Tundu Lissu 2025 Profile Banner
Tundu Lissu 2025 Profile
Tundu Lissu 2025

@Lissu2025

2,241
Followers
18
Following
283
Media
2,432
Statuses

Ukurasa wa kampeni za Tundu Lissu kuelekea uchaguzi 2025. Chagua Lissu (Mtia nia kupitia CDM)✌️ Account Rasmi ya Mhe. Lissu ni @TunduALissu

Tanzania
Joined May 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
Tunawashukuru wote waliomchangia Mheshimiwa @TunduALissu . Nguvu yetu inatoka kwa watu wetu. Mchango wako ni hatua moja zaidi kuelekea ushindi wa taifa letu. Tuma mchango wako sasa! #Lissu2025
Tweet media one
0
13
41
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Mhe. Tundu Lissu aeleza athari za kauli ya Raisi Samia juu ya matukio ya mauaji na utekaji yanayoendelea nchini. #Lissu2025
22
288
2K
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
MSIMAMO.🚨 ✊ "TUTAANDAMANA" Mhe. Lissu ameongea kuelekea maandamano ya tarehe 23.09.2024 baada ya taarifa ya jeshi la polisi kupiga marufuku maandamano hayo. Lissu: Tutaandamana, tunategemea waje watoe ulinzi na msaada kama wanavyotakiwa kisheria. CC: Crown Media #Lissu2025
31
337
1K
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
27 days
Mhe. Tundu Lissu akitoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Ikungi Singida Mashariki Leo. #Lissu2025
Tweet media one
4
120
1K
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Mhe. Tundu Lissu awaasa wanafunzi juu ya umuhimu wa elimu na kujifunza.
11
128
748
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mhe. Lissu akiwa na Mahojiano na Balozi Masilingi nchini Marekani. 08/02/2019 Lissu: Wewe ni mwanasheria wa wapi?. CC: VOA Swahili. #Lissu2025
18
130
528
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
26 days
Mhe Tundu Lissu vs Balozi Wilson Masilingi. #Lissu2025
14
89
484
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
MSIMAMO 🚨✊ TUTAANDAMANA Mhe. Lissu baada ya Kongamano la Ekaristi takatifu amezungumza na kusisitiza kua maandamano yako palepale. Lissu: Mnataka wafe wangapi ndo tuseme sasa inatosha? #Lissu2025
8
119
444
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mhe. Lissu na sakata la IPTL Lissu: Lazima wawajibike...tuanze na waziri mkuu ambae tunamuweza humu ndani. #Lissu2025
19
125
434
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
25 days
Mhe. Tundu Lissu anaendelea na kazi mkoani Singida kuelekea chaguzi za serekali za mitaa.. #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
3
67
427
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
24 days
Mhe. Tundu Lissu akiendelea kutoa mafunzo kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa Jimbo la Kibamba Dar es Salaam, Leo tarehe 2 October 2024. #Lissu2025
6
72
407
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mhe. Lissu akiongelea mfumo wa uteuzi wa Majaji. Lissu: Ujaji ni Fadhila ya Raisi. #Lissu2025 Mwanzo TV Feb 2023
6
88
401
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
Katika ujumbe wake kwa Rais Samia, Mhe. Tundu Lissu ameeleza kwamba Deus Soka, kiongozi wa chama katika Wilaya ya Temeke, ametekwa nyara na kikosi kazi kinachodaiwa kuwa nyuma ya Kituo cha Polisi Chang'ombe. #Lissu2025
Tweet media one
5
93
391
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ 07/09/2017 Mhe. Lissu akitoa mchango wake bungeni, ambao ulikua masaa machache kabla yakushambuliwa na risasi. #Lissu2025
5
89
370
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
20 days
Jumapili njema. #Lissu2025
Tweet media one
0
35
370
