCESS ILI KUPATA DHAHABU.... Swali je no Kwanini Watu Wengi wanapata hasara na KUZIKA PESA ZAO....๐๐
Kwa Majina Yangu Halisi Naitwa Lucus Shamte, Ni Mkemia Wa Madini Yaani Nahusika Na Mambo Ya Kuchenjua Dhahabu, Nipo Geita Nyarugusu. Natafta Mtu ambaye anaweza ku invest katika biashara hii ya madini ya dhahabu tufanye kazi, biashara inalipa sana.
FULSA Upande MADINI Bado Zipo Nyingi Sana Tanzania Hii,
Soon Nitawadondoshea Uzi Wa MADINI Ya Makaa Ya Mawe. Anyway Wenye Uwezo WA Kufungua Maabara Ya Sampling Kuna Fulsa Mkoani Ruvuma Songea, Kuna Maabara Mbili Tu za Makaa na 1 haifanyi kazi, 1 haipimi Sample za migodi Mingine
...Hakikisha Umechukua Sample yako kila upande WA Rudio/Makinikia hayo.
2; Fanya VIPIMO vya Aina mbili BOTTLE TEST Na Maabara za Madini zinazo aminika, Angalizo Maabara nyingi Za Madini upande WA Dhahabu hawafanyi VIPIMO sahihi ndio maana nakushauri pia Utumie na bottle test๐
Kwanini Watu hulalamika WAMEIBIWA?,
Kwanini Watu huwalaumu WAKEMIA HAWAJAWAFANYIA KAZI VIZURI?.
Ok...
1; Kwanza Kabisa Ukiwa mnunuaji WA MAKINIKIA unatakiwa Kuwa Makini Sana Wakati Wa kuchukua Sample, Ni Vyema zaidi ukatumia OGA kuchukulia Sample yako๐
Najua wengi mkiulizwa hii Mitungi ni ya nini hamtokuwa na Majibu sahihi. Anyway hii mitungi inapatkana Elution Plant, na ndio inayofanya hatua ya mwisho ya uchakataji wa Carbon ambayo ina Dhahabu ndani yake, Baada ya Kutoka PROCESSING PLANT ambako hufanyik uchenjuaji wa makinikia
Imendaliwa na Metallurgist; Lucus Shamte
@Lucusshamte
Kwa Msaada na Ushauri zaidi Njoo WhatsApp 0622641906 au nipgie simu Kwa 0622641906/0743641906/0655641906
Ahsanteni
MWISHO.
...Kiwango cha uvunaji WA Dhahabu kinafanyika Kwa asilimia 75%, Hivyo utapunguza Tena 5% upande WA uvunaji kama ifuatavyo..๐
Kanuni....๐ Ppm ร tan ร 0.70รทTola(12) ร Bei ya Tola ya Gold รท 4= Bei ya kununulia Makinikia/Rudio Hilo
4.1ร200ร0.70รท12ร1,480,000รท4=17,698,333.3๐
Upatinaji wa material upo kwa wingi, mpaka sahv kuna mzigo upo sehemu ambao una faida kubwa sana nani wa process ya mwezi m1 tu. Maximum faida ni 10M per month na kuenderea Kwa atakae hitaji ku invest kwa mawasiliano zaidi 0622641906 WhatsApp na normal calls
3; Ukipata Majibu Yako ya maabara na Ukajiridhisha nayo Kuna Kitu kinaitwa TATHIMINI ya TANS za Makinikia hayo, Hapo Watu Wengi ndio huwa wanapuyanga na inakuwa chanzo cha HASARA.
Ukishajua ni Tani ngapi basi unareje kwenye mahesabu ili ujue ni BEI ipi sahihi ya kununulia...๐