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI na TL🚨 ✌️ Jeshi la Polisi. Mhe. Lissu akiwa bungeni aliongelea kutumika kwa jeshi la polisi kunyanyasa upinzani. Lissu: watu wetu wameuawa na jeshi la polisi, Mwangosi ameuwawa na jeshi la polisi... #Lissu2025 Hotuba nzima kwenye comment👇
12
116
353
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI🚨✌️ Lissu VS Mwanasheria Mkuu Bungeni. Bunge la 10 Mkutano wa 18 Kikao cha 4. Tarehe 30 January 2015 Lissu: Mwanasheria mkuu wa serekali, kazi yako sio kulishauri bunge, kazi yako ni kuishauri serekali . #Lissu2025
11
118
359
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
INTERVIEW 🚨✌️ UTEKAJI! Mhe. Lissu akiongea na BBC Swahili tarehe 13/09/2024 alijibu juu ya Chadema kuhusishwa na utekaji na mauwaji ya wanachama na viongozi wake. Lissu: Kama ni Kweli, kwanini hawajawai kuyachunguza na kuchukua hatua? #Lissu2025
6
99
345
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Usalama wa Taifa na Bandari. Akiwaza Ziarani Mkoani Mara Aug 2023 Mhe. Lissu aligusia swalaa kuuzwa kwa bandari na hatari kwa usalama wa taifa na siri za Jeshi. Lissu: Watu wa usalama wameruhusuje likapita? #Lissu2025
4
99
341
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Sakata la MAKINIKIA Mhe. Lissu akiwa nje ya bunge baada alitoa maoni yake juu ya sakata la Makinikia. Lissu: Wakikushtaki kule unanyolewa bila maji. Hakuna ndege ya Tanzania itakanyaga hizo nchi, wataikamata! #Lissu2025
7
98
345
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@NativeIndianDog The war that Putin prepared to fight was not supposed to take this long nor this amount of resources.
10
6
304
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
TAARIFA 🚨✌️ Mje. @TunduALissu alipowasili kwenye kikao cha kamati kuu. "Don't give up the fight." #Lissu2025
3
66
318
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨 ✌️ 👉Muungano👈 Katika kipindi cha MkasiTv Mhe. Lissu alieleza msimamo wake juu ya muungano. Lissu: Tumeigeuza {Zanzibar} kua koloni la Tanganyika. #Lissu2025
5
68
304
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
INTERVIEW 🚨✌️ Mhe. Lissu atoa Darasa juu ya changamoto za uchaguzi serekali za mitaa. Lissu: Watu wengi hawajui! CC: Dakika 45 ITV #Lissu2025
2
68
283
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Muungano Mhe. Lissu alipokua bungeni alitumia katiba halali za Tanzania za Zanzibar kueleza mapungufu ya muungano. Lissu: Raisi wa Jamhuri ya Muungano sio mkuu wa nchi ya Zanzibar. #Lissu2025
10
78
262
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@masoudkipanya Hiii kivuko imechorwa mahali ambapo watu hawavuki in the middle of nowhere. Ni kwamba miradi inayojengwa haina uhitaji kwa sasa, perhaps irrelevant as of now na inajengwa sehemu ambapo sizo zenye uhitaji huo.
22
15
255
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
14 days
2
36
254
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
29 days
Exclusive. ✌️ Leo Mhe. Tundu Lissu atakua akiongoza kesi yake ya kwanza kama wakili baada ya zaidi ya miaka 5 mkoani Singida. Kesi ya Askofu @MachumuKadutu ya uchochezi. #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
2
41
250
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI na TL 🚨 ✌️ Maoni Mhe. Lissu aliwasilisha maoni yake kuhusu serekali ya Magufuli bungeni 05/05/2016. Lissu:Sio siri tena kwamba, sasa bunge hili linaongozwa kwa maelekezo ya ikulu. Video kamili ipo kwenye comment. 👇 #Lissu2025
5
66
235
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Uhuru wa Habari. Mhe. Lissu akiwa bungeni alilitahadharisha bunge na matokeo yakukandamiza uhuru wa habari kwa sheria. Lissu: mkisha shughulikia hili bunge mtashughulikiwa nyinyi wenyewe na hakutakua na mtu wakuwapigieni kelele. #Lissu2025 .
7
79
229
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
28 days
Baadhi ya Maswali aliojibu Mhe. Tundu Lissu ya waandishi wa habari. Msikilize. #Lissu2025
3
47
231
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mhe. Lissu vs Speaker Makinda. Bunge la 10 Mkutano wa 18 Kikao cha 3 Lissu: Mhe. Speaker kwanza sio halalai kutupa dakika 3 kwa jambo kubwa kama hili. #Lissu2025 NB: Mhe Lissu atakua ITV saa 3 usiku leo katika kipindi cha Dakika 45
18
42
225
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Uchafuzi wa Mwaka 2020 Mhe. Lissu akiwa Kawe kwenye mkutano wa kufunga kampeni 27/10/2020 alitoa taarifa ya uchafuzi uliopangwa, akitaja idadi kamili ya kura zilizokuja kutangazwa na Tume. Lissu: kuna kura tayari zimeshapigwa na kuhesabiwa tayari. #Lissu2025
9
82
214
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
23 days
Mhe. Tundu Lissu akieleza sifa za mawakala wa usimamizi wa uchaguzi serekali za mitaa. #Lissu2025
5
64
215
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI na Tundu Lissu 🚨✌️ MSIMAMO Mhe. Lissu akiwa na interview Feb 4 2023 alieleza msimamo wake juu ya maswala ya mapenzi ya jinsia moja (Ushoga) Lissu: Ni siasa za majitaka,... siungi mkono Ushoga. #Lissu2025
7
59
213
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
TAARIFA ✌️ Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @TunduALissu akiwasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
1
45
216
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨 ✌️ VIJANA Mhe. Lissu akiwa bungeni alitaka mifuko ya vijana itungiwe sheria kwa ajili yakudhibiti ulaji uliokua ukiendelea. Lissu: wanajua kua mifuko ya vijana waliokua nayo miaka yote hii ni source ya ulaji. #Lissu2025
4
57
211
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
24 days
Mhe. Tundu Lissu akiwa airport. Uelekeo ni London. Dhumuni ni kwenda kuishughuliki Tigo, watueleaze kwa majina nani aliwatuma. #Lissu2025
Tweet media one
2
36
200
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨 ✌️ Muungano. Mhe. Lissu akiwa bungeni alizungungumzia Hati ya makubaliano ya Muungano. April 16 2014. Lissu:Leteni hio hati mnayodai ina sahihi ya Sheikh Karume tuwaonyeshe mlivyo waongo. #Lissu2025
4
51
190
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
INTERVIEW 🚨✌️ UPINZANI Mhe. Lissu akiwa kwenye interview na Global TV Feb 2023 akiongelea upinzani na uadui. Lissu: Upinzani sio uadui, uadui maana yake ni kwamba ama zake ama zangu. #Lissu2025
4
61
178
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
To @POTUS @KamalaHarris @UN @EU_Commission the Ambassadors @usembassytz @EUinTZ @elonmusk the American Tax payers and the World at Large. CC: @MariaSTsehai @Sativa255 @rollymsouth @IAMartin_ They can police the streets but they can't police the internet #StopAbductionTz
Tweet media one
Tweet media two
2
69
178
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
9 days
Mhe. Tundu Antipas Lissu leo amekutana na David MCALLISTER mwanachama wa Group of the European People's Party (Christian Democrats), Brussels nchini Ujerumani. #Lissu2025
Tweet media one
2
31
179
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
INTERVIEW 🚨✌️ Tuhuma za Mwenyekiti. Mhe. Lissu akiwa kwenye Interview na Globat TV alijibu swali juu ya tuhuma za kua Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amelambishwa asali. Lissu: kadri alivyoniambia hajalipwa. #Lissu2025
3
42
162
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI🚨✌️ 👉Maridhiano👈 Mhe. Lissu akiwa na Mkutano wa Hadhara aliongelea maridhiano na misimamo wake juu ya maridhiano. 10 May 2023 Lissu: Mimi sipindi watu kupendana, napinga kudanganywa danganywa. #Lissu2025
5
36
158
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
20 days
Mhe. Tundu Lissu atoa ushauri kwa wagombea wa serekali za mitaa kuelekea uchaguzi wa Serekali za mitaa. "Ikifika tarehe 26 mkachukue fomu"
1
32
158
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Upinzani. Mhe. Lisssu aeleza kazi ya chama cha upinzani katika interview na MwanzoTV Lissu: ukikuta mpinzani anasifu serekali ilioko madarakani huyo sio mpinzani, ana lake jambo. #Lissu2025
1
62
153
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Mhe. Tundu Lissu aeleza mabadiliko ya sheria ya idara ya usalama TISS na namna ilivyotengeneza mwanya wa kutekeleza uhalifu. Part.1 #Lissu2025
1
42
152
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨🚨 Picha za Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za kugombea Uraisi mwaka 2020 Visiwa vya Ukerewe. #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
36
133
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
KUMBUKIZI 🚨✌️ MAANDAMANO. Mhe. Lissu aliongoza maandamano ya amani route ya Uyole kwenda Ruanda-Nzovye mkoani Mbeya. Lissu: Hii barabara, kwa leo ni ya waandamanaji!. #Lissu2025
2
28
123
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
SWALI! Mhe. Lissu aliingia Chadema Mwaka Gani na alitokea Chama gani? #Lissu2025
Tweet media one
17
14
109
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
INTERVIEW🚨✌️ Mhe. Lissu aeleza hali uhusiano wake na Mwenyekiti Mbowe na tofauti zao. Lissu: Tofauti katika misimamo ya kisiasa wazi kabisa, ipo! CC: Dakika 45 ITV #Lissu2025
7
29
109
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
LISSU LEO 🚨✌️ Sakata la Mzee Kibao. Mhe. Tundu Lissu siku ya leo alikua na mambo kadha yakusema juu ya mauaaji, utekaji na kupotea kilikoshamiri siku za karibuni. Lissu: lengo lake ni kuhakikisha wanabaki madarakani kwa nguvu zote. CC: Jambo TV #Lissu2025
1
36
106
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
HISTORIA NA TL 🚨✌️ Swali: Mhe. Tundu Antipas Lissu alijiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka gani akitokea chama gani? CC: Global TV interview Feb 2023 Jibu:👇 #Lissu2025 #MjueLissu
3
29
104
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Nimeambiwa wananijia wakati wowote sasa. Ikiwa, na wakati, watafanya, nitakuwa tayari. Itakuwa mara ya 2 nakamatwa ndani ya miezi 2. Itakuwa mara ya 10 kushikiliwa na polisi wa Tanzania kwa tuhuma za uongo kwa ya miaka 8. Nilinusurika risasi 16; Nitanusurika jela za Udikteta!
Tweet media one
3
27
104
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Msikilize Mhe. Lissu. #Lissu2025
0
31
98
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Mhe. Tundu Lissu ameachiwa usiku huu kwa dhamana. Ametoka akiwa na Tabasamu na nguvu ya kutosha. #Lissu2025
Tweet media one
1
12
88
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mhe. Lissu akiongea na vyombo vya Habari katika msiba wa Lowassa 12/02/2024 "Baada ya Baba wa Taifa kwa Ushawishi alifuata Lowassa!" #Lissu2025
2
14
79
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mkutano wa Hadhara Kampeni za uchaguzi Mkuu Mwaka 2020. Mheshimiwa Lissu akiongea na wananchi wa Lamadi. Hii ilikua asubui kabisa watu waliamka kumsalimia. #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
17
81
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
TAARIFA ✌️ Maakamu Mwenyekiti Bara, Mhe. Tundu Antipas Lissu ataongea na vyombo vya habari leo saa kumi jioni katika makao makuu ya chama Mikocheni. Waandishi wote wa habari mnakaribishwa. #Lissu2025
Tweet media one
1
23
77
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
4 years
@emmaog___ @yoo__good I think most people come to us for opinions after they have made a decision and all they need is an approval to make em feel right about their decisions.. my opinions are general always.. they are not specific ever.. they are just a reflection of your problem really
0
9
75
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Mhe. Tundu Lissu aeleza wahusika wa shambulio dhidi yake, amtaja Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kuongoza kikosi cha wauwaji wale. #Lissu2025
4
31
70
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@masoudkipanya Barabara ya Chadema ni ngumu(narrow)(uwezekano wa FAM kuchomoka ni mdogo), Wanachama wanahofu lakini mwenye kiti ana imani kubwa na amebase kumtumainia Mungu kuvuka na kuwapa wanachama imani.
2
1
67
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
TAARIFA 🚨✌️ Mhe. @TunduALissu akisalimiana na Mhe. Mwenyekiti wa Chama Mhe. @freemanmbowetz aliewasili Makao makuu ya chama Mikocheni Dar es Salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. #Lissu2025
Tweet media one
0
24
65
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
⚠️TANGAZO⚠️ Uboreshaji wa daftari la wapiga kura unaendelea mkoani Mwanza na Shinyanga. Ukiwa na umri wa miaka 17+, hakikisha unajiandikisha na kuboresha taarifa zako ili uweze kushiriki uchaguzi. Ratiba: Kuanzia tarehe 21/08/2024 hadi 27/05/2024. #Lissu2025 #Daftarilawapigakura
Tweet media one
1
23
65
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@mutugogi Speak for yourself. We stand with our problems in Africa. No one ever stands with us so why stand with them.
2
4
58
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@KyivIndependent Well. It's 2022, they should talk on Zoom. Zelensky must be safe at all costs.
2
1
60
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
4 years
@TrumpJew2 Democrats are slowly starting to accept that they made the worst mistake.
2
7
52
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
4 years
@PrettyboiiDB_9 @geff1509 Depending on your view though... people think you understand them but really its me understanding how much of a mistake i made to trust them
0
8
55
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
Maakamu Mwenyekiti wa Chadema. Mtia nia ya kugombea Uraisi kupitia Chadema mwaka 2025. Raisi halali wa Tanganyika. Simba wa Tanganyika. Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Retweet 🔁 ngapi kwake? #Lissu2025 .
Tweet media one
2
19
52
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ UTEKAJI Dec 2019 Mhe. Tundu Lissu akiwa mwanasheria mkuu wa Chadema aliitaka serekali na vyombo vya usalama vieleze wapi alipo Ben Saanane. Lissu: inauwezo wakiufundi wakujua mawasiliano yake ya mwisho yalikua lini, na nani, wapi na yalihusu nini! #Lissu2025
1
11
53
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@FadahHanan @NativeIndianDog Well, it's 2022, if you're troops are already out of fuel in day 3 and they don't know where they are or where they're actually going, that's clear that you miscalculated/ misjudged your expectations.
0
0
47
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
INTERVIEW 🚨✌️ Swali: Kumekua na maneno mengi kwamba hali si shwari ndani ya chama, nini kinaendelea. Lissu:...ni maneno ya Mwaka wa uchaguzi. #Lissu2025 CC: Dakika 45 ITV 26/08/2024
2
14
47
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
Tweet media one
0
0
47
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Lissu ashambuliwa kwa Risasi. Ni miaka 7 imepita, Tarehe kama ya leo mwaka 2017 Mhe. Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi akitokea Bungeni. Maisha ya watu wa Mungu yako mikononi mwa Mungu 🙏. Mungu aendelee kumtunza @TunduALissu
Tweet media one
2
15
48
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
KUMBUKIZI 🚨 ✌️ Tahadhari ⚠️ Lissu: Huko mbele tunakoenda huko, ni kugumu hakufai. #Lissu2025
0
8
47
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
29 days
Mhe. Tundu Lissu alikua na haya yakusema juu ya kesi ya Askofu Mwanamapinduzi ya uchochezi iliokua isikilizwe leo mkoani Singida. Sikiliza. #Lissu2025
0
11
45
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
INTERVIEW na Lissu🚨✌️ Kelele za Mwaka wa Uchaguzi. Mhe. Lissu akiwa na majadiliano na mwandishi wa BBC aliongelea swala la uchaguzi na kelele za wakati wa uchaguzi. Lissu: Kwanini kina Makamba na Nape Nnauye wameondolewa?
0
9
43
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@darmpya_ Wewe ungekua Russia ungekaa kimya wakati Adui zako wanasogelea karibu na wewe? Ukraine was supposed to remain neutral. Ona sasa wanalia wenyewe no support from anyone.
4
1
46
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
4 days
Wamama waachieni wamama. Sisi tulio wa baba tujuane kwa REPOST. #Lissu2025 .
Tweet media one
31
637
2K
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Baadhi ya picha za Mhe. Lissu alipoachiwa kwa dhamana kutoka kituo cha polisi Osterbay. @TunduALissu #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
0
9
42
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
4 years
@HeyLeslie97 @elonmusk Hey hey hey.. He makes rockets for a living.. why isnt that crazy enough for you to accept. Thats Elon that's who he is 😂. You want him pretending to be what he is not. Why?
0
0
39
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@Ngiwanzi @fbuyobe Let the man do his job. Usimwambie nini afanye. Wacha atupe what actually happened.
2
0
41
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Matukio Katika Picha. ✌️🚨 Mhe. Tundu Antipas Lissu akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Dkt Nchimbi katika Kongamano la kanisa Katoliki lililofanyika Daresalam Leo 15/09/2024. Unahisi walikua wanaongea nini? #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
10
42
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@KyivIndependent Allow Russians protesting against the war to cross your borders and be in your cities. See if the army will bomb it's peopl, let the people protest against their army where the war is actually happening.
7
5
37
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@ZelenskyyUa @Meta You know the problem with favor is when it's on the other side. When it's in you favor it's good but when it's not, its going to hurt really bad. This information censoring is going to hit hard someday. When people control what we see and read, that's very dangerous.
4
0
36
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
🚨 TAARIFA ⚠️ Mhe. Lissu atakuepo leo usiku saa 3 katika kipindi cha Dakika 45 ITV. Usikose kufatilia mahojiano haya yakipekee. Atafafanua maswala muhimu. USIKOSE!! Lissu: CCM haijasajiliwa na Msajili. #Lissu2025
2
9
35
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
DEMOKRASIA 🚨✌️ Mhe. Lissu aelezea mfumo wa Demokrasia ndani ya Chadema na CCM. Lissu: Hata mfanyeje Samia lazima awe Mwenyekiti wa CCM. #Lissu2025
2
11
36
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@IAMartin_ @Wakazi The confederate flag. Used by the South during the civil war. People who were against Lincoln's emancipation proclamation and the 13th amendment. Atoe tu, maana ni mshangao kua a black man would use that😂. Na aajiri mtu wakumfanyia research kwenye vitu anatumia in videos.
1
0
35
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 years
@Ngiwanzi @godbless_lema Umeiweka kitaalam sana.
1
0
35
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
LISSU LEO 🚨✌️ WITO KWA WATANZANIA. Mhe. Lissu ametoa rai yake kwa watanzania kuamka nakupigania nchi yetu. CC: Jambo TV. Lissu: AMKENI,...tuache kutegeana. #Lissu2025
1
11
32
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@IAMartin_ Mr Martin. Ngoja tukishakiosha, hutaamini.
Tweet media one
3
3
31
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 years
@Big0047 Ndo lengo lake. 😂😂aive tu
0
0
29
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
KUMBUKIZI 🚨✌️ Mhe. Lissu alipomtetea Job Ndugai "alipojiuzuru" uspika wa Bunge la "JMT". Jan 5 2022. Link ya interview iko chini. #Lissu2025
2
12
31
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
2 months
Mawazo Dhania.🚨✌️ MDAHALO. Wangapi mngependa kuona huu mdahalo Mwakani? Nani mngependa aendeshe huu mdahalo? #Lissu2025
Tweet media one
4
5
31
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
Makamu Mwenyekiti Mhe. @TunduALissu akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Mh. @jjmnyika alipowasili Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Chama kitakachoketi kwa siku mbili, leo Septemba 17, 2024 na kesho Septemba 18, 2024. #Lissu2025
Tweet media one
Tweet media two
1
3
30
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
1 month
"Kuhamasisha maandamano sio kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Sheria yetu inaelekeza tutoe taarifa tu ya tarehe, muda na njia ya maandamano hayo. Aluta continua!" @TunduALissu #Lissu2025 .
Tweet media one
1
8
29
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
4 days
Msikilize Mhe. Tundu Lissu.
6
97
541
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@IAMartin_ Alipigiwa simu. We all know that. We also know lengo lao ni within next week huyo mama akirudi afanye namna kesi ifutwe. Ndo malengo yao yakutoa siku saba. Huu ukoloni wakimama. Hawataki tushangilie akitoka mwkt.
1
0
29
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
3 years
@IAMartin_ Shahidi: Wakili nashon! Mimi nilimobilize magaidi kweli!? Mimi?
Tweet media one
0
2
27
@Lissu2025
Tundu Lissu 2025
19 days
Tujiandae. #Lissu2025
0
6
